MZEE SHAYO "MLOKOLE AKINENA KWA LUGHA HUKU ANAWAZA VIKOBA"😆 😂

  Рет қаралды 32,626

Yaliyojiri Online

Yaliyojiri Online

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@BabuWatanga
@BabuWatanga 6 күн бұрын
Hajasema neno baya huu ni ukweri mungu akubariki
@josephgalandu128
@josephgalandu128 6 күн бұрын
Nakuombea sama mzee wangu na wewe umpate Yesu,ubarikiwe
@JamesGiligita
@JamesGiligita 5 күн бұрын
Jamen leo kichomi kimebana 😂😂😂😂
@erasmuskwayu5643
@erasmuskwayu5643 3 күн бұрын
Huyu jamaa hatari sana
@ankaah1230
@ankaah1230 3 күн бұрын
Ibada ya kawaida ni za wenzetu sisi tunasali Ibada ya Misa Takatifu Ndomana ipo taraaaatibu haina kelele 😂😂😂
@carolinederi5690
@carolinederi5690 12 сағат бұрын
Misa takatifu ivi hamjui mwapotoshwa bible yasema vita zetu ni za kiroho uko apa ukijisifia misa takatifu ata kw bible sjakutana na neno Misa ... Polen na hao viongoz wenu vipofu
@gracemacha9357
@gracemacha9357 6 күн бұрын
Njaa mbaya sana,heri tuishi kwa kumtumaini Bwana.
@funliving-so9vz
@funliving-so9vz 3 күн бұрын
Je kagangua njaa yako kwa kumtegemea?
@mdeeboy846
@mdeeboy846 2 күн бұрын
Kuna watu wanajikuta wasaidizi wa Mungu hapa wanahukumu Kwani si kaongea ukweli 😂 Acheni ushamba na dini zilizoletwa na wakoloni😅
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 2 күн бұрын
MUNGU wangu 😂😂😂😂
@KareenSojo-ue1db
@KareenSojo-ue1db 10 сағат бұрын
i see my pastor tu apo pastor tonny
@ilambonabungubulihojr4983
@ilambonabungubulihojr4983 2 күн бұрын
Kwani kakosea nini,😂😂
@RafikimediaTZ
@RafikimediaTZ 4 күн бұрын
Mungu akusamehe nina hakika aujui ulitendalo. Usamehewe
@sarahcharles5645
@sarahcharles5645 4 күн бұрын
Nina shida sana na mtu anayetumia dini kufanya maudhui ya vichekeshooo,,,, especially kwa namna hii,,,,, Yani katika maudhui yote na mambo yote kwanini uchague mambo ya MUNGU 😢😢😢,,,,,,,, it's not right
@funliving-so9vz
@funliving-so9vz 3 күн бұрын
Kwann sio sahihi
@Maduga_gang
@Maduga_gang 2 күн бұрын
Kwani katukana
@ThomasDominick-x4m
@ThomasDominick-x4m 3 күн бұрын
Msikae mezani pa wenye mzaha,,waha watu wapoo tyu ili andiko litimie
@prothodommy
@prothodommy 4 күн бұрын
Usilete utani na ibada ya kikatoliki😅
@rosebaraka8406
@rosebaraka8406 Күн бұрын
Unaelewa ulichoamua kudhihaki? Badili uchaguzi wa mada zako. Uliposhika hapafanyiwi mzaha. Make wa Daudi alikufa tasa kwa kumdhihaki Daudi alipokuwa akimsifu Mungu. Bwana akurehemu usirudie
@banzimidauli4397
@banzimidauli4397 6 күн бұрын
Mungu akusamehe, sababu unaganga njaa!!
@Kibibistore
@Kibibistore 6 күн бұрын
Ukijua ni Comedy wala haikusumbui so tumeambiwa tule kwa jasho au
@charlesmazigo8106
@charlesmazigo8106 5 күн бұрын
Take it easy ni utani tu, haitaji kusamehewa, hajatenda dhambi yoyote
@funliving-so9vz
@funliving-so9vz 3 күн бұрын
Kwan kosa liko wap
@mdeeboy846
@mdeeboy846 2 күн бұрын
Akusamehe na wewe uliyeshiba
@erickemmanuel1593
@erickemmanuel1593 2 күн бұрын
Amekosea nn kamtukana mtu hapo Acha ushamba wewee usijafanye unajua dini sana
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 13 сағат бұрын
@PrinceMsoma
@PrinceMsoma 4 күн бұрын
Ukweli au hamtaki aseme
@AbdallaSaleh-f4e
@AbdallaSaleh-f4e 4 күн бұрын
2:08
@thomasbilingi7048
@thomasbilingi7048 8 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 unatesa vinyozi
@AbdallaSaleh-f4e
@AbdallaSaleh-f4e 4 күн бұрын
Kama ulivyoteseka kuipata hela😂😂😂
@thegreat.9869
@thegreat.9869 4 күн бұрын
Commenents nyingine za kinafki...
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 8 күн бұрын
Masikini anamtesa kinyozi na kinyozi nao ni masikini Tena hapo sasa 😂😂😂😂😂
@AnneHarold
@AnneHarold 7 күн бұрын
Matayo 10??? Kasome Mathayo 12:31-32, kisha zidi kuchekesha watu,
@mussadwese
@mussadwese 7 күн бұрын
Sasa hapo amekufuru nini?
@Kibibistore
@Kibibistore 6 күн бұрын
Wafia dini hao 😂😂 ​@@mussadwese
@florencemeza6540
@florencemeza6540 8 күн бұрын
Mzee shayo umenichekesha
@rosemneney3244
@rosemneney3244 6 күн бұрын
Mungu anachekesha??subiri kilio.chako mbwaa wee
@Mc_neneje
@Mc_neneje 7 күн бұрын
Huyu mzee ana stahili tuzo ..
@lucymkude4127
@lucymkude4127 8 күн бұрын
😂😂😂😂
@rachelcharles9219
@rachelcharles9219 8 күн бұрын
😂
@michaelelia7058
@michaelelia7058 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lilianjosephat9151
@lilianjosephat9151 7 күн бұрын
😂😂😂😂🎉
@winnienyari4329
@winnienyari4329 8 күн бұрын
😂😂😂
@priscakwannhamfungimipakam9231
@priscakwannhamfungimipakam9231 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 күн бұрын
😂😂😂😂
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
MZEE SHAYO AKIWASHA TENA MBELE YA MAKONDA MKESHA WA MWAKA MPYA.
3:33
Yaliyojiri Online
Рет қаралды 23 М.
JEMUTAI ALIVYOWAVUNJA WATU MBAVU MJINI ARUSHA || CHURCHILL SHOW
5:32
LISSU AMLIPUA VIBAYA MBOWE "NI MUONGO"
14:56
JAMBO TV
Рет қаралды 141 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН