MZEE MWENDA: ANAYESEMA CHAMA KAZEEKA ANA KANSA YA UBONGO/ MO DEWJI ANATUONAJE SISI?

  Рет қаралды 34,819

TimesFMTZ

TimesFMTZ

9 күн бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 90
@mwamvuarashid290
@mwamvuarashid290 6 күн бұрын
Huyu teacher mwenda huwa namwelewa sana Simba mnafeli wapi watu Kama Hawa walitakiwa ktk kamati ili kuwashauri
@user-bi8hr3nu6g
@user-bi8hr3nu6g 7 күн бұрын
❤nimekuelewA mzee mwenda
@avitusmichael5
@avitusmichael5 6 күн бұрын
Mzee mwenda unaujua mpira vizuri
@user-sm6mq1du3c
@user-sm6mq1du3c 7 күн бұрын
Dah mzee wang nakuelewa
@hafidhkikocho9161
@hafidhkikocho9161 7 күн бұрын
mzee baba nimekuelewa sana
@HenryMnungu-kj2hr
@HenryMnungu-kj2hr 2 күн бұрын
Huyu mwenda kumbe ni mwendawazimu Kwa kirefu... Mara zote alikuwa akimponda chama.... Leo amekua mzuri...
@nurdinngalo-hj1ow
@nurdinngalo-hj1ow 4 күн бұрын
Kaongea point sana simba wana tajiri ila tajiri wao ni janja janja
@EnockKombolela
@EnockKombolela 3 күн бұрын
Mzee mwenda nakuelewaga Sana Mzee wangu hongera
@MotibaMashana-hv3tf
@MotibaMashana-hv3tf 7 күн бұрын
kk mwenda nisameeeee naumia mm natamani kujitoa roho hv chama wapi ubovu wake katusaidia mangapi au siasa ya mpira wetu
@briantafari9224
@briantafari9224 20 сағат бұрын
Mzee Mwenda wapashe...
@user-oz4gz8kq9e
@user-oz4gz8kq9e 6 күн бұрын
Mwenda uko vizuri sio kama hao mshabiki wengine matako wa Simba wasio na akili Chama kaisadia Simba robo fainali klabu bingwa mara zote.
@MussaHajikimwaga
@MussaHajikimwaga 4 күн бұрын
we msenge acha kututukana sawa mpuuzi tatizo la mwenda ni mtu flan anayejiona ni Bora kuliko wengine kwanza siyo mchambuzi naona amekuwa maarufu Kwa kuitwa kwenye hizo midia bas anaongea vitu hata havieleweki
@MotibaMashana-hv3tf
@MotibaMashana-hv3tf 7 күн бұрын
upo vzr mwenda
@charlesmkisi8052
@charlesmkisi8052 4 күн бұрын
Mzeee mwenda 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@yummaskitchen6167
@yummaskitchen6167 7 күн бұрын
Mwenda unaongea fact Sana
@elgringo8592
@elgringo8592 7 күн бұрын
Kweli mzee mwenda ukoo wa fisi ule😅😅
@Sukuma_Tv
@Sukuma_Tv 7 күн бұрын
Mzee Mwenda unaongea ukweli mtupu mzee wangu
@user-cu8dm6eh3g
@user-cu8dm6eh3g 3 күн бұрын
Wewe mwenda mnafiki Sana ulimkataa Chama lkn leo umebadilika kumbe wewe uongo kweli
@obedyjohn5350
@obedyjohn5350 3 күн бұрын
Mzee baba wew unajua uongo dhambi
@nicodemusmemba1402
@nicodemusmemba1402 6 күн бұрын
Tz,80% wanasema Uongo
@DidasiJuma
@DidasiJuma 3 күн бұрын
Huyu mzee Mwenda ni hazina ya Taifa, nchi yetu imejawa na waongowaongo wengi,ila mzee kanyooka
@user-vm4zq7kf4e
@user-vm4zq7kf4e 3 күн бұрын
Nakuelewa kamanda mwenda
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 6 күн бұрын
Kweli wew mzee choko kweli hata wew ulisema chama mzee kwani chama sio mzee ana miaka 26 au miaka selasini na mbili chama mzee Tena chiba
@user-qo6bk1zs8m
@user-qo6bk1zs8m 2 күн бұрын
Unahishi kwa maneno tu ukimaliza ongea sema unatoa sh ngapi usaidie usajili maneno haya acaunt we mzee vp hatutaki32 plas
@hafidhkikocho9161
@hafidhkikocho9161 7 күн бұрын
mzee unaujua mpira
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o 6 күн бұрын
Weeeeengiii makorooo wanaumiaaa rohonii iraaaa wanajikazaaa chamaaa yureeee kwaa wenyee akiriii yaaa sokaaa 😅😅😅😅
@simbamaduhu1600
@simbamaduhu1600 2 күн бұрын
Nyie ndo mna kansa ya ubongo
@KhalfanSeleman
@KhalfanSeleman 4 күн бұрын
Tatizo huyu nae mnafki alikua anamsema vibaya chama kwamba chengayake moja sasaleo kageuka nenda na midevu yako muongo mkubwa
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 4 күн бұрын
😂Yaani pale anapotamka "Kajanja Kajanja" badala ya Kanjanja Kanjanja'mi ndo Huwa enjoy sana😂😂😂
@H3s4d
@H3s4d 3 күн бұрын
Wewe ni Simba. Au ni Nani?mwache aseme ukitaka mtu afanye. Vizuri usimsifie
@NondoRamadhani
@NondoRamadhani 3 күн бұрын
Mwenda nakukubali xana kea kuongea ukweli na kulichambua soka
@user-yf3tw7cq1s
@user-yf3tw7cq1s 3 күн бұрын
huyu jamaaa mwenye madevu mnafiki Sana alishawahi kusema chama mungu wake ni mfupi Leo hii anaongea pumba
@leusissa3855
@leusissa3855 2 күн бұрын
Mwenda acha kuishi kwa kukariri klabu haiwezi kuishi kwa kumtegemea mchezaji mmoja na hasa km ni kirusi. Simba ipo miaka 88 iliyopita chama hakuwepo. Katulie acha viongozi wafanye kazi yao. Simba imepoteza ubingwa misimu mitatu mfululizo kwani chama alikuwa anacheza timu gan km co simba? Ww ni chawa tu hujui mpira unahitaji nn zaidi ya mizengwe MWENDA
@BeniYaredy
@BeniYaredy 3 күн бұрын
Levo posho alikuwa hapat subilia utampenda
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 2 күн бұрын
sauti za mamlaka izo..😊
@MusaDadi-pd3jd
@MusaDadi-pd3jd 6 күн бұрын
Ww mzee itakuwa unavinasaba vya kiutopolo. ww ndo ulikuwa unalala sana kuwa chama ni mzee aondoke sasa ameondoka unalala tena na kumuita alikuwa mfalme wa simba
@MotibaMashana-hv3tf
@MotibaMashana-hv3tf 7 күн бұрын
kwnn hushauri hayo mabwege kocha
@user-st8hd9iq4o
@user-st8hd9iq4o 4 күн бұрын
HUYU NI MSENGE YYE NDIO ALIKUWA WA KWANZA KUSEMA CHAMA AMESHA ZEEKA ADOKE LEO ANASEMA VINGINE ZEE HOVYOO
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l 4 күн бұрын
Huu ni mpira sasa mlitaka MO afanyeje wakati chama anahogwa na injinia ili afanyevibaya ktk timu kwani mo alokuwapo, mambo hayo anayajua try ageni na mangungu, wakati wakina firi na baleke wanambiwa kuwachwa mo alikuwepo,? Leo hao wabovu wanarudi ktk timu zingine kwa mlango wa nyuma leo tunawaona kwani mo kafanya yeye?, walaumu miroho ya pesa wapewa madaraka
@MashakaAthumaniAthumanimashaka
@MashakaAthumaniAthumanimashaka 2 күн бұрын
Unamwelewa Ww Huyu Alikuakiongozi Simba Alishindwa Mwanamichezo Nasimba Ililiwatimua Ndomaana Munagub Kambali N Ww Kulamilalamika Uwezo Wakuwashauri Unao Ww Namchome Wanabif Nanatajiri Asogezwe Karib Taftapesa Achannampira Maana Unahasira Simba Wala Siyako
@DaudLucas-qj3mp
@DaudLucas-qj3mp 3 күн бұрын
Hata wewe unasema chama Kwa sasa nibola tunakuona hauna hakili.
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 5 күн бұрын
Watu vigeugeu sana.
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h 3 күн бұрын
Acha uchizi we mzee unachangia nn kwenye simba? Hata jezi huvai,kaa kimya
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 4 күн бұрын
Unakuwa kama kila kitu unalalamika eleza vitu vizuri
@ibrahimjames1464
@ibrahimjames1464 6 күн бұрын
Mwenda huyu huyu kwa masikio yangu nilimsikia akidai simba wachezaji wote wafukuzwe wamechoka akiwemo na Chama. Leo amegeuka tena. Acheni timu itengenezwe. Kuondoka kwa mchezaji mmona haina maana timu imeharibika. Unachanganya wasioelewa mambo wewe mzee
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 4 күн бұрын
Huyu jamaa kuna vitu anaongea sawa ila huwezi kila wakati unaponda tu kila kitu
@sangaelly8548
@sangaelly8548 4 күн бұрын
Mzee Mwenda sisi sio wapumbavu mpumbavu mwenyewe
@sangaelly8548
@sangaelly8548 4 күн бұрын
Wewe umefanyia nini simbaaaaa?
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 6 күн бұрын
Mashabi bora mnaongea😂
@user-bi9xu6ix2o
@user-bi9xu6ix2o 4 күн бұрын
Hana hoja huyu atuache kidogo
@MotibaMashana-hv3tf
@MotibaMashana-hv3tf 7 күн бұрын
sole kochi mwenda nisamee
@hajiseleman-un8so
@hajiseleman-un8so 2 күн бұрын
Sasa ww broo unaisaidia nini simba kama ww unauchungu kwanini usigombee uongozi alafu ufanye hayo unayo ya sema yani hawa hawana ponti
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 5 күн бұрын
Tumepigwa sana yanga wataleta kombe.
@allyrashid9191
@allyrashid9191 4 күн бұрын
We chizi sana
@allyrashid9191
@allyrashid9191 4 күн бұрын
Huyu bwanake azizi kii kumbe mimba hiyo inakusumbua
@revocatusmalimi4525
@revocatusmalimi4525 6 күн бұрын
Ufalume wake ulikwisha kiyambo ndiyo maanaisimu mtatu hajasaidia timu.Kwanza wewe hujui mpira au hufatilii uwezo wake unakurupuka tu
@allyrashid9191
@allyrashid9191 4 күн бұрын
Chizi
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 6 күн бұрын
Tatizo lako chuk yako na viongozi wa Simba ume ifanya iwe season mbona wenzio sasa ivi Wana maelewano acha shiriki bhana
@awalutibiita9650
@awalutibiita9650 7 күн бұрын
Wew so shabiki wa Simba wew ni mnafki akuna shabiki wa timu anaisema kwa maneno km hy ❌❌❌❌❌
@user-hn3oz7xu1z
@user-hn3oz7xu1z 7 күн бұрын
Penda kusikia ukweli
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 күн бұрын
@awalutibiita usiwe kama kina Kisugu Mzaramo Pass millions Kuisemea Simba vzr kwa kupewa posho na jez za bure atakama timu ni mbovu kosoa
@MussaHajikimwaga
@MussaHajikimwaga 4 күн бұрын
we utopolo usituchanganye toka huko wewe siku zote unaizungumzia simba kwa hasi unatumia nguvu zako bure we mzee choko sana sijui unataka madaraka au ulinyimwa hizo siasa mpira pesa wewe unanini
@user-vm4zq7kf4e
@user-vm4zq7kf4e 3 күн бұрын
Maku sana wewe😂
@proisolution7166
@proisolution7166 Күн бұрын
wewe hawa jamaa OKWI aliposajili YANGA,walisema ana ukimwi ndiyo maana alikuwa hataki kwenda Ulaya na hii taarifa mimi aliongea kocha wao mwenye mdomo tulikuwa ofosi ya friends of simba ,so simba mapoyoyo tu halafu wana chuki na umbea.
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 6 күн бұрын
Ukiangalia usajili wetu simba wanasajili wachezaji ambao Hata timu zao ni ndogo tu
@MotibaMashana-hv3tf
@MotibaMashana-hv3tf 7 күн бұрын
mwenda ww zuzu mlikuwa mnaixhi na mgonjwa kwa taaluma yako ndo maana huna timu juzi tu ulituaminisha ujinga wako chama hawezienda yanga leo unajichoma dole gumba km juha kweli sisi mbumbu
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 7 күн бұрын
Huwezi kumuelewa kama ulianza kupenda TIMU baadaye MPIRA kama wewe! Jifunzeni kukubali ukweli sio kupiga kelele tu wakati timu inazidi kupotea baadaye muanze kulalamika mkishika nafasi ya 5.
@avitusmichael5
@avitusmichael5 6 күн бұрын
We mbwa tulia huna akili, mwache mwenda anajitambua
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w 5 күн бұрын
Sure​@@reinfridlipili5666
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w 5 күн бұрын
​@avh😮itusmichael5 Hakika
@vaxminja9053
@vaxminja9053 4 күн бұрын
Mwende hajawahi kusema kwamba Chama hataenda Yanga.
@ibrahimjames1464
@ibrahimjames1464 6 күн бұрын
Mwenda naye ni wale wale. Alikuwa anapiga kelele simba imejaza wazee leo tena kabadilika. Kwani yeye ni coach wa timu gani hapa Tanzania? Hata huko champions league sidhani kama ana timu. Acheni simba itengenezwe upya. Manachanganya watu tu hapa. Siasa tu huna lolote!
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 6 күн бұрын
Kama weweninmshabiki wa chama neeeeenda kahamie utopolo mzee unagojaa nini
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 6 күн бұрын
LAU SIMBA MUNGEJUA MO ANAVYOKERWA NA HIZO KERERE ZENU KWA MZEE MANGUNGU NA TRY AGAIN MUNGENYAMAZA..HAO WAZEE MANGUNGU NA TRY AGAIN MO KAWAWEKA YEYE...ALAFU ETI MANGUNGU KAGOMA KUJIUDHULU KAKWAMBIA NANI ? UJUE HUYO MZEE MANGUNGU NA TRY AGAIN NA MO LAO MOJA.. SIMBA AMNA JICHO LA TATU ?
@waziribori2280
@waziribori2280 6 күн бұрын
Hili halijielewi ni njaa na wivi ajiulize SIMBA YA NGAPI RANK YA AFRIKA?
@musamagulu2023
@musamagulu2023 6 күн бұрын
Matako kweli wewe. Hivi wydad ni ya ngapi Africa? Je imefanya vizuri?
@user-mw6ym2vr9f
@user-mw6ym2vr9f 4 күн бұрын
Kwahiyo yeye mwenda alitaka chama afie simba😢😢,au azekee simba😢😢 ,aache ujuaji sana
@januarysungura8119
@januarysungura8119 7 күн бұрын
Ronaldo aliondoka madrid akiwa anahitajika , mayele ameondoka yanga akiwa anahitajika, acha tuandae timu yetu bwege wewe ,si ungekuwa hata na timu hata ya daraja dogo tu wewe ,kila wakati hukubaliani na moo wakati wachezaji walikuwa hawajitumi akiwemo chama leo anamuacha unashangaa au unataka turudi nyuma .kaa pembeni muache moo afanye kazi wewe mwanakaizaya mpumbavu ni wewe
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 7 күн бұрын
Mbumbumbu
@user-bi9xu6ix2o
@user-bi9xu6ix2o 4 күн бұрын
Chukua hii jiulize wachezaji wote duniani wakiona umri umekata huwa wanatafuta timu ndogo kwenda kupumzika Simba ni kubwa sana acha akapumzike huko,
@Ommyblacktz13
@Ommyblacktz13 5 күн бұрын
Mchaga huyu hajui boli kabisa
@nurdiniabdillahi3558
@nurdiniabdillahi3558 7 күн бұрын
Wewe na kansa ya hakili
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 7 күн бұрын
We mzee huna akili waache viongozi wa boleshe kikosi kama unataka nawewe nenda kujiunge na hao utopolo
@user-it7jz4fc6q
@user-it7jz4fc6q 7 күн бұрын
Mwenda nakumbuka ulishawai kusema chama ameisha afukuzwe simba leo unalalamika
@BeniYaredy
@BeniYaredy 3 күн бұрын
Haji nyie wajinga hampendi kuambiwa ukwel
@januarysungura8119
@januarysungura8119 7 күн бұрын
Hili jinga kweli kwaiyo misimu hii wewe umetoa nini?
@avitusmichael5
@avitusmichael5 6 күн бұрын
We kauze nyuma mpira huujui
@sevelintino6181
@sevelintino6181 7 күн бұрын
Weee s ulisema chama kazeeka acha hizo mzee
@audaxkasindo9016
@audaxkasindo9016 6 күн бұрын
Mwenda ubongo wako aupo sawa unakumbuka wewe ulisha sema chama kazeeka kama umelipwa kuchafua Simba
@Ommyblacktz13
@Ommyblacktz13 5 күн бұрын
Mchaga huyu hajui boli kabisa
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 19 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
MO DEWJ ATAJWA KWENYE SAKATA LA AZIZ KI SIMBA/ WACHUKIZWA NA PROPAGANDA
14:51
Cậu bé tốt bụng khi có người anh tốt | 111
1:01
Ông Lùn Vlog
Рет қаралды 7 МЛН
Heavy package 🤭🤣 #demariki
0:25
Demariki
Рет қаралды 2,6 МЛН
Не трогайте эту ВОЛОСАТУЮ ШТУКУ! 😱
0:24
Взрывная История
Рет қаралды 5 МЛН
Мужчина С Золотыми Руками 💪
0:42
EpicShortsRussia
Рет қаралды 2,5 МЛН
Зря они облили полицейскую водой...😂
0:25
When dad sneezes 😱😵‍💫 LeoNata family #shorts
0:26
LeoNata Family
Рет қаралды 4,6 МЛН