Offside Trick Ft Baby J | Kidudu Mtu | Official Video

  Рет қаралды 2,279,778

Mziiki

Mziiki

9 жыл бұрын

Song: Kidudu Mtu | Artist: Offside Trick
Digital promotion by Ziiki Media!!
Subscribe us for unlimited entertainment
/ mziikitube
Like us on Facebook
/ mziiki
Follow us on Twitter
/ mziiki
Follow us on Instagram
/ mziiki

Пікірлер: 780
@mercymweni1533
@mercymweni1533 Жыл бұрын
2023,nani Bado anasikiliza hii nyimbo
@mansoibhamadi8137
@mansoibhamadi8137 Жыл бұрын
Tuko
@Nimozz.5
@Nimozz.5 Жыл бұрын
Minpo Nairobi naiskiza Bado ❤️💯💯💯
@MA-ht7po
@MA-ht7po Жыл бұрын
Niko london, hii bado n tamu
@fala.mjanja
@fala.mjanja Жыл бұрын
Tupo dada👌👌
@maryanmathaw46
@maryanmathaw46 Жыл бұрын
Meh
@ZafirAboobacar-rb8qn
@ZafirAboobacar-rb8qn 2 ай бұрын
2024, nani bado anasikiliza nii nyimbo??
@kanekaso9674
@kanekaso9674 2 ай бұрын
Nko
@user-en9yc3ot4r
@user-en9yc3ot4r 2 ай бұрын
Yeah😅
@barakamegiroo4620
@barakamegiroo4620 2 ай бұрын
mm
@daudicalvin9763
@daudicalvin9763 Ай бұрын
Muhimuuu😂
@nittaquniverse6412
@nittaquniverse6412 21 күн бұрын
nipoo
@HamadHaji-fz3nn
@HamadHaji-fz3nn 4 ай бұрын
Nani bdo yupo 2024 kma mm hapa tujuane kwa like
@khadiyazerea3327
@khadiyazerea3327 3 ай бұрын
Tupoooo😂😂
@MOHAMEDFARAH-hv1db
@MOHAMEDFARAH-hv1db 3 ай бұрын
Tupooo😅
@samuelsergiomusyoka
@samuelsergiomusyoka 3 ай бұрын
Wapi likes za 2024
@raeyraey4625
@raeyraey4625 4 ай бұрын
A Kenyan here in 2024? Say Hi to me
@HalikiRasuli-ko9rv
@HalikiRasuli-ko9rv 11 күн бұрын
Hi🙄🙄
@heenabutt8521
@heenabutt8521 3 жыл бұрын
Haiya haiya kidudu mtu Haiya haiya kidudu mtu Unafitinisha wenzako we hujali utu Wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie Wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie Kidudu kidudu gani usie tulia Una maneno machafu watupakazia Kidudu kidudu gani usie tulia Una maneno machafu watupakazia Imefika siku yako yaku simuliwa Maisha yako ya nyuma yalipoanziaaa Acha usutwe sutwe hujakoma wewe kidudu mtu Yako yanakushinda ni hodari tu kusema ya watu Hizo ni sifa mbaya jali utu wewe kuliko kitu Hutoishi na watu roho yako chafu safisha kutu Haiya haiya kidudu mtu Haiya haiya kidudu mtu Unafitinisha wenzako we hujali utu Wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie Wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie Ulikuja kwa uzuri tukakupokea Tukakuona wa maana kumbe ni mmbea Ulikuja kwa uzuri tukakupokea Tukakuona wa maana kumbe ni mmbea Mimi ni kama bahari ukinichafua Nadondosha meli kubwa seuze ngalawa Haiya haiya kidudu mtu Haiya haiya kidudu mtu Unafitinisha wenzako we hujali utu Wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie Wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie Hapo! Hapo! Hapo! Hapo! Offside Trick watoto wa ki-Zanzibari wakali wa hizi kazi Umeskia wapi superstar anakula kwa mama ntilie? Superstar anakula Kempinski bwana! Utafungwa Wape vidonge vyao dada Jamani eee! Maisha ni kutafuta na sio kutafutana babu ee Wenzako wanaomba kazi wewe unaomba pesa Asiohaya wala hajui vibaya Mvalisheni dira sasa pamoja na chupi ya bambino hei! Yako hilo babu! Watakuchun' babu mmm-mmwah Vitu vidogo vidogo vinakutoa roho Vijimambo vidogo vidogo vinakuendesha mbio Vitu vidogo vidogo vinakutoa roho Vijimambo vidogo vidogo vinakuendesha mbio Hapo! Hapo! Hapo! Hapo! Hapo! Hapo! Vitu vidogo vidogo vinakutoa roho Vijimambo vidogo vidogo vinakuendesha mbio Vitu vidogo vidogo vinakutoa roho Vijimambo vidogo vidogo vinakuendesha mbio
@bonfacemuthuri9840
@bonfacemuthuri9840 2 жыл бұрын
Thanks bro
@carolynewafula5668
@carolynewafula5668 2 жыл бұрын
Share with me this
@davidochieng3197
@davidochieng3197 2 жыл бұрын
Shukran za dhati.
@ffire3795
@ffire3795 2 жыл бұрын
Manze nilikua nasema vitu zangu kabla nipatane na hii
@stephenkajiwe738
@stephenkajiwe738 2 жыл бұрын
Izo haiya haiya ziwe nne tafadhali kwa kila mshororo. Lakini,umejaribu sana.
@Nasrudin-br3nx
@Nasrudin-br3nx 5 ай бұрын
2024 nani bado anaskiza hii mziki ❤❤❤❤
@AlhosniMohmmad
@AlhosniMohmmad Ай бұрын
😊
@jonesogachi5760
@jonesogachi5760 2 ай бұрын
2024, bado nasikiliza huu wimbo kutoka Mombasa, Nyali
@rizikishabani9018
@rizikishabani9018 4 жыл бұрын
Ndo hiyo 2020 likes ziwapi ?😚
@sashalucy5821
@sashalucy5821 4 жыл бұрын
nikoo 2020
@carolynemarauni608
@carolynemarauni608 4 жыл бұрын
Riziki Shabani kali Sana kididu mtu
@samwelchonya1906
@samwelchonya1906 4 жыл бұрын
Tupo hapa 2020 Tunasonga nayo
@gideonsameri6244
@gideonsameri6244 4 жыл бұрын
And still rocking hard despite the Pandemic
@wahidasalim7633
@wahidasalim7633 3 жыл бұрын
2020 mood
@abdilatifmukhtar230
@abdilatifmukhtar230 4 ай бұрын
2024 nani bado anatafuta hii nyimbo..
@momsfairyland-by-Grace
@momsfairyland-by-Grace 3 жыл бұрын
Wapi likes za 2021. Always a message that will never get old. Love this song.
@sameeradde
@sameeradde 3 жыл бұрын
☝️👍🏾😂
@joycechege5071
@joycechege5071 3 жыл бұрын
🤩🤩
@sameerally1180
@sameerally1180 2 жыл бұрын
Aaaah kabisaaaaa
@zachariahali2431
@zachariahali2431 2 жыл бұрын
2021💪
@destinedhajra4136
@destinedhajra4136 2 жыл бұрын
Yanguu ndio hii
@AJ_Suleiman
@AJ_Suleiman 4 жыл бұрын
2020 kama uko hapa mob love from 🇸🇴🇰🇪
@mistakeshi2406
@mistakeshi2406 3 жыл бұрын
🇲🇺🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇲🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇺🇲🇲🇲🇺🇲🇲💔
@Kihiu_Kimani
@Kihiu_Kimani 2 жыл бұрын
Beautiful people from the Eastern Coast . Hii Ngoma inakuanga imenishika bana. Si shukran nyi wa TZ juu ya mangoma poa poa . Najua mshatambua nilikotoka 😂
@elifdkarakus
@elifdkarakus 4 жыл бұрын
I'm not even African I'm Turkish and my friend who's Kenyan recommended these song loved it ❤️❤️
@mohamedhamza7899
@mohamedhamza7899 4 жыл бұрын
i hope you understood it 😅
@mariansheik1660
@mariansheik1660 4 жыл бұрын
You like it?
@elifdkarakus
@elifdkarakus 4 жыл бұрын
Marian Sheik yeah i like the sound 😊
@elifdkarakus
@elifdkarakus 4 жыл бұрын
Mohamad Hamza Yep I searched the meaning of song and actually I mostly like the sound of the song
@Geosbudy
@Geosbudy 4 жыл бұрын
Please ask your friend why he she recommended it🤔
@nomaddamon2197
@nomaddamon2197 2 жыл бұрын
Dedication to all men out there who comfortably sit and talk about other people business. Wanaume kama mabinti
@pinkerlisherstumz9160
@pinkerlisherstumz9160 3 ай бұрын
Nani anaskiza hii nyimbo 2024
@ChrisMugo
@ChrisMugo 2 ай бұрын
Mimi hapa mkenya in kigali 😂
@anonymousdevil3297
@anonymousdevil3297 4 жыл бұрын
This song never gets old I swear
@Maya-lv2lx
@Maya-lv2lx 4 жыл бұрын
It really doesnt
@fatumahkukundanabulime6258
@fatumahkukundanabulime6258 3 жыл бұрын
I Know right ❤️😌
@magdanjery2146
@magdanjery2146 3 жыл бұрын
Coz pple never stop gossiping!!!
@kamutua6376
@kamutua6376 2 жыл бұрын
Aki
@nancyrehema5110
@nancyrehema5110 3 жыл бұрын
Niko hapa in 2021 wale wenzangu wa mwaka huu gonga like hapo 👇👇👇
@sameeradde
@sameeradde 3 жыл бұрын
👍🏾😍☝️
@cleovanritter9820
@cleovanritter9820 3 жыл бұрын
Uko wapi rehema tuisherekeee
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
Tupo apa 9/7/2021
@leahchacha714
@leahchacha714 2 жыл бұрын
Sw
@mwanalelee6
@mwanalelee6 2 жыл бұрын
Tupoooooo 28-7-2021
@LennyKipngetich
@LennyKipngetich 4 жыл бұрын
Wah!!... Roho yako chafu safisha kutu. ⭐⭐⭐⭐
@reincomics7771
@reincomics7771 4 ай бұрын
Here in 2024🔥🔥🔥still a banger🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@karahamuhetopatrick7012
@karahamuhetopatrick7012 4 жыл бұрын
from Rwanda i like this song than any other person for sure i don't know how can thanks the singer to their contribution for this great role naipenda sanaaaaaaaaa
@Ben_njogu
@Ben_njogu 4 ай бұрын
2024 nko hapa
@loymolly8401
@loymolly8401 3 жыл бұрын
Whueeeh! Nimefikaaje hapa jamaniiii😍💃💃
@sammurithi1005
@sammurithi1005 4 жыл бұрын
Kidudu 2020. Likes
@florarose1626
@florarose1626 4 жыл бұрын
Sam Murithi yeyeyeyeye
@Ami-vy2iz
@Ami-vy2iz 4 жыл бұрын
Who is here because of corona??
@marthanzeyimana6749
@marthanzeyimana6749 Жыл бұрын
Wenye tumerudi mwaka huu tujuane tafadhali 😂😂wimbo huu unanigurahisha haki💞💞
@thegratitudeattitude67
@thegratitudeattitude67 Жыл бұрын
Ulijuaje kama na wewe si mchawi. 📌
@roby7949
@roby7949 3 ай бұрын
Best verse... Viti vidogo vidogo vinakutoa roho... Mambo madogo yana kunendesha mbio
@malloy3878
@malloy3878 3 жыл бұрын
😂😂Kidudu mtu 2030💛 in the future myb😂
@omaralbashir9997
@omaralbashir9997 21 күн бұрын
Hapo tumekua adult ❤❤❤
@alvismumkaranja3360
@alvismumkaranja3360 5 жыл бұрын
Kidudu 2019
@ommymadaha5153
@ommymadaha5153 4 ай бұрын
Jamani 2024 mko wap?
@abdallahali5474
@abdallahali5474 3 ай бұрын
Tuko😂
@mihenjilocal7904
@mihenjilocal7904 Ай бұрын
2024 nani bado anauskiza huu wimbo
@faithfaary4460
@faithfaary4460 4 жыл бұрын
Mahabaaa yalishaaa zamani miaka 4 na mkekaaa upoo kwa kapwaaa nshaukunjaaa naendaaa nao nkimpataaaa mhodari wa mahaaaba nianzeee mtandikiyaaa ctopotezaa mdaaa walaaa wakati asinpakee mafutaaa kwa uti wa mgongooo mhodari mwenyee busaraaa zaaa hikmaaa nikiwashindaaa point lao kubwaa nao jini nliwashindaa bahati ndpo walinichukiyaaa wa kenyaaa ❤😂😀👍
@paulrubia3484
@paulrubia3484 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri kwa wote wanaumbea Grate song i like it❤
@jackierama1817
@jackierama1817 3 жыл бұрын
2021 wangap bado tunaangalia hii ngoma tujuane kwa like 👍 💖 💓
@jimj8285
@jimj8285 2 жыл бұрын
HHaaaaa Hilo chotara kazi kujibinua na kujishebedua likimpoint Huyo Muarabu na kumkazia kama vile Huyo Muarabu ndo mtombwaji mzuri! Daaah linaonesha kidole waziwazi ATI lamuhusudu na kashamkaza saana tena Kwa utamu woote ashakum si matusi Ila Hilo jianamke chotara laimba hapoo kuonesha jinsi lilivyofirwa hapo!!
@AlhosniMohmmad
@AlhosniMohmmad Жыл бұрын
مساء الخير
@oscarnandwa7996
@oscarnandwa7996 5 жыл бұрын
Kidudu mtu 2019likes
@nimoabdi8074
@nimoabdi8074 3 жыл бұрын
I. Am. From. Canada. I like. This. Song
@gurbaumcn1632
@gurbaumcn1632 3 ай бұрын
Miaka sasa imekatika kumi na tatu tangia nisikize mziki huu. Ukifikisha miaka kumi na..... Piga like hapo, wewe ni legend.
@armaan7498
@armaan7498 2 жыл бұрын
Love this song from Somalia 🇸🇴 ❤
@Fredexide
@Fredexide 3 жыл бұрын
Was in a supermarket in mombasa nyali and this song played,I just had to get back here bana 🔥🔥🔥🔥vijimambo vidogo vidogo vinakuendesha mbio!
@Summerical242
@Summerical242 3 жыл бұрын
2020✨! A Congolese 🇨🇬 in France 🇫🇷
@abdilleahmed5536
@abdilleahmed5536 4 жыл бұрын
Kududu mtu your day has been reached to cut off I like the action of the girl from her eyes and hair gives me happy when I watch this song from North eastern Kenya Zanzibari salute
@ramlabashir4843
@ramlabashir4843 Жыл бұрын
Garissa ❤️😘
@elizabethgalusi2435
@elizabethgalusi2435 Жыл бұрын
It's from tanzania zanzibar
@ibrahimmahdi5973
@ibrahimmahdi5973 3 жыл бұрын
One of the best Taarab.. Along with Mzee Yusuf... This one never gets old.
@lydaihly6501
@lydaihly6501 3 жыл бұрын
True
@sherifaali7268
@sherifaali7268 2 жыл бұрын
😳taarabu? Jueni kutofautisha kati ya taarabu na mduara hii ni mduara ngoma asili ya kizanzibar na dar
@mariajason3547
@mariajason3547 Жыл бұрын
I don't think this is TAARAB.....but okay
@frankobanyawi2116
@frankobanyawi2116 2 жыл бұрын
From Somali 🇸🇴💛
@armaan7498
@armaan7498 2 жыл бұрын
👋 wllka
@brianoyato5335
@brianoyato5335 5 жыл бұрын
Respect from 🇰🇪
@explicitmulei
@explicitmulei 2 жыл бұрын
"Hizo ni sifa mbaya, Jali utu kuliko kitu... " my best part😂😂❤️
@irenegatiba8411
@irenegatiba8411 2 жыл бұрын
Listening in feb 2022. Just love the melody, wow, beautiful
@kadotyke2821
@kadotyke2821 2 жыл бұрын
Never gets old
@jimj8285
@jimj8285 2 жыл бұрын
Daah Ila Hilo chotara linakatika mauno hapo duuh!!! I think linajamba ushuzi kila likitingisha kiuno duuh!! Hakija Ngoma zinachafua mazingira!! Si ni Bora Hii gas lingeenda kujamba chooni jamani??? Hapo sasa na Hilo dear linakatika na kuonesha vidole huku linatingisha kiuno linajamba mfyuuu!!! UKUTE chupi yenyewe chafuuu ina matobo au matundu daah!!! Ila najua LINANUKA utoko WA Kuma mamaeeee!!!
@Kihiu_Kimani
@Kihiu_Kimani 2 жыл бұрын
Always a masterpiece
@tinamarenya9237
@tinamarenya9237 4 жыл бұрын
2020 anyone..
@afandehassan1
@afandehassan1 4 жыл бұрын
I love Tina
@nawynerwy6430
@nawynerwy6430 4 жыл бұрын
Njooo nikuwwkee hennah 😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜👊👊👊👊🤐
@salmamahdi6919
@salmamahdi6919 5 жыл бұрын
Kuja sasa wewe Kali hi nyimbo nakubali man keep it up yanikumbusha nilipo msuta m2 amekoma n nyimbo hi itawakomesha watu hats off man
@AdnanAli-cu4wy
@AdnanAli-cu4wy 3 жыл бұрын
I am Oromo from USA, I am in love with this song
@fabianolouis3218
@fabianolouis3218 3 жыл бұрын
Near Moyale😎
@AdnanAli-cu4wy
@AdnanAli-cu4wy 3 жыл бұрын
@@fabianolouis3218 what’s that?? Moyale
@fabianolouis3218
@fabianolouis3218 3 жыл бұрын
Heheh... it's name of a place. A small town bordering Kenya and Ethiopia.
@AdnanAli-cu4wy
@AdnanAli-cu4wy 3 жыл бұрын
@@fabianolouis3218 thank you for elaborating for me
@khadaryaaba7705
@khadaryaaba7705 2 жыл бұрын
Love oromo girls 😂
@irenewilliams7758
@irenewilliams7758 5 жыл бұрын
2019..still listening
@peninnahmwalili8518
@peninnahmwalili8518 2 жыл бұрын
A timeless classic. 2022 and still a great hit
@faithfaary4460
@faithfaary4460 4 жыл бұрын
Kitamboo cna update kawaidaaa mtuuuu mjingaa mpenii cheo chake anaaa mahalii. Pale no one😘❤💃💃💃💃💃💃💃🙏🙏🙏🙏😂👍
@Eltty.
@Eltty. Жыл бұрын
favourite line Vitu vidogo vidogo vinanyonyeza roho🥵🥵💓
@user-dk8ns4zo1n
@user-dk8ns4zo1n 2 ай бұрын
Mpaka hiv sasa bado naifatilia 2024 nyimbo uko Powa saaana
@ramadhannuru1197
@ramadhannuru1197 Жыл бұрын
I'm still here listening to this song,...I just love it😘😘
@aymarmwikali7166
@aymarmwikali7166 8 ай бұрын
Nataka kudownload jamani
@adeeshhashi6362
@adeeshhashi6362 5 жыл бұрын
Iam from somalia and i like this song
@coconutkisses2503
@coconutkisses2503 4 жыл бұрын
Adeesh Hashi samee
@sweetieadey2754
@sweetieadey2754 4 жыл бұрын
Adeesh Hashi karibuni my people 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴 is my motherland
@nawynerwy6430
@nawynerwy6430 4 жыл бұрын
Utanijuuuu ww jazaaaa fungaa mdomoo wakoo shikaa njiaa yko lakini hunaaa htaa walaa gheraaa wajaaa hapaaa hapaaa💔👊😂😆😜😜😜😜😜😜😜😜💔💔💔👊👊👊
@hikmathassan7416
@hikmathassan7416 4 жыл бұрын
Wara naso niyo
@papson2010
@papson2010 3 жыл бұрын
Hi guy Could u get me connected with cute somali girls? Am from West Africa
@amrosalmas7460
@amrosalmas7460 Жыл бұрын
😘😘😘❤❤❤I love this rich man and I love those who love him
@alex181
@alex181 Жыл бұрын
nice jaman watu walikuwa na kazi nzuri so mbovu ata robo daah nataman izi kazi zirud miak hii
@fundileani1007
@fundileani1007 2 жыл бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Watu ya DRCongo tunaipenda
@queenblessing254-official5
@queenblessing254-official5 Жыл бұрын
Can't get enough of this song ❤
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 Жыл бұрын
Sasa ni vidudu watu ..wengi mno siku hizi 😌😌😌
@renazdeer7820
@renazdeer7820 Жыл бұрын
2023 and it's always a masterpiece
@josephabiya2049
@josephabiya2049 7 ай бұрын
Mimi hapa paka wareo nasikiliza😂😂
@damonstar
@damonstar 4 жыл бұрын
hii nyimbo nayo tamu sana na nzuri mno
@calvinkimani3990
@calvinkimani3990 3 жыл бұрын
😂 whose here in 2021??😝
@joynya1246
@joynya1246 3 жыл бұрын
Me 🎧🎼🇰🇪🤩
@mchanjama
@mchanjama 3 жыл бұрын
Buuuudaa...👏🏾😂
@annienjango5833
@annienjango5833 3 жыл бұрын
Halooo
@sweenlilian8272
@sweenlilian8272 3 жыл бұрын
Thought mimi ni wakwanza😅😅
@nawynerwy6430
@nawynerwy6430 4 жыл бұрын
Njoooo nikuleke saloon shogaaa mwikooo wapikwaaaa kwa sufuria. Alafu badae wakorogwaaaa bado pempas utavaaaa umeozaaa mkundui 😆😆😆😆😆😆💪💪💪💪😅😅😅😅👊👊👊👊😜😜😜😜💔
@paulswedi9565
@paulswedi9565 5 жыл бұрын
kweli kabisa ' wahambie wambeya hao !!!
@sabaahsabuhas4022
@sabaahsabuhas4022 4 жыл бұрын
Kawaida msabasi mwisho wake wanakuja sutaaa Unavaa deraa karibuu mjingaa tokaa 😂😂😂😜😊👍😀😆👊👊👊💪👍
@sammymuthoni
@sammymuthoni 11 ай бұрын
Bado inahit 🎉 😅
@user-gf5ys8fj5g
@user-gf5ys8fj5g 5 ай бұрын
Mimi hapa❤❤❤
@nehaan5054
@nehaan5054 3 жыл бұрын
Nani amtakae mtuuuu mbeyaaa shogaaaaa pkaaa spoke nyumaaa mzee lana tull alllah
@faithkawira3396
@faithkawira3396 Жыл бұрын
Still on 2023 and the beat sounds refreshing. Wapi likes
@caashaosman5694
@caashaosman5694 3 жыл бұрын
I cant get enough of this song.🥰🇸🇴🇸🇴❣
@danielahkibet8416
@danielahkibet8416 2 жыл бұрын
6years ago lkn unafikiri imetoka Jana huku webuye
@yoboo3914
@yoboo3914 Жыл бұрын
Never get old this song ❤️💯
@missbritt288
@missbritt288 Жыл бұрын
If you are learning Swahili these songs are great , I love the Zanzibar accent , it's proper Swahili from coastal people not like some of the other accents taught by non coastal people
@prettydamsel9237
@prettydamsel9237 Жыл бұрын
😂😂 roho chafu safisha kutu wewee
@kimwang2787
@kimwang2787 11 ай бұрын
Wow! You are just learning and already have opinions about native Swahili speakers. Have some respect.
@emilylucas7028
@emilylucas7028 9 ай бұрын
@@prettydamsel9237😂😂😂😂😂😂😂 am dead 😂😂😂😂😂😂😂
@sarahathman5702
@sarahathman5702 Жыл бұрын
I love this song everytime at a swahili wedding this would come up
@faithfaary4460
@faithfaary4460 4 жыл бұрын
Namm languuu pkaaa litimezeee labdaaa ckuzaliwaaa na all mashjaar pkaaa alipee alivyooo twendwaaaa hyooo ndiyoo adaaa ya binadamuu nani atakae lishwaaa miakaaa uchunguu amaa machunguu noted hoyeeeee nawapaaa wazi wazi 💃💃💃💃💃😆😀😂😆🙏🙏🙏🙏🙏
@patriciamukami2048
@patriciamukami2048 3 жыл бұрын
Old is gold ....I am telling you🥳
@samkamau3441
@samkamau3441 4 жыл бұрын
Huyu Baby J Ni Mrembo Sn.... 💓💓💓💓💓💓😘
@user-il8uu8bd3z
@user-il8uu8bd3z Ай бұрын
Naipendaa❤❤
@ZafirAboobacar-mt2cu
@ZafirAboobacar-mt2cu 5 ай бұрын
2024, nani bado anasikiliza hii nyimbo
@vincentmurota3961
@vincentmurota3961 10 ай бұрын
Great tune....love it!!!!
@hudhaifakimpuro5004
@hudhaifakimpuro5004 Ай бұрын
Huyu dem alieimba hapo anaitwa nan ameua hatar 2024 tujuane
@fj8317
@fj8317 Ай бұрын
Baby J
@markthuo4361
@markthuo4361 4 жыл бұрын
Hii ngoma inaweza kuwa njema sana na ile densi ya yope.
@paulwaithaka8099
@paulwaithaka8099 4 жыл бұрын
Umegonga ndipo safii
@Kobe_254
@Kobe_254 Жыл бұрын
WaTotO…2022 October tuko hapa; wa Kisii….😊🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇰🇪🇰🇪🇰🇪👽👽
@Shaashaa-fs8uy
@Shaashaa-fs8uy 2 жыл бұрын
Who watching this amazing song 05/aug/2021 KIDUDU MTO so sweet song i remember 2008 to 2009 mandera kenya
@roromach8375
@roromach8375 3 жыл бұрын
Am south Sudanese and I like this song
@doreenmwanja4254
@doreenmwanja4254 3 жыл бұрын
M Doreen from Mombasa iyo song iko supuu
@osmanmohammed2264
@osmanmohammed2264 3 жыл бұрын
Who's listening in Oct 2020
@franciskamau9575
@franciskamau9575 2 жыл бұрын
Kwa kweli vidudumtu wamejaa uswahilini👌👌👌haaalo
@fishfarmingkenya
@fishfarmingkenya Жыл бұрын
Great song from Zanzibar.... ending the year 2022 with it
@nawynerwy6430
@nawynerwy6430 4 жыл бұрын
Asojielewaàa mzeee msuwoooooooo 👊👊👊👊👊😜😜😜😜😜😜😜😜
@jacintanjeri8831
@jacintanjeri8831 4 ай бұрын
2024,hoyeee❤
@suziemsoo6725
@suziemsoo6725 Жыл бұрын
Maisha ni kutafta wala si kutaftana💯❤️
@sabaahsabuhas4022
@sabaahsabuhas4022 4 жыл бұрын
Tulizaa boli uwanjaa mdogo bado wataka tu chaleng namm pia huwezi 😜😜😜😜😂😂😂😆👊💪👍🙏🏼mbeyaaa
@soniamsoh5400
@soniamsoh5400 3 жыл бұрын
2021 and it's still a hit🔥🔥
AT FEAT. MWA4 - VIFUU TUNDU [HQ]
7:32
ally issa
Рет қаралды 1,7 МЛН
OffSide Trick Ft Mzee Yusuf | Bata | Official Video
5:48
Mziiki
Рет қаралды 1,7 МЛН
UFC 302 : Махачев VS Порье
02:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,3 МЛН
ХОТЯ БЫ КИНОДА 2 - официальный фильм
1:35:34
ХОТЯ БЫ В КИНО
Рет қаралды 2,7 МЛН
YAMOTO BAND VIDEO MIX TZ-Dj Kips Dan
32:55
Duncan Kips Dan
Рет қаралды 1,9 МЛН
Ahmada - OffSide Trick ft Bi Kidude
5:40
Mwala Hamad
Рет қаралды 4,2 МЛН
Kinyaunyau (Official Video) - Kilimanjaro Band Njenje
6:46
Kilimanjaro Band Njenje
Рет қаралды 1,3 МЛН
Offside Trick | Aambiwe (Babu Jinga) | Official Video
6:03
RAYVANNY - KWETU (Official video)
3:40
Rayvanny
Рет қаралды 37 МЛН
Offside Trick - Samaki (Official Video)
5:37
Mziiki
Рет қаралды 1,2 МЛН
Eminem - Houdini [Official Music Video]
4:57
EminemVEVO
Рет қаралды 44 МЛН
Максим ФАДЕЕВ - SALTA (Премьера 2024)
3:33
Asik - Body (Lyrics Video)
2:42
Rukh Music
Рет қаралды 781 М.
POLI - Mama (Official music video)
1:18
POLI
Рет қаралды 4,7 МЛН