Kila la kher wachezaji wetu kila la kher simba yangu mungu aisimamie ifanye vizur mwanzo mwisho ushindi ndo ngao yetu simba damu simba nguvu moyaaaa ❤❤💪💪🤛🤛
@EdimsoniMmbaga17 күн бұрын
Tunawaombea Kwa Mungu awafanyie wepesi matokeo yawe upande wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HasnatMustafa-n1q17 күн бұрын
Kila la khery simba. Allah atufanyie wepesi hii mechi tushinde inshallha 🙏🤍❤️
@SamweliLukas-d5u17 күн бұрын
Mungu ibariki simba ipate kushinda tarehe 5 naimani simba atashida ❤simba
@Jeremiamhina-d9x17 күн бұрын
Simba nguvu Moja💪💪💪 Simba unstoppable ubaya ubwela🔥🏆
@tumaini3717 күн бұрын
All the best Mnyamaaa wanguu❤❤❤
@iddiramadhan17 күн бұрын
Kila la khery mnyama Simba sports club siku ya tarehe 5 Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@fatoommeraje213317 күн бұрын
Ishaallah Allah ndie muweza tufanikishe ushindi wa simba
@JabiryMboma17 күн бұрын
Inshallah Mungu barik ushindi simba nguvu moja 👹
@sadatiomary-o2o17 күн бұрын
Kila la kheri Simba spot club mungu awafanyie kheri kwenye vita ya apo taleeh 5 inshallah
@IssaAli-s8y17 күн бұрын
Huyu mwamba siku hizi hapati nafasi ya kucheza ila namkubali sana anapopiga kazi.
@ibrahimuakwilombe17 күн бұрын
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Simba
@ShameNgeza17 күн бұрын
Usjali kaka duwa kama zote mungu awajaliye ushindi inshallah
@SetMohamed-i9y17 күн бұрын
Simba taifa kubwa, pamoja daima.
@Christopher-c1x17 күн бұрын
Kila la kheri mnyama ktk vita hiyo TUNAMWOMBA BWANA TUWE NAYE KWENYE VITA HIYO bila yeye hakika hatutaweza
@KhanashyAlmassi17 күн бұрын
Mchezo autokuwa mgumu,Ila jitihada na juhudi pamoja na kutegemea mungu tutashinda inshallah.
@ALIJABU-r6k16 күн бұрын
Allah awajaalie matokeo mazuri
@jumamangombe649316 күн бұрын
Mungu awasaidie wachezaji wetu.....
@mcengineer771117 күн бұрын
Simba❤
@WilleMbwilo17 күн бұрын
Ushindi tu✊
@hafidhindoka346317 күн бұрын
Tunaimani na fadlu simba nguvu moja ubaya ubwela
@FahamuHamza17 күн бұрын
Ee Mungu tunakuomba utusaidie tufanyie wepesi tuweze kushinda
@RehemaElasto17 күн бұрын
💥💥💥
@jumamangombe649316 күн бұрын
Mungu atusaidie sisi na familia zetu. Atujalie ushindi hiyo tarehe 5 na mechi zingine.
@Esterkomba-ef7eb16 күн бұрын
Mungu simama nasi wanasimba ushindi lazima.
@Salimramsey-x8u17 күн бұрын
Mungu yupo tutashinda tu
@FumaoFumao-d8w17 күн бұрын
Nakuaminia MDHAMIRU
@EsterSamwel-o4h17 күн бұрын
Mungu muweza wa yote tunakuomba ukawaongoze wachezaj wetu ,,,,tupate ushind WA Maori meng
@ivannassary243517 күн бұрын
Ubaya Ubwela
@atushedreck679417 күн бұрын
🎉🎉
@lumulyimage482617 күн бұрын
💪
@gideonmwaweza817717 күн бұрын
Mungu mwema 2tashinda 2
@ibrahimuakwilombe17 күн бұрын
Simba SC nguvu moja"
@barakamnazareti574517 күн бұрын
Like percy tau😂😂
@iddymobae17 күн бұрын
Nguvu moja
@JumaIdi-ee4pq17 күн бұрын
Ubaya ubwela mungu tubariki ushindi
@MakameRashid-l1u17 күн бұрын
Haati mamba Kwa ukubwawa kikosi 3:17 Allah atujaalie usindi
@MichaelMsigala-pv7gx17 күн бұрын
Dua nyingi sana kwenye chama letu
@lutiak761816 күн бұрын
MUNGU awe pamoja nanyi murudi na ushindi
@wailungaclassic543417 күн бұрын
Simba sc unalud naushindi ugenini hilo halina douot