Nabii Daniel Shillah: UKIMWI sio Kitu cha Kuogopesha Watu wanapona kirahisi kabisa

  Рет қаралды 77,450

TimesFMTZ

TimesFMTZ

6 жыл бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 168
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
kijana ni mdogo like me,JESUS alintokea akaniponya akanihaid baraka,nimeokoka nampenda YESU ,lm happy full of peace
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Unahitaji msaada wewe,,, aliona malaika mwenye kwato
@richardbuhatwa1940
@richardbuhatwa1940 6 жыл бұрын
nice prophet
@christinamonyi4275
@christinamonyi4275 6 жыл бұрын
Barikiwa sana nabii,,ukimwi ni pepo tu tukimwamini mungu ktk roho na kweli hakuna jambo linaloshindikana..ukiwa na imani ndongo kama chembe ya haradani twaweza kuamisha milima...god bless you.
@raymondjoas4118
@raymondjoas4118 6 жыл бұрын
Asante sana Nabii. Jibu la Biblia Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.​-Matendo 3:​18. Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu? Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake: Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.​-Kutoka 31:18. Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:​2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”​-Kutoka 34:27. * Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:​28-​36;Ufunuo 1:​10-​17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-​21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.​-Danieli 7:1; Matendo 16:​9, 10. Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.​-2 Samweli 23:​1, 2. Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao? Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:​4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.​-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20. Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.​-Waamuzi 6:​6-​10. Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.​-Yohana 4:​17-​19. Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.​-Luka 22:63, 64.
@raymondjoas4118
@raymondjoas4118 6 жыл бұрын
Hii ni mchango wangu ili jamii iwe na uelewa zaidi Nakuunga mkono Nabii Daniel
@iddyshabani4201
@iddyshabani4201 5 жыл бұрын
Christina Monyi ukimwi co pepo ni ugonjwa ulio tengenezwa na wamarekan ili kudhohofisha Africa ili tupungue waje Kuitawala na kuchota mali. ila dawa zake zipo za mitishamba kwanza mungu alishasema hakuna ugonjwa uliokosa dawa tatizo kuijua dawa hii inatibu ukimwi
@mathiasmassawe3738
@mathiasmassawe3738 6 жыл бұрын
Wanyiramba mmepata Nabii , hongereni sana Shillah huyoo.......!!!!!!
@minzaaemmanuel2452
@minzaaemmanuel2452 5 жыл бұрын
Mathias Massawe hahahahaaa nyiramba mungu hajatusahauu
@florahwilliam8334
@florahwilliam8334 5 жыл бұрын
Nashukuru Sana nabii prophet Daniel nimeridhika Sana na mahubiri yako Kabla ya kusikia nimahojiano tu. Nakpateje mtumishi nimeguswa Sana nipate huduma kwako
@jacobmsule5191
@jacobmsule5191 6 жыл бұрын
angekua na njaa angegawa hela jamaan...sema hata magu hawamuamin japo anawafanyia haki...in God we trust
@estherpeter7177
@estherpeter7177 6 жыл бұрын
nimekuelwa sana prophet....pia nimependa coz hugusi utukufu Wa Mungu. Mungu asikuache
@judigati1829
@judigati1829 5 жыл бұрын
Jamani huyu NABII anapatikana wapi kanisa liko wapi?au namba za cm
@raymondjoas4118
@raymondjoas4118 6 жыл бұрын
Nakubaliana na Nabii Daniel Jibu la Biblia Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.​-Matendo 3:​18. Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu? Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake: Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.​-Kutoka 31:18. Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:​2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”​-Kutoka 34:27. * Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:​28-​36;Ufunuo 1:​10-​17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-​21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.​-Danieli 7:1; Matendo 16:​9, 10. Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.​-2 Samweli 23:​1, 2. Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao? Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:​4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.​-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20. Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.​-Waamuzi 6:​6-​10. Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.​-Yohana 4:​17-​19. Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.​-Luka 22:63, 64.
@hildakaaya6924
@hildakaaya6924 6 жыл бұрын
be blessed prophet..
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
I was praying for this, now GOD has started doing what he promced
@adamcharles8995
@adamcharles8995 6 жыл бұрын
Mungu mwenyewe aendelee kukutumia sawa sawa na mapenzi yake
@msafiriaugustino2957
@msafiriaugustino2957 6 жыл бұрын
nabii wa uongo huyo, rafiki soma biblia utoke gizani
@clarakulwa9412
@clarakulwa9412 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana. Nimekuelewa vizuri. Imani Agano na rehema
@rehemamsekeni9640
@rehemamsekeni9640 6 жыл бұрын
Blessing
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 2 жыл бұрын
Jamani mjamasikio amsikii anafanya mwenyewe afanyi Mungu sijasikia akisema Mungu anafanya kunitumia mimi anasema nikitu nimefanya mi unidanganyi nalijua neno.
@mariamunniyararaze691
@mariamunniyararaze691 6 жыл бұрын
Barikiwa mungu anaponya,mungu akuzidishie hekima,akupanulie mipaka amin be blessef
@jacksonmashimba9987
@jacksonmashimba9987 5 жыл бұрын
mariamu n niyararaze re
@pindabutter2736
@pindabutter2736 5 жыл бұрын
Acha upumbavu wewe, akili zenu zikowapi, moyo wenu aupo kwa MUNGU kabisa huu ni ujinga yani mama mzima kama wewe unategwa na mtoto mdogo hivi, daa kweli watu wajinga, mwambie akufungulie simu yako…..
@pindabutter2736
@pindabutter2736 5 жыл бұрын
Oyaa nabii fala, naomba unifungulie simu yangu, nimesahau password yangu.
@JoyceGeorge-qv4ck
@JoyceGeorge-qv4ck 5 жыл бұрын
songa mbele nabii Daniel usisikilize maneno yaoooo yesu mwenyewe walimkataa sembuse wewe !! maneno yao yasikuvunje moyo
@allenmrema2919
@allenmrema2919 6 жыл бұрын
thank you God!
@benmbwele
@benmbwele 6 жыл бұрын
You are so blessed brother..... you are the chosen one....!
@baumbachogero9410
@baumbachogero9410 6 жыл бұрын
Binafsi siwaelewi sana waandishi wa habari, maswali yao yanakuwa on the negative side all the time, sijui hawamuamini Mungu kuwa anaweza au vipi? Jaribu kuwa na imani kuwa Mungu anaweza YOOOOTE!
@abdulimsofe3551
@abdulimsofe3551 6 жыл бұрын
Kuna shida hapo mahali kuhusu waandishi, as if hawamjui Mungu
@thenthesecretrevealedministry
@thenthesecretrevealedministry 5 жыл бұрын
sasa utaelewaje kama sio taaluma yako?
@lilyrose7983
@lilyrose7983 6 жыл бұрын
Be blessed Papa!
@shabaningilangwa7974
@shabaningilangwa7974 6 жыл бұрын
Huyu naye nabii
@byamsonbyamson6096
@byamsonbyamson6096 5 жыл бұрын
Mm ninaimani kubwa kwamba mtu anaponywa ukimwa kwa jia tatu hizo Mungu akubariki Daniel
@nurumwakapeje1647
@nurumwakapeje1647 3 жыл бұрын
Anaraisisha huyu jamaa mungu amsaidie
@jacksondamas8634
@jacksondamas8634 6 жыл бұрын
mmmmh hta wew kweli
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 6 жыл бұрын
safi dogo hata Yeremia aliitwa kuwa nabii akiwa mtoto,Mungu ni yuleyule hata kizazi chetu kinahitaji huduma kuu tano ikiwemo unabii,songa mbele watakuelewa baadae
@roseshalua5251
@roseshalua5251 6 жыл бұрын
Hongera mtumishi
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 2 жыл бұрын
Amna kitu hapa.
@andrewkivuyo4728
@andrewkivuyo4728 4 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@williamkhaemba2782
@williamkhaemba2782 4 жыл бұрын
Huyu jamaa daaah yani anakujibu na biblia vizuri sana
@mollelshange2412
@mollelshange2412 5 жыл бұрын
Amen
@gloryassey3962
@gloryassey3962 6 жыл бұрын
Mwanamke mwenye tatizo LA kutokwa na damu sio kitabu cha MATHAYO 21 Bali MATHAYO 9
@neemajackson9834
@neemajackson9834 6 жыл бұрын
Haha haha naend ku prove kwen bible this n the second time nabii anakosea mistar namskia
@Mokiwa
@Mokiwa 5 жыл бұрын
Umeona eeeehh, nafuatulia kila fungu analosema. Mengi ni ya uongo au anayaelezea kinyume... Hiki kinanilazimu niamini yule malaika aliyemtokea akiwa na kwato za mbuzi alikuwa jini... Isaya 8:20 imeandikwa "Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi" huyo jamaa kwa sababu ni duni kimaandiko, he's very fake. Hata shetani anatenda miujiza, miujiza hiyo haimfanyi awe wa Mungu Ufunuo wa Yohana 16:13-14 imeandikwa "Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka na katika kinywa cha yule nabii wa uongo. Hizi ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi""
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
the only humble prophet in Tanzania
@marryndewele785
@marryndewele785 6 жыл бұрын
mmh hao manabii was sasa mungu atusaidie
@jacksondamas8634
@jacksondamas8634 6 жыл бұрын
mmmh hafa wew kwel
@petermshale5672
@petermshale5672 6 жыл бұрын
Mhm hatari sana dunia inaelekea pabaya hadi watu tunao waamini waandishi wetu wa habari mnasikiliza hayo na mnayaamini huyo ni wakuishia getini tu ata mjengoni msinge mluhusu aingie
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
hao ni waisrael ,no matter wanapitia nn,watafanikiwa,MUNGU anamkumbuka IBRAHIM,ISAK,JAKOB
@mchuumchu9801
@mchuumchu9801 6 жыл бұрын
Huyu anapotosha watu jihadharini
@bronsonkazungu2655
@bronsonkazungu2655 3 жыл бұрын
Usijaji Mtu ni kazi ya Mungu hiyo!!! Mungu akikutokea Siku moja ndio utaamini ya kwamba Mungu yupo na ndiye anaye toa vibali wala sio mwanadamu
@dwiny7841
@dwiny7841 6 жыл бұрын
Hmmmmmmm🤔🤔🤔🤔🤔😋😋
@jwakitaatv7245
@jwakitaatv7245 6 жыл бұрын
Duh
@ndayisengavannessa7515
@ndayisengavannessa7515 5 жыл бұрын
ubalikie mutumishi kweri umebalikiwa sana
@aisharehema3818
@aisharehema3818 6 жыл бұрын
Wewe toka
@egidikilindij5994
@egidikilindij5994 5 жыл бұрын
DD Shillah sounds like a false prophet. He met with popular African Iluminat prophets too.!! 😀
@mlongojane8671
@mlongojane8671 6 жыл бұрын
Huyu kijana ana hekima sana.
@abdulimsofe3551
@abdulimsofe3551 6 жыл бұрын
Hekima kubwa mno. ni zawadi kabisa ya Mungu sio ya kidunia
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 6 жыл бұрын
Mlongo Jane kweli
@saphinakyaka4030
@saphinakyaka4030 5 жыл бұрын
Ww hapana jmn duuuh.
@williamkhaemba2782
@williamkhaemba2782 4 жыл бұрын
Daaah kwa kweli
@msafiriaugustino2957
@msafiriaugustino2957 6 жыл бұрын
nimesikitika sana yaani jinsi watu wanavyodanganyika, mnajua mtu anapojiita nabii ni mtu wa namna gani we ukutane na mnyama kavaa kwato na nyoka jamani si mashetani umekutana nayo hayo we ni mganga wa kienyeji na mwisho wa kazi utapokea mshahara wa kazi unayoifanya. enyi watu someni biblia ukishindwa muone mtu akuelekeze.
@ngoroshowinfrid2220
@ngoroshowinfrid2220 5 жыл бұрын
kumbe naweza kupona ? naomba namba yake please
@katerinadada6481
@katerinadada6481 6 жыл бұрын
Ubalikiwe kaka
@officialkissmiva9778
@officialkissmiva9778 6 жыл бұрын
it was prophesized nothing is new in this world
@erastomushi6525
@erastomushi6525 5 жыл бұрын
Akiwepo nabii kati yenu nitanena na katika maono na ndoto,lakini sio kwa mtumishi wangu musa yeye nitanena nae uso kwa uso,kwa maana amekuwa mwaminifu katika nyumba yangu yote, ndio maana malaika wakauzika mwili wake. Sijasikia nabii mwingine alisikia sauti ya mungu ana kwa ana, acha kutuzuga
@chalesminja4930
@chalesminja4930 5 жыл бұрын
We wa wapi soma bibilia
@coachtemba6002
@coachtemba6002 6 жыл бұрын
Magician can produce those money too...kiini macho.
@lauralaurent5994
@lauralaurent5994 6 жыл бұрын
mbn haijui bibilia huyuu.....
@chalesminja4930
@chalesminja4930 5 жыл бұрын
We vp dogo anajua
@rehemamsekeni9640
@rehemamsekeni9640 6 жыл бұрын
Naomba namba ya nabii Daniel
@erastomushi6525
@erastomushi6525 5 жыл бұрын
Mungu hajaribiwi wala hamjaribu mtu.
@rahimmaumba4504
@rahimmaumba4504 6 жыл бұрын
Mpelekeni muhimbili akawaombee wagonjwa wa ukimwi pale........
@florajacob5771
@florajacob5771 6 жыл бұрын
hata ukiombewa kama huna imani. huponi haya ni mambo ya kiroho
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
waganga na wasoma nyota hao wana wa shetani baba yenu mnayempenda walishawi kuja hospital kuwaunganisha na majini ,tahira ww
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
mnawafuata na mbuz mnspeleka,we are Christians not religious (born again)try the LORD uone,achana na wehu hso
@chalesminja4930
@chalesminja4930 5 жыл бұрын
Nyie hamna point andika vya maana watanzani kaz kuponda tuu nyie washahili
@erastomushi6525
@erastomushi6525 5 жыл бұрын
Kama shetani anaweza kujigeuza kuwa malaka wa nuru, si ajabu kwa watumishi wake......
@ngosyaranus2957
@ngosyaranus2957 6 жыл бұрын
Namba ya simu mlioiweka haipatikani kwanini mnaweka namba isiyopatikana mnategemea nn mtu akitaka kuwasiliana nanyi?
@jacksonzakayo6759
@jacksonzakayo6759 4 жыл бұрын
Kusikia sauti nikweli hata mimi niliwahi sikia sauti.
@dullyprinc7886
@dullyprinc7886 6 жыл бұрын
mh kweli maandiko yanatimia watatokea manabii Wa uongo ndo haya kila MTU lake duh!
@nzumarimbabe2027
@nzumarimbabe2027 6 жыл бұрын
du !
@rodasamweli5858
@rodasamweli5858 6 жыл бұрын
Sauti kama ya Makonda
@jeviounipers
@jeviounipers 6 жыл бұрын
hata domo, lol!
@rajabupius2996
@rajabupius2996 4 жыл бұрын
Aloo upo sahihi sana hasa ukisikiliza anavyoimba yan ni Makonda kabisa. Sikiliza ule wimbo wake wa nieonee huruma
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 6 жыл бұрын
awa manabii mbona wanatumia vitabu vya yesu tu na vyao awana jipangeni bas mje na vtabu vyenu
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 2 жыл бұрын
Biblia inasema akina aliyemuona Mungu akaishi lazima ufe usitudanganye weeeee .
@omarameirsalum8879
@omarameirsalum8879 6 жыл бұрын
Thubutu,Utume??
@daudilucas
@daudilucas 5 жыл бұрын
Mathayo 9:20,siyo Mathayo 21.
@kelvinbeda8931
@kelvinbeda8931 6 жыл бұрын
Muongooo unaonekanaaaa
@chalesminja4930
@chalesminja4930 5 жыл бұрын
Ww unaweza nn vp unaota ndoto unakimbizwa
@mathiasmassawe3738
@mathiasmassawe3738 6 жыл бұрын
Duuuh
@ritabanyanga5082
@ritabanyanga5082 5 жыл бұрын
mungu anaponya lakin sijawahi kuona ukimwi labda mpaka nishuudie uwezi amini ujashuudia broo
@selincharles3383
@selincharles3383 6 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
@salvataross9118
@salvataross9118 5 жыл бұрын
Siku za mwisho zikikaribia watajaa manabii wa uongo
@bingwaa
@bingwaa 5 жыл бұрын
We we NI laana kabisa watu wanaumwa na ukimwi wewe unafanya mchezo, ngoja were upate ukimwi halafu ujiponyeshe
@peterwilson1325
@peterwilson1325 5 жыл бұрын
Mm sina hela kaka nasikia unagawa pesa
@shabanimiraji5388
@shabanimiraji5388 6 жыл бұрын
Mm nadhan km ni ya kwel hayooo asingetafutwa ww wagonjwa wanavitengo vyao kwann yy asiwafuate akawaombea huko wakaponaaa.. Km hao wagonjwa wa ukimwi na kanss.
@farajaluvanda1242
@farajaluvanda1242 5 жыл бұрын
Shabani Miraji kumbuka kwamba hata ukiombewa bila kuwa na imani huwezi kupona kabisa na ni lazima wagonjwa wenyewe pia waamini ya kwamba yesu anaponya wasizishikilie dini maana dini haziponyi ila anae ponya ni yule alieshinda kifo na mauti tu
@coachtemba6002
@coachtemba6002 6 жыл бұрын
Nimeelewa hiyo utajuta, inamaanisha utashindwa na career yako itakuafa mapema.
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz 3 жыл бұрын
Nabii nimebaki na jero tu fanya mambo zijae huku pia
@andrewkivuyo4728
@andrewkivuyo4728 4 жыл бұрын
Mnao sema.mtumishi.vibaya.make.mkijua.mnapambana na hamtoweza.mwishowe mtaangamia.bure
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
halafu somen bible acheni kuuliza maswal fek,eti nabii anashuka na kitabu,hao uongo ,kuna spiritual gifts ,kasome bibl
@pindabutter2736
@pindabutter2736 5 жыл бұрын
Acha upumbavu wewe, akili zenu zikowapi, moyo wenu aupo kwa MUNGU kabisa huu ni ujinga yani mama mzima kama wewe unategwa na mtoto mdogo hivi, daa kweli watu wajinga, mwambie akufungulie simu yako….. Beantwoorden
@txbcamengdg7021
@txbcamengdg7021 6 жыл бұрын
Nabiii naomba mawasiliano na Wewe +96879063286 WASAP
@bayovicent8504
@bayovicent8504 6 жыл бұрын
Dogo ameplan bishara nzuri sana
@johnoctavian4452
@johnoctavian4452 5 жыл бұрын
kaplani na wewe
@bingwaa
@bingwaa 5 жыл бұрын
Ukimwi na kutoka damu NI vitu viwili tofauti kutoka damu inseza kukata tu lakini ukimwi NI virus
@rehemamsekeni9640
@rehemamsekeni9640 5 жыл бұрын
bingwaa why virus visikauke kama dama ilikata
@monalisacarypso1809
@monalisacarypso1809 4 жыл бұрын
Mungu anaponya kwa wale wote waaminio, ukimuamin yeye nothing is impossible
@worshipertv9968
@worshipertv9968 6 жыл бұрын
0744599773 nataka kuwa nabii Kama shillah nitafute plz kwene hiyo namba nahitajii
@coachtemba6002
@coachtemba6002 6 жыл бұрын
😂😂😂crazy miracles. Tatizo la Kondoo ni Elimu tu...huu ni uhuni.
@lisambaruku7544
@lisambaruku7544 5 жыл бұрын
mwanamke aliyetokwa na damu sio mathayo loooh! ni luka 8:43 Mungu nampenda kweli haya mnaoamini manabii endeleeni kuamini mpaka mjikute mpo kwenye shimo hakuna wa kuwatoa
@ashlybaganda2489
@ashlybaganda2489 5 жыл бұрын
Acha uongo kijana hakuna mtu aliye kutana na Mungu akapona. Izi make up stories zako eti umepokea pesa za kimaajabu mimi siamini. Siku za mwisho ni siku za hatari watu wengi watakuja kwa jina langu nao wata wadanganya wengi. Wakristo iweni macho.
@mrishojoseph7987
@mrishojoseph7987 6 жыл бұрын
Kuna wagonjwa wengi mahospitalini aende akawaponye
@techbossbernardo2093
@techbossbernardo2093 6 жыл бұрын
sio wagonjwa wote wana imani
@magaridartz1518
@magaridartz1518 6 жыл бұрын
AUBAMEYANG HIGHLIGHTS Wataponywa walio tayari.
@anisamresh0018
@anisamresh0018 6 жыл бұрын
Hakuna mtu asiekuwa na imani ya kutaka kupoa.. Unafkiri watu wanataka kulala hospital na hela ilivyokuwa ngumu.. Kila mtu anataka uzima afanye mambo yake
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
YESU HAKUWAHI KWENDA HOSPITAL WALIMFUATA,WAGANGA WANAWAFUATAGA HOSPTAL?ACHA UNAFIKI,GOD HAS NO BOUNDARY
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
waganga na wasoma nyota wenu wanawafuataga kwa hospital,tahira ww
@georgemwangegwa4893
@georgemwangegwa4893 6 жыл бұрын
Kwamtu yoyote asienahofu yamungu lazima ampinge huyu nabii
@anetikapami4228
@anetikapami4228 6 жыл бұрын
George Mwangegwa, umeona eeee
@omarameirsalum8879
@omarameirsalum8879 6 жыл бұрын
Ngoja ukukwae huo ukimwi halafu ujipone mwenyeo
@omaryramia7732
@omaryramia7732 5 жыл бұрын
Like
@omaryramia7732
@omaryramia7732 5 жыл бұрын
Muogope mung wewe mng ajalibiwi wewe si nabii
@happyarooun6037
@happyarooun6037 5 жыл бұрын
wadanganye haohao wakristo
@Mokiwa
@Mokiwa 5 жыл бұрын
Huyo siyo mkristo cc, si kila anayemtaja Yesu ni Mkristo kumbuka hata mpinga Kristo huzuga kumkiri Kristo huku akipindisha mafundisho ya kweli ya Kristo. So awadanganye tu makristo wenzake wa uongo maana imeandikwa katika Mathayo 24:24 "Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu WAPATE KUWAPOTEZA, KAMA YAMKINI, HATA WALIO WATEULE" MIMI BINAFSI SIAMINI KATIKA HUYO JAMAA. AMEN
@shameemrashid5219
@shameemrashid5219 6 жыл бұрын
Huyo mwongo bn hakuna nabii jamn kwa dunia hii ya leo watu wanatafuta umaaruf tu ok aende bs mochwar akafufue wote waliokufa ,,,hiv mnamchezea mung achen kiki bn
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
unabii ni gift ,soma Bible ,siyo vitabu vingine
@pindabutter2736
@pindabutter2736 5 жыл бұрын
wajinga mpo wengi, eti hallelujah nabii, ameni acheni upumbavu nyie huyu msanii, kama simu yako imefungwa yeye atakufungulia, we tuma pesa M-Pesa tuu, yani huyu nabii anauza chumvi, maji, mafuta, karanga, kanga, nguo za ndani, kanisani, daa kabarikiwa kweli, tuma pesa m-pesa sala sio bure bana
@iddyshabani4201
@iddyshabani4201 5 жыл бұрын
dogo mjanja sana ukimbana anakimbilia andiko. mungo sana huyo mpgaji tu
@coachtemba6002
@coachtemba6002 6 жыл бұрын
Ukiwakatisha dawa wagonjwa wewe utakua ni muuji, hivyo basi kula pesa za wagonjwa ila usiwakatishe dawa tafadhali.
@JoyceGeorge-qv4ck
@JoyceGeorge-qv4ck 6 жыл бұрын
ata akikosea haimaanisi sio nabii
@scollorpatrick7214
@scollorpatrick7214 5 жыл бұрын
Mungu akuzidishie nabii
@rajabupius2996
@rajabupius2996 4 жыл бұрын
Ubinadamu upo pia
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 2 жыл бұрын
Jibu swali una baba wa kuroho ???
@kipleramadhani4071
@kipleramadhani4071 6 жыл бұрын
nilisoma nae huyo bagamoyo kwa kipingu
@erastomushi6525
@erastomushi6525 5 жыл бұрын
Sasa unakutana na bushir unajisifu? Bushir anazuga,hata muuza karanga tu anajua, he is buying people to give false testimony.
@emanueljuma1139
@emanueljuma1139 6 жыл бұрын
Kwa nini huwa mnapenda kujiita nabii.? Ni kwa lipi kwanza unalo tabiri ambalo halijawahi tabiriwa?
@ritabanyanga5082
@ritabanyanga5082 5 жыл бұрын
sio kwa kirus kinakuwa.hakijakushika vizuri
@saphinakyaka4030
@saphinakyaka4030 5 жыл бұрын
Muogope anaekupa pumzi ila kwa ss endelea kutdanganya mungu anakuona
@gracewabyae8552
@gracewabyae8552 6 жыл бұрын
Mzee hao ulioonana nao ni manabii wa uongoo nawewe inakuhusu hiyo utakuwa muongo
@ludovickmugasha9758
@ludovickmugasha9758 5 жыл бұрын
Safi
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 6 жыл бұрын
Huyu dada anauliza kwa panic anatamani kumpiga
@Mokiwa
@Mokiwa 5 жыл бұрын
Si anaona anazingua live, sijajua kama "nabii" anajisoma
@moshimongelwa7795
@moshimongelwa7795 6 жыл бұрын
Kama we.ninabii wakweli mungu akujalie nakama ww niwa uhongo utajuwana na mungu wako
@hamdounkhamis8813
@hamdounkhamis8813 6 жыл бұрын
Huyu ni tapeli tuu hakuna nabii mswahili... acheni usanii njaa mbaya
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
mpeleke mgonjwa wako,acha kubisha,kamjaribu acha kuhukumu
@samirnaty8774
@samirnaty8774 6 жыл бұрын
Wagonjwa fake ao wanaopona kama kashindwa mzungu ww tulia
@omaryramia7732
@omaryramia7732 5 жыл бұрын
Jamaa muongo
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 6 жыл бұрын
hahahahahahaah eti unabii hautestiwi. ndo anatafuta pa kupenyea hapo. Manabii wooote walifanya miujiza tena wengine kwa kupimwa mbele za watu ili kuthibitisha.
@raymondjoas4118
@raymondjoas4118 6 жыл бұрын
Anaye fanya unabii ili kuthibitisha mbele za watu mbali na utukufu wa Mungu ndie Muongo Mfano mimi ni nabii wa Mungu , nakutana na vijana tu njiani waniambie wewe kama ni nabii badilisha hizi karatasi kua hela halafu nabadilisha kitendo hicho itakuwa kwa utukufu wa Nani?
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 6 жыл бұрын
Raymond Joas Mitume woote walifanya miujiza mbele ya watu kuthibitisha utume wao na kuwajenga imani waumini na wao kumiamini Mtume huyo. Tangu zama zoote kuanzia Nuhu, Lot, Isaka, Yakobo, Yusuf, Musa, Yesu na hata Muhammad. Woote hawa walifanya miujiza on the spot ili kupata watu na kuakiniwa. Yeye anaambiwa alete muujiza mmoja tu anaanza kuleta longolongo tu
@raymondjoas4118
@raymondjoas4118 6 жыл бұрын
Yahya Sinongo Jibu la BIBLIA Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.​-Matendo 3:​18. Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu? Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake: Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.​-Kutoka 31:18. Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:​2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”​-Kutoka 34:27. * Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:​28-​36;Ufunuo 1:​10-​17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-​21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.​-Danieli 7:1; Matendo 16:​9, 10. Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.​-2 Samweli 23:​1, 2. Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao? Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:​4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.​-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20. Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.​-Waamuzi 6:​6-​10. Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.​-Yohana 4:​17-​19. Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.​-Luka 22:63, 64.
@wildofworld100
@wildofworld100 6 жыл бұрын
pambana na hali yako tafuta kazi ufanye au rudi shule ukasome
@doricenyanda5719
@doricenyanda5719 6 жыл бұрын
Hapo kwenye ongeza sifuri moja hata sikubariani kabisa 😂😂😂😂😂
@baumbachogero9410
@baumbachogero9410 6 жыл бұрын
Huyu Nabii ni Form Six graduate ndugu!
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
na hao Mungu anaowasaidia na kuwaponya utawasaidia ww,na hao wanaokoka kupitia hyu itamlipa Mungu Roho zake ,potea mwenyewe
@anisamresh0018
@anisamresh0018 6 жыл бұрын
Ahaahah me kanimalizaga huyu kijana Kiki ya nguvu.. Nenda muhimbili na Amana uponye watu wanaimani wanataka kupoa
@anisamresh0018
@anisamresh0018 6 жыл бұрын
Huyu njaa kaitoa tumbon kaipeleka kichwani lol
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 101 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 56 МЛН
KENYA HAWAPOI…WAINGIA TENA MTAANI, MABOMU YARINDIMA
2:21
Mungu mbele, mahali nimefika ni nguvu za mwenyezi Mungu
26:16
Prezzo logistic Mouldings
Рет қаралды 5 М.
Toxic Fuvu Akichana Freestyle Akizungumzia Rolls Roys Gari Ya Diamond Platnumz
1:25
GITHURAI ON FIRE🔥🔥 THIKA ROAD UNPASSABLE
2:12
Nicholas Kioko
Рет қаралды 6 М.
Watoto na familia Nabii Frank Kilawah...
37:08
Shiloh Ministry
Рет қаралды 56 М.
Kufunguliwa Kutoka Kwenye Ndoto  - Prophet Frank Julius Kilawah
1:46:56
Shilohtv Tanzania
Рет қаралды 36 М.
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 11 МЛН
V $ X V PRiNCE - Не интересно
2:48
V S X V PRiNCE
Рет қаралды 2,5 МЛН
Janona
4:09
Release - Topic
Рет қаралды 2,2 МЛН
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 2 МЛН