Mzee Yusuph: Nimeacha Muziki, Atakayezipiga Nyimbo Zangu atajibu kwa Mungu Dhambi Hiyo

  Рет қаралды 188,011

TimesFMTZ

TimesFMTZ

7 жыл бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 192
@rahmaomar9646
@rahmaomar9646 3 жыл бұрын
kama na ww ulipo sikia karudia kuimba umekuja kuangalia hii like yako plz
@bodiehayden3803
@bodiehayden3803 3 жыл бұрын
i know it's kinda off topic but do anyone know a good place to watch new series online ?
@mariamlulela5546
@mariamlulela5546 3 жыл бұрын
Aliyefika hapa 2020 kama mimi kusikiliza kauli yake ya kwanza gonga like
@stellamasasau8305
@stellamasasau8305 3 жыл бұрын
Mbona amerudi tena?
@subiraomari5908
@subiraomari5908 3 жыл бұрын
Tupo
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 4 жыл бұрын
Huyo mzee yusuf mnafik ana nyuso mbili
@mariamomar8046
@mariamomar8046 3 жыл бұрын
Leo hii umerd kweli? subhanallah nalia naumia eeh Allah tujaalie mwisho mwema wallah naandika huku machoz yanitoka aah Allah nipe subra na uniongoze kwa yangu binafs na waislam wote na ht wasowaisilam
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
Amin
@tompatel849
@tompatel849 6 жыл бұрын
Hakika Mungu ni Mwema na Anaokoa!Mzee Yusuph Mungu azidi kukuongoza katika kila hatua zako na hakika amekuona na amekuokoa simama imara na umshike wala usimwache. Nnapoiangalia hii interview naona ukiri wako mbele za Mungu kutoka Moyoni. Wakristo Tunasema ROHO WA Bwana yu Juu Yako naTayari ameshakugusa utende kazi zake na Uwashuhudie watu ulimwenguni kote. Ubarikiwe sana na Bwana Yesu. sisi sote njia Yetu ni Moja. Dini ni njia tu za kupitia kuelekea kwnye uzima wa milele.
@abdibakari641
@abdibakari641 3 жыл бұрын
Waah... Allah Atunusuru in Sha Allah....
@sonojoel2117
@sonojoel2117 7 жыл бұрын
Yarabii tujaalie nasi tuingie katika njia njema .Tupe imani na vizazi vyetu ya Allah
@mohamedisalum6042
@mohamedisalum6042 4 жыл бұрын
Bado unatamaa za dunia ww
@rehemakhamisi9124
@rehemakhamisi9124 3 жыл бұрын
Tulofika 2020 tumuombee dua Mzee Yusufu
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 3 жыл бұрын
Ndo ushakuwa Mnafki mzee yussuf
@mwinjumambukuzi5251
@mwinjumambukuzi5251 6 жыл бұрын
Mzee bado sana inabidi ufanye kazi ya ziada Kwakuwa unaimba qaswida ina ngoma vinanda firimbi na nk. acha hizo qaswida ngoma allah aturehemu insha allah.
@dr.abdinassir6807
@dr.abdinassir6807 7 жыл бұрын
Wallahi thumma wallahi Mzee Yusuph Allah atakulipa inshallah yani umetushinda ata cc tuliokua tumetubu mda mrefu, naomba *Kasome shekh uwausie mashabiki wako*
@hassanboi5906
@hassanboi5906 7 жыл бұрын
maashaallah mzeee yussuf mungu akuongoze na sisi waislamu wote duniani kote
@smrmb76
@smrmb76 7 жыл бұрын
Mash Allah mzee yusuf Allah atujaalie mwisho mwema sote
@ibrahimdzuya5907
@ibrahimdzuya5907 7 жыл бұрын
Mashallah Allah akudizishie imani ln Shaa Allah.
@alishomar7549
@alishomar7549 7 жыл бұрын
mashaa allah Mzee Yusuf..M/Mungu atusimamie sote ktk njia ilonyooka na mwisho mwema.
@Serge123
@Serge123 7 жыл бұрын
Well done mzee wangu,kwa kumpatisha shetani aya....
@deusnzella9213
@deusnzella9213 6 жыл бұрын
Mungu azidi kukutunza zaid,mm ni mkristo ila nimeguswa sana na maamuzi yako ya kumrudia Mungu
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 жыл бұрын
Taubat nasuha, na sasa umerudi tena kuimba, umeenda hajj, mche Allah, rudi tena kwa mola wako, Inna lillahi wainna lillahi rajiun
@hannan105
@hannan105 7 жыл бұрын
MashaaAllah MashaaAllah hakika Allah anawapenda wenye kurudi kwake Allah atujaalie na sie ya Rabby
@ommyish4930
@ommyish4930 7 жыл бұрын
Ma sha Allah akhy mzee Yusuf...yaani Allah ni mkubwa..Allah akuzidishie nasi atuzidishie imaan..."Innamal hayaatu dduniya illa mataaulghurur"
@MohamedAhmed-yu1lu
@MohamedAhmed-yu1lu 7 жыл бұрын
Kila binadamu ana udhaifu. Na ww bro umeweza kuushinda udhaifu wako. Na sisi Allah atupe nguvu za kuweza kushinda madhaifu yetu. Allah akulinde na mitihani yote na sisi tutazidi kukuombea. Big up big bro you have done what most are just thinking but not able to do. I wish you all the best and Allah's blessings.
@shakiraadam962
@shakiraadam962 7 жыл бұрын
Inshaalah mung akujaarie kila la kher
@jirajuma4601
@jirajuma4601 7 жыл бұрын
Mohamed Ahmed Ameen Ameen
@zuwenasarehe7909
@zuwenasarehe7909 6 жыл бұрын
Mashallah mzee yusufu mungu akusamehe madhabi yako
@allygholam1707
@allygholam1707 4 жыл бұрын
mungu akubariki kaka mkubwa
@ayubuz007
@ayubuz007 7 жыл бұрын
Allaahu Akbar 👍🏻👍👍🏻👍👍🏻 mzee yusuf waa onyeshe Imani yetu binadamu nii nye pesi mashaa-allah👍
@assiamick9597
@assiamick9597 7 жыл бұрын
Maa shaa Allah Tabarakallah. Allah atuongoze sote katika njia yake ilionyooka. Allahuma Amin
@queencashmadam8340
@queencashmadam8340 7 жыл бұрын
Mashaallh mungu tubadilishe na sisi tupe nuru turd kwako amina
@binmakame3881
@binmakame3881 7 жыл бұрын
Mashallah ALLAH atuongoze mm nakushauri pia achana na hizo qasda pia ni sawa na msiki
@nassimmohamed3018
@nassimmohamed3018 4 жыл бұрын
Mashallah mabrouk mungu akujaalie ulitakalo
@yamaddi8151
@yamaddi8151 6 жыл бұрын
M/Mungu akujaalie kila la kheri kwenye maisha yako
@timasomo4358
@timasomo4358 7 жыл бұрын
hongera mzee yussuf mungu akupe maisha marefu uzidi kutubia
@saumushabankhamis2801
@saumushabankhamis2801 7 жыл бұрын
MASHA ALLAH MZEE YUSUF.MWEMYEZMUNGU ATUONGOZE WAJA WAKE INSHA ALLAH
@trspperdelot2675
@trspperdelot2675 4 жыл бұрын
mashaallah
@issasuleiman9198
@issasuleiman9198 7 жыл бұрын
Kila lakheri mzee Yussuf Allah humuongoza amtakae
@maryamathman8917
@maryamathman8917 7 жыл бұрын
Masha Allah mzee yusuf Allah atujalie mwisho mwema sote In sha Allah
@eddyeddy6071
@eddyeddy6071 7 жыл бұрын
Allah akuzidishie imani juu ya dini
@jumamalilo749
@jumamalilo749 7 жыл бұрын
mashaallah Allah tujalie nasi tuwe miongon mwa watu wema inshaallah
@ashuraatanas5967
@ashuraatanas5967 7 жыл бұрын
juma malilo aamin
@merisianayoel2542
@merisianayoel2542 6 жыл бұрын
ma shaa allah
@aamnasalum3217
@aamnasalum3217 6 жыл бұрын
Mungu tupe mwisho mwema tusamehe zambi zetu tunapotubia
@khadijaaleysalim3820
@khadijaaleysalim3820 6 жыл бұрын
Alhamdulillah M/Mungu atupe mwisho mwema
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 жыл бұрын
hebu hii clipu mzee yusuf, itafute na ujisikize tena, maneno uloyazungumza, nakuoenea huruma
@asilaalhabsi2172
@asilaalhabsi2172 7 жыл бұрын
mashaallah mzee yusuph mungu akusaidie kwa kukiri mkosa yako kama nimakosa kwa Allah mungu akusamehe brother
@issasaidi1019
@issasaidi1019 7 жыл бұрын
mzee yusuph ukiona hii comment yangu ifanyie kazi naomba achana na hzo qaswida hazijathibiti kwenye dini plz ninasaha tu hizo
@salmawema1361
@salmawema1361 6 жыл бұрын
mashaallah mzee yousuph mola atuongoze nasisi km alivyokuongoza ww
@mwnaharustwaha2631
@mwnaharustwaha2631 6 жыл бұрын
mashaallah mzee yusuph mungu akuongoze kwenye din
@moanasaboud4399
@moanasaboud4399 3 жыл бұрын
Inna lillah wainailah rajioun Kwani kuliendeleaje mzee yusuff karegelea??????
@shabanbwanamdogo2906
@shabanbwanamdogo2906 7 жыл бұрын
hongera sana ni maamuzi mazuri sana big up
@uthmanzombe2242
@uthmanzombe2242 3 жыл бұрын
He is back on doin dirty hangin,kuni tu akifa.
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Pumbavu sana mzee yussuf mbn umerudi mjinga weye
@mozzasaif6634
@mozzasaif6634 3 жыл бұрын
Nimerudi kusikia maana haya maneno kama sie yeye alie rudi kuimba. Allahu akuvue haraka kabla ya umauti
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 3 жыл бұрын
Mzee Yussuf alikuwa anambeep Mwenyezi Mungu. Umechemsha, hivi sasa huwa unasikia hii Clip? Hujioni kuwa wewe ni Mnafiki?. Eti una Madeni ndo uache Dini urudi kwa Shaitwan. Dida nimekuelewa, utabiri na shaka yako vimetimia. Mzee Yussuf akuwa na Nia njema ya kubadilika.
@samiyrahassani7842
@samiyrahassani7842 7 жыл бұрын
😀😀mkisi wanifulaisha mm sheikh yusufu jazzakallah kher kwa mawaiza mazuli
@bintsultan3132
@bintsultan3132 3 жыл бұрын
Mtiihan Yarrab kauli nzuri lkn leo amerudi tena,Yarrabi msamehe yeye na sisi pia dah mtihan Yarrab 😭😭😭😭
@deepskyimages5554
@deepskyimages5554 5 жыл бұрын
..in shaa Allah Ali kiba naye ajaribu kubadlika!
@alimasigasaleh8659
@alimasigasaleh8659 3 жыл бұрын
After all this, then going back to music fully. May Allah forgive us all.
@supumoto6819
@supumoto6819 7 жыл бұрын
Allah akuzidishie hikma
@loveyourneighbor204
@loveyourneighbor204 7 жыл бұрын
Mashallah
@samsamyoo3689
@samsamyoo3689 7 жыл бұрын
maashaallah mungu akuhidi Ameen
@OnlyRuky
@OnlyRuky 7 жыл бұрын
Mashaa Allah
@ARFIddy
@ARFIddy 7 жыл бұрын
masha.Allah waharaka Llah fiih
@rahimahaji4813
@rahimahaji4813 3 жыл бұрын
Cjui anazikumbuka hiz clip😉
@philipoinzag2379
@philipoinzag2379 4 жыл бұрын
Inalilah wainallaihrajiun Sasa wataka rudi Tena kwenye mziki sijui utakwenda mueleza nini mwenyezimungu mie naona kama huwezi rudi hasa ninapoiskia hii video jinsi unavoongea
@khalfanshahabakar443
@khalfanshahabakar443 7 жыл бұрын
mashaa-allha mwenyezimungu atupeher
@robertkomba3525
@robertkomba3525 7 жыл бұрын
mashaallah MZEE YUSUF
@fayeezomar8283
@fayeezomar8283 7 жыл бұрын
MASHAALLAH
@jumakhamis226
@jumakhamis226 7 жыл бұрын
maashaallah mzee yusuph
@HusseinHussein-hl5eh
@HusseinHussein-hl5eh 7 жыл бұрын
kila kheri ndugu yangu allah yuko pamoja na wewe
@fatmajamal2516
@fatmajamal2516 3 жыл бұрын
Mh! Sasaivi kama sie alosema maneno haya😭😭😭
@dicksonmwita9263
@dicksonmwita9263 3 жыл бұрын
Duuuuh kajiripua 😁😁
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
Hahah
@ramiahassani8750
@ramiahassani8750 7 жыл бұрын
baaraka LLAH fiika Yusuf
@najumshamisi6505
@najumshamisi6505 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Wallah roho yaniuma. Why? why? why Mzee? Mola atakunusuru tena kaka
@shwaraali3363
@shwaraali3363 6 жыл бұрын
Shukran bro big up
@harounali9057
@harounali9057 7 жыл бұрын
Namuomba Allaah subhanahu wataala akuongoze zaid huko uliko elekea. Lakini sijafaham ka mkeo bado anaimba? nakama anaimba ruhsa anatowa nani ya kwenda kuimba? Na kama haimbi basi ni kheri.
@fareda1847
@fareda1847 7 жыл бұрын
Allah Akbar kher kakang umefanya LA maana sana mpk nimeipenda sasa kijijin kwet haruc ikitokea tu hamna nyimbo zinazowekwa zaid yako mpk kesho hy sshv hutak zipigwe je,wa vijijin wanajua hili?
@mamabarbarasongjunior1898
@mamabarbarasongjunior1898 3 жыл бұрын
Kabla hujarudi kwa taarabu mbona hukuangalia hii clip?2021 now.
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Karibu mjini..kumenoga
@janejames1899
@janejames1899 6 жыл бұрын
Basi yule mama mtu mzima khadja kopa pia apumzike duuh maanake yule mama sijui kma swala yuwakubka ila mungu nisamehe kwa kuhukumu
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 3 жыл бұрын
Tafadhali mpe Tena Mualiko umkumbushe hayo
@beatricehenry621
@beatricehenry621 7 жыл бұрын
Mie sio muhislam ila huyu baba nimemkubari mungu hashindwi na chochote mm mungu wangu mbele sana
@mwanashamzee2712
@mwanashamzee2712 7 жыл бұрын
endless na daawa
@dexonntary6618
@dexonntary6618 6 жыл бұрын
Mungu akupe hekima
@fayeezomar8283
@fayeezomar8283 7 жыл бұрын
respect u
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 4 жыл бұрын
Sasa hii hii 2020 Mzee Yusuf ameamua kurejea kwenye Taarab. Je! alivyoacha alidhani kurudi kwa Allah mchezo!!??. Leo mwenyewe kaamua kumkumbatia Shaitwan. TUKUELEWEJE SASA ? UMERUDI KWENYE LAMBA LAMBA !! Ha ha ha ha ha haaa. Mwogope Mwenyezi Mungu wewe Mzee Yusuf.
@aminabedzenga2510
@aminabedzenga2510 7 жыл бұрын
mzee Yusuf hata hizo qaswida usiimbe
@mamoushelby4526
@mamoushelby4526 7 жыл бұрын
MashaAllah
@thomaslandwhale
@thomaslandwhale 7 жыл бұрын
MashaAllah but ningependa kama inawezekana hazitoe pia kwa KZbin coz new generation wasizisikize
@aminaally120
@aminaally120 4 жыл бұрын
Nice mzee yusuphu Allah akujalie inshaallah
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 7 жыл бұрын
Allah akuhifadhi Mzee Yusuph
@beatricehenry621
@beatricehenry621 7 жыл бұрын
Yahya Sinongo wewe mzee. Yusuf hapana kumbe uislaam hunaongea juu ya m/mungu na upendo namna hii tutakuombea dua
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 7 жыл бұрын
yeah!!! Beatrice Henry, ulikuwa hujui>>??? Huo ndio Uislam dada yangu
@ganzoseleman8609
@ganzoseleman8609 6 жыл бұрын
duh amuhifadhi tena?
@supumoto6819
@supumoto6819 7 жыл бұрын
آلله يحفظك
@HababahappynewyearNuru
@HababahappynewyearNuru 7 жыл бұрын
Mwenyezmungu akuongoze ww & sote....
@rahmaahmad5142
@rahmaahmad5142 7 жыл бұрын
Masha Allah
@kassimmuhammad9725
@kassimmuhammad9725 7 жыл бұрын
mashaAllah! mimi rai yangu ni uwe qari inshaAllah badili ya kuimba kaswida
@mutakkabiribnshaban325
@mutakkabiribnshaban325 7 жыл бұрын
Big point
@abuubakarsaid9410
@abuubakarsaid9410 3 жыл бұрын
Huyu mnafiki2
@wakatiomar1311
@wakatiomar1311 7 жыл бұрын
masha Allah ALLAHU AKBAR
@zafficolimited741
@zafficolimited741 5 жыл бұрын
Improve your video quality
@queencashmadam8340
@queencashmadam8340 7 жыл бұрын
Dida unanifulahisha sana
@ashuu7youz326
@ashuu7youz326 6 жыл бұрын
ya Allah!!!!
@ibrahimbalhawasel5458
@ibrahimbalhawasel5458 7 жыл бұрын
MZEE YUSUF USIIFANYE KUWA DINI NZITO,MAKOSA ULIYO FANYA LINALO KUHUSU TOBAT'NASUHA FAQAT.
@maimunakhamis6938
@maimunakhamis6938 7 жыл бұрын
kwan yy amefanya nn?
@allymasta4866
@allymasta4866 6 жыл бұрын
maashaallah
@chafuoctto2354
@chafuoctto2354 7 жыл бұрын
Masha allah
@rahimaally6471
@rahimaally6471 4 жыл бұрын
Sawa yeye kasema nyimbo zake zisiimbwe jee wale walonunua utawalipa pia
@issasaidi1019
@issasaidi1019 7 жыл бұрын
naomba yoyote mwenye namba ya mzee yusuph plz naomba anitumie kwenye yanga hii 0672446217 Allah amemuongoza sanaaa huyu ndugu yetu dah nimefurahi sanaaa
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 3 жыл бұрын
Jee unayakumbuka maneno yako.Naona Sheitwani kakupa Tena kazi baadae ya kukuona Unaiweza
@dicksonmwita9263
@dicksonmwita9263 3 жыл бұрын
Noma sana 😁
@ostazclassic3370
@ostazclassic3370 6 жыл бұрын
Huyu Sister anamfanana lily ommy naona ni ndugu
@supumoto6819
@supumoto6819 7 жыл бұрын
endelea na da'wa,
@felixmuiamulinge1128
@felixmuiamulinge1128 Жыл бұрын
Ikawaje sasa
@supumoto6819
@supumoto6819 7 жыл бұрын
shekhe nakuomba , ikiwa nilazima qaswida basi usiweke mizimari, iwe tu kama wasoma mashairi
@janejames1899
@janejames1899 6 жыл бұрын
Mzee yusuf 😂😂😂😂😂niko KZbin nasiķiza ile daktari na mpenzi chocolate
@rashidbusanya5843
@rashidbusanya5843 7 жыл бұрын
Allah akbar
HII NDIO SABABU YA MRISHO MPOTO KUTEMBEA  BILA VIATU...
14:05
TimesFMTZ
Рет қаралды 751 М.
We Got Expelled From Scholl After This...
00:10
Jojo Sim
Рет қаралды 57 МЛН
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 14 МЛН
1❤️#thankyou #shorts
00:21
あみか部
Рет қаралды 88 МЛН
ТАМАЕВ vs ВЕНГАЛБИ. ФИНАЛЬНАЯ ГОНКА! BMW M5 против CLS
47:36
ALHAJ MZEE YUSUPH Amkingia kifua mkewe LEILA RASHID
22:59
Junior Syaary
Рет қаралды 31 М.
HOJA DHIDI YA HOJA: TUNDU LISSU VS. NAPE NNAUYE (STAR TV)
26:50
M.M Mwanakijiji
Рет қаралды 332 М.
Kumbukumbu ya mwalimu Nyerere
2:12:09
Tununu
Рет қаралды 203 М.
I Have Ducks Stuck In My Ears😰🐤👂
0:17
Giggle Jiggle
Рет қаралды 6 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:23:02
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 164 М.
Tom & Jerry !! 😂😂
0:59
Tibo InShape
Рет қаралды 45 МЛН
Can teeth really be exchanged for gifts#joker #shorts
0:45
Untitled Joker
Рет қаралды 14 МЛН
Он разрубил планету😱
0:59
Следы времени
Рет қаралды 3,2 МЛН