MZEE MWENDA AMCHANA MO DEWJI AONDOKE SIMBA/WAMEIBA KURA/ BABACAR SARR NI MLAINI/ NGOMA HAMNAKITU

  Рет қаралды 6,048

TimesFMTZ

TimesFMTZ

Күн бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 18
@idrisadjuma9322
@idrisadjuma9322 4 ай бұрын
HUYO NDIO KOLO MWENYE AKILI KATIK MPIRA PALE SIMBA
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 4 ай бұрын
Huyu kaka yuko sahihi 100%. Hakuna nia ya mpira kwa hawa viongozi wetu wa simba...... Ameongea hadi nimejisikia huzuni. Natamani Mo aisikie hii aamue kuondoka.... Hakika nitafurahi. Hakuna mhindi anayesupport mpira duniani.
@briantafari9224
@briantafari9224 3 ай бұрын
Mwenda kazi swaaafi 🇰🇪
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 2 ай бұрын
Uko sawa kaka mwenyekiti nae kawa upande wa muwekezaji
@chemstry409
@chemstry409 4 ай бұрын
MZEE MWENDA KAKUBALI KUWA NI MAKOLO WEWE NANI UKATAE.....HUYU NI MWALIMU WA MPIRA NANI MWANACHAMA KINDAKINDAKI WA MAKOLO...UNAZUNGUMZA UKWELI.....🙏🙏🙏
@sikujuahamisi7252
@sikujuahamisi7252 4 ай бұрын
Namkubali sana mwenda
@abdoulkarenzo3138
@abdoulkarenzo3138 4 ай бұрын
Thankk
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 4 ай бұрын
ISHI KWA KILE UNACHOKIAMINI USIHISHI KWA AKILI YA KUSHIKIWA MKUU
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 4 ай бұрын
Mashabiki maandazi huwa hawataki kusikia kitu wasichokipenda, hata kama ni kweli mno.
@dawdyhassan3875
@dawdyhassan3875 3 ай бұрын
Kwa kweli sijawai comment ktk mambo haya lakini huyu jamaa kanifanya niandike hili Naanza:hata mm nimeshamsikia Mo mara kadhaa akilalamika kitu ambacho siamini kama vipi si asepe.
@user-if9mg6ou7r
@user-if9mg6ou7r 4 ай бұрын
Mjomba sema na njaa yako wakati sio huu halafu usijidanganye weye hunauwezo wowote familia yako inakushinda kuilisha
@emiliuskifigo3062
@emiliuskifigo3062 4 ай бұрын
Je kabla hajaja Simba Simba ilikuajee?
@edwindavid7037
@edwindavid7037 4 ай бұрын
List yenyewe ya siku hiyo kaikosea, hajamtaja Rashid Abdallah aliekuwa gumzo la mechi
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 3 ай бұрын
Mashabiki wengi wa simba ni mataahira kama ww.Kwa hiyo hoja yako ni nn?Kifupi ww ni punguani
@edwindavid7037
@edwindavid7037 3 ай бұрын
@@yakobokuzenza6837 Naona unazungumza kwa kutumia masaburi wewe na huyu kichwa boksi mwenzio
@jurdanforwardersltd1460
@jurdanforwardersltd1460 3 ай бұрын
ramadhani reny amemwacha pia ,fikiri mechi ile akucheza.
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 4 ай бұрын
MAVI YAKE ANASHINDWA KUYAENDESHA NJAA INAKUSUMBUA UKIFIKA KIPINDI CHA USAJIRI LETA PROO MKUBWA PALE SIMBA HATA MMOJA PALE SIMBA KISHA VIONGOZI WAMKATAE MPUUZI WEWE
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 190 МЛН
MZEE SAID: WACHEZAJI WALINDWE | MSIMU UJAO VIKOMBE | AZIZ KI KABAKI?
24:46
KIMENUKA: HANS RAFAEL vs JEMEDARI SAID/ HII NI BALAA
21:57
Crown Media
Рет қаралды 71 М.
Спит с ОТКРЫТЫМИ ГЛАЗАМИ! 😱😴
0:25
Взрывная История
Рет қаралды 5 МЛН
Дымок или Симбочка?? 🤔 #симба #симбочка #mydeerfriendnokotan
0:19
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 2,2 МЛН
как попасть в закулисье в schoolboy runaway
0:51
La emociones de Bluey #歌ってみた #bluey #burrikiki
0:13
Bluey y BurriKiKi
Рет қаралды 15 МЛН
He understood the assignment 💯 slide with caution x2
0:20
Carlwinz_Official
Рет қаралды 25 МЛН
Дымок или Симбочка?? 🤔 #симба #симбочка #mydeerfriendnokotan
0:19
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 2,2 МЛН