Mzazi Wa Makanisa Yenu Ndio Huyu Hapa Sio Mungu Wa Mbinguni

  Рет қаралды 372

Bernard Mwaipopo

Bernard Mwaipopo

Күн бұрын

Пікірлер: 9
@WilhadPeter
@WilhadPeter Ай бұрын
Kweli kabisa uko sawa kabisa
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo Ай бұрын
Ubaririkwe
@MuunganoChrisanth
@MuunganoChrisanth Ай бұрын
@@BernardMwaipopo Kaka hujanipaga majibu ya ushauli kuhusu yale maandiko wenda nataka kujua zaidi we jizime datatu uendelee kutafata views tuone zitakusaidia nini fundisha neno kwa ufasaha acha kuchochea uziinzi kuwa makini maandiko unayajua lakini tafsili zako ni za kiisilam wewe
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo Ай бұрын
@MuunganoChrisanth siji zimi dada ndugu nawala sichochei uzinzi pia siogopi kujibu swali la binadamu yoyote kimaaandiko ila Tu Nina mengi ninayo yafnaya kama unataka kujibiwa changamoto yako nitaweka namba zangu hapo alafu utanitafuta nikujibu kiundani zaidi asante +27676227880 WhatsApp
@carlossenja962
@carlossenja962 Ай бұрын
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi yawe safi, kwa kuwa Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati wote. Waebrania 13:4 . NAOMBA KWA UFAHAMU WAKO UTUFAFANULIE HIKI KIFUNGU CHA BIBILIA, WAZIZI NI KINA NANI NA WAASHERATI NI NANI. ASANTE
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 Ай бұрын
Huyo gamanywa uliyemsema nilikuwa namuamini sana ila wakati wakorona nilimshusha sivii zote nikajua naye ndo walewale mchungaji pekee naemkubali na asiyebadirika badirika toka nimfaham ni mbalikiwa mwakipesile
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo Ай бұрын
Nikweli nimeokokea pale Kwa gamanywa ila kuna mengi ambayo sikujibiwa Nao Ndio Maana sipo pamoja Nao Mbarikiwe anamatatizo ya kuropoka Mtu anae sema tabia zote zakiisilamu nitabia za Mungu wewe bado unamuamini bake kwenye Maanuzi yako na Mm nasimama na Neno Amina
@DenisTarimo-l6o
@DenisTarimo-l6o Ай бұрын
Ukiona mtu kwa sasa anabishana mambo ya dini bado hajakua kiroho
@celestinekimaro8996
@celestinekimaro8996 Ай бұрын
Sidhani unafahamu unachokisema. Nenda chuoni ukasome theology
Mchungaji Kasilimu Kisa Maswali Haya Mjibuni Wakristo
23:55
Bernard Mwaipopo
Рет қаралды 151 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
College masomo yanoga hakuna kubahatisha pole pole wanaelewa
1:35:34
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 3 М.
MBINU ZA KUONDOA HOFU NA KUACHA KUOGOPA.
5:30
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 60 М.
HISTORIA YA MACHOZI NA DAMU YA MBOWE  | MIAKA 21 YA UWENYEKITI WAKE
8:11
Mbarikiwa Na Wenzake Wana Mwonea Tony Kapola Wivu
17:55
Bernard Mwaipopo
Рет қаралды 24
CHEERS AS PRESIDENT RUTO INTRODUCES HIS TROOPS IN BUSIA!
7:11
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 4,4 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН