Watunjatanjata EDDY hongera sana unatukumbusa mbali sana
@allenshetuli91002 ай бұрын
Uyu mtu nikipaji kikubwa sana ,Kaka yangu Mungu akupumzishe pema ,,kwao vuga lushoto Tanga
@tumainindaki64644 жыл бұрын
Tumepoteza muziki wetu kwa kisingizio cha kizazi kipya, aibu kwetu. Fast mover Eddie Sheggy alikuwa makini sana
@moseswere74784 жыл бұрын
Kweli. Kizazi kipya kimeua real artist. Mbaya kabisa
@iddikambi70865 жыл бұрын
Nikawa radhi hata cfikii nafsi yangu thaman ya kukupenda nilidiliki dunia nzima kunitenga lakin si wewe kipenz.kwa kwel nasema nasikitika kwanza kumpoteza eddie na pia kupoteza mziki huuu jaman daah
@zainabuselemanimsalama27036 ай бұрын
Hata kuidhiki nafsi yangu
@ughcleo774610 жыл бұрын
Mungu amuweke mahali pema shujaa huyu Eddie Sheggy!Kazikwa akiwa masikini kabisa nyumbani kwao Tanga!Alikuwa anajua sana muziki huyu bingwa!
@eddienassor48010 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Charles
@TamuzaKale8 жыл бұрын
HAPO ndo inapouma sana..
@jeffnanume24047 жыл бұрын
Tunasubiri wafe ndio tuanjitia.....ooh marehemu alikuwa mchango na mkubwa sana kwenye muziki wa dansi.
@jacksonzebedee46686 жыл бұрын
First mover huyo !! Kaka!!??? wee wacha tuu!!!!
@othumanlorenzo2606 жыл бұрын
Eddy christian sheggy alikuwa mwanamuziki sana sema ndo mambo ya maisha .....na alikuwa msomi wa kiwango mengine ni tunaawaxhia mwanamuziki wenyewe japo tuna jukumu LA kuwakumbusha sana mini wafanye maishani mwanamuziki wa zama zao walikuwa sana kipato zaidi ya mamesenja na wafanyakazi wa level flan sema ndo changamoto ya kazi
@toshamezaw14606 жыл бұрын
...Ufukara umekuwa kashfa ya mapenzi yangu.. nakumbuka migombani street mikocheni mwaka 1989 nikiwa darasa la 3 Mbuyuni primary. Narudi home nakuta ugali na ndondo halafu RTD kinapigwa hiki kibao.
@hassanmachano68276 жыл бұрын
Hahaha
@kelvinrashmarwa73577 жыл бұрын
Nimekumbuka zamani sana tulianzisha band yetu magitaa ya madebe nilikuwa mwimbaji nikijiita Sheggy
@hassanmachano68272 жыл бұрын
Hahaha wewe wacha kutudanga eddy sheggy wa kuchovya hohoho
@najmasaleh92317 жыл бұрын
Bendi ilikusanya wagosi wengi mno na kazi zake ziko poa asante sana watunjatanjata Abdul salvadoo, sheggy, kalala na wengine wengi
@fadhililihinda64912 жыл бұрын
Ingawa nadhani kipindi wimbo Hu unatoka, Abdul Salvador alikua Iringa na wana TANCUT Almas
@julithamuhale72714 жыл бұрын
Duuh! Eddy shage! Umenikumbusha mbali Sana! Asante Sana kwa burudani. Asante washirika
@jamesmlularipjalalaally55222 жыл бұрын
Mnasifia wote mnamuacha mtunzi Madaraka Morissi
@erickwambia265310 жыл бұрын
Duuh.njata moto wa kuotea mbali.nimekubali eddie
@bigdad18167 жыл бұрын
Ndugu Edie Asante sana kwa nyimbo hizi nzuri kwangu umenikumbusha mbali sana toka sukuma land CCM kirumba,Pamba sana Tp lindanda,Pan African kweli Watanzania hawana shukurani vipaji kama hivi havitaweza tokea na wala hawakumbukwi kweli nabii uwa anathamani kwao ,huu ndio muziki uliokuwa unapigwa ns watu wenye vipaji na sauti sio bongo fleva wakati wamekopi soul au zouk au hip hop halafu wanasema bongo fleva asante sana
@clementhiddi14862 жыл бұрын
On point bro
@HalunaSimba-yg9hv10 ай бұрын
Kila kitabu na wakati wake bado tutawakumbuka milele
@nowelaraymond59863 жыл бұрын
Big up sana japo haupo nasi bro.
@idrisamtamike48718 ай бұрын
Nakumbuka miaka ya 1989 JKT Makutupora tukiwa tunaenda kukata kuni ( Mitunduru) asubuhi huku tunasikiliza RTD kipindi cha Kombora.
@mwasakafyukasamson4 жыл бұрын
Music huu nilikua nausikiliza kwa utulivu , hayati Babu yangu alipenda sana music .....Asante Mungu kwa kuishi zama ambazo Tz ilikua na Muziki maridadi sana . Zama ambazo wote tulisikiliza Radio ya Taifa ikiungurumisha kwenye mawimbi ya Short wave kwenda duniani kote .
@rubamann4 жыл бұрын
Hii ni kabla mambo ya Uaya, Marekani hayatukamata. Tulikuwa tunathamini vya kwetu.
@rehemadongo15705 жыл бұрын
Daaaaahhhhhhh huuu ndio ulikua mziki,,,,,,
@robertnkungwe15425 жыл бұрын
Daaah,92 club,pale siku hizi sanciro....Adam Bakari,panduka,fast mover..aisee kulikuaga hakuna foleni,niko mgabe primary school la 4 b 1992...
@zainabuselemanimsalama27036 ай бұрын
Mwanagu nakumbuka sana 92 enzi hizo
@julithamuhale72714 жыл бұрын
Daah! Wimbo naupenda huu! Asanteni Sana washirika watu njatanjata!
@salomefelix20527 ай бұрын
DA JUL ACHA TU MI MPAKA NALIAGA NIKIKUMBUKA ZAMANI ZANGU....2024 sasa ,,,namshukuru Allah.
@elialesley17403 жыл бұрын
Julieeeee kwangu ni maumivu makubwa sana niusikiapo huu wimbo
@claudibrain115310 жыл бұрын
asante nyimbo nzuri sana na sauti ya Eddie sheggy..
@eddienassor48010 жыл бұрын
Claudi Lewete
@fredricknkwanga78455 жыл бұрын
Nampenda sana Idi Shegi. Yupo sawa .
@mohamedykitwiko7624 жыл бұрын
Mbona nyimbo nyingine azionekani Jamani, kama Anitha, Subila, za Eddy shegy izo
@shanjarikayusuph61529 жыл бұрын
safi sana nimemkumbuka eddy sheggy fast mover wakati nasoma msingi na secondary Eddie namba niongezee nyimbo za sheggy kama zayumba,ketti ,anita,penzi LA ulaghai,milima ya kwetu, na nyinginezo
@dottomkalenda93665 жыл бұрын
Nirikuwa nazisikiriza Sana nirudipo shureni mchana kwenyekipindi chapokeasaramu RTD
@ba320610 жыл бұрын
Mziki safi sana...nakumbuka mbali sana...Thanks Eddie
@fadhilihussein65809 ай бұрын
Siku zinaenda kw Kasi sana
@fadhilihussein65809 ай бұрын
Watunjatanjata, WATANZANIA~ TUONDOE~NJAA~TANZANIA
@elizabethmakaranga14696 жыл бұрын
Umenikumbusha Mbali sana hongeraaa
@aminashauli63514 жыл бұрын
Duuuuu,hatari sana,kitambo lkn leo ni burudani tosha
@josephkidunda29989 жыл бұрын
nakumbuka baba alivyokuwa anaupenda huu wimbo, hatari sana....
@barnabachiee12776 жыл бұрын
Joseph Kidunda
@NowelaRaymond-zq4ys6 ай бұрын
Hatareee. Sana❤❤❤
@sangomamourice35392 жыл бұрын
Ilove this song mwamba toka sambaani
@aidanmagovela64072 жыл бұрын
Nakumbuka kipindi hicho naenda shule mchana miaka ya themanini huko....
@lupakisyomsese82104 жыл бұрын
Ufukara nilio nao ee Julie hatari sana, nahisi kama nilikuwepo vile enzi hizo.
Ni kweli Muna, wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana.
@fadhililihinda64916 жыл бұрын
munaaisha Khamis Enzi za hunters club miaka ya 80 mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 90, kwa wasio fahamu hiyo iliokua hunters club sasa hvi ni kanisa la askofu Gwajima pale Ubungo. RIP Eddie Shegy
@waziriselemani57738 жыл бұрын
Eddi nasor kuna wimbo wa vijana jazz unaimbwa hivi. nyote wake zangu mapenzi yangu kwenu ni sawa mpendane ndio heshima ya ndoa he
@chrismpanji41855 жыл бұрын
Nakumbuka tukiwa kijiji cha chitekete kule Newala baba yangu mzee Mpanji akiwa mwalimu miaka ya 80-90
@marykennedymarwa16412 жыл бұрын
Asante ndugu , mwaka 2022 Bado kitu kinasikika
@rutarutahindurwa20802 ай бұрын
Bado nasikiliza November 16 2024
@jujukashasende46378 жыл бұрын
I love this song 😍 Julie
@jacksonzebedee46686 жыл бұрын
First mover alikuimbia wewe, Julie Kay :-)
@mohamedwage92322 жыл бұрын
@@jacksonzebedee4668 and the same
@nasirally909810 жыл бұрын
shukrani kaka Eddie kwa huu wimbo aisee
@eddienassor48010 жыл бұрын
Karibu tena Nasir
@hassanmachano68276 жыл бұрын
@@eddienassor480 kaka huu wimbo Anita mbona siuoni au upo kwa jina gani?
@athumanimnyasa5696 Жыл бұрын
Hatokei tena kama huyo,
@alexmanyerere96519 жыл бұрын
kaka Eddie hebu anza kutupia za toto tundu hapa matching itakuwa murua
@rutarutahindurwa20805 ай бұрын
Wakati ukuta
@linusleon70187 жыл бұрын
Ilikua hotell 92 shekilango
@cassianndunguru3560 Жыл бұрын
Walijitahidi kutuliza akili wazee wetu....
@eddienassor4809 жыл бұрын
Zote ulizotaja zipo hewani tayari
@twilamtumbi26478 жыл бұрын
asante kaka
@hermanshirima37307 жыл бұрын
Eddie Nassor kaka ntumie wimbo wa Leila sijui uliimbwa na bendi gani unaimbwa "ahaha yemee yemee nataka nijenge mnara kwa heshima ya penzi letu usiweke moyo wangu mbali mama Leila" plz bro
@mohamedykitwiko7624 жыл бұрын
Anita, siuoni umu na subila vp mkuu
@lewiskitembe77186 жыл бұрын
Dah!
@abdulililibaliliba42585 жыл бұрын
Kwanza nashukuru kwa nyimbo nzuri ila naomba nyimbo zifuatazo bulwa tabia mwanjelwa ubaya wa jilani malijani rajabu kilamunu avena kwao 1
@rehemaaugustino676210 жыл бұрын
Ya kale diamond zaidi ya Dhabi
@eddienassor48010 жыл бұрын
Umeona eh?
@rehemaaugustino676210 жыл бұрын
Nimeona Swahiba inaburudisha na kusahaulisha taabu realy like it mwa
@eddienassor48010 жыл бұрын
Haya burudika mwaya!
@rehemaaugustino676210 жыл бұрын
Usihofu, ila natafuta mapenzi ya wake wawili hayawezi kuwa ya kweli eze unaupata swahiba?
@eddienassor48010 жыл бұрын
Wa nani huo?
@fadhililihinda64918 жыл бұрын
msafiri suba kwenye trombol, mzee mzima hamza kalala kashika mpini, lead guitar, father kidevu kwa keyboard ndani ya ukumbi Wa hunters club ( sasa ni kanisa la askofu Gwajima) enzi hizo mwishoni mwa miaka 80.
@othumanlorenzo2606 жыл бұрын
Mbele yapo shegy....zahir Adam bakari etc hebu endelea kaka tafadhati
@mussaesanju97834 жыл бұрын
Kati ya 1987__1990 nikiwa o level Ruvu ss daaaa machozi
@willbrodngua31162 жыл бұрын
Hapo Mzee hamza kala alihama vijanjaazi natimu mzima nauanzisha watunjatanjata washirika tz stars
@fadhililihinda64912 жыл бұрын
@@willbrodngua3116 Correct. Vijana Jazz pengo la Hamza Kalala aliliziba dogo mmoja anaitwa Shaaban Yohana aka Wanted, wao walikua na mpiga kinanda mwanamke mmoja hivi namsahau jina
@OmaryIddi-qw9ww Жыл бұрын
ll
@fadhililihinda64918 жыл бұрын
msafiri suba kwenye trombol, mzee mzima hamza kalala kashika mpini, lead guitar, father kidevu kwa keyboard ndani ya ukumbi Wa hunters club ( sasa ni kanisa la askofu Gwajima) enzi hizo mwishoni mwa miaka 80.
@galinoma6 жыл бұрын
wakati mwingine huwa nasahau kuwa niliwawahi sehemu ya hii bendi ya ushirika wa tanzania stars! niliwahi kuwa kiongozi wa hii bendi nguli ya ngoma za gorofani....kabla ya watunjatanjata!!! Salvado sailas ndumbalo mzee mapili Hussein sadiki mzee makata makunguru shabani kwenye rhythm bure mussa balaha!! bila kumsahau bi Tabia! Halfani. Mbwebwe allibita pia kabla hajaenda msondo. ama kweli muda ni dhahabu!!!!
@fadhililihinda64916 жыл бұрын
galinoma Mkuu Galinoma nakukumbuka sana tu, kidogo nimepoteza kumbukumbu, ulipitaga pia TANCUT Almasi ya kwenu Iringa?