nmepamiss sana kanisan kwangu Asante sana mchungaji kwa maombi yako
@joshuamores39267 жыл бұрын
mungu akuongezee nguvu na uwezo mkubwa na maisha marefu ili uzidi kutulisha neno la mungu na kutujenga kiroho
@aminielyusufu43514 жыл бұрын
Uko vizuri Napenda sana mafundisho yako
@jafarihamis36947 жыл бұрын
nashukuru sana mzee wangu wa kiroho hakika maombi yako yamekuwa msaada mkubwa kwangu mungu aendelee kukujaza neno na maono ili uendelee kutujenga
@shahabubamusa81186 жыл бұрын
Mzee wa upako hakika mahubili yako ni mazuri sana mungu akuzidishie maisha marefu..
@fredykindole62005 жыл бұрын
nani kama mzee wa upako tanzania
@fundichaudele38107 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mzee wa upako
@annamapessa82377 жыл бұрын
Amina tutashinda
@mamatuishi-mamatuondoke88227 жыл бұрын
Jamani Mchungaji wangu
@mamatuishi-mamatuondoke88227 жыл бұрын
Nimemic kanisani kwetu wapendwa"Mungu abariki milele daima'Nipo mbali natamani tungeshiliki wote Ibada
@wiltsshirima94185 жыл бұрын
Wenimwalim mzuri
@neemamajana30783 жыл бұрын
Baba mm nakuelewa sana ila changamoto ninayokutanayo Ni kwamba natamani sana huduma yako lakini niko mbali Kigoma. Baba tusaidie tunahitaji sana huduma yako.
@lsaacpacx68726 жыл бұрын
God bless you
@georgemassebu20836 жыл бұрын
Hili somo nimelipenda sana lakini limeishia njiani sijalipata lote
@egason25915 жыл бұрын
POLE
@davidbedda50077 жыл бұрын
tusikopeshane tena khaaaaa
@josephmapesa1387 жыл бұрын
Mungu akubaliki saaaana maubili kama àya sio lahisi kulala kanisani
@janethlyari7664 Жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa maombi, nakukubali sana
@goldmansun58596 жыл бұрын
mtumish waambie Yesu ni mweus maana black America ni true Israelis