🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲anko jei Asante unatupa faraja watu wa omani ❤❤❤❤
@JaneSanga-b5n Жыл бұрын
Lisa anatup simliz nzur jaman
@RehemaRey_3 Жыл бұрын
lini inatoka mwendelezo wa lisa❤❤
@حمدانالحويطي-م8ك Жыл бұрын
Hongera anko Jay yunasonga hivyo
@Pretty22750 Жыл бұрын
My favourite mr Jay na Lissa nawapenda sana pamoja na kz mbarikiwe saana tunazidi kuburudika pia tunajifunza 💕🥰
@IngabireAisha3813 Жыл бұрын
Ankojay hongela uko vizulisana Yani hausimulii kwa kuigiza nikipaji chenewe kabisa huwa na makinika sana nawewe vile unaweza kurusilia sauti mbali mbali Yani Una nakirisha vizuri sana ❤
@JohanesApolo Жыл бұрын
Nzuri napenda
@Merrylukas-uz6sr11 ай бұрын
Diva anaatali huyo nashogaa ake ila aya makuuzi haya mngu atusaidie sisi mabinti
@RahelIbrahim-id2li10 ай бұрын
Mungu atupe pia kuwafunza mabinti zetu madhara ya mahusiano mapema
Jamani liss na ankj mungu awape masha makefu mana munajua kutupa fula tuna wapenda kwel❤️❤️❤️
@tonnieemwendwah Жыл бұрын
Anko j tumalizie wakili wa moyo..much love from Kenya❤❤
@MsChocoFlava Жыл бұрын
Leo nimewahi for the first time 🎉 acha niandae popcorn, chips, soft drink ni enjoy na story ya diva nione Kweli huyu ni diva jina lake linamfaa kuitwa DIVA
@priscillarkaingu4385 Жыл бұрын
Tumalizie wakili wamoyo na madam subby
@zabibuhassanchitumbo334 Жыл бұрын
Nilijua tu Ankojay lazma ungeingiza wasudan kwenye simulizi 😂😂😂much love from Kenya❤
@zawadikassimu-om8cx Жыл бұрын
Sijapenda ise diva kutembea na Kaka Ake jmn
@RahelIbrahim-id2li10 ай бұрын
Amelikoroga
@LyidiaSilayo Жыл бұрын
❤❤❤ oyooo penda sana wewe anko jay love more
@lidiajephter7564 Жыл бұрын
Jamani nipewe maua yangu 😊😊 to Leo nimewahi
@lineline-yt2wy Жыл бұрын
❤
@RahelIbrahim-id2li10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@marymanase92177 ай бұрын
S1w❤ee@@lineline-yt2wy
@FadhilaJumanne-l8k5 ай бұрын
Daah hata alvilisa anataka maya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hayo yakutosha🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ashamenza2212 Жыл бұрын
Ankojay na Lissa mwala mubarikiwe saana Kwa simulizi zenye mafunzo haya diva Leo kunani 💪🤝
@fatmayahya838 Жыл бұрын
Anko jay nataka like yngu
@Mariamsuleiman-b9c Жыл бұрын
Jaman ankj na lisa mnajua kutuletea simulizi nzuri..nawapenda kwa ajili ya Allah ❤❤❤
@ROSEROBERTROBART Жыл бұрын
Sio diva the bows 😂 simulizi kiboko i say
@linnerphilip4260 Жыл бұрын
Anko jay anajuaga kututoa mate yaan dah
@arafatyhussein Жыл бұрын
Anko jay🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@zenahasan76034 ай бұрын
Hongera. Sincerità. Kwakumfunza. Huyo. T. A kojei. Upooo. Tunakusikiliza
@DalinaSamweli-ji3fc Жыл бұрын
Anko jay asante kwa kutuletea simulizi za kusisimua acha nitulizie hii🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@emmylizzo8220 Жыл бұрын
Jamani sauti ya mama mwenye nyumba pambe
@violetmulya Жыл бұрын
Thank you anko jay, may God bless you and your work
@salmamwangi4343 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@SophiaSwedi11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂i
@RahelIbrahim-id2li10 ай бұрын
😂😂😂hiyo sauti ya mam mwenye nyumba khaaaa
@hafsaibrahim66756 ай бұрын
😅😅😅😂😂😂
@ashaabdalla924 Жыл бұрын
Shukran anko J vp vile viporo vyetu ❤❤
@RahelIbrahim-id2li10 ай бұрын
Utaokoka na mimba wew?umeniaibisha kweli,nami nina mabinti jaman ,naogopa saana fedheha kama hiyo
@ShukuraniMapunda-lz3un Жыл бұрын
Asante sana,pia tunaomba tumalizie wakili wa moyo plez
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Anko Jay ❤❤❤❤
@agnesagnes5288 Жыл бұрын
Ankoj tumalizie wakili wa moyo jamani kesho ni Friday 😢❤❤❤❤
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Hi Lissa Mwalla? ahsante Anko Jay simulizi hii nitam 🙏
@RahelIbrahim-id2li10 ай бұрын
Jaman mbona huyu mwalimu kageuka tena!!!!;najuta kumsifia
@ReginaBenjamin-ij2ecАй бұрын
😂😂😂😂😂
@JescahAtieno-gs8wx Жыл бұрын
Wooooow ❤❤❤
@rukiaikrima5639 Жыл бұрын
Jaman ankojay na da lissa mamupowi alaf hambowi had raha🥰🤗 mungu awazidishie baraka na mafanikio katka maisha yenu na vi🤲🤲
@polinlizzlizz Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 anko jay nimefurahi sana nimecheka sana hadi 😢😢 naumwa 😢😢
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Congratulations 👏👏👏❤❤❤ too much
@everlynesafari1527 Жыл бұрын
Anko jay shikamoo waaa umejua kuni vunja mbavu leo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LindaRobson-qn1br Жыл бұрын
ank j tumalizie wakil, wa moyo
@RehemaRey_3 Жыл бұрын
lini mwendelezo wa lisa inatok Ankoj
@zainbzainb9283 Жыл бұрын
Diva we moto had anko anacheka😅😅😅
@shanikiwele3111 Жыл бұрын
Ankoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@beatricesemiti5997 Жыл бұрын
Diva kuboko ni tamu mno safi sana anko j kesho lazma nikuungishe sehemu ya tatu nimecheka mno🤝
@mushimonica5912 Жыл бұрын
Leo wakwanza jmn makofi kwangu nasubiri like zangu