MUNGU akupe maisha marefu ili uendelee kutuletea mafundisho ya kutujenga kiimani na kiroho 🙏🙏
@martinamturano21523 жыл бұрын
Asante Sana Fr. Kamugisha. Mama yangu mzazi alikuwa mtu mwenye kusali Sana mpaka watu wakawa wanamwita mchawi. Hata mapadri wawili waliokuwa Parokiani walifikia kumnyima Sakramenti na kumnyima huduma muhimu za kikanisa. Lakini baada ya miaka kadhaa kilichowakuta mapadri hao 2 waliomnyanyasa Mama yangu kwa kumwita mchawi ni balaa. Mmoja alikufa kwa ajali mwingine alifukuzwa mpaka leo hii ana manga manga mtaani. Miungu aendelee kukuinua na kutundisha
@ciamallya83563 жыл бұрын
Baba nabarikiwa sana na mafundisho yako natamani ungekuwa katika parokia yetuu
@EvansOmwenga-d3j4 күн бұрын
Mungu azidi kukujaza hekima.Hakika you are my mentor
@magrethalfred1136Ай бұрын
Asanteee sana fr. Sasa ndo nimeelewa jinsi natakiwa kuwa 🙏
@lucyfrancis16143 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana father kwa mafundisho yako mazuri
@filbertdominiki7965 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni aendelee kukupa nguvu katika utumishi wako na kukulinda dhidi ya mwovu shetani
@hozzahh55972 жыл бұрын
Huu ndio umisionari wa kweli asante sana father Mungu akupe uhai uishi miaka mia moja ili watu waokoke
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
Huwezi kusalimika au kuokoka bila kuamini kuwa MUNGU NI mmoja tu wapekee na wakweli na yesu ni mwanadamu aliyetumwa na MUNGU kisha kumuamini yule aliyekuja baada ya yesu ambaye ni mtume Muhammed saw ambaye naye pia ni mwanadamu.
@desderipatrick8392 Жыл бұрын
@@istambulahmed6664Ondoa ujinga wako hapa
@Sangaligospel8 ай бұрын
Barikiwa padri kamugisha nabarikiwa na mahubiri yako yamenipa ujasiri na nguvu yakusongambele
@FF.Basolutions111002 жыл бұрын
Ubarikiwe saaaaana Baba Padre wetu
@jannetmtey2 ай бұрын
Amina saana Fr ,Kamugisha ,mungu wa mbinguni akupe nguvu na kukulinda wakati wote katika mafundisho haya,ubarikikiwe sana.
@paulomwalimu67313 жыл бұрын
Nimekuelewa sanaa padre kamugisha MUNGU akubariki sana
@josephinekabyemela91112 жыл бұрын
🙏👏 Fr.Kamugisha Mwenyezi Mungu azidi kukubariki .
@GodervaJumaАй бұрын
Asante kwamafundisho kunakitu nimejifunza kwako
@GodervaJumaАй бұрын
Yote unayoyasema tunakutana nayoyakuitwa wachawi mungu ndiye ajuaye ataleta majibu padre mungu akuinue
@renatusfmwendamnofu52342 ай бұрын
Asante ee mungu kwakila jambo kwakutupatia padre huyu
@renatusfmwendamnofu52342 ай бұрын
Asante mwalimu nasi yatupasa kuijuwa kweli mungu azidi kukubariki ufanye makubwa zaidi, ktk mapambano dhidi ya shetani
@AnnaMwakalekamo2 ай бұрын
Asante padre kamgisha mungu akupe mafundisho zqidi ili wale wenye imani potofu wajifunze kupitia ujumbe wako babaetu mungu akulinde sn bb
@StephaniaKokwenda2 ай бұрын
Asante father maubili yako yamenifundisha kitu.
@anglevicent42998 ай бұрын
Mungu akubariki sana Fr. Uwe na afya njema na akutangulie ktk utume wako.
@agnesshayo93713 жыл бұрын
Asante sana Padri Dr. Kamugisha Mungu aendelee kukutumia, maana unaponya wengi Baba🙏🤝
@malaikapendo55603 жыл бұрын
Mungu alipe afya iliuponye wengi
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
Ukiona mtu ana waaminisha wafuasi wake waamini kuwa yesu ni MUNGU au MUNGU NI MMOJA KATIKA NAFSI TATU au watu wamuabudu yesu ujue mtu huyo anakuongoza njia ya kwenda MOTONI kwani mwalimu mkuu wa habari za MUNGU katika INJILI NI YESU, NA YESU HAJAFUNDISHA HATA MARA MOJA, REJEA BAADHI YA MAFUNDISHO YAKE KWA MSAADA ZAIDI: MATHAYO 4:10 MATHAYO 15:24 YOHANA 5:30-40 YOHANA 17:3 YOHANA 20:17 LUKA18:18 MARKO12: 28 WAEFESO 4:4 TIMETHEWO 6:16
@desderipatrick8392 Жыл бұрын
@@istambulahmed6664Ondoa ujinga wako hapa
@MrTitopaul6 ай бұрын
Father Kamugisha, baraka za Mungu ziendee kukaa juu yako. Mafindisho Yako ni mazuri sana❤
@kaizamulinda6333 жыл бұрын
Kwa kweli Father huyu asije akahamishwa Kagera maana vionjo vyake vya Kihaya vinaongeza uelewa wa mafundisho yake. Very gifted.
@imahsumaye27652 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@cecilialucas76553 жыл бұрын
Padre wewe ni Hazina kubwa kwa kanisa ubarikiwe sana
@bettymungai97992 жыл бұрын
Good padre...with God msg
@nicelaemmanuel3719Ай бұрын
Hakika baba mafundisho yako yamenipa nguvu ya kupambana, Mungu akutunze uzidi kuponya roho za watu.
@anglevicent42998 ай бұрын
Asante baba ubarikiwe sana.
@BENNTARAMUKAАй бұрын
Ubarikiwe mtu.mishi.
@mwaminishabani57133 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki sana Farther kwa mafundisho yako Mazuri🙏
@yakusubelgika42742 жыл бұрын
Aksateni sana padrino kwa into fundisho
@PriscaPanga2 ай бұрын
Mwenyez mungu akuweke father kamugisha napata aman nikisikiliza mahubir yako
@PriscaPanga2 ай бұрын
God bless you fr kamugisha
@agathamburu8910Ай бұрын
Amina Amina Amina.
@MgunyaAbraham-oc2rp Жыл бұрын
Padre unanibariki sana ningekuwa karibu ningekuwa nakuja kusali unapotumika
@dickisonbalinkebela60992 жыл бұрын
Asante izidi kubarikiwa🙏🙏
@eliasbufula2482 Жыл бұрын
Father Mungu wa mbingu na nchi aendelee kukukumbuka.
@marympemba18293 жыл бұрын
Asante sana padri umenifundisha Kitu
@hildamgaya90429 ай бұрын
Tunawahitaji watumishi kama nyie mnaokoa roho za watu zifikie wokovu ,,,,hakika Imani yetu inakuwa father Mungu akujalie maisha marefu
Mafundisho haya yamenijenga sana na yamenipa faraja
@lucyslivin53547 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba
@justaatugonza Жыл бұрын
ni kweli father mungu akuzidishie karama yako tuendelee kufarahia
@StanuleDeus5 ай бұрын
Fr mungu anamakusudi yakukuweka kwenye utume wa Wa kichugaji Ili kusaidia jamii
@vincentmusisi31273 жыл бұрын
Nashukuru mahubiri ya pandri mazuri sana.
@theophilwhiteheart19979 ай бұрын
Father wangu machachali sana huyu 🙌🏽🤩😇
@olandokambalage78932 жыл бұрын
Baba Mimi naomba mungu uhamishwe bukoba uletwe Tanga tutabarkiwa sana
@sofialinus82413 жыл бұрын
AMINA 🙏 nabarikiwa Sana
@johngibson30892 жыл бұрын
Asante father
@cosmasemmanuel8351 Жыл бұрын
Ubalikiwa
@jacquelineshirima40172 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristu Father, Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri, ninaomba namba zako za Simu Father
@benyymgedzi64893 жыл бұрын
Mungu akubaliki Padre kàmgisha
@davidkawesa35947 ай бұрын
Amina kuwa
@eutropiachami24923 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa maisha marefu padre..🙏🙏
@rosekundaeli67083 жыл бұрын
AMEEEN!
@kambalebasona89593 жыл бұрын
Hongera Sana PADRE , MUNGU akuongeze Elimu na hekima kuendelesha kazi yake ! ! !
@hildamgaya90429 ай бұрын
Amina
@judithabuko60063 жыл бұрын
Ameeeen baba
@JosephMwala-v1z5 ай бұрын
Aminaa
@FrutunatusMuyango6 ай бұрын
Wakora baba omukama akwemere kasinge omukigambo kyantaha
@davidivisent50342 жыл бұрын
Amin
@EvethaBurra8 ай бұрын
Huu ni umissionary wa kweli
@AwaichiSaxton-rl6ig Жыл бұрын
Amen🙏🙏
@mselumonica30463 жыл бұрын
Father nimekuelewa sana kweli mti wenye matumda unapigwa mawe
@fredreque37672 жыл бұрын
Thank you Jesus praise Jesus
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
Ukimwamini yesu kwa asilimia Mia nilazima utakuwa MUISLAMU.
@desderipatrick8392 Жыл бұрын
@@istambulahmed6664Ondoa ujinga wako hapa
@GodfreySamson-py7jt6 ай бұрын
Amee
@grationkato76582 ай бұрын
Naota Pd.kamgisha ukifika mbali muno maubili yako yanaoneka duniani kote safi sana
@gilbertshirima2684Ай бұрын
Kweli kabisa wamenitenda
@deusfabian74983 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu father
@suzankamguna3 жыл бұрын
Amen
@Fabianmawazo Жыл бұрын
amena nawapata nikiwa kenyab
@danstanpanga8490 Жыл бұрын
Ukweli utafufukaa....daaah ujumbe mzito sana
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
Namshukuru MUNGU kunijaalia kuwa muislam, na namuomba MUNGU anijaalie niwe miongoni mwa wale watakaokufa hali yakua ni waislamu, na yesu hakuwa ila alikuwa MUISLAMU na aliwalingania wafuasi wake kuingia katika uislamu, na uislamu ni kushuhudia kuwa MUNGU ni mmoja tu wapekee na wakweli na kushuhudia kuwa yesu ni mtume wa MUNGU , kwa kusema haya na kuyaamini kipindi cha yesu unakua tayari umeshaingia katika uislamu, kadhalika kipindi cha musa ,nuhu, lutyi, ibrahim, na kila aliyetumwa na MUNGU katika ZAMA zake, na kwakipindi hiki ili uingie katika uislamu inakuoasa kuamini kuwa MUNGU NI mmoja tu na mtume Muhammed saw ni mtume wa MUNGU aliyetumwa kwajili ya watu woooote na ndiomaana lugha yake ikawa moja dunia nzima.
@beatricemwita43806 ай бұрын
Sasa ndugu muislam kwenye mafundisho ya wakristo umefata nini? Huoni channel za mashekh na ostadh, mpk umekuja huku kusikiliza maana yake unabarikiwa hivyo fuatilia yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo
@FlorahHillary Жыл бұрын
Amina mtumishi umenibariki😅😅
@benyymgedzi64893 жыл бұрын
Kwa kweli màhubili ya ukweli kabasa
@epifaniamilinga28483 жыл бұрын
Asante.mtumishi
@marymary83133 жыл бұрын
Amen 🙏
@anithamtungilehi33273 ай бұрын
Mm nilikuwa najiuliza nikiwa na uzuni ntatafuta michezo ya vichekesho
@RoseYusuph-i8tАй бұрын
Jamani naomba kuniunga glup wassup
@KelvinAntony-e8u Жыл бұрын
Mi naomba utembee na mikoani nakukalibisha MTWARA,Baba
@CosmasEmanuel-lo1ti6 ай бұрын
Jaman huyu fadha anakalama kubwa Sana sijui kama anatembeaga namkalibisha Sana songea huyu fadha
@eliasnganira76619 ай бұрын
Hiyo imekaenda baba
@mwanashagladys45813 жыл бұрын
Aaahmean
@davidkazoya86293 жыл бұрын
Wanshekya ezakundailemu
@Ruchanwa3 жыл бұрын
Askofu
@adorofinarutaya45383 жыл бұрын
Amina Amina
@rehemamwangamila61132 жыл бұрын
Kiukweli Father Kamugisha Mungu akubariki Sana na akujalie Maisha marefu,natamani siku ungeweza kutuinjilisha huku Dar.es salaam.
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Sio askofu ni padri
@florabenard5504 Жыл бұрын
Baba tumekumiss Bunju nondo unazo zitoa tunazimiss sana rudi tena uje utupe madini
@IsabelaMwanjaleАй бұрын
Sema tupone
@paulomilinga49652 жыл бұрын
Fadha mafundisho yako yalinitoa zambin
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Baba nashukulu sana umenifumbuq macho asante baba padri