Hongera lisu kwa ushauri wangu sasa usimuongelee sana mboe kwa yaliopita
@hassaniyassin16862 сағат бұрын
nikweliiii, asiendelee kumkosoaa
@MaulidMjwiga-tb1zu2 сағат бұрын
Siyo mda mtamkataa wenyewe lisu ni mwehu na kibaraka wa wazungu pia asanteni chadema Kwa kumleta mwenyekiti mzee wa mashoga na chadema ni mashogo na lisu wenu mtaliwa sana
@JosephEmmanuel-eb7gjСағат бұрын
Acha ujinga
@mfaumeh.rissasi22657 минут бұрын
Haki tena.... Watanzania MUNGU ameamua kuwaletea fahari wawili na ndomana waligombana kwasababu hawakai zizi moja. JPM ameenda, sasa part 2 ni LISSU. Huyu awe rais tuhakikishe hilo
@dietrichoswald34Күн бұрын
Ushauri wa bure kwa Lissu ! Unapenda sana kuongea. Hiki kijiti ulichopokea, kinataka upotee kwa midia kwanza ujifunze na ujipange namna ya kukipeleka chama badala ya kuruhusu waandishi wakufanye uanike mipango kazi yako public wakati hujakaa na kamati kuu kuwa na input yao.
@daddynamombas3898Күн бұрын
Yeye anaombwa na waandishi ambao nawataka content kwajiri ya kuhabarisha jamii, kama hupend husifuatilie interview zake Ili nafsi yako itulie, au ngoja ukiwa wew mwenyekiti mzur ufanye hayo unayoyawaza
@DavidMamfere16 сағат бұрын
Huyu mnyika hafai ni Sawa ungemtoA Kwa hiyo nafasi huyo jama sio MTU sawa
@ShirimaBaltazarl-gc9wtКүн бұрын
Uyu ni chaguo la mungu
@OmarSeafoodКүн бұрын
Tunakuomba Mh lisu jenga chama wacha kumshambulia Mbowe katumia nguvu kubwa kukijenga chama chetu
@daddynamombas3898Күн бұрын
Yeye hampond, mbona mkuu wetu alikuwa anawachana watu hadharani mkasema mzarendo. Subiri wew uwe mwenyekiti ufanye kwa usahihi kwa ukamilifu wako Mana wew inaonesha hauna kasoro na Kila unafanya na kuongea hujawahi wakwaza watu, kama unafuatilia timu mbowe wanatweet Kila siku, Ila lissu kakaa kimyaa, yeye si mnafiki anaongea na waandishi, wanafiki wengi hupenda kuztumia status Whatsapp, kutweet etc.
@innocentisakala6179Күн бұрын
Basi waandishi next time muwe mnamuacha mtu amalize kujibu swali ndio muulize lingine msimkatishe
@MiningsitetzКүн бұрын
Good speech
@boazijailos2020Күн бұрын
Ila huyu jamaa ni mashine sana @lissu
@KbHazina-u4rКүн бұрын
Wewe ni mwamba haswaa😮
@maase202313 сағат бұрын
Huyu naona kama chadema bye bye
@MariamJeremia-u7eКүн бұрын
Achalia yote fanya kazi ,
@rebekakulwa6159Күн бұрын
Watu wa media wsnamfuata shida iko wapi
@geofreyanania1108Күн бұрын
Mm nakuelewa xana lkn Kwa sasa press zisiwe too much
@hajimnubi458120 сағат бұрын
Iliyobaki ni ya slaa ama msigwa
@davidfrank1644Күн бұрын
Jifunzen ku control saut hamuwez ku upload video saut zna makelel hivi kuwen serious
@amanduschilumba4015Күн бұрын
Sasa umeshakuwa Chair punguza mambo ya media baba cool down utaharibu sifa ya Chair anapoonekana kutaka kuongea all the world tremble
@daddynamombas3898Күн бұрын
Kwan kawaita, kama hutak usisikilize. Ngoja uwe wew mwenyekiti tuone HEKIMA zako. Mbona akina mbowe wanatweet daily hulioni Hilo fatilia speech za wassira utaelewa.
@YohanaJumanne-v3vКүн бұрын
Maridhiano unagharimia kiane uchaguxi na katiba utwexa ni 1 baada ya kingine acha uchaguzi upite mambo mengine baadae
@faiditv5535Күн бұрын
Hoja hainamashiko Lisu kulikuwahakuna sababu yakumkataambowe kwahoja izo vigezoivyo vyotembowe anavyo n
@edisonpeter3894Күн бұрын
Mbowe atakua mjomba wako siyo bure
@chosenfrank4286Күн бұрын
Magu style
@Lundege_HipsКүн бұрын
Hii chanal ya hovyo sauti haina
@SulePondaКүн бұрын
Magufuli huyu
@deusdeditishengoma4335Күн бұрын
Tindu Lissu siku zote na wakati wowote husema ukweli.
@KopiscoIsayaКүн бұрын
LISU siyo Mungu,kwanza nimuongo mno,ukishaona mtu anatamba Kilasiku kua yeye ndo muadilifu,Amedanganya watu wa chadema Kwa muda mrefu Adi akapata uwenyekiti Kwa ulagai, LISSU huna lolote,na Kwa taarifa Yako,hutaweza Chochote,utaua hiki chama mapema sana.Lema ni mwehu kama wewe LISSU hatushangai wewe kumchagua pamoja na Heche,wote ni wafyatukaji.
@danrappergangamaa1190Күн бұрын
Unateseka ukiwa wapi @@KopiscoIsaya Acha hard feeling mzee