AT FEAT. MWA4 - VIFUU TUNDU [HQ]

  Рет қаралды 1,731,711

ally issa

ally issa

13 жыл бұрын

haya jibuni tupate burudaniii

Пікірлер: 506
@fansitzmwakasungu5355
@fansitzmwakasungu5355 5 ай бұрын
Kama unasikiliza hii ngoma 2024 naomba gonga like apa tujuwane
@khadiyazerea3327
@khadiyazerea3327 3 ай бұрын
Tupoooo
@officialmisscarole148
@officialmisscarole148 3 ай бұрын
Mimi hapa
@azizamponda
@azizamponda Ай бұрын
Tupo 😂
@OmanOman-ry5gw
@OmanOman-ry5gw Жыл бұрын
Kama umsikilz hii ngom 2023 naomb gonga like yk hp legend
@gwasadisimasi6422
@gwasadisimasi6422 4 ай бұрын
2024 twende sawa
@derrickkiptoo1918
@derrickkiptoo1918 3 ай бұрын
Tuko 2024. Na ngoma Bado inashika kasi
@Ash_tz_one
@Ash_tz_one 4 ай бұрын
Kama bado unaisikiliza hii ngoma 2024 nipe like apa
@youngbnine
@youngbnine 2 ай бұрын
Wale wa 2024 mko wapi
@robinahandove6513
@robinahandove6513 Жыл бұрын
Kama unauangalia huu Wimbo 2023 gonna 👍likes
@mariamcleophas272
@mariamcleophas272 Ай бұрын
@stevekanuya111
@stevekanuya111 4 жыл бұрын
Kama umefka 2020 na hi ngoma ngonga like tuende sawa
@josephprotas7722
@josephprotas7722 3 жыл бұрын
. y
@josephprotas7722
@josephprotas7722 3 жыл бұрын
. y
@josephprotas7722
@josephprotas7722 3 жыл бұрын
. y
@petergebo8198
@petergebo8198 5 жыл бұрын
Nani bado anaisikiliza 2019
@magrethjames6811
@magrethjames6811 5 жыл бұрын
Nani kaangalia 2019 nabado nyimbo tammmm
@maryamsaid6741
@maryamsaid6741 5 жыл бұрын
Mimi
@ronaldwairagala8882
@ronaldwairagala8882 5 жыл бұрын
Niko hapa haha
@Saba1njiru
@Saba1njiru 4 жыл бұрын
magreth james 2020 🙌🏾
@ashleymaingi7026
@ashleymaingi7026 4 жыл бұрын
Mimi!!!
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 2 ай бұрын
2024 niko hapa nasikiliza hiki kibao
@user-sz8ic2tm7n
@user-sz8ic2tm7n 7 ай бұрын
Ngoma zk kali ila kupotea kwake amekosa broducer anae endana nae kwaiyoo BUUU zinkua nyingi,nameless sn😂
@rashidyadam8215
@rashidyadam8215 5 жыл бұрын
Kama umefika 2019 na hii ngoma gonga like hapa
@ubadakhalef984
@ubadakhalef984 4 жыл бұрын
zishapitwa na wakati
@faumamakwaia5095
@faumamakwaia5095 4 жыл бұрын
Nice
@ramadhansalumiddy2397
@ramadhansalumiddy2397 4 жыл бұрын
Hii ngoma naipenda kinyama
@ramadhansalumiddy2397
@ramadhansalumiddy2397 4 жыл бұрын
Kila mwenye chuki na mie ujumbe huu uwafukie
@arsema775
@arsema775 4 жыл бұрын
Love,this,song,vary,so,much
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 2 жыл бұрын
Huu wimbo naupenda nauskiza kilasiku hadi leo....mashallah💕😘🙏hongera ndugu zetu wabongo mna vipaji. Kenya.
@lenatharenatha6660
@lenatharenatha6660 2 жыл бұрын
Sanaaaaa
@gladiatortv3163
@gladiatortv3163 4 жыл бұрын
Hii nyimbo wameimba kujibu ile ya kidudu mtu. Mimi huwa kawaida napenda bifu kaa hizi, ngoma kali. 2019 bado naisikiza
@khadiyazerea3327
@khadiyazerea3327 3 ай бұрын
Awawatu mpk leo awaelewani wazanzibar wenzangu lkn dah😢😂😂
@mjombaken2048
@mjombaken2048 3 ай бұрын
​@@khadiyazerea3327 ukweli? 🤣🤣
@zawadikuliga9658
@zawadikuliga9658 3 жыл бұрын
Kama unaangalia hii ngoma2021 ngoga like apaaaaa
@zaitunmageto4204
@zaitunmageto4204 4 жыл бұрын
My all time favorite,,,it's been my call back tune/skiza tune for seven years now💖💖💖💖💖🔥🔥🔥🙆🙆
@yy2kly
@yy2kly 3 жыл бұрын
It’s what language please?
@josephmkaka5074
@josephmkaka5074 3 жыл бұрын
@@yy2kly Swahili Language based in East Africa especially in Tanzania it's a nation language and this artist is from Tanzania at Zanzibar Island
@ibrahimbaasal3020
@ibrahimbaasal3020 3 жыл бұрын
Someone should give you a feature already lmao
@zaitunmageto4204
@zaitunmageto4204 3 жыл бұрын
@ Ibrahim Baasal 😂😂😂 they need to .
@swdaalii6892
@swdaalii6892 2 жыл бұрын
Jamani At mm taaban
@cieranmanuel7251
@cieranmanuel7251 8 жыл бұрын
Weee ndala tuuuu thamani yako chooni Chumbani waishia mlangoni huhuhu A.T wee nipe rahaa miee
@zakiya807
@zakiya807 13 жыл бұрын
HODI HODI NAINGIA NAZIREJASHA SALAMU MLANGO WANAOPITIYA KUPITA MIMI HARAMU MNAJUA MNAHAMU UGOMVI KWENU TUNU MWENYE AKILI TIMAMU KUGOMBANA KWAKE SUMU:
@izamohamed4665
@izamohamed4665 5 жыл бұрын
Wow Nani unazikia Nov22/ 2018 Kama mimi
@Jamillahs1
@Jamillahs1 13 жыл бұрын
Kwa kweli umenikosha wakijibu kweli watakuwa wasenge. Ahsante maana waliyataka
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 9 ай бұрын
Na hawajajibu mpka Leo 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@lovirinaa
@lovirinaa 2 ай бұрын
Wangapi tume muona Gabo mwigizaji wa bongo movie 0:53
@agnesssanga2588
@agnesssanga2588 3 жыл бұрын
Tuletee kigoma kipya AT we love uuuu mwaaaaaah!
@iamfatmah5227
@iamfatmah5227 3 ай бұрын
His songs hit different 🎉❤
@bulakeke8362
@bulakeke8362 4 жыл бұрын
Nani anaangalia huu wimbo 2020 tujuane
@vivianhance4760
@vivianhance4760 5 жыл бұрын
nan anaangalia huu wimbo2018
@suleimansuleiman5498
@suleimansuleiman5498 5 жыл бұрын
nice
@evanovatys1224
@evanovatys1224 5 жыл бұрын
Mm apa
@suleimansuleiman5498
@suleimansuleiman5498 5 жыл бұрын
@@evanovatys1224 nice to hear that 👏👌
@zawadisaidy755
@zawadisaidy755 5 жыл бұрын
Mm
@sisi11122
@sisi11122 12 жыл бұрын
Mwanamke mmbea utamjua , mdomo wake mweusi kama wa kunguru, na uliona wapi nyumba ya udongo ikipigwa deki. Haha mashairi yamelala.
@mabalachiyanda1189
@mabalachiyanda1189 4 жыл бұрын
Rebecca Robert aaahahahahahahhahahahahahahhahaahhahaha😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@mackmali5393
@mackmali5393 7 жыл бұрын
Hii Wimbo siuchoki!!..Asante sana ndugu yangu!!...
@FakiiAlii
@FakiiAlii Ай бұрын
iziiii ndo za kalee
@zeroiezable
@zeroiezable 13 жыл бұрын
big up at & mwa4 imetulia nyimbo kama kweli wajibu hahahaha
@k254bnn7
@k254bnn7 9 ай бұрын
2023 tuko hapa tunarepresent 🇰🇪
@winniejohns1626
@winniejohns1626 5 жыл бұрын
AT nakupenda bure kaka
@maryambailakhunani3360
@maryambailakhunani3360 3 жыл бұрын
Aweeee ❣️❣️🔥🔥🔥 1 August 2020 bado naiangalia hii ngoma
@dizokway5916
@dizokway5916 5 жыл бұрын
NAC song 2019
@didakalaule7840
@didakalaule7840 7 ай бұрын
Jeshi la mtu mmoja 🔥🔥🔥🥀⚘🌹🌷♥️♥️♥️
@yvonneajwang3810
@yvonneajwang3810 3 ай бұрын
my love for this song
@ahmedzungu2465
@ahmedzungu2465 4 жыл бұрын
Huu wimbo unanikumbush mbali sn
@kamauhsolea8246
@kamauhsolea8246 4 жыл бұрын
To write this kind of song you need a lot of time , be shape and also have knowledge of swahili
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
Mbona simple tu..
@katarinaaziza
@katarinaaziza Жыл бұрын
I agree, I am relearning swahili because of these songs ❤️
@mariajason3547
@mariajason3547 Жыл бұрын
@@RioIpo kwa wewe
@RioIpo
@RioIpo Жыл бұрын
@@mariajason3547 Sie waswahili wa Zenji tunaona kawaida tu
@judynjeri5077
@judynjeri5077 4 жыл бұрын
2020lockdown am enjoying in India❤️❤️
@prospermassawe5345
@prospermassawe5345 2 жыл бұрын
2021 and joining you in india 🇮🇳 Uttar Pradesh enjoying it
@jennifernduka720
@jennifernduka720 5 жыл бұрын
Mwenye akili timamu kugombana kwake sumu💞💞😛 ujumbe mzuri saanaaa😍😍😍😍😍
@rosejames9320
@rosejames9320 5 жыл бұрын
2019
@rashidyadam8215
@rashidyadam8215 5 жыл бұрын
Kama umefika 2019 gonga like hapa
@thabitnassoro2929
@thabitnassoro2929 5 жыл бұрын
Jennifer Nduka ulikuwaga unawafatilia sna hawa watu dad
@jennifernduka720
@jennifernduka720 4 жыл бұрын
@@thabitnassoro2929 ndio kaka
@jennifernduka720
@jennifernduka720 4 жыл бұрын
@@rosejames9320 nipo bado tunaendeleza gurudumu
@edwinkashindi825
@edwinkashindi825 3 жыл бұрын
2021 still my favorite
@pendopendo3008
@pendopendo3008 5 жыл бұрын
Nasikiliza leo 16… 3.-2019🏃🏃😍😍😍
@nancynasimiyu6439
@nancynasimiyu6439 Жыл бұрын
2022 still hitting in my veins😊🥱napenda taarab😘🥰
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 5 жыл бұрын
20/10/2018 nipo nazo nazipitia mzee, aise nlkuwa nkiinjoy sn bifu la offside na AT coz wote n wakali wa mduara ilkuwa miss sn enzi izi wallah....
@chizochivihi4915
@chizochivihi4915 5 жыл бұрын
kwer kbs hii aliijibu
@chizochivihi4915
@chizochivihi4915 5 жыл бұрын
Akiijibu ile kidudu mtu
@judynjeri1341
@judynjeri1341 5 жыл бұрын
Nice song Wapi likes za 2019
@mujigikabugi3927
@mujigikabugi3927 3 жыл бұрын
2020 iko hapa na Corona. Wapi hizo likes 🇰🇪
@gomakuu
@gomakuu 3 жыл бұрын
Tupo 2020 pamoja na korona. Hodi Afrika.
@cranq2549
@cranq2549 2 жыл бұрын
2021 still playing 🔥🔥
@machubaby2328
@machubaby2328 6 жыл бұрын
At twamis miduara banaaa 2018 watching na bado iko moto
@wakeshohussein6428
@wakeshohussein6428 5 жыл бұрын
Kabisaa daa maryam
@hamidhamad4462
@hamidhamad4462 5 жыл бұрын
30/3/2019 Dah yan imenkumbusha mbali
@daniikirunda7113
@daniikirunda7113 5 жыл бұрын
Hahahaa GABO ndani Ya msuLi
@alikhamis2013
@alikhamis2013 3 жыл бұрын
yumo
@mwanahamaam8508
@mwanahamaam8508 3 жыл бұрын
Wao...wimbo mzuri huyu dada ana sauti tamu🔥
@kibirashihabari6400
@kibirashihabari6400 5 жыл бұрын
Nan anaandalia huu wimbo 2019
@adeshchilolo896
@adeshchilolo896 2 жыл бұрын
What a song!! I've loved it since 2017
@mrsochu7504
@mrsochu7504 2 жыл бұрын
Yaani leo nna mzuka na hili song kisenge
@chiefmicca7051
@chiefmicca7051 3 жыл бұрын
The first in 2021 like hapo twende sawa
@ackshuba8679
@ackshuba8679 5 жыл бұрын
nilikiwa master wa huu ugomvi japo tulikuwa hatuna team mitandaoni ila nilikuwa siko upande wa offtrick wala AT ila nilikuwa napenda mduara wao yaan
@faidhakassim9477
@faidhakassim9477 5 жыл бұрын
2019 like km vipi twende sawa
@shakilahpurity7314
@shakilahpurity7314 5 жыл бұрын
2018/8/26 sunday 6:46pm 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍💗💗😍 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mathayodickson1691
@mathayodickson1691 4 жыл бұрын
Shakilah Purity jaman mambo vipi mzima wewe nimekumisi nyimbo hi inanipeleka mbali
@daudidaniel7975
@daudidaniel7975 3 жыл бұрын
Tuko na hii nyimbo now 2020 /08/27 nyimbo bado tamu ❤️
@KTMediatv
@KTMediatv 2 жыл бұрын
Kama umemuona gabo zigamba humu gonga like 😅 2022 .
@jamesmariga6531
@jamesmariga6531 6 жыл бұрын
Its as relevant as it was 7 years ago.. KUDOS
@evancrjoseph8319
@evancrjoseph8319 4 жыл бұрын
Nani kautizama wimbo 2020 mwaga like Kama zote
@blacktulip4386
@blacktulip4386 6 жыл бұрын
ATI mkiongea nikona nyinyi na mkinyamaza ntajua mnaniogopa
@therealOssie
@therealOssie 10 жыл бұрын
R.I.P headphone user's on the intro. :D
@vloglifewithisma3259
@vloglifewithisma3259 2 жыл бұрын
Damn
@nadiasumaya4481
@nadiasumaya4481 Жыл бұрын
2023 still a vibe ❤️❤️😘
@davidnchoji
@davidnchoji 8 жыл бұрын
I never stop loving this song 😁😁😁😁
@jumaforodha2567
@jumaforodha2567 5 жыл бұрын
Hahahaha😂😂😂😂
@asmhatanzania8697
@asmhatanzania8697 4 жыл бұрын
🔥
@davidandrew3481
@davidandrew3481 3 жыл бұрын
Si ukoment kwa kiswahili braza
@davidnchoji
@davidnchoji 3 жыл бұрын
@@davidandrew3481 Five years ago, nilikuwa bado mwanafunzi...so relax Bro😎
@davidandrew3481
@davidandrew3481 3 жыл бұрын
Hamna kurelax hapa, kwann usinge andika essay ya page 3
@achiever3335
@achiever3335 3 жыл бұрын
2020 bado twaskiza hii hit kali
@mustafamatata3795
@mustafamatata3795 3 жыл бұрын
....uliona wapi nyumba ya udongo ikapigwa deki...........dah
@mahirnassor3118
@mahirnassor3118 4 жыл бұрын
8/8/2019 gonga like kama bado unapenda hii nyimbo
@manaimmanaim3689
@manaimmanaim3689 3 жыл бұрын
Souze
@swahilisongswithZita
@swahilisongswithZita 12 жыл бұрын
jamni sijui kama nitaichoka hii video...!haswaaaa wajibu tuburudike!
@alanochieng8643
@alanochieng8643 4 жыл бұрын
Hyy mtoto mswahili am serching
@shabanluogah3207
@shabanluogah3207 5 жыл бұрын
Raha jmn,,,,A.T unanifurahisha
@jikonishopping41
@jikonishopping41 3 жыл бұрын
Good music nani anaenjoy mpaka leo 2021
@sarahnilla9266
@sarahnilla9266 7 жыл бұрын
at uko juu sana na utabaki kuwa juu
@zaribaeofficial6510
@zaribaeofficial6510 Жыл бұрын
Wow mashallah I can't stop listening to this song in 2022 🤗❤
@lazizyssecretadmirer6599
@lazizyssecretadmirer6599 5 жыл бұрын
My love for this song grows day by day..
@mohdhussein9749
@mohdhussein9749 6 жыл бұрын
Duh baba umewamaliza hhhhhh😂😂😂😂😂😂
@janechepchumba3128
@janechepchumba3128 6 ай бұрын
My best song ever❤
@erickjery8884
@erickjery8884 4 жыл бұрын
Kama imetoka jan vile mpak xax nani nipo nae 2020
@aminakazogolo9914
@aminakazogolo9914 5 жыл бұрын
Who is listening this song 2019?
@hafswaabdulrahman5618
@hafswaabdulrahman5618 4 жыл бұрын
🖐
@enilson1254
@enilson1254 11 жыл бұрын
mmh maneno yamewafikia kabisa..
@djbabuke
@djbabuke Жыл бұрын
Kuanzia 2014 Bado naipenda
@rukiam88
@rukiam88 11 жыл бұрын
Msg direct. Hakuna kuficha.
@shairanibrah7609
@shairanibrah7609 5 жыл бұрын
who listen this song 2018
@limasadia3292
@limasadia3292 5 жыл бұрын
Shairan Ibrah on replay 😁😁😁
@pinpaul1
@pinpaul1 9 жыл бұрын
vifuu tundu nini tafadhali nielezeni na upenda hu wimbo sana
@joharimohamed256
@joharimohamed256 5 жыл бұрын
walimuogopa ndomana wakakaa kimya
@jennifernduka720
@jennifernduka720 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@matembatony9287
@matembatony9287 2 жыл бұрын
Hilo dege ndo walimjibu
@machubaby2328
@machubaby2328 6 жыл бұрын
Hahaaa waambie chei cheii
@swalehfosi8911
@swalehfosi8911 5 жыл бұрын
wakali wahizi kazi😏😏😏 ...wakali izi kazi wakali wa mashuzii 😂😂😂😂
@zainabsuleiman5920
@zainabsuleiman5920 Жыл бұрын
Wee ndara tuu samani yako chooni chumbani huishia mlangoni looohh
@salamsospeter1320
@salamsospeter1320 5 жыл бұрын
Mnajua kuchum lakin mnanuka midomo😂😂😂
@RizikiNash
@RizikiNash 9 жыл бұрын
Mnajuwa kushum lakini mnanuka midomo hahahahahaha, wewe ndara tu kiekiekiekie. Uliona wapi vijumba vya udongo vikapiwa deki hahahahahahaha.
@joycejamu7327
@joycejamu7327 5 жыл бұрын
Hahahaaaaaa
@rizikinash8221
@rizikinash8221 3 жыл бұрын
@@joycejamu7327 shida wangu
@aveirastephen9227
@aveirastephen9227 5 жыл бұрын
Duh 2019 .maisha haya
@shabanimarijani662
@shabanimarijani662 5 жыл бұрын
I love the song, have a good message in the societies.
@allymtamilwa6899
@allymtamilwa6899 5 жыл бұрын
Wangapi wanampenda mwanne othman kamby wa est africa redio kuanzia hapa kwenye wimbo mpka alipo mtangazaji now?
@maryanney7763
@maryanney7763 6 жыл бұрын
I really lv this song from inner part ov my heart
@kingking-ix9ym
@kingking-ix9ym 11 жыл бұрын
Mwalimu hafanyi mtihani kwa sababu aliuandika? good one
@ulujay7532
@ulujay7532 Жыл бұрын
Hii sasa ndio kuchamba original si hii ya sasa kutumia manguvu 😂😂😂
@hamidaally5441
@hamidaally5441 4 жыл бұрын
Nzuri sana
@jumalucas9505
@jumalucas9505 5 жыл бұрын
we ndala tu thaman yako mwisho mlangon hahahhahahahaaaaaa
@ladykeyterkipenzichababa1742
@ladykeyterkipenzichababa1742 5 жыл бұрын
Wah nan acheza nami weh zuuh
AT - Bao La Kete (Official Music Video)
6:03
BEY
Рет қаралды 223 М.
Offside Trick | Aambiwe (Babu Jinga) | Official Video
6:03
Umejuaje Kama si Umbea -Mwana Idi Shaban
13:48
Kiboisbreeders
Рет қаралды 3,7 МЛН
AT Feat Stara Thomas - Nipigie
4:47
BongoTanzaniaTV
Рет қаралды 600 М.
Offside Trick - Samaki (Official Video)
5:37
Mziiki
Рет қаралды 1,2 МЛН
AT - Unatamani (New Video)
6:35
Said Ali
Рет қаралды 9 М.
Ali Kiba - Usiniseme
4:09
EastAfricaTube
Рет қаралды 6 МЛН
Zoa Zoa lyrics - East African melody modern taarab  (Mwana idi shaban)
16:54
SWAHILI TAARAB LYRICS
Рет қаралды 281 М.
Offside Trick ft Hammer Q   Dege {Official Video}
4:46
AbrahThaProducer
Рет қаралды 2,5 МЛН
Taarab: Nitadumu nae
8:37
Swahili Taarab
Рет қаралды 4,1 МЛН
Kinyaunyau (Official Video) - Kilimanjaro Band Njenje
6:46
Kilimanjaro Band Njenje
Рет қаралды 1,3 МЛН
Зу-зу Күлпәш.Түс (16 бөлім)
40:42
ASTANATV Movie
Рет қаралды 613 М.
Spongebob team his wife is pregnant #spongebob #marriage #pregnant
0:12
Китайка и Пчелка 10 серия😂😆
0:19
KITAYKA
Рет қаралды 1,7 МЛН
Удачливая дочь сделала из отца миллионера 😳 #фильм #сериал
0:59
DixyFilms - Фильмы и сериалы
Рет қаралды 12 МЛН
TRY NOT TO LAUGH 😂
0:56
Feinxy
Рет қаралды 8 МЛН