HUYU NDIYE JANUARY MAKAMBA MWAMBA MWENYE NDOTO YA URAIS/KUKOSWA NYAMA na IDDI AMINI/ HUU WASIFU WAKE

  Рет қаралды 108,091

SAN TZ MEDIA

SAN TZ MEDIA

4 ай бұрын

#history #alhamdulillah #cloudsmedia #efm #exclusive #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia

Пікірлер: 285
@johnnkelebe7360
@johnnkelebe7360 4 ай бұрын
Watu wabaya hawafai kuongoza nchi hii, kwa uwezo wa mungu na ashindwe nia yake hiyo.
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 3 ай бұрын
Waislamu hawafai kuongoza?😂😂😂
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 3 күн бұрын
Wabaya unawajuaje?
@MayungaShuli
@MayungaShuli 4 ай бұрын
Jambazi Sana makamba hatumtaki
@nanubob1969
@nanubob1969 4 ай бұрын
kabisa!!!
@daudifungo5521
@daudifungo5521 3 ай бұрын
Hongera Sana Bro Ktk Safari ya Ndoto Zako Duniani Never Give Up. All the Best.
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
HUYO HAFAI KABISA.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 3 ай бұрын
Mtu anayepania urais mjue kuwa kuwa huwa anakuwa sio mzuri kwa manufaa ya watu bali huwa amepania kujinufaisha yeye angalia watu walioupata urais bila kutumia nguvu ndiye huwa mzuri.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
HUYO NI MZEE NI MNAFIKI SANAA .
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 4 ай бұрын
Mnafiki babaako
@alexmathias6620
@alexmathias6620 4 ай бұрын
😢😢😢😢😢 mi kama ataongoza makamba naenda kuomba uraia Burundi duuu hafai huyo Kama Ni uongoz anafaa Majaliwa au kabudi
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
😂
@alexmathias6620
@alexmathias6620 4 ай бұрын
Kweli kabisa duuuu hii nchi sasa imevamiwa Kama na hao wameanza siasa zao za mwaka gede gede mbona hawakuonekana kwa anko magu
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 3 күн бұрын
Kaombe mapema uwo iraia kwa nkurunzinza maana uwez kuzuia mafuliko kwa mikono😂😂😂😂
@Mughusi
@Mughusi 3 күн бұрын
​@user-e2sr4fi4k ipo siku hiking kiburi chenu kitakwisha.enndeleeni kulamba asali. Kila lenye mwanzo lina mwisho
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 3 күн бұрын
Huyu kijana ni Mwamba sana...namuelewaga sana shida yake mtata sana
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 3 ай бұрын
Mmoja wa viongozi wa hovyo kabisa Tanzania
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
🥺🥺🥺
@mushumbusikappia1623
@mushumbusikappia1623 4 ай бұрын
Usiwaangalie Wabaya Wako. Angalia Ndoto Yako. Mungu mwenyewe Atakulinda na Kukufungulia malango ya Nia yako
@victorphilipo
@victorphilipo 3 күн бұрын
Huyo dogo amekuwa roho mbaya sana kwa sababu huduma ariigeuza biashara kupandisha umeme nakusema umeme kunatakiwa sh 600000 kuingiza umeme mungu anaona
@meryevance6744
@meryevance6744 3 ай бұрын
Hafiiiii huyu kijana na Nape pmj na Liziwani
@CYPRIANMACHIBULA
@CYPRIANMACHIBULA 4 ай бұрын
Hakuna kitu hapa
@user-rk6jf6zq6d
@user-rk6jf6zq6d 2 күн бұрын
Kamwe hata Atuhumiwe Kuiba Matirion kiasi Gani Mimi Sio Nabii Lakini Hatokaa Apate Uraisi wa Nchi Inayoitwa Tanganyika au Tanzania
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q 4 ай бұрын
Hafai hafai KABISA
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 4 ай бұрын
Atafaa sana maana ni mtu mwenye aiba ya kuwa Rais shule kaenda anatufaa sana watanzania ila wale wanyarwanda hawatusumbui kumkataa..!!!
@musakihama7205
@musakihama7205 3 күн бұрын
​@@hassanmfaume4522aseeee,😢😢😢😢😢.
@chrispinboniface3329
@chrispinboniface3329 3 күн бұрын
Huyu hafai hata kuongoza Mtaa 😢😢😢
@gabjoni4306
@gabjoni4306 4 ай бұрын
Never Happen Never Nchi haingozwi kwa Drama
@MajataFajiri
@MajataFajiri 3 күн бұрын
Jimboni kwake TU hapajali je nchi ataijali kweli.kama wananchi TU wa bumbuli Barbara ni mbovu utazani njia za kupitishia ng,ombe jimboni kwake TU hajawahi kukaa na wananchi wanaadha kibao lakini hajali, akipewa nchi atahamia marekani kuishi kwasababu tuu simzalendo .
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 4 ай бұрын
Makamba mungu atakusaidia umechafuliwa bila sababu
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 2 сағат бұрын
Kumbe ndounataka uweke historia kukaa uraisi kwa kupitia mauwaji
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 3 ай бұрын
Huku mitaani kwa wananchi hakuna anayemkubali,yeye pamoja na Mwigulu Nchemba
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Ulishafanya research kumbe😂😥
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 Ай бұрын
Aiitaj research j makamba ,mwigulu nchemba ni mafisadi wakubwa ata ulimuuliza mtt wa nasary atakwambia
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 4 ай бұрын
Ninfield mnaomchukia January,mchukieni tu,ninyi sio.mungi.wakati wa.bwana ukifika,mtashangaa sana.amen
@ramadhanihamadi6304
@ramadhanihamadi6304 4 ай бұрын
Ata sijui kwanini wanamchukia kaka januari
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 4 ай бұрын
Eti Mwamba.Unachekesha sana
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Sasa ningesemaje sasa?
@usafiaps318
@usafiaps318 4 ай бұрын
Akwezaje Hushushwa.Time Will Tell.
@jeremiahbabalove5446
@jeremiahbabalove5446 4 ай бұрын
Watu wa namba hii ni mwiba
@tanzaniasociallightfoundat9053
@tanzaniasociallightfoundat9053 Күн бұрын
Huyu ndiye atakaye kuja kushika nchi baada ya Rais wa sasa kumaliza muda wake wa miaka 10 - 2030 MUNGU akipenda. MAKAMBA atakuja kuwa RAIS 2031.
@MajataFajiri
@MajataFajiri 3 күн бұрын
Makamba akiwa raisi watanzania tujiandae Kwa anguko kubwa la nyanja zote za maisha,January Jimbo lake TU la bumbuli Hali ni mbaya Barbara hazipitiki nimitaro mitupu je akipewa uraisi siatauza nchi.kama Jimbo TU halijali je nchi ataijali kweli.watanzania tuwe macho,akipewa ubunge harudi mpaka miaka mitano iishe ndo arudi wakati wa uchaguzi .mm nasema hata uwenyekit wa mtaa hafai.ila sema tuu mfumo unambeba.
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 2 күн бұрын
Akawe Rais nyumbani kwao ! Sio Tanzania .
@nurusulley3276
@nurusulley3276 4 ай бұрын
Jerry Jembe anaweza kufaa urais
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 3 ай бұрын
Yes,tena saaana
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 күн бұрын
anafaa uwaziri mkuu
@United-Bantu-People
@United-Bantu-People 4 ай бұрын
mwizi
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Duuh
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 4 ай бұрын
kaiba nn tusiwe wapiga ramli huyu ni kijana katiwa doa na rais marehem sababu ya ugomvi wa baba na marehemu zaidi ya hapo ni kijana mchapa kazi
@user-ow6vh6mz8u
@user-ow6vh6mz8u 3 ай бұрын
Mpumbavu wewe ameiba nini
@husseinc
@husseinc 2 ай бұрын
haya majizi ayafai lazima ashirikiane na mabeberu nchi itahangamia
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 2 күн бұрын
​@user-ow6vh6mzj8u jizi ee au na wewe ni jizi unatetea lijambazi lenzio pumbavu
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 4 ай бұрын
😂😂majambazi ndio tunaowaona kwenye nafasi kubwa hiv nyie watu wenye akili mko wapi na nyie waaminifu mko wapi mje mlisaidie Taifa letu😢😢😢😢😢😢😢
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Taifa linaangsmia😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@JacksonFrances
@JacksonFrances 4 ай бұрын
Hakuna Watu wa Kulikomboa Taifa La Tanzania 🇹🇿 Kama Mimi na Wewe Hatutaamka na Kupinga Tawala Mɓovu"
@alawikihema8676
@alawikihema8676 4 ай бұрын
nchi hii inatafunwa na udini kimya kimya hamtaki kufunguka tu semeni hatuwataki kwa dini yao ,acheni roho mbaya nchi hii ni mali yetu sote hakuna race yenye hati milki ya nchi hii.
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 4 ай бұрын
Majambazi yote hayapo sasa ktk system kwani yamefyekelewa mbali😅😅😅
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 4 ай бұрын
​@@alawikihema8676umesema kweli kwani hawana lolote ila udini umewajaa sana hata kikwete alipigiwa kampeni za udini sana lakini mwisho wa siku walimwita hao hao chaguo la mungu ..! Mtu akiandikiwa kuwa sehemu huwezi kumtoa katu ..!
@user-py3mz6xd2t
@user-py3mz6xd2t 2 күн бұрын
Unatengemea awe Rais wako huyo kilaindala anaewekwa anafeli najamaa yake utaona tena wamerundisha wanachenza nahakili za watanzani tunawanzum
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 4 ай бұрын
Kwa wanaotegemewa kupata urais labda Majaliwa, Makonda na Jerry Slaa hao hadi waongoze kisha January ndo atashika madaraka sasa mda huo tayari ni miaka 30 January atakuwa babu na sisi hatutaki kuongozwa na babu😂😂
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 күн бұрын
mmmh Majaliwa anachukua % fulani kwa kila halmashauri, wasipompa pesa anawaletea takukuru..Majaliwa huyu sidhani kwa kweli
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 3 күн бұрын
Huyo hasipewe Nafasi hafai anautaka uraisi roho yake
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 2 күн бұрын
Huyu mswahili hawezi kuwa raisi .Mnawaza kuwa maraisi wakuku sanya kodi na kula basi.
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 2 күн бұрын
Wachane amepata elimu kwa sababu ya Fursa ya wazazi wake is nor so smart.
@user-gd1ny2so9y
@user-gd1ny2so9y 4 ай бұрын
Wezi awooo
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 4 ай бұрын
Hyo anaweza kabisa tusubili tu ngoja mvua inyeshe tutaona panapovuja,safi kijana pambana siku itafikia,ingawa so Leo au kesho
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
😂
@ezekielsaidtembo2287
@ezekielsaidtembo2287 3 ай бұрын
Ni kijana mwenye historia nzuri katika Taifa letu. Namtazama kwa jicho la mapendekezo ya kushika madaraka makubwa sana katika Taifa hili. Mungu akubariki sana January Yusufu Makamba❤❤❤❤
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Nice documentary 😀
@user-um6ob9sf3g
@user-um6ob9sf3g 4 ай бұрын
Fisi fisadi mkibwa
@dallerbwoyniglo8675
@dallerbwoyniglo8675 4 ай бұрын
Kweli pengo linaota, jamaa kajaza pengo la Rowasa mwisho wa sku atahamia ukawa. Raha sana siasa ya Bongo
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 4 ай бұрын
Huyo anapita kuwa Rais bila wasiwasi .!
@DativaMbowe
@DativaMbowe 3 күн бұрын
​@@hassanmfaume4522 emeni nautuongoze sasa ee bwana 🙏🙏
@ekisuka1
@ekisuka1 4 ай бұрын
Umelipwa na amekuandikia historia yake, ukistrugle sana kwa nafasi fulani kama siyo mpango wa Mungu huwezi pata.
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Unamaanisha nini Rafiki!!?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@Santzmediautamwelawa hata kwa kuchelewa
@johnabery-vn7eb
@johnabery-vn7eb 4 ай бұрын
Hapo hakuna unachokichambua no upuuz mtup makamba mwizi na kikwete
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
😂😂😂 si dhani kama uko sahihi ukisema mwizi and then hauna uthibitisho , labda nikufundishe kitu "mti wenye matunda sikuzote ndio unapigwa mawe" mpaka Hapo sidhani kama bado haujanisoma
@ototek8037
@ototek8037 4 ай бұрын
@@Santzmedia mti wenye matunda?? Bro huo mti unanyoka wakali ndomana unarushiwa mawe hauna matunda yoyote..makamba na kikwete tofauti ipo wapi?
@Ambwene
@Ambwene 4 ай бұрын
​@@SantzmediaHuyo mwizi tuu Hafai kuwa rais
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@Santzmediatena ni jambazi sugu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@ototek8037umemsahau kinana
@mussakingazi8875
@mussakingazi8875 2 күн бұрын
Sio baba yake Mzazi
@Santzmedia
@Santzmedia 2 күн бұрын
Sawa
@Ambwene
@Ambwene 4 ай бұрын
JANUARY MAKAMBA NI MWIZI HAFAI KUWA RAIS WA NCHI HATA KIDOGO
@user-zx4xf2bu9p
@user-zx4xf2bu9p 4 ай бұрын
Wewe unafaa zana mbaya
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 4 ай бұрын
Kigogo?🚶🚶🚶
@richardrugemalira6934
@richardrugemalira6934 2 ай бұрын
Tusijenge utamaduni wa uongozi kuhodhiwa na watoto wa viongozi. Huo utamaduni unazidi kuota mizizi kuanzia ngazi ya wilaya hadi taifa. Uongozi kigezo kikkuu iwe UWEZO na sio kubebwa kwa historia.
@damymzuri9989
@damymzuri9989 2 ай бұрын
Singida wako vzr xn
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Kiukweli
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 4 ай бұрын
Acha kutengeneza Promo wewe
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
😂 Promo tena
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 3 ай бұрын
BADO HAIJATOSHA KTK MALENGO ILA BASI SAUTI HAIPAI
@ANNAKISIGA-pc5qs
@ANNAKISIGA-pc5qs 4 ай бұрын
Watu wabaya hawafu kabisa ila mungu ataamua huyu akipewa urais tujiandaee kawa wazir wa nishat tu hata mwaka haujaisha umeme hakuna akiwa rais je nn kitatokea?
@user-rk2sb2lb1q
@user-rk2sb2lb1q 2 ай бұрын
Bora iddiamin angemalizaga shuhuli tu hapa mana taifa linadidimizwa
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
🤩🤩🤩 Ivi Mwenzetu wewe ni Mtanzania kweli
@batrumbeziks5946
@batrumbeziks5946 3 ай бұрын
Huyu ni msakatonge, mla rushwa, mwizi na mpotoshaji, kama alivyokuwa baba yake.
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 Ай бұрын
Ukiweka jiwe na jmakamba nachagua jiwe
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
😆😆😆
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 4 ай бұрын
Kwa hiyo tufanyeje munatutinga kutuchanga ya nasi kila mtu anahisitoria maana yake hatujakuelwa huuu
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 3 күн бұрын
Kama mwizi wahera zanchi
@AdrianoStephen
@AdrianoStephen 4 ай бұрын
Jambazzz tuuu Hawa ndioo kikosi Cha misoga
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
😂😂😂
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Adrian mijizi mingi ya timu msoga yote inataka Urais mpaka inagombana yenyewe kwa yenyewe humo ndani ya Ccm kuna makundi 3 wajumbe ndiyo wanafiki na wenye msimamo Ikulu ya sasa mpaka machawa wanaingia kumekuwa hovyo kabisa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@margarethpolepole7438kweli kabisa ni kutoka kwake msoga mbaya sana
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 3 ай бұрын
,,😂😂😂hatari sans
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk 3 ай бұрын
Kivipi
@gracemachege3817
@gracemachege3817 4 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢this is my country
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
🤝
@Ajijji12
@Ajijji12 4 сағат бұрын
Kawalipa mumpìgie kampeni mapema haya akawe rais kwao
@emmanuelmunuo7529
@emmanuelmunuo7529 3 күн бұрын
Huyu aligombea uraisi Na anafaa sana kuwa raisi maana ana elimu ya kutosha.
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 2 күн бұрын
Elimu sio makaratasi ila Tabia yako kutoa huduma kwa jamii .!
@davidwatson6821
@davidwatson6821 2 күн бұрын
Inatusaidia nini?????
@PaulFrank-lw2jt
@PaulFrank-lw2jt 5 күн бұрын
Sasa sifaaaaaa zoooteee ila hana karama ya uongozi ,,,,,hafaiiii
@user-sf3mm9xe3p
@user-sf3mm9xe3p 3 ай бұрын
JANUARY HAFAII KUA RAIS KAMA NCHI HAITARUDI NYUMA MARA 100
@irovyairovya2333
@irovyairovya2333 4 ай бұрын
Urais wa nchi kabisa?
@lusakaone7782
@lusakaone7782 4 ай бұрын
Nimeamini anautaka urais, kama Ana Nia njema ajitahidi muhimu ndoto yake aisimamie
@meryevance6744
@meryevance6744 3 ай бұрын
Huyu mwalibifu wa nchi ndio munampahisha kuwa Raisi muovu ukiongoza nchi mtegemea matatizo nafsi zenyewe mpk muhue ndio muogoze
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 4 ай бұрын
Magufuli alikua anamchukia makamba kwa sababu makamba alijenga jina lake vzur nakutaka kua Rais na magufuli alikua hataki kuondoka madarakan
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 4 ай бұрын
Ikiwa Wizara ya Nishati aliishindwa Urais atauweza???? Mbinafsi sana yeye na Genge lake la Wahuni Nape, Riziwani n.k.
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Kwanini asiweze ?
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 4 ай бұрын
Mchumia tumbo huyo
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@Santzmediakidogo kilimshinda kikubwa atakiwezea wapi
@camilomassao8971
@camilomassao8971 4 ай бұрын
Wataiongezea serikali majanga tu, itakuwa shida juu ya mishida
@jumaatubu
@jumaatubu 4 ай бұрын
Ah story mzuri na Mungu amsaidie
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Na wewe
@masungamashauri4070
@masungamashauri4070 4 ай бұрын
Mwenye media ukosapo taarifa kaa kimya ni busara pia
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Shida yetu iko wapi mkuu??!!
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 3 ай бұрын
Huyo labda kwa wasambaa wenzake huko sio urais wa tanzania
@SmilingCells-gz4rk
@SmilingCells-gz4rk 3 ай бұрын
Chuki tu lakin january yupo vizurii sana
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Very nice comment
@MrA24G
@MrA24G 3 ай бұрын
Vizuri kwa lipi wewe unaesema yupo vizuri jenga hoja.Mfano magufuli tuliona kazi zake na seriousness yke tangu waziri jenga hoja tuelewe
@malembobulongo3856
@malembobulongo3856 4 ай бұрын
Kwanini usingekufa tu mwaka huo maana sio kwa ufisadi huu
@EdwardMaziku-td2li
@EdwardMaziku-td2li Ай бұрын
Inashangaza sana mtu kumupa sifa ambayo ukichunguza kiundani hana !!!!!.....
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 4 ай бұрын
Wivu na chuki za magufuli kwenye nafasi ya urais na kumchafua mungu amuongozo
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 4 күн бұрын
Anafaaa kwa sababu mabaya yake hatuyatambui
@ezekielmsemwa8194
@ezekielmsemwa8194 3 ай бұрын
Anatatumia nguvu nyingi kushawishi raia uongoz sio CV ya ulifanya nini, R. I. P JPM
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
🥺🥺🥺🥺
@charlesmpunga1161
@charlesmpunga1161 4 ай бұрын
Sioni ubaya akiomba nafasi yoyote hata Urais kwani ni haki ya kikatiba mradi sifa mama Mtanzania.
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Kwanza ninakupongeza Kwa kuleta idea chanya katika uwanja Huu wa mawazo pia Kuna wimbi kubwa la Watanzania haswa katika vizazi hivi ilo uliloliandika Hapo hawalifahamu , Zaidi wanabaki kuandika tofauti na mawazo husika .
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@Santzmediamwenyewe hajielewi ni sawa na wewe
@oiniletiaollesaitabau6048
@oiniletiaollesaitabau6048 4 күн бұрын
Anaumwamba gani huyo
@user-ei4gj1zx3d
@user-ei4gj1zx3d 4 күн бұрын
Kumbe shule yenyewe ya magumashi
@upgo6112
@upgo6112 3 ай бұрын
Ni upuuzi tu
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
😥😥😥
@user-ch8ly8lq8w
@user-ch8ly8lq8w 4 ай бұрын
Matapeli hao
@anthonywilliam6510
@anthonywilliam6510 4 ай бұрын
Uyu ndie raisi wetu baanda ya mama yetu kumaliza
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
🤓
@molenicharles9107
@molenicharles9107 4 ай бұрын
Maji taka tupu hayo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 ай бұрын
Ni mzalendo.Hakuzamia Marekani❤❤
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
🤝
@drkalokola5861
@drkalokola5861 4 ай бұрын
Hakuenda Marekabi. Alienda Mbizii kuchuma mafyoksi.
@mushumbusikappia1623
@mushumbusikappia1623 4 ай бұрын
Achana na Wasukuma. Wana Nia Ovu.
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
😂
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 4 ай бұрын
Hafai kabisa kua rais na hatakuja kua rais wa nchi hii.
@JacksonFrances
@JacksonFrances 4 ай бұрын
Kwahiyo Mtandao Wa Wezi Unaendelea Kushika Kasi Eti?"
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Kivipi?
@user-re3zo7ie5e
@user-re3zo7ie5e 4 ай бұрын
Huyu januari sio mwamba mwamba huwa hamishwi hamishwi ovyo ovyo kwenye wizara huyu anabahati basi alikotoga hivi majuzi tu wizara ya nishat kawekwa wizara ya mambo ya nje siasa ndio zinazo mlinda
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
😂😂 sio anaehanishwa ndio anaonekana kutatua shida z watu Vizuri 😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@Santzmediahuyo boga status shida gani
@tegezdomin8363
@tegezdomin8363 4 ай бұрын
Inchi imepotea kwahiyo mnampamba ili apendeze awe raisi hafai hata kidogo
@user-ow6vh6mz8u
@user-ow6vh6mz8u 3 ай бұрын
Makamba anafaa kuwa Rais
@TwahaMpakani-pn4ov
@TwahaMpakani-pn4ov 3 ай бұрын
Baba yke anafokea waandishi wa habar kisa kaulizwa seeikali kushindwa na swala la umeme hivyo huyo hastahili hata ukuu wa wilaya ataieweza nchi?
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
😂😂
@SimonEdward-kj3ez
@SimonEdward-kj3ez 3 ай бұрын
Alivyokuwa waziri wa nishati na madini umeme ulikuwa ni wa tabu
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
😂😂😂
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 ай бұрын
Jembe kama Jembe
@user-vs9wg5km6w
@user-vs9wg5km6w 3 ай бұрын
Nishati tu inakwama, akipewa inchi itakuwaje..?
@nikorasnyenge5940
@nikorasnyenge5940 4 ай бұрын
Urais atausikia tu mbwa huyu
@dicksondotto958
@dicksondotto958 3 ай бұрын
Makamba ni azina ya viongozi wazuri tulio nao sema anachukiwa kwa vile hakuwa sawa na mwenda zake. Ukiwauliza wote wanaomchukia wakupe sababu zakumchukia hawana point kabisa. Watawala wote wanamteua unadhani wajinga awaoni kitu pale? Ipo siku atatimiza ndoto zake.
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Good 🕊️
@user-nt6fb2ky3t
@user-nt6fb2ky3t 4 ай бұрын
Kama tunataka hii nchi iuzwe mchana kweupe watanzania tulogwe kumpa urais fisadi makamba
@NdageKitahama
@NdageKitahama 4 ай бұрын
Ni kweli January makamba hafai kumpa nchi itauzwa nchi tumpeni makonda anaweza
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 3 ай бұрын
Oooo
@mussaharun7257
@mussaharun7257 6 күн бұрын
Ni shaabiki wa Simba
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
Hizi ndizo sababu za Nape kutumbuliwa.
4:40
SEME MEDIA TV
Рет қаралды 4,9 М.
НИЧЕГО СЛОЖНОГО
0:21
KINO KAIF
Рет қаралды 3,6 МЛН
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 26 МЛН
ПОМОГИ РАЗБУДИТЬ ПИЛОТА 😱😱
0:16
ДЭВИД ЛАВА
Рет қаралды 4 МЛН
ToRung short film: i sell watermelon🍉
0:38
ToRung
Рет қаралды 12 МЛН