Dah mwana anajua Sana hivi hana vichekesho vingine
@joelnyanja723410 ай бұрын
Very talented....very talented
@lowasameliyo4027 Жыл бұрын
Hahahahaaaa hiii ya mapreading umewahi kunikuta bna Niko advance ikaletwa ya mtaani kwetu, weee Cha kwanz nikaanza kutafuta kwetu, mito ya mitaaa😂😂😂😂😂😂😂😂 umenikumbusha mbaliii sanaaa
@aishahassan44124 ай бұрын
Hahaha sitaki nichek
@melinabenard93204 ай бұрын
😂😂😊
@mickdizleponera1191 Жыл бұрын
Jamaa punch zake cyo kali kaiviile,ila jamaa anajua jinc ya kuwasilisha,really talented
@CharlesNdeni-m8b11 ай бұрын
Duuh huyu jamaa ni hatari sana😂😂
@noelamtesigwa6819 Жыл бұрын
Kim Jamaal 😂😂😂igweee🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣
@AmosMbwambo-up3ks Жыл бұрын
Aseee uyu mbna hafananiiiiii na anachokitoaaaa......nmemuona wakawaida mwanzo lakiniiii mhhhhh
@BRAYTONFREDINA Жыл бұрын
😅😅😅jamaa anajua hata mm ilinitesa saña enzii enzoo
@reubenmajambo12709 ай бұрын
😂😂😂
@deeh73224 ай бұрын
Ila huyu jamaa kanikumbusha mbali sana 😂😂😂 mambo ya Geography
@cryptokona6 ай бұрын
Upo vizuri mkuu. Hongera sana
@mbezijumaomar810 Жыл бұрын
Hii tayar sioo🤣🤣 ukaharibu kazi😂. Sema unajua sanaa mwanangu