Mungu fanya wepesi kijana awe hai na apatikane naamini utatenda amen
@SalamaNauthar4 ай бұрын
Inshaallah' atapatikana kwa uwezo wa ALLAH☝️
@rehemakitonge38334 ай бұрын
Eeee Mungu namkabidhi mtoto huyu mikononi mwako arudi akiwa Hai
@shanimbaruku20714 ай бұрын
Aamiin
@HalimaMayunga4 ай бұрын
Amina
@itzsnazzyjazzy4724 ай бұрын
Eeeeh mungu waongoze Hawa wazazi wa huyu mtoto wampate mwana wao akiwa hai mungu wanguuuu 😢
@sophsoph47404 ай бұрын
Yan nais kulia uskie tu kwa mtu hili lisiewe kwako hili
@fidesbernard48354 ай бұрын
Kweli inauma sana, tuendelee kumwombea Joeli
@STEPHENKingu-yz2dk4 ай бұрын
Jamani huyo mtoto yupo hai kabisa. Tungoje muda wa Mungu ufike
@alicejones63824 ай бұрын
AMINA
@AishaMaganga-vd1jg4 ай бұрын
Amin🤲🤲🙏
@CyphroseRobert4 ай бұрын
Na iwe hivyo.Amina.
@shanimbaruku20714 ай бұрын
Aamiin
@janemsamati67004 ай бұрын
Amen ,NAMI naamini kabisa
@OluochGeorge-m7w4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amtunze uyo mtoto apatikane kwa wakati akiwa salama Amin
@mariyamgharib9404 ай бұрын
Subhana Allah mtihani huu Allah afanye wepesi apatikane dah😭😭
@sadiqadam79714 ай бұрын
Amin InshaAllah 🤲🏾
@Winifridabaraka-b5q3 ай бұрын
Kwnguvu ya mungu Na maombe yetu mtoto atapatikana akiwa Hai ee mungu tusaidie 🙏
@GladnessSamson-xk2ii4 ай бұрын
Jaman mtoto mzuri 😊 Mungu asaidie apatikane akiwa salama kabisaa😢
@MwanaishaShattry4 ай бұрын
Hakuna mtoto mbaya wewe
@AghataDominick4 ай бұрын
Eeeh mungu muone uyo mtoto uko aliko damu yako akamfunike hakapatikane akiwa hai wewe pekee ndounajuwa wapi alipo tunakuomba 🤲🤲🙏🙏
@Sulekha-k8d4 ай бұрын
Mumumuuu jamani matumbo yanauma mungu watiye nguvu wazazi
@SalhaRamadan4 ай бұрын
Duhh mungu amlinde huyo mtoto apatikane akiwa hai
@NaemaMousa-l4o4 ай бұрын
Watoto wasiruhusiwe kwenda maeneo hatarishi kama hayo
@mwanas24 ай бұрын
Yani uzembe wa hali ya juu...Alafu pumbavu ya wanaosema eti mtoto kajificha sijui kaenda wapi sijui ushuzi.Kwa uhakika mpak sasa mtoto nikapotea tube Mungu apatikane salama joel Mungu alete muangaza tu
@pacomezouzoua91754 ай бұрын
Eti mm nilikuwa Kiongozi mwandamizi😅😅😅 Yani inaonekana hao watoto kila mtu alipofika huko juu walitawanyika hawakuwa na uangalizi
@NeemaJumanne-h5d4 ай бұрын
Yaani mara hatua mbili mara heka mbili haeleweki
@HamisiForogo4 ай бұрын
Ni kweli kabisa kwa maelezo hayo ya huyu kiongozi mwandamizi inaonekana hakuna uangalizi uliokuwepo na walimu na nyie mkome kuandaa tua Kama hampo makini kuwalinda watoto wa watu
@NEEMANdembwe4 ай бұрын
Yanavohimizwa Sasa hayo matua utafikiri ndio kufaulu mtihani
@AsiaMalik-i2k4 ай бұрын
Mwenyezi mungu Amlinde mtt uko alipo mtangulizeni mungu Kwa kila kitachotokea yy ndo kimbilio letu🙏
@ZuhuraSaidi-y1j4 ай бұрын
Mungu mwenyezi umlinde mtoto Joel popote alipo arudi salama kuungana na wanafamilia yake....Uwalinde watoto wetu wanapokuwa mbali nasi.
@sarafinabutashilaga69904 ай бұрын
Kwa maelezo ya wanafunzi wenzie hapo kuna mawili yawezekana kijana alikuwa anania ya kutoroka ila alikuwa anatafuta upenyo ,,,au yawezekana akawa kweli kapotelea mstuni lkn pia km ingekuwa yupo kwann aspatakane wkt wengne huwa wanapatkana Mungu amsaidie popote alipo hapo wanafunzi huwa wana mambo mengi sana hasa kwa umri alionao kijana ila tumwombee tu
@JoyceWamahoo4 ай бұрын
Poleni sana mungu atampigania atapatikana
@gwakisakaswaga52494 ай бұрын
Mtu wa mwisho kuwa na joel au kumuona joel alikuwa ni nani na alimuona akielekea wapi?? au akifanya nini?? ..Huyo mtu wa mwisho kuwa karibu na joel anasema nini?? Lazima yupo aliemuona joel kwa mara ya mwisho kabla hajapotea?? Je alibaki nyuma kukojoa...au alibaki nyuma kwa uchovu au alikuwa mbele zaidi ya wenzie....???
@janemsamati67004 ай бұрын
Eeeeh Mungu wetu hakuna lisilowezekana kwako, tunakuomba kwa mkono wako ulio hodari Joel wetu apatikane akiwa mzima , tunahuzunishwa na kusikitiahwa kwa tukio hili.
@MeckyBoy4 ай бұрын
Aiseee tunapotea tunapotea na tunaisha kwel watanzania😢😢😢
@RenaldaZeramula4 ай бұрын
Kazi.tq jeshi ninpamoja.nq matukio.km.haya. tz.hatuna vita
@lucyedgar48694 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amtunze kijana wetu awe mzima huko alipo
@mallowmduhu49334 ай бұрын
Dah!, maana yake kwenye hiyo Creta kuna mizimu?😢
@JULITHAJOHN-k1c3 ай бұрын
Jamani mungu atende miujiza huyo mtoto apatikane
@gwakisakaswaga52494 ай бұрын
Mwandishi umeshindwa kumhoji vitu vya msingi sana huyu ndugu yetu.
@MariamSaid-k6g4 ай бұрын
Mwenyez mungu Fanya kitu juu ya hili mtoto apatikane
@faithlutainulwa38324 ай бұрын
Mmmh! Huruma ya Mungu.
@charlesmayilla29264 ай бұрын
Kumbe walimu wanapofika huko wanakuwa na mzaha hivi kwa watoto wetu,wapige marufuku watoto wadogo kwenda tour hatalishi namna hii
@CatherineLekule-l7z4 ай бұрын
Mungu akipanga amepanga hata waende study tour kwenye shamba la maharage kitatokea alichopanga
@MacrinaCaesar4 ай бұрын
Mimi miaka yote na kwa watoto wote,nilishakataa hizi tour.ni uzembe mkubwa sana.Mungu asaidie jamani
@hubimogela91674 ай бұрын
Brother ujue kusema ni rahisi mno kwani unaangalia upande mmoja kwenye kundi la wanafunzi 100 na kwanini mmoja apotee na umeskia hapo alikuwa anapita njia zake kosa la walimu ni nini labda wangepoteza watoto watatu au wawili tungejua ni uzembe
@hubimogela91674 ай бұрын
Kama walimu ni wazembe kwanini wameweza kurudi na watoto wengine wakiwa vyema na salama tusionee walimu noo
@joycesarakikya42114 ай бұрын
@@hubimogela9167 kwa uelewa wangu mdogo,walitakiwa walipojua kuwa mmoja hayupo, wasitishe safari waanze kumsaka, lkn wao pamoja nakujua mmoja hayupo waliendelea na safari, je angekuwa mtoto wa huyo mwalimu angeweza kweli kuendelea na safari !!!!
@gelassmanyanga92804 ай бұрын
Inge takiwa wavyo kutana yule mama.akasema nimwona kijana anashuka huku juu wanatakiwa wa mbane huyo mama aseme vinzuri.ana jua kitu.ana weza kuwa hata mchaw wahuko porin alienda kufanyeje😢
@ZephaniahSekwa-fl2go4 ай бұрын
😂jamn kwamba mchaw Amna bwana labda alienda kukata kuni.
@monicamassawe34354 ай бұрын
Au Joel kaamua kwenda kutafuta maisha jamani
@GetuShayo-oy9or4 ай бұрын
Wangeruhusiwa wabebe cm jmn,angepatikana Kwa urahisi Mungu wngu Joel wa kakaangu uko wp??
@lisamulwa14204 ай бұрын
Yaan mimi nashauri mgawanyike then kila kundi lipitie njia ambayo mtakutana kileleni wote ili watu wakague kwenye hizo njia zote huenda ikawa mnapishana nae.
@InocentPius4 ай бұрын
Kilele ipi iyo bebi
@Maimunasimon4 ай бұрын
@@InocentPiuskuma l mam ako
@InocentPius4 ай бұрын
@@Maimunasimon imefanyaje
@Niabebewamor4134 ай бұрын
Eeeeee mungu baba nakuomba ufanye wepesi huyu mtoto apatikane akiwa hai innishallah kwa uwezo wake Allah 🙏🙏🙏
@AshuuuBakari4 ай бұрын
Mwalimu ana makosa daaah. Ilitakiwa walima 3 mmoja mbele mmoja kati mmoja nyuma.
@MaishaBabu-m2g4 ай бұрын
Kwanini wapeleke watoto sehem hatari nini maana ya guide duh mungu amnusuru mtoto jamani sijui kaenda wapi kachukuliwa na mamizimu labda
@KhadijaMasoud-m6u4 ай бұрын
Mungu amsaidie awe Salama mtt
@remiomar71544 ай бұрын
Wakati mwingine hizi filamu tunaziangalia tunaziangalia kama kupunguza mawazo sikudhani kama inaweza kutokea kweli 😢 eee mungu mbainishe apatikane salama akiwa hai
@LwinziCharles4 ай бұрын
Mungu nakuomba huyu mtoto umnusuru kila aina ya shari na apatikane akiwa hai
@GraciuosGeofrey4 ай бұрын
Ee Mungu tusaidie apatikane
@hassanaliamin11044 ай бұрын
Nawashaur Hawa watafutaji wakiwa wanamtafuta watumie Ike mi spika ya mkono inayotumia betri huku ikiwa yaita Joel tunakutafuta upo wapi ,,joeli upo wapi hivyo yaan
@ifonlyiknew6194 ай бұрын
Umewaza Mbali saanaa Hii ni Nzuri au Tule twa Mende kunguni
@babalao9104 ай бұрын
Waalimu acheni kuwapeleka wanafunzi tour, wakimaliza watapelekwa na wazazi wao.
@cheiknamouna20584 ай бұрын
Anzeni sasa kuingia mtaani nyumba kwa nyumba tangazeni misikitin na makanisani atakuwa kwa rafiki zake labda😢
@MwanaidhMary4 ай бұрын
lakini mimi najiuliza kwani kuna ulazima kipanda uko juu kwa kweli inauma mungu amsaidie aludi salama
@AsungaSteven4 ай бұрын
Hawa watu hawapo serious kabisa na maisha ya watu
@FELISTERPETER-jf9jv4 ай бұрын
Jamani Mungu amsaidie huyu mtoto apatikane akiwa hai
@Gloriarespiki4 ай бұрын
Uwii jamaniii ww mungu tunakuombaa mtt apatikane jamanii tuu akiwa mzmaaa😢😢😢😢😭😭
@sadamissa56874 ай бұрын
Naona kama mazingaombwe vile maana anaitwa na wenzie ye anawakimbia Sasa daah aisee Allah ajaalie awe salama huyo dogo😢
@othmanshahib11154 ай бұрын
Labda wamemwacha kapotea vijiji vya kando mwa mlima mungu ni mwema ataonekana akiwa hai kwa maelezo ya huyu jamaa ataonekana Inshallah
@reubenshaban64884 ай бұрын
Naamini wewe unayesoma comment hii hatufahamiani, lakini ninakuombea heri na baraka tunapoelekea kuimaliza robo tatu ya mwaka 2024, Mungu akulinde wewe na familia yako na abariki kazi za mikono yako.😊
@ceedanstan67804 ай бұрын
Aminaaa kpenz nawe Mungu akubariki
@maryobedi68074 ай бұрын
Ameeen 🙏
@mwasitigervas26244 ай бұрын
Amina ♥️
@AminaJackson-w5h4 ай бұрын
Ameeeen
@shanimbaruku20714 ай бұрын
Aamiin YaaRabbal Alaamiin na kwako pia ❤
@BENTLEYB-n4p4 ай бұрын
Huyu kijana yupo tena yupo hai kbs
@EateryallyEstery4 ай бұрын
Eeehe MUNGU ulie hai fanya hima mdg angu arud akiwa salama 🙏🙏
@teddymasharo95314 ай бұрын
Jamani hii nini mungu awape nguvu wazazi wa kijana huyu
@rukiamziwanda74584 ай бұрын
Mungu. Afanye wepesi apatikane
@nishaabdula50154 ай бұрын
Yn uwongoz washule aukuwa makini na wtt
@MagrethAndrew-hj5ur4 ай бұрын
Mungu Baba Mwenyezi tunaomba mtoto huyu apatikane Baba hujawahi shindwa na jambo!
@RahemaJumany4 ай бұрын
Kumuomba Allah tu yupo salama tu inshaAllah
@AminaKassim-ni9wd4 ай бұрын
Maskini uyu baba adi anatilia uluma ongea yake lakini Allah atawafanyia wepesi ataonekana akiwa hai watoto wa siku izi baadhi vichwa viko moto sana poleni sana mungu awaongoze alipo
@pastorlazarosamwelkilala57954 ай бұрын
Kwa nini wa pandishe watoto mlimani
@neemamafie90924 ай бұрын
Eeee mungu apatike akiwa hai tuu ndio namuombea mungu
@Shadia5444 ай бұрын
Huyo na mwalimu wabanwe ili wasemee ukweli jamaniii 😢sasaivi dunia sijui ndiyo inaishia hivi😢
@KuruthumKikuyu4 ай бұрын
walimu wengi Wana roho mbaya sana upumbavu mtupu kwa somo Gani la kwenda mlimani
@GeorgeWasha4 ай бұрын
Mungu asaidie tu familia ya mtoto huyo ipate furaha maana ni mawazo makubwa sana
@RamaMaulidi-zc8zo4 ай бұрын
Walah ni mtihani mkubwa mno!!!pole sanaa na mungu azidi kukupa nguvu inshallah kwa uwezo wake atapatikana
@hawaelymaricca76024 ай бұрын
Mungu amlinde huyo mtoto apatikane akiwa hai
@Jacklinejohn74 ай бұрын
Maelezo yenu yako tofauti sana 😢
@zepinashatibu51494 ай бұрын
Tumtangulize Mungu kwa kuomba dua bila watumishi wa Mungu kukosa atakuwepo tuu bila hivyo kati ya walimu kati yenu anajua kilicho mkuta huyo mtoto
@HeleniPius4 ай бұрын
Mungu asimani mtoto 😢❤
@Brunn-mh2bq4 ай бұрын
Tatizo kubwa sana kwa watanzania wengi ni kuwa kujieleza ni shida sana. Kiongozi wa waongoza msafara hawezi kusema kinachoeleweka.
@SophiaPhills4 ай бұрын
Tusaidiane kumuombea jaman..ktk milima Kuna Mambo mengi...
@RehemaYohana-k9j4 ай бұрын
Wakati wa mungu niwakati sahihi
@HappyAsajile4 ай бұрын
Yan mlima unanyoka mbwa wakali unachukua watoto unapeleka du ajab
@ChristinaOnditi-el3xo4 ай бұрын
Nasimamia my point kama haya anayoeleza huyu bwana ni Kweli basi kuna uzembe wa walimu kutokua makini kwenye hiyo ziara watoto hawawezi kuuwaamini wawe pekeyao nyuma jamani🙏😭😭
@ZephaniahSekwa-fl2go4 ай бұрын
Tayar imetokea hakuna namna Mtoto atafutwe kwanza
@MumyGifty-rs7yx4 ай бұрын
Pole sana
@OstakiaCornely4 ай бұрын
Mtoto anauma hata akiahinda bila kula hata mlo mmoja naumia je siku zote hizi mungu saidia
@HareneKipande4 ай бұрын
MUNGU nakuomba fanya njia pasipo na njia awe hai tu eee Mungu tenda jambo la jaabu
@itanzaniaAS4 ай бұрын
WAZAZI MBONA TUNAPIGIKA HIVI? 😢😢
@FatumaJuma-b2g4 ай бұрын
Mungu akulinde ulipo jmn uwiii inauma
@modestamodesta39404 ай бұрын
Kwann hawakutembea kwa makund jmn daah
@GraceMarine-vo9hu4 ай бұрын
Huyu mwalimu kiazi sana, hawezi sema atakayechoka atarudi nyuma, arudi nyuma wapi sasa, hebu muwe mnazingatia na pesa za wazazi wanazolipia tour
@rosemarymunyi50354 ай бұрын
Kweli kabisa ansanjua maharishi ako kijana
@petro80104 ай бұрын
Ni vichochoro vya kupatiapo hela tu hamna lolote
@MRPRESIDENT-w4l4 ай бұрын
MWALIMU WA GEOGRAPHY NAKUTAFUTA 😂
@linahmacha3704 ай бұрын
Mmmmh maelezo ya huyu mwongozaji mwandamiz sijayaelew
@stanleymhozi75904 ай бұрын
Jamani jamani
@khadijaabdallah30744 ай бұрын
Hili jambo la kujufunza watoto Bora lifungiwe mara nyingi hutokea mara wamezama kwenye maji
Kwa nn alikuwa anapita njia zake jamn...walimu nao kwa nn mlikaa mbali nao???
@loner_wolf4 ай бұрын
Huko kuna nyoka wakali sana . Kuna nyoka akikung'ata kabla hata hujajua ni nyoka sumu ishakustop mapigo ya moyo ( koboko) ..... so porini nendeni mchana kuanzia saa 6 -saa9 wadudu wanakuwa wamejificha lkn sio asubuh ambapo wanaluwa wanaota jua .tafuteni mtoto wa watu .
@joysekiza39444 ай бұрын
Nahisi hato kua mlimani atakua kaenda pahara pengine yuko salama kwa uweza wa mungu
@jumakapilima72954 ай бұрын
Kabisa
@mosesg.pendael83814 ай бұрын
Milard washauri hao wazee, waende kwa mganga mzuri. Halafu wapande mlimani wamchukue mtoto. Hayo mazingira mnayosimulia nayadananisha na mtt mmoja alipotea milima ya shule ya sekondari Nsumba miaka ya 2000. Wazazi wake walienda Magu, na mtoto alirudi nyumbani anakimbia akisema alikuwa anawaona watu wakimtafuta mlimani lkn alikuwa kashikwa na watu. Hao wazee waache kusinzia. Watembee.
@nsiamasawe45784 ай бұрын
Kosa kubwa sana. Ilipaswa atafutwe siku hiyo hiyo. Si sawa kumuacha porini
@JULIANAMWENDWA4 ай бұрын
Hawapaswi kwenda na njia moja wote Wagawanyike njia zote wanazozijua
@ShabaniBakari-p4r4 ай бұрын
Mbona maelezo yake hayaeleweki kama vile anasitasita kusema hivi,na inakuaje watoto wawe nyuma nyie wakubwa mbele ingekuwa vyema watoto wangewekwa katikati,mkubwa mmoja mbele mwingine mkubwa nyuma.hayo yote yamesababishwa na kutokuwa kwenu makini. Mungu ni mkubwa inshallah mtoto ataonekana muda wowote
@shanifesto90374 ай бұрын
Naamini yuko hai kwa jina la yesu
@CyphroseRobert4 ай бұрын
Sasa huyu ni mlevi au,hata simwelewi.😭. MUNGU WETU AMLINDE MTOTO POPOTE ALIPO.🙏🙏🙏🙏🙏
@mwitaagness4554 ай бұрын
Sasa mlima una manyoka, mlima hatarishi na wanajua wanafuata nini??? Mhhhh uzembe asilimia kubwa ya tour hazina maana wala...
@MarysedesNgowi4 ай бұрын
Huko mlima kwaraa kuna kitu siyo hivi hivi mwalimu alipewe lawama yoyote jaman
@AnnoyedBooks-kn5pm4 ай бұрын
Walimu nao wslifanya kosa Moja make hiyo siku ya msafala mwalimu mmoja angebaki nyuma ya msafala huo
@chichasam90324 ай бұрын
Uchaguzi ni mwakani nawajulishaaa...na kuwakumbushaaaaaa
@mathewungani97244 ай бұрын
Huyu nae akamatwe tu....
@jenyyusuph49734 ай бұрын
Wanadamu wamekuja kuku anapotea anatafutwa siku sita kama kukualiyeliwa na mwewe daah MUNGU onyesha mtoto huyo kwa jina lake lililo tukuka
@monicamassawe34354 ай бұрын
Au black mamba alimdunga mana sumu yake kali dk 10 haupo je mwili upo wapi e mungu msimamie