Allah akuzidishie kheri fidunia wali akhera sheikh Othuman na hasadi husuda Allah akuepushie nayo
@bellbell92943 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu kwa ujumbe mzuri Allah akupe jannah firdausi Aamiin nakupenda kwaajili ya Allah jazaka Allahu khair Nas twamuomba Allah atuongoze njia iliyo nyooka Aamiin
@jamilajamal69064 жыл бұрын
Maashaallh mwenyezimungu akuongoze na elimu yako dinia fill akhela
@ashafadhili15133 жыл бұрын
Alhamdulillah shekh twashkur kwa darsa Allah akuzidishie.
@gumatohuka88274 жыл бұрын
Imani ni kitu kikubwa duniani. Amin.
@akramdinn74 жыл бұрын
ahsante shkh mkuu wa afrika mashariki
@faizabaishe51724 жыл бұрын
MaashAllah Alhamdulilah Allah atuongeze katika njia ilonyoka na atuepushe na moto 🤲 shukran Sana
@pilimbogo14044 жыл бұрын
Mashaallah
@aminaabdiabdi71124 жыл бұрын
Mashaallah kabla ATA cjamaliza kkckiza nakpenda kwaajil ya Allaah nmefrahi Sana tena Sana nlipokuaona juzi masijid Al hudda Nairobi south b Allah akuweke maalim uzidi ktufunza Inshaallah
@shaabansoma76614 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuzidishie elimu zaidi ya hii.
@user-dn7gn6ib4k4 ай бұрын
Mashallha sheik ❤
@fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын
Amin yarabi shukran wajazaka llahu heri
@shuhaidaomar33474 жыл бұрын
masha Allah
@mgenimvumba81964 жыл бұрын
Jazkhaallah kheir
@gumatohuka88274 жыл бұрын
Tumshkuru Mungu kwa kile tuliyopewa na mwenyezi.
@nasymchuzi86674 жыл бұрын
Nampenda kwaajil ya Allah
@user-nr1bf7iu8z4 жыл бұрын
MashaAllah jazzakh Allahu kheiri inshaAllah shukran sheikh niukweli mtupu mwenyezi mungu atuepushe na shirk.
@jumazubar97714 жыл бұрын
A.ALLAAYKUMU JAAZZAAKM KHERI AALLAAHH ATAKULIPA KWA DAWA AAMIIN
@ftimaramadan47483 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabby Alamin
@gumatohuka88274 жыл бұрын
Taamma ni mbaya,. Yaani ni nzuri kufa maskini.,. mwenyezi Mungu atulinde. Amina.
@mamoulovecherry51213 жыл бұрын
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh MashaAllah tabarakallahu nakupenda kwajili ya Allah namuomba Allah atakapo nijalia doa kizazi atakacho nijalia naomba kifanane na ww kila kitu ewe Mola wang nakuomba uwenz kutakbali duwa yang unijalie vizazi watakao fata nyao za sheikh othuman maalim kuongea kutowa mawadha na kusoma qru'an
Kwann shehe mashehe wengi ndio wanaongoza kwa huo uganga na ndio wanatuongoza
@abeliever68234 жыл бұрын
Assalaam Alaykum Mbona you don’t upload video anymore Just sauti
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
Assalamu alaykum warahma tullah wabarakatuh. Riyadh Tv Naomba kila mawaidha ya sheikh Othman mnitumie kwenye namba hii 0767 038682 kwani Ni ndugu yangu wa damu na anampenda huyu sheikh. Kama mtaiona comment yangu naomba mnifahamishe in Sha Allah.
@abdijabarissack93213 жыл бұрын
Upload historia ya mtume kuwatuma maswahaba habasha
@salehemohamedi56154 жыл бұрын
Maarimu,naitaji mawaidha, ya, ipi taraka inayofaa, na misingi ya mke bora, au mume bora, nisaidie hiko kisa
@faizasaid82624 жыл бұрын
Kwenye mganga😁😁😁😁😁😁😁
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Muhammed na Faiza kuja hawa wandugu
@faizasaid82624 жыл бұрын
zayyati yusufu nipo my Asnte
@faizasaid82624 жыл бұрын
zayyati yusufu kuna sheh othman micheal chanal ya masijid mtoro unamfatilia yule kuna mdada aitwa wakaya ananiuliza faiza zayyat hii chanal haijui nikamwambia sijui ila mmi sijawai kuona comment yke kma vipi fuatilia my
Aslm alkm mashaallah Allah atujaalie ni wenye kufuata
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
@@faizasaid8262 assalamu alaykum warahma tullah 😄😄 wallah nimecheka watuwengi huwa wanajua Mimi Ni mwanaume kwa hilo jina. Ila jinalungu Ni Aisha sawa mpenzi