FAFANUZI ZA MZEE WA UPAKO UDINI BANDARI

  Рет қаралды 5,357

Mzee wa upako

Mzee wa upako

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@CAROLINEEDWARDMERSHAY
@CAROLINEEDWARDMERSHAY Жыл бұрын
Heri ulipozaliwa mzee wa upako, nakuelewa sana, mwenyezi mungu akuongezee barakaa
@jumanneselemani2172
@jumanneselemani2172 Жыл бұрын
Mzee wa upako Mungu akubariki sana
@hamidubakary
@hamidubakary Жыл бұрын
Mzee waupako mungu akubaliki kwahekimazake mungu amekufunulia umeepushahisiambaya nawimbiladamu ambalo lilikuwalikinyemelea nchiya Tanzania huwanafikili kwakina kauli ile matope ya ikulu angetamka muislam angegawanywa vipandevpande nawengine wangeozeajela mungu akubaliki lusekelo
@routesale2577
@routesale2577 Жыл бұрын
Uko sawa Mzee Waambie hao Walileta Mauwaji ya Kimbari kule Rwanda
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉Yaani nakukubari akiri mingi uoni mkubwa.
@KessyKatamba
@KessyKatamba Жыл бұрын
Mzee wa upako wewe unajua na unatisha hao wechonga ngenga wasikutishe hongera mzalendo sisi tupo nyuma ya serikali yetu
@PatrickBaitilwaki
@PatrickBaitilwaki Жыл бұрын
Mungu akusamehe sio kosa lako,hakuna unachokijua
@hamisijuma8124
@hamisijuma8124 Жыл бұрын
Kwani mzee unafikiri hawajui wamezoea Kula bandari
@DotoHaza-gm7ju
@DotoHaza-gm7ju Жыл бұрын
Da, mzee uko vizuri hakuna mfano unastahili kuwa kiongozi muerimishaji,mzalendo na sio mnafiki. wanaokubeza ndo wanafiki, wabinafu, na sio wazalendo achana nao mzee maslahi binafu wako nayo.
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 Жыл бұрын
Wapumbavu wenzio wanakoment toka pale nchi ya Mama mdogo.
@salummohd4971
@salummohd4971 Жыл бұрын
Uko sawa mzee
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de Жыл бұрын
Uko sahihi sana
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
WELL SAID 💯💯💯💯💯💯
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Atakuelewa badae
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 Жыл бұрын
Raisi Samia umemsikia Mzee wa upako maneno yake mazima Mimi na muunga mkono #
@kanoa645
@kanoa645 Жыл бұрын
Hakika huo ndio ukweli
@salummohd4971
@salummohd4971 Жыл бұрын
Big up
@monamm7482
@monamm7482 Жыл бұрын
Niko misri nimekuelewa upo juu kifka
@SMEDIA298
@SMEDIA298 Жыл бұрын
Rudi Kanani
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Tupo pamoja na wewe,wewe muungwana huna ubaguzi wowote
@rehanijuma1421
@rehanijuma1421 Жыл бұрын
Kweli kabisa mzee wangu
@abraalbarwan3329
@abraalbarwan3329 Жыл бұрын
Uko sawa
@khalfanmakoyo
@khalfanmakoyo Жыл бұрын
Tupe elimu baba hiyo ndo kazi ya kiongozi kuwafundisha watu haki juu tanzania yetu
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
Huyu ndo mkristo aliye na uelewa wa mambo tofauti na wale wengine wabaguzi
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Unacho ongea kinagusa Mioyo ya wengi ni ukweli Ulio usimamia Mungu akubariki Endelea kusimama kwenye haki Haieezikani kikundi kimoja cha dini moja kitoe hukumu kwa dini zote
@saidihaibe2375
@saidihaibe2375 Жыл бұрын
Nimekuelewa baba askofu tupe elimu
@michaelngalo1808
@michaelngalo1808 Жыл бұрын
Ulevi, njaa, unafiki, uongo na ulaghai we nabii mchongo
@jameskimbi3102
@jameskimbi3102 Жыл бұрын
Mahubiri ya siku hizi mh!!!! Yesu tusaidie
@allykasuwi8734
@allykasuwi8734 Жыл бұрын
Uko,saw,Mzee,was,upako
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
Wewe yesu atakusaidia nini? Badala ya kumuomba aliemuumba yesu, wewe unamuomba alieumbwa . MSHIRIKINA na ni USHIRIKINA, Tubia kwa Mola wako mlezi kwa haraka sana, Ukifa na hali hiyo Motoni milele.
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 Жыл бұрын
Mm muislam lakin mzee wa upako unaongea kwel suala la ya bandar wanaopinga isijengwe hawana hoja yenye akili bandar Bora ijengwe#
@reganpaul8542
@reganpaul8542 Жыл бұрын
Mzeee wa hekima zako unajua anayekujibu hovyo huwezi kujua elimu yake ya ufahamu ikoje Ile wewe Mzee bang bang
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi Жыл бұрын
Sasa Antony anayeiba bandarini ni mzungu au mtanzania na kama ni watanzania imeshindikana kuwashughulikia! Mbona unasaidia vitu ambavyo hujui serikali imeshindwa kuwakamata
@samuelmajule54
@samuelmajule54 Жыл бұрын
Cha ajabu serikali wanaiongoza na watendaji wanateua wao lakini wanashindwa kuwadhibiti ilihali jeshi la polisi, takukuru, mahakama nk... zipo Basi huku ni kushindwa kukubwa
@raphaelnjongo9613
@raphaelnjongo9613 Жыл бұрын
Tukosoe na tuseme bila kutukana kikudi kingine. Sema hoja zako bila kutukana
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Жыл бұрын
Mzee umeitwa Mzee Kwa sababu huna akili unapochangia maswala ya kisiasa, uchumi na mahusiano ya kijamii. Wewe ni kibaraka was wazungu ndyo maana unatetea ufisadi unawatukana maaskofu wetu , akili huna na utalaaniwa na utafiliska .
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
HAWANA HOJA ILA MASLAHI YAO NDIO KWISHA 🥵🥵🥵🥵🥵WAANDIKE WARAKA MWENGINE TEC
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Tz inapata sh ngap kwa mwezekezaji kama. We. Si mchumia tumbo
@kennedyngusa8890
@kennedyngusa8890 Жыл бұрын
Mbona unaowambia hawakusapoti jiulize
@kanoa645
@kanoa645 Жыл бұрын
Hakika uefunguka, asiekuwa na masikio haya ila ukweli ndo huooooo
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi Жыл бұрын
Hatutaki mwarabu kuwekeza hapa watanzania tumegoma
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 Жыл бұрын
Wewe unayedai hutaki mwekezaji mwarabu wewe kama nani je unawataka wazungu ili uolewe ACHA USHOGA
@KhadijaKipua-dw7yz
@KhadijaKipua-dw7yz Жыл бұрын
Nakuelewa sana mchungungaji una akili nyingi sana asiekuelewa wewe ni yule mwehu
@michaelngalo1808
@michaelngalo1808 Жыл бұрын
We Mzee wew Acha unafiki na ujinga! Jibu hoja kwa nin miaka 60 ya uhuru babdarini hakuna ufanisi? Ni kwa nin bandari inspoteza doll 27,000 kwa Melissa moja? Nani katufikisha hapo??
@mussangao3164
@mussangao3164 Жыл бұрын
👍
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 Жыл бұрын
Watoe walaka mwingine huu umeduda
@shabanikavula1304
@shabanikavula1304 Жыл бұрын
Mzee wa upako Anthony Lusekelo huna unafiki kauli yako ni kweli tupu na kweli ndio itakayosimama mbele za mungu siku tukihesabiwa haki..Hawa wengine udini ,ubaguzi ,dharau na dhulma vimejaa vifuani mwao..wengi ni vibaraka wa mataifa ya nje eti kuna msimamo wa vatican kuh dp w wasipewe eboo !!
@kanoa645
@kanoa645 Жыл бұрын
Kweli
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 Жыл бұрын
AMA KWELI NCHI IMEGAWANYIKA!
@kanoa645
@kanoa645 Жыл бұрын
Haijagawanyika
@EmmanuelMussa-w6n
@EmmanuelMussa-w6n Жыл бұрын
Swali mwarabu akaekeza bahadae akabodanga namkataba hauna kikomo inakuwaje acha kupumbaza watu nijibu.
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 Жыл бұрын
Kadri inavyoongea ndiyo maana tunazidi kupata picha ulivyo wa hovyo AISEE KULA SADAKA ZA WAJINGA.
@alphoncelondo6586
@alphoncelondo6586 Жыл бұрын
KIBURI nimefika mwisho na MUNGU atateta nawe soon
@gasparyephraimmwakatuma9542
@gasparyephraimmwakatuma9542 Жыл бұрын
Kumbe hujaelewa kero ya wengi, ni kweli tunahitaji mwekezaji in lakini kwa manufaa ya Nani? Mkataba haujaeleweka na unachukua mamlaka ya Tanzania yaani unapoka Uhuru na ulinzi wa Taifa. Mkataba upo kinyume na Katiba
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi Жыл бұрын
Hivi wanaomsikia huyu wanapata nini huyu anamaslahi binafsi
@andreabujiku-ks6ym
@andreabujiku-ks6ym Жыл бұрын
Pumba kanisa limesambaa umebakiza konyagi na walevi wenzio
@jumanneselemani2172
@jumanneselemani2172 Жыл бұрын
Wanachofanya wapinzani kusambaza chuki kati yawananchi na.serikali hawana hoja.ya maana.
@RICHARDEDWARD-qb7rt
@RICHARDEDWARD-qb7rt Жыл бұрын
Hatutaki makanisa zaidi kusajiliwa kwa sababu Mitume na manabii wa uongo wanaua ndugu zetu,tumechoka!!Leo sasa ndo K-Vant kabisa!!!
@JafariAbdallah-ot9gp
@JafariAbdallah-ot9gp Жыл бұрын
Waache wafe wajinga hao kwani wanashikwa na mtu?
@rutashobyanovath1116
@rutashobyanovath1116 Жыл бұрын
Bado kichwa chako hakijaa kaaa sawa hayao maneno ungeyasema kipindi Magufuli akiwepo angekunyoa hayo mafuzi kwa sime ya bunduki
@adellabitebo2017
@adellabitebo2017 Жыл бұрын
Kwahoyo hapo yupo kanisani? Hayo ndo mahubili jamani hawa ndo wachungaji kweli !
@alphoncelondo6586
@alphoncelondo6586 Жыл бұрын
Zama zako zimeisha sasa nawe chawa huna HUDUMA ya kuwafukisha watu Kwa mola wao endelea na kucheza karata 3 Kwa gharama ya kuuza rasilimali zetu wewe ruse.... MUNGU anakuona na bila kutubu subilia muujiza wako ktk anguko
@sosjosephat6128
@sosjosephat6128 Жыл бұрын
Kigeu geu ww
@JackKanyigo
@JackKanyigo Жыл бұрын
Ww ndo mjinga na mpuuzi,mchungaji gani haueshimu mawazo ya wengine..ungetoa hoja yako na sio kuwaatack Maaskofu na Kanisa Katoriki ili kanisa lilisimama kipindi cha yesu anamuelekeza Petro..ww from no where na kanisa lako la mchongo unatukana tu..mm nilikuwa nakukubali lkn kwa hili nadiliki kusema hufai kukaa madhabauni
@mohdali2408
@mohdali2408 Жыл бұрын
Huna hoja ww kakojoe ukalale
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
Umebeba itikadi bila ilimu, msikilize anasema nini, na ndio maana mwanzo kasema hayupo alietoa hoja zaidi ya kutukana tu, na wewe unafanya hichohicho, Au na wewe ni miongoni mwa watorosha makontena?
@marigiretongora7889
@marigiretongora7889 Жыл бұрын
Wewe zwazwa kama mazwazwa wengine usituubilie
@KasimuLipili-jy8qy
@KasimuLipili-jy8qy Жыл бұрын
Huyu Mzee yupo sahihi kabsa na anaogea Kwa hoja ..wajinga pekee ndo hawatamuelewa
@khalfanibona3120
@khalfanibona3120 Жыл бұрын
MZEE wa upako kwa ufafanuzi huu asiyekuelewa anachuki BINAFSI mimi nimekeelewa upojuu sana na uposahihi
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Жыл бұрын
wewe umewekeza wapi wadanganye haohao ulio NAO huko ndani , hao mashoga unaoletewa mtaani watakuja kujazana huko kwako. Wala unga waliojaa watakija alafu ukaishi huko Kwa hai wazungu na waarabu.
@erastomapunda1444
@erastomapunda1444 Жыл бұрын
atakuwa alichanjwa huyu sivyo ninavyo mfaham hakuwa hivi
@michaelngalo1808
@michaelngalo1808 Жыл бұрын
We endelea na ulevi wako. Tunajua unachotafuta ni sifa, na kutulizwa njaa. Huna elimu ya uchumi
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Жыл бұрын
Mwenye Elimu ya Uchumi ni nani? Na ameeleza nini kuhusu UCHUMI???
@dottomashanya566
@dottomashanya566 Жыл бұрын
Hauna Akiri , Kuwa nakauri moja . yenye mantik . Halafu madhabahuni sio pasiasa hubiri injiri watu wamjue mungu . Acha kuwapotezea muda watu. Wamekuja kukutana na Yesu . Wewe unawaletea Mkataba wa Bandari. Una wazimu wewe .
@michaelngalo1808
@michaelngalo1808 Жыл бұрын
Yaan unaongea cheap sanaa ! We ni mjjnga na mpumbavu namba moja na unaowaeleza ni wale wasiojitambua
@DONALDMTOWE-u9g
@DONALDMTOWE-u9g Жыл бұрын
Wewe ungeletwa mkataba wa konyagi tungekuelewa,hayo ni mahubiri sasa?,unaelimu gani wewe acha ubwazaza.
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 Жыл бұрын
Pumbavu kula sadaka za Wajinga
@michaelngalo1808
@michaelngalo1808 Жыл бұрын
Unavailable watanzania Pumbavu!! Hufai na huna credibility na moral authority ya kusema watanzania kwa mtizamo wako hasi. Kumbe we mtu wa matusi na lugha chafu.
MZEE WA UPAKO LIVE
1:03:20
Mzee wa upako
Рет қаралды 7 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
USIKU HUU MZEE WA UPAKO AWANGUKIA MASKOFU
1:39:48
Mzee wa upako
Рет қаралды 28 М.
VIASHIRIA VYA UCHAWI NDANI YA KANISA
7:53
Ev. Frank Mgeni
Рет қаралды 6 М.
#live : ABDUL NONDO ANATOA TAMKO JUU YA KUTEKWA KWAKE MUDA HUU
MATUKIO DAIMA HOTNEWS TV
Рет қаралды 5
MZEE WA UPAKO:  UBAYA WA NDOTO
2:56:27
Mzee wa upako
Рет қаралды 3,5 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН