Sio mwongo ila katika maswali yake utajua tu kwamba huyu ni kolo, et ahmed ally anatamba na point zake tisa na ally kamwe anajinasibu na vipoint vyake vinne. Mòja kwa moja unajua kuwa huyu kaz ya uandish ni zero kabxa.
@minaniormar584118 күн бұрын
UYU MZE KICAA YOUNG IKIFUNGWA NI YEYE NDIO KAFA NYA IFUNGWE IKIFUNGA HOOO NI YEYE.
@fahadrashid975417 күн бұрын
Haha umeona ee...yeye anaenda na upepo tu
@FurahaAngetile-m4w18 күн бұрын
Yamekushinda tulivyokuwa tumeteleza kidogo ukaanza kukua kichwa waje waje hawajaja wameanza kufanya vizur eti tunaiangaikia yanga ebu angaika na maisha yako acha uongo
@danielchamoto937617 күн бұрын
Sawa ahangaike na maisha yake wew unaihangaikiaje yanga??
@anithawidambe754318 күн бұрын
MAGOMA ANATAKA UKUBWA YANGA.
@mohamednoshardy78918 күн бұрын
Ww muandishii huna content zaid ya magoma
@anithawidambe754318 күн бұрын
WAKUTAFUTE WEWE KM NANI? MAGOMA IACHE YANGA.
@alexndihokubwayo801018 күн бұрын
Wewe huna chakufanya wewe huna sehemu yakuhoji nima goma tu
@EvanceCornel-bf4jp18 күн бұрын
Mwandishi vipi wewe bwn tumia taaluma yko czr,hakuna shm anayotajwa Magoma kutakiwa kuongea na viongoz wa Yanga. Kuwa makini!