#MZEE

  Рет қаралды 28,097

Mzee wa upako

Mzee wa upako

3 жыл бұрын

JUMAPILI HII USIKOSE KONGAMANO KUBWA LA DUA SALA NA MAOMBEZI LITAKALO AMBATANA NA VIFUNGO KUTAKUWA NA MAJI YA UPAKO NA MAFUTA YA UPAKO KWA UTIMILIFU UTAKAYO MALIZA UCHAWI NA MASHETANI MIKOSI NUKSI NA BALAA MAJI YA UPAKO HAYA YANA UWEZO WA AJABU NA PIA MAFUTA YA UPAKO YA UWEZO WA AJABU UKIAMINI KUSAIDIKA NI LAZIMA .KUFUNGULIWA NA MIUJIZA TELE. TUTAKURUHUSU UJE NA TATIZO AMBALO UTATOKA NALO USIOFU CHIEFMWANTEMBE AMEKUWA BARAKA KWA WENGI KATIKA ARDHIZI YA TANZANIA KWA MIAKA 37 SASA KUPITIA YEYE MUNGU AMEKUSA WENGI NI MZEE WA UPAKO CHIEF MWANTEMBE BISHOP ANTONY LUSEKELO HAYAA SHIME KANYANGA TWENDE WAKATI WAKO NI SASA. HATASHUGHULIKA NA MATATIZO YAKO BILA KUCHUKUA DINI YAKO. KWA MAWASILIANO 0754606082 KABLA YA KUPIGA ANDIKA SMS UTAJIBIWA KWA WAKATI. Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za KZbin Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

Пікірлер: 45
@adieljoshua640
@adieljoshua640 Жыл бұрын
Yaan katika siku zote leo umesema ukweli mtupu safi sana Mzeee urud kwenye mstari sasa
@matukioyasikuzamwisho7653
@matukioyasikuzamwisho7653 2 ай бұрын
Amen mtumishi
@revombenmwakwenda6006
@revombenmwakwenda6006 Жыл бұрын
Doctrine safiiiii sanaaaa yani uko wapi sasa Mzee Ludi tumuhubiri Yesu
@revombenmwakwenda6006
@revombenmwakwenda6006 Жыл бұрын
Huu ni wakati wa Injili ya Kweli kuwafikia watu wote nimeuona Moyo wa toba ya Kweli ndani Yako mzee Ludi mtumikie Mungu Kwa kweli
@nasibuntegimisi1384
@nasibuntegimisi1384 Жыл бұрын
Unaanza kuja Mzee hapo sawa
@bonifaceshayo4747
@bonifaceshayo4747 Жыл бұрын
MZEE WA UPAKO LEO UMENENA MAZITO SANA MUNGU AKUBARIKI SANA
@JosephSimiyu
@JosephSimiyu Жыл бұрын
Amina Barikiwa mtumishi
@josephandrew3444
@josephandrew3444 2 жыл бұрын
Uko sawa sana mtumishi
@masindemagee9603
@masindemagee9603 Жыл бұрын
Wewe mzee wa upako mda mwingine unaongeA point mda mwengine unavuruga watu
@christophermkundi5884
@christophermkundi5884 3 жыл бұрын
Mzee upako rudi kwa yesu Freemason wakatae
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Ukiwa hujavurugwa unaongeaga point Japo sio yote mabaya haya makanisa ila km ulivyosema watu wawe makini
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
😂😂.Nampenda mze wa upako mkweli na muwazi mtupu.
@grantmwakalambile7597
@grantmwakalambile7597 3 жыл бұрын
Nmekuelewa sana
@RJurumboRJurembo-df5uv
@RJurumboRJurembo-df5uv 10 ай бұрын
Amen,amen amen
@MalogosimonLelisah-er6rj
@MalogosimonLelisah-er6rj Жыл бұрын
Mtumishi wa YESU A,LUSEKELO BWANA YESU Akubariki mnomno kwa mara ya kwanza nasema uwe na wakati mwingi wa kumtumikia YESU SEMA ukweli tu yaani matapeli Ni weeengiii BRKW na YESU
@irenedamiano9072
@irenedamiano9072 Жыл бұрын
Hakika mchungaji sema ukweli tupone
@ndetitave466
@ndetitave466 11 ай бұрын
Amina
@anethgeorge
@anethgeorge Жыл бұрын
Ubarikiwe
@lusubilomwasandube5563
@lusubilomwasandube5563 Жыл бұрын
Balikiwa sana
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 Жыл бұрын
Ukiwemo na wewe mwenyewe soma MATHAYO 10 : 8
@hassanrashid8182
@hassanrashid8182 Жыл бұрын
Ndo ulisema Yesu sio kristo sio mkristo
@hassanrashid8182
@hassanrashid8182 Жыл бұрын
Lusekelo amejiunga Freemason kitambo hapo anajiosha tu
@user-xe3fo1bh5s
@user-xe3fo1bh5s 8 ай бұрын
Safi sana mzee ubarikiwe
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 Жыл бұрын
yani huyu jamaa hua anaongea uwaz kweli
@saidimpako5186
@saidimpako5186 2 жыл бұрын
Wanyooshe baba
@mhidinathuman2398
@mhidinathuman2398 2 жыл бұрын
Shetani akizeeka anakuwa malaika
@stivutitus963
@stivutitus963 2 жыл бұрын
Ajinyoosh mwenyew fl2
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 Жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU Pekee ndiye anastaili kuitwa BaBA sababu ndiye aliye tuumba please
@mohamedmahmudali9346
@mohamedmahmudali9346 Жыл бұрын
Iko wapi part 2 🙄
@hassanrashid8182
@hassanrashid8182 Жыл бұрын
Mungu bado anatuma wewe
@stivutitus963
@stivutitus963 2 жыл бұрын
kumbe atamm nikianzish kansalang napata wjng
@Sppah697
@Sppah697 Жыл бұрын
Kwanini mmeweka au kuabidu bendera ya israeli!
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anajidai anawasema manabii wa uongo wanachukua pesa za watu wakati yeye mwenyewe kashachukua pesa zangu hivyohivyo alafu analeta unafiki
@oliversimpliskimariokimari3510
@oliversimpliskimariokimari3510 2 жыл бұрын
Alichukuaje jmn
@mosesmaiga7408
@mosesmaiga7408 2 жыл бұрын
Mapunda alichukua shilingi ngapi Mimi nikurudishie kwaniaba yake
@T.H.P.C
@T.H.P.C Жыл бұрын
Petro alienda Asia sio ulaya
@rev.harunichaula6509
@rev.harunichaula6509 Жыл бұрын
Ndugu injili siumeilewa ,kuna haja yakukosoa tena? Kinachotakiwa usikie injili na ikuponye,basi.
@kinyaemulei-cx4dx
@kinyaemulei-cx4dx Жыл бұрын
Ulaya mashariki zamani iliitwa Asia ndogo.
@broeliya
@broeliya Жыл бұрын
Wahubiri wenyewito mnakikwazo kimoja, kutegemea theologia na historia zaidi ya Ufunuo wa Neno,... Mfano Mtashangaa sana kwamba Kwenye Biblia nzima hakuna Mtu aliyebatizwa kwa Jina la Baba Mwana na RohoMtakatifu, Ila nguvu ya Theologia imewafanya wengi leo wabatizwe isivyo. Na wanadhani wako sawa..
@matukioyasikuzamwisho7653
@matukioyasikuzamwisho7653 2 ай бұрын
Unaongea ukweli sana, nitakuja kanisan kwako ,mm ni msabato,nimekuwa mfatiliaji wa mafundisho yako mengi, unasema ukweli mtupu
@christophermkundi5884
@christophermkundi5884 3 жыл бұрын
Umekuwa mtumishi was shetani kwa muda mrefu rudi kwa yesu ukifa uende paladiso
@maysamwel1221
@maysamwel1221 Жыл бұрын
Achaeni Mungu aitwe Mungu,jivue mrudie YESU
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 379 М.
MAKRISTO WA UONGO NA MANABII WA UONGO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:13
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 8 М.
UKRISTO NA POMBE
4:25
Mzee wa upako
Рет қаралды 21 М.
MAZINGE NA MCHUNGAJI
18:15
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 64 М.
SIRI YA MAFUTA NA MAJI YA UPAKO | MZEE WA UPAKO
19:21
Mzee wa upako
Рет қаралды 51 М.
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Issack Mzava
Рет қаралды 1 М.
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН