Mzee Saidi pamoja na machungu ya kutoshinda lkn ukweli umeongea maneno kuntu !,mazuri inafaa kuigwa japo inauma kwa moyo,msifarakane ni ushauri mzr umeongea !,safi sana Mzee Said.
@ferickkalengela44513 ай бұрын
Mimi ni shàbiki wa Yanga kwa Hilo uko vizuri sana kisoka Hongera
@Mari89wx3 ай бұрын
Mzee saidi unasema ukweli kila mara 👍🏽
@RabsonSalmon-ys7bf3 ай бұрын
Safiiiiiiii🎉🎉🎉🎉
@AbdallahMalunga3 ай бұрын
Umesema kweli sana kama kuna watu hawakupendi ipo siku watayakumbuka maneno yako mazuri yaliyojaa busara na hekima.
@davidbaragi10833 ай бұрын
Mzee Saidi, unaongea kwa uchungu sana ila Simba mkubali kufungwa tena na Yanga mechi ijayo
Wakati Simba mnajenga TIMU na wengine wanasubiri basi.
@NiksonLyimo3 ай бұрын
Wakati huo sisi tumelala au sasa ndio tunajipanga zaidi maboresho tutakayoganya januari utalia mzee said
@MawazoWilliam-g9l3 ай бұрын
Yaani hawa wanao mbishia Mzee saidi anayo ongea ni mabumbu hawa juwi mpira kazi yao kulalamika tu , ubaya ubwela Hana uwezo wa kushindana na yanga kwalite yao Bado nyuma mwiko mpira wa moto kaa mbali.
@LucianaSintufya3 ай бұрын
Mzee saidi siku hizi unamisifaa hao wazamini uliowapata wanakufanya unaongea mpaka unachanganyikiwa harafu wako mbele kukusapoti, kumbe ulikuwa unatafuta aarufu,
@MohammedJuma-d2w3 ай бұрын
Mzee said unatafuta jambo simba na mashabik uclete habari ya manual kill mshabik w simba anajua nn kilichoendelea kwake bora unyamaze
@mirajiali39263 ай бұрын
Simba washafungwa mara tano na yanga miaka tisini mara ya sita walikuja uwanjani hawakurudi kipindi na mwisho walikwenda kuchoma moto nyumba ya marehemu aliyekuwa mwenyekiti wao juma salum
@AzhadSaid-j1t3 ай бұрын
Hahaha mzee said asnte
@HasaniKitumba3 ай бұрын
Ww mujimga mzee masatu mpubafu unaogea ujimga tu kwa ww ni kichaa ww huoni mpira ulikua unatuka karudisha mpira dani masatu isikibilie maiki wew nijimga
@GodfreyMwamaso3 ай бұрын
Mjinga -mjimga jifunze kuandika kiswahili
@BahatiLaswai-q6c3 ай бұрын
Mzee uko vizuri
@RehemaMwakisyala-k9u3 ай бұрын
Huyo mzee anaongea point sana ila sema watu tumejaa. Ushabiki wa kijinga
@RashidHamis-o6w3 ай бұрын
Yanga inaongozwa na viongozo wa nchi walio juu wao wakisema basi hakuna kupinga
@josephgalandu1283 ай бұрын
Kichwa chenyevi kimeona mengi
@chikundimsanga66263 ай бұрын
Simba msichanganye mpira na siasa
@fettiemaganza14843 ай бұрын
1991 yanga waliibamiza simba mara 4 mfululizo haya ni marudio tu
@ArabianDivaAyesha3 ай бұрын
Na Simba Ilibamiza Utopolo Mara Nane Mfululizo
@simonnjovu5863 ай бұрын
Mwaka gani huo? @@ArabianDivaAyesha
@yusufyusuf-br5qk3 ай бұрын
Makolo acheni short cut na janjajanjq yanga watawafumua mno,mpira mahesabu
@ArabianDivaAyesha3 ай бұрын
Sema Kamati ya uchawi.tunayo
@yusufyusuf-br5qk3 ай бұрын
@@ArabianDivaAyeshakwneye usajili ndio mnapigwa bt mtaelewa tu
@murshidyabdallah13563 ай бұрын
mpira wa kwenue na marefa wenu ndo maesabu ndo maana tutabaki kua juu Caf nyinyi mmezoea kubebwa . lkn jua champion akuna kayoko wasenge nyie
@YunusuKantangayo3 ай бұрын
Wewe Mzee Saidi uwe na akili ya kuzungumza Acheni Kumsema Kamara huyu Kamara ni kipa wa Kimataifa bado tunamhitaji kesho na kesho kutwa KAMARA OYEEEEE
@kelvinkumila47083 ай бұрын
kwan mzee saidi kamsema vibaya??? na yeye anamlaumu aliemsema vibaya ambae ni Magori