No video

Mzozo waendelea kutokota kuhusu hatma ya atakapozikwa kijana wa miaka 12 aliyepigwa risasi na polisi

  Рет қаралды 6,228

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Mzozo umeendelea kutokota kuhusu hatma ya atakapozikwa kijana wa miaka 12 aliyepigwa risasi wakati wa maandamano eneo la Rongai kaunti ya Kajiado. Utata kati ya baba na mamake mtoto Kennedy Onyango sasa ukisababisha kusitishwa kwa mazishi yake kaunti ya Homa Bay. Licha ya mama kuandaa mazishi ya mwanawe, babake mtoto alielekea mahakamani kutaka apewe idhini ya kumzika kijana wake.

Пікірлер: 25
@luqash_luqman9744
@luqash_luqman9744 Ай бұрын
Huyu mama anapitia magumu sana 😢😢Mungu amsaidie
@madinaibrahim8125
@madinaibrahim8125 Ай бұрын
huyu mzee anataka tu pesa
@kwekwenyotakwekwenyota183
@kwekwenyotakwekwenyota183 Ай бұрын
Wakati baba mtoto analea mwanawe kwa 10years huyu mwanamke alikuwa wapi
@fatimaabdulla6967
@fatimaabdulla6967 Ай бұрын
Nashangaa yani
@dickensojiambo275
@dickensojiambo275 Ай бұрын
Ruto will never get peace
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b Ай бұрын
Haya yangekuwa mazishi ya kawaida baba hangekuja ,bt ata kama kuna shida ,ni viema mtoto azikwe kwso,hapa ndio unasikia ukiachana na mume na uko na watoto walee mwanzo wafike umri wakujitegemea ndoa haitoroki wala hakuna ndoa nzee utapata tu atakae kufaa
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Ай бұрын
kwani mtoto ana baba wangapi ,,,,huwa namuona baba mwengine akifanya interview???
@kwekwenyotakwekwenyota183
@kwekwenyotakwekwenyota183 Ай бұрын
Baba anafaa kuzika mtoto huyu mwanamke aache ujinga
@ThankGod2024
@ThankGod2024 Ай бұрын
😮poor child !!
@emilysawayi5787
@emilysawayi5787 Ай бұрын
Understand her mtoto ni wake
@scienceguy5259
@scienceguy5259 Ай бұрын
I come from rusinga
@ag-tm7je
@ag-tm7je Ай бұрын
But babake ako na right ya kuzika mtoto coz huyo mama aliwacha mtoto kwa babake since 2015 akamchukua 2022 amekuwa akimlea all those years na pia hao dada zake huyo kijana Bado wako kwa baba yao mbona akamzike kwingine
@jacklineadhiamboowino964
@jacklineadhiamboowino964 Ай бұрын
Kwani huyo baba alikua wapi
@zeynabtwaha4260
@zeynabtwaha4260 Ай бұрын
Mwanadamu akiwa hai hakuna mtu anahaja naye lakini akisha kuwa marehemu anakuwa mtamu what if uyo mtoto angekuwa anauguza majeraha huyo babake hangeshughulika
@josphineorawo4851
@josphineorawo4851 Ай бұрын
sperm donor amejitokezea juu ya pesa
@fatimaabdulla6967
@fatimaabdulla6967 Ай бұрын
Understand the situation please this father has been raising his own kids the boy plus the girls only that the boy went for a visit to his mom and never came back only a year ago now
@AnkoLolo-mv5bk
@AnkoLolo-mv5bk Ай бұрын
Niliskia watu wakisema Ni ruto amechukua mtoto mbona Tena imegeuka Kuna kesi ya wanaume wake huyu mama wakenya mko na ujinga sana
@carenchepkurui126
@carenchepkurui126 Ай бұрын
It's true my dear
@Mboki2
@Mboki2 Ай бұрын
Ruto angejua hangeua huyu aki Hata pa kuzikwa n shida man
@carenchepkurui126
@carenchepkurui126 Ай бұрын
Wewe unaongea ujinga, qwani n ruto ameuwa.. nonsense
@mainakihurusia6380
@mainakihurusia6380 Ай бұрын
alichukua bunduki akauwa au c utuambie vizuri eyewitness
@carenchepkurui126
@carenchepkurui126 Ай бұрын
@@mainakihurusia6380 watu wengine cjui wanakaa aje
@Mboki2
@Mboki2 Ай бұрын
Chep na Maina commenting! Haha hata siwezi soma juu hawanaga cha kusema 😂😂😂😂empty debes
@mainakihurusia6380
@mainakihurusia6380 Ай бұрын
@@Mboki2 hii ni siasa too inatumika kuaribu nnchi yetu ...tutabaki kua Ka southern Sudan ikiiendelea hivi ...there are some want to withdraw government...why they spot parliament building and fire 🔥
Money lending scheme cons hundreds of Kenyans
4:30
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 11 М.
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 26 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 5 МЛН
Raila's AUC Bid Launch: Tanzania President Samia Suluhu's speech
7:05
LIVE: House quad-committee hearing on EJKs, Pogos | Aug 28
INQUIRER.net
Рет қаралды 15 М.
Police have launched probe into the death of Sarah Njogu
3:48
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 31 М.
Mtoto wa miaka 12 aliuwawa kwa kupigwa risasi
4:00
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 29 М.
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН