MZEE WA UTOPOLO ACHAFUKWA NA KAGOMA DAY, HAWAENDI MAKUNDI

  Рет қаралды 6,489

Ngwale Sports HD

Ngwale Sports HD

Күн бұрын

Kagoma day

Пікірлер: 24
@JastFinancial02
@JastFinancial02 23 сағат бұрын
Aya bana nipe like zangu nimekua wa kwanza ❤❤
@Menah-hz7jk
@Menah-hz7jk 23 сағат бұрын
Kila siku unakua wa kwanzaa
@Menah-hz7jk
@Menah-hz7jk 23 сағат бұрын
Hongera
@PaulHuncho-v3u
@PaulHuncho-v3u 6 сағат бұрын
pore sana mzee .
@NaziluRamadhan
@NaziluRamadhan 16 сағат бұрын
Kagoma day. Maana Yake siku hiyo imegoma. Hivyo mnaenda kulidhililisha taifa
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 21 сағат бұрын
Utazika sana kwa akili hizo kweli we utopolo 😂
@DanfordSimon
@DanfordSimon 20 сағат бұрын
😅😅
@charlesnzenga4681
@charlesnzenga4681 10 сағат бұрын
Huyu jamaa anaishi kimchongo sana hapo mjin kumbe ombaomba😂😂
@WakiliAbasi
@WakiliAbasi 7 сағат бұрын
Uko vizuri
@HamisiSalimu-d1n
@HamisiSalimu-d1n 22 сағат бұрын
Matangazo ya vifo na salamu redion 🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂HUMU tu
@HamisiSalimu-d1n
@HamisiSalimu-d1n 22 сағат бұрын
Sasa kwa Hali hii kweli maneno ya manara yataishi milele 😅😅😅 Akili hakuna umu
@maliadii4829
@maliadii4829 21 сағат бұрын
Kuna ubaya gani kwa mtu kuogelea matatizo yake? Ni sawa na timu zetu zinavyotafuta ufadhili jamani pole mzee wa utopolo
@ernestkibano
@ernestkibano 16 сағат бұрын
Ingawa timu yako km inakufanya kuwa mwehu ila pado Mungu kakupa uzima pole kwa yote nakuombea uzm mtani Kagoma Day karibu😂🎉😊😊
@dawayao2837
@dawayao2837 21 сағат бұрын
Sina fedheha =Sina fadhila ✔️ ongea taratibu mzee duh
@aishahaji3128
@aishahaji3128 20 сағат бұрын
😂😂😂😂 jamani unavituko ww nakusubiri uje tu huku utapata mikwaju
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c 20 сағат бұрын
SIMBA HAWANAGA HAYO MAMBO YA SIJUI ZENGELI DAY, MARA PACOME DAY, MARA AZIZ KI DAY. ALICHOSEMA MSEMAJI WA SIMBA NI KWAMBA KAGOMA ATAKUWA " MGENI RASMI" NA HAJASEMA KAGOMA DAY. MSIFANANISHE NA HIZO EVENTS WANAZOFANYAGA YANGA
@maliadii4829
@maliadii4829 21 сағат бұрын
Eti nani Day 😂😂😂😂
@user-cv4yi5hz9b
@user-cv4yi5hz9b 6 сағат бұрын
Mzee wa utopolo😂😂😂😂😂😂😂watoto wa mudi jombe la looser 🤣🤣🤣😂😂😂
@lenziangowoko9325
@lenziangowoko9325 22 сағат бұрын
Zee halina hata mvuto kama Mzee saidi wa Simba, ni kwasababu linaropoka tu ovyoovyo,
@DanfordSimon
@DanfordSimon 20 сағат бұрын
Ata ww unalopoka ovyo ovyo
@NgamelaYussuph
@NgamelaYussuph 11 сағат бұрын
Hyo Stairi Ndiyo Iliyomyambulisha Kuiga Kunakupoteza Haraka hyo Ndiyo Freva Ya Pekeee Ambayo Itamfanya Adumu Sana Kwenye Gemu Ya Waongeaji If u want To Be Upon For Long time don't Copy and paste
@farajasospeter9668
@farajasospeter9668 9 сағат бұрын
Na usicho jua mzee saidi wanaompenda ni watu wa yañga😂😂😂😂
@PaulHuncho-v3u
@PaulHuncho-v3u 6 сағат бұрын
🎉
@bartholomewasorael6616
@bartholomewasorael6616 5 сағат бұрын
Tafuteni watu wenye akili sawasawa eti wachezaji kama Yanga mara laki 7 wewe ni mwehu wachezaji wengi Club ya simba ni wakigeni mkia kweli wewe ulitaka wacheze taifa star
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 973 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 19 МЛН
MNYIKA ATILIA MKAZO ''SAMIA LAZIMA TUMUONDOE........''
29:22
JAMBO TV
Рет қаралды 10 М.
GB 64 BAADA YA MABULULU KUTUA DAR ES SALAAM, MGENI RASMI KAGOMA
8:52
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 2,6 М.