No video

MCHUNGAJI MSIGWA AMVAA MBOWE kwa MARA ya KWANZA MKUTANONI kwa CCM - AFICHUA MADUDU YOTE ya CHADEMA..

  Рет қаралды 30,083

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MCHUNGAJI MSIGWA AMVAA MBOWE kwa MARA ya KWANZA MKUTANONI kwa CCM - AFICHUA MADUDU YOTE ya CHADEMA..
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 405
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@jdanny497
@jdanny497 Ай бұрын
Pimbavu hakuna mchungaji kama wewe tapeli
@YangaNews
@YangaNews Ай бұрын
Tanzania tuamke huu upuuzi wakna msigwa usituteke ccm imeharibu nchi yetu
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 Ай бұрын
Kwani kalazimishwa msigwa😂😂😂
@chamimdesa148
@chamimdesa148 Ай бұрын
Njaa mbaya sana, Esau akiuza haki yake ya ukubwa wa familia Kwa CHAKULA tu, Hana tofauti na huyu nyumbu
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 Ай бұрын
Hii njaa Msigwa juzi tu unaiponda Ccm unatuchanganya ndg Msigwa kweli tusiwaamini wanasiasa
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Ай бұрын
Nasikia ulichukua pesa,Ili ukishinda uenyekiti wa Kanda uibomoe Chadema,Mbowe Hana njaaa amesemwa mengi,Lakini mwamba Yuko imara sana,Utabomoka mwenyewe
@oswadrdaniel819
@oswadrdaniel819 Ай бұрын
Njaa inakuua we lipa fazira
@reginaruta3249
@reginaruta3249 Ай бұрын
Wachungaji hawatakiwi kuwa wanafiki. Futa ilo jina kabisa.
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b Ай бұрын
Loo hakika siasa ni mchezo mchafu hivi msigwa unaikashifu chadma iliyokupa umaarufu namengine kweli? Ccm kuweni makini mtu huyu hana maana kabisa . Mimi si mwanasiasa na sina chama ila hapa msigwa hufai kabisa.Unajitambulisha ati mchungaji mchungaji gani mnafiki wa kiwango hiki? Mwogope Mungu wewe.
@MelkizedekUrio-xl1jp
@MelkizedekUrio-xl1jp Ай бұрын
jamani njaaa inatesa huyu ni msigwa kweli
@japhetisraelsmafie997
@japhetisraelsmafie997 Ай бұрын
Ila nja nimbaya sana mwanadamu hata anamkana mungu
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 Ай бұрын
Kwani chama chake 😂😂chadomooo
@user-kg8dn6qr8o
@user-kg8dn6qr8o Ай бұрын
Wa Na siasa Malaya Malaya kama huyu kibaka msigwa mwalimu Nyerere Alisama ni hatali Sana Kwa nchi yetu Hatakiwi kuaminiwa Na mtu mwenye Akili timamu
@HulumaKisakali
@HulumaKisakali Ай бұрын
Huna maajabu mchungaji mzima ovyo mmbea wewe
@philliminusmugereza5699
@philliminusmugereza5699 Ай бұрын
Peter Msigwa Kawaombeladhi Wanachama Na Viongozi Wa Chama Kikuu Cha Upinzani CHADEMA. Kinacho Tetea Mwananchi Wa Tanzania. Kabla Haujaokota Makopo, Umewakosea Sana Watanzania. Hasa Wanachadema. Siamini Kama Kweli Ni Mchungaji. Unayejua Miiko Na Maadili Ya Uchungaji. Naomba Nikupe Pole Sana. Kwa Hicho Ulichokifanya Cha Kusaliti Chama Kilichokutoa Tongotongo Machoni Na Kwenye Ubongo Wako.
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f Ай бұрын
Unajitambulisha mchungaji huna haya hubiri kilichokuhamisha utafutaji pesa huna haya kabisa
@user-jg2dy4kb6j
@user-jg2dy4kb6j Ай бұрын
njaa na kukosa uongozi imemfanya afike apo wakimtema ccm hana pa kwenda ndo mwisho wake
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
Mtu mzima lakini unaongea Utoporoo tu puuzi kabisa kwa hiyo unatuona watanzania hatuna akili, puuzi kabisa msigwa
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 Ай бұрын
Baada ya kuitukana CCM na kuwadhalilisha viongozi wa CCM, wakiwemo Marais, kwa miaka mingi, wananchi wengi na CCM hawakuamini. Huko utatumiwa kama toilet paper na meisho kutupwa chooni.
@Anithawilielemi-uh3ww
@Anithawilielemi-uh3ww Ай бұрын
Msigwa anatabia kama ya jamaa moja kwenye Biblia Kwa jina SANBALATI aliyenunuliwa kwa chumvi ya jero akasahau damokrasia aliyowahi kuhapia.
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r Ай бұрын
Tahira hili yani ukishakula hela ya ccm unakuwa boya
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd Ай бұрын
Nawahumia sana Watoto wako kuwa .na baba wa namna hii!!! Ingekusaidia kidogo kama NDOA yako na MAFISADI HAO WANGEKUOA kabla hujashindwa uwe nyekiti kanda angalau Wapumbavu wangekupa heshima kidogo,lakini hata wapumbavu hawawezi kukuheshimu kwa sasa!!! HAKUNA ANAYE KUELEWA KABISA KWANZA USO WAKO UMETAHAYARI(AIBU).
@SolomonKaay-gq3gl
@SolomonKaay-gq3gl Ай бұрын
CCM ulikuwa unaitukana kila ulipo fika,leo unaisema chadema haukuwa mtoto useme ukuijua ccm,waombe radhi watanzania wewe CYO mtu wa kuaminika milele.
@mkude
@mkude Ай бұрын
Kama hujui siasa hiyo ndo siasa,siasa hakuna adui wa kudumu Wala rafili wa kudumu,kwahiyo usishangae msigwa kwenda ccm.labda kama utakuwa hujui siasa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Solomon yamemfika huyo acha ayamwage hiyo ndiyo Siasa mchezo mchafu
@polokotomwalusamba1132
@polokotomwalusamba1132 Ай бұрын
Hafai hata kumpa dakika kumskiliza
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Ай бұрын
Yaani wamekupa ubunge miaka 10...mwenyekiti wa kanda miaka 5... Leo heti chama hakikufai... Kama waliuawa ndugu za watu wa chadema ina maana wauaji ndio hao uliojiunga nao? Msigwa mtu mpumbavu sana...
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Ай бұрын
Simwami mutu kwenye maisha yangu
@MarkoFabiano-s5u
@MarkoFabiano-s5u Ай бұрын
Njaa nimbaya
@ericksimon3899
@ericksimon3899 Ай бұрын
Huyu sijui ni mchungaji wawap
@mgungulem3187
@mgungulem3187 Ай бұрын
Huyu ni mchunga njaa
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li Ай бұрын
Ata watu huna kitu wewe aibu sana angalia watu hao ndiyo watao kumpigia kura wapo 7 tu msigwa umeisha kabisa
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Kwani,mkutano huo inanihusu chadema.eleza utakayoliganyis taifa.
@user-jr3mg3ko6m
@user-jr3mg3ko6m Ай бұрын
Huoni aibu kenge wewe Malaya wewe njaa inakusumbua
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Ай бұрын
lakini msigwa umesahsu mlivyofanya vigisu kwa zuberi zitto kawe?hizo ndizo sera zao
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd Ай бұрын
ZITO HANA LOLOTE ZAIDI YA UDINI NA KUPENDA UKUBWA!!! ANGEPEWA UWENYEKITI TAIFA CHADEMA, ANGEUZA CHADEMA YETU!!! MH. MBOWE SI MALAYA WA KISIASA NI MWAMBA WA SIASA SAFI NCHINI NDIYO MAANA CHADEMA NI IMARA SANA AMEIJENGA KWA HALI NA MALI KWA GHARAMA KUBWA!!!
@AbeliIrikaeli
@AbeliIrikaeli Ай бұрын
Madakitari.wa afia.ya.akli.waongezwe jamani Apa tunapo elekea wagonjwa wata ongezeka Kwa kasi
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r Ай бұрын
Yani hili tahira kweli,kwa hiyo umeona ni bora uungane na wauaji
@tumainieverest9928
@tumainieverest9928 Ай бұрын
mSIGWA NJAAA ITAKUUA MAPEMA
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
Hahahahaa njaa kweli ni mbaya sana
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 Ай бұрын
Punguza stress kijana wanasiasa sio wenzako, tafta pesa
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v Ай бұрын
Njaa itawamaliza wanasiasa wa nchi hii.
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Ай бұрын
Tamaa mbele mauti nyuma shezi kabisa
@LesiJama
@LesiJama Ай бұрын
Acha njaaaa msigwa hakuna mtanzania atakaye kuelewa
@DahHodges777
@DahHodges777 Ай бұрын
Bora ungestaafu siasa tu. angalau hiyo ingekuletea heshima na utu..ila kwasasa hata namna kuongea umebadilika kwa kifupi unaitesa nafsi..
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd Ай бұрын
Hakika anateseka Sana!!!
@LucyVenant
@LucyVenant Ай бұрын
Msigwa unajipya umechoka ,upati ata ujumbe wa nyumba kumi
@SolomonKaay-gq3gl
@SolomonKaay-gq3gl Ай бұрын
Hauna point kabisaaa.
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji Ай бұрын
Jaman khaaa
@harunamtiko117
@harunamtiko117 Ай бұрын
Mchungaji, mh we mjinga kwel kuna mchungaji malaya wa siasa km wewe.
@user-hb8er6dq2q
@user-hb8er6dq2q Ай бұрын
MaFara katka nchi hiibado wapooo eti ili nalo ni lichungaji
@BatazalNdifwa-nk2hl
@BatazalNdifwa-nk2hl Ай бұрын
Huyo njaaaaaaa. Msipompa cheo huyo shauri Yenu. Ok
@mamafaiza1720
@mamafaiza1720 Ай бұрын
Njaaa mbayaaa
@EuniceMadaha
@EuniceMadaha Ай бұрын
Njaa mbaya sana
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 Ай бұрын
Kwa uchungaji huo, hakika hukawii Kula Kondoo. Mzee unatamaa. Aminia ulikotoka wamekushepu. Usiache kuwashukuru.
@lutembekarodi
@lutembekarodi Ай бұрын
Pole Msigwa nakuona unavyoshindana kuulazimisha moyo wako useme usiyoyaamini. UTATESEKA HIVI MPAKA LINI Msigwa? Kwa vyovyote vile huwezi kupata amani.
@duniakidogo8516
@duniakidogo8516 Ай бұрын
Wewe ni mchumia tumbo kweli. Lakini pia IQ yako ni chini ya kiwango. Imekuchukua miaka 20 kutambua kuwa ulipotea? Ama kweli hufai, hufai. Ongea sera na si chama kingine. Au Huna sera? Hayo ni machungu ya kukosa kura. Pole kaka
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 Ай бұрын
Hasiraaaaaaaaaaa usipopata muda wa kutafakari zitakufanya uwe...........
@sebastianmakassy8083
@sebastianmakassy8083 Ай бұрын
Mbona umelamba matapishi yako?
@philipongenzatv
@philipongenzatv Ай бұрын
Mzeee wa kununuliwa bei cheeeee
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 Ай бұрын
,😂😂😂😂 Hiii nchi inachekesha . kwa kweli
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
Nani alimpeleka SA kusoma?
@rugemalilalucas4533
@rugemalilalucas4533 Ай бұрын
Mavi kiraka unajipya zaidi ya njaa ya asubuhi chooni.
@user-lx2lo2lp8m
@user-lx2lo2lp8m Ай бұрын
We kima,nilikushauri mapema shirikiana na chama,ila dhambi itakayokumliza ni kumsakama mbowe,huna muda mrefu,amini!...
@user-fx6zr6ij5y
@user-fx6zr6ij5y Ай бұрын
Huyu mtu naona amechanganyikiwa ata anachoongea akijulikani mpelekeni kwa mwamposa 😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Au mirembe kabisa
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ephrahimkivuyo4275
@ephrahimkivuyo4275 Ай бұрын
Ila msigwa ni mpumbavu sana tena sana we ni mpumbavu mnoooooooo
@kelvinmgaya-gp8jk
@kelvinmgaya-gp8jk Ай бұрын
Njaaaa haijawahi mwacha mtu salama
@jescalutahoire8125
@jescalutahoire8125 Ай бұрын
Tunahitaji Siasa za kistaarabu siyo kusemana, haitusaidii wa Tanzania. Tunataka maendeleo siyo maneno
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Ай бұрын
Kwa kweli siamini masikio yangu mpaka nalia yaani umefikia hatua mpaka unamwita mbowe nkurunzinza? Kweli Dunia mayowe
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Ай бұрын
Kumbuka pia huyu alikuwa mjumbe kamati kuu, hiyo huyo anayemsema Nkurunziza ndiye alikuwa akisimamia vikao vya kumpitisha kwenye UONGOZI wa Kanda na Ubunge, Watu hatuna shukrani aiseee
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 Ай бұрын
Shikamoo siasa
@LaurentMpilu-qe6lq
@LaurentMpilu-qe6lq Ай бұрын
Ogopa sana kupingana na moyo wako, yaani unasema Leo ni jumapili mdomoni, lakini akilini inakwambia Leo ni jumanne
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Ай бұрын
njaa ya madaraka inakusumbua umekula vya sisisem lazima ulipe kwa kuongea utumbo
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Ай бұрын
Pole mchungaji Imani yetu Kwa wachungaji inaanza kupunguwa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Punguza makasiriko
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Ай бұрын
Huyu ni mchungaji aliasi kazi ya Mungu akaja kwenye siasa. Sasa kakosa chadema kakimbilia ccm kutafuta chakula.wa hovyo tuu
@StephenMpallange
@StephenMpallange Ай бұрын
Unakijenga CCM kwani kina hali gani,je kiko dhoofu hali?Hapo umesema kweli CCM imechoka,jaribu kukijenga,kwani kimechokwa na hakipendwi.
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Ай бұрын
Usiusemee moyo wa mwingine😅😅
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Ай бұрын
Miaka kumi Ulikuwa Mbunge kupitia Chadema,Hapo je?Leo hii unataka kuidhibu Chadema yote?Umekufa kisiasa wewe ni Yuda iskariote,
@HatibuSozi
@HatibuSozi Ай бұрын
Usinge shindwa na sugu tungekuamin ila kwa hili ni njaa tuuuuuumchungaji mzima
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Kwenda zako msaliti ww hii ni baada ya kukosa uongozi, tuache na chadema yetu,njaa tuu huna jpya
@tunumigila8995
@tunumigila8995 Ай бұрын
Wamemwaga mboga, amemwaga ugali.😅😂😂😂😂
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Ай бұрын
Njaa mbaya
@kaguripenina63
@kaguripenina63 Ай бұрын
Mm sio mwanasiasa lakin mpaka sasa naona mwisho kwako nmbaya,pia hauna mvuto tena hata huko ccm
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Ай бұрын
Kabisaaa @kagu
@ndemabhwila
@ndemabhwila Ай бұрын
Umekubali kuongozwa na akili ndogo,?
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Ай бұрын
Kati ya watu niliowadharau sana tena sana ni wewe Mch. Msigwa. Wewe ulikuwa mpinzani mkubwa sana wa CCM. Leo CCM kuna nini cha pekee kilichofanyika kilichokushawishi kuhamia CCM. Mara mia zaidi ungeachana na CHADEMA halafu ukabaki bila chama chochote cha siasa au ungeanzisha chama kipya, na si kujiunga na chama kile kile ulichokinga kwa nguvu zote miaka yote. Ni aibu kubwa sana.
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 Ай бұрын
Loooo, msigwa kwa heri umesha kufa kisiasa hutosikia tena kwakweli kama usemi wako akiri ndogo haiwezi kutawala akiri kubwa kwahiyo msigwa unatawaliwa na akiri ndogo ya CCM hakika njaa haijawahi kumuacha mtu salama halafu angaria msigwa hata hotuba unapangiwa ya kusema
@IkoUwasi-it6qy
@IkoUwasi-it6qy Ай бұрын
Kazi mnayo chadema yaani mtu akitoka chadema kwenda ccm eti njaa akili huna ana njaa gani mtu Kawa mbunge miaka 10
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Ай бұрын
@@IkoUwasi-it6qyNdo nashanga Msigwa amewauma sana chadema Msigwa kwenda CCM 🤣🤣🤣 Msigwa ni mtu makini msomi hana haja na pesa amefata ukweli . Sasa chadema badala mjitafakari kwanini amehama mnasema njaa pole sana ufahamu wenu ndo umekwamia hapo
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Hasira zina kusumbua huna lolote
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Hata SISI CCM TUNAKUSHANGAA mchungungaji.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Kuna mafataki wakiona mke amefiwa na mume wao kazi ya nikuvizia kuwatongoza wajane Huyu mjane alishindwa kuvumilia hisia Kila la kheri ww mjane upate mapenzi moto
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Ай бұрын
Great comment @mwita
@korogwemandari
@korogwemandari Ай бұрын
Hicho ndicho kimesababisha ukaukosa mwenyekiti wa Kanda?
@Flaviosafari
@Flaviosafari Ай бұрын
Chadema makini
@GraceWilliam-d1w
@GraceWilliam-d1w Ай бұрын
Pole sana
@richardjafu7404
@richardjafu7404 Ай бұрын
Unajidhalilisha sana, na Kwa kweli hata uchungaji wako una mashaka sana. Njaa imekuzidi.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Ай бұрын
MCHAWI MKUBWA WEWE UNAYETAKA KUFANYA WATANZANIA TUENDELEE KUWA MASKINI KWAAJILI YA CCM WAONGO KABISA.
@SanchoHamisi
@SanchoHamisi Ай бұрын
Hivi ni Msingwa yule wa Chadema?au Mzimu wake?
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Ай бұрын
😢hahahaaaaaaa, ametekwa, let's go and save him, hasira zimemponza vibaya, negative zero impact
@polokotomwalusamba1132
@polokotomwalusamba1132 Ай бұрын
Huyu alitoka ccm akaja nccr mageuzi akaenda tlp akaja chadema sasa amerudi kwenye jeneza lake ili aendelee na safari yake ya kutibu njaa huyu sio mwanasiasa wa kumuamini anaangalia upepo wa kupata pesa hana lolote alichokimbia chadema kaenda kukitafuta ccm njaa ni mbaya sana uenyekiti wa kanda alioshinda sugu ndio ulipelekea yote hana hoja zaidi ya unafiki huyu mtu sio strong kabisa ni dhaifu hakubali matokeo huko alikoenda anasubiri V8 apeperushe bendera ya ukuu wa mkoa wowote atakao pewa watanganyika tusidanganyike na wahuni wa aina hii.
@davidmachumu3150
@davidmachumu3150 Ай бұрын
Mchungaji haya maneno unayaongea kwa wananchi wa Dar ,vema. Ungeongea huko mikoani kuliko wa Dar waelewa sana, unaonekana hoppless😅
@jumannemussa8281
@jumannemussa8281 Ай бұрын
Kakudangany nan kama wanaich wa dar waelevu
@emanuelmsangi6686
@emanuelmsangi6686 Ай бұрын
MTU anasema watu waliuwawa kwwnye uchaguzi badala ya kuhoji ni nani aliwauwa anaishia kutukana upinzani..sasa apo hoja yake ni IPI?
@user-yo7sj8fs4h
@user-yo7sj8fs4h Ай бұрын
Njaa inatumaliza sanaa
@paulombay6884
@paulombay6884 Ай бұрын
ESAU
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 Ай бұрын
Mh Msigwa umepoteza ubora wako, hakika Mwanasiasa akikutakia usiku mwema, hakuna namna Toka nje ukajiridhishe kuwa ni usiku au la!! CCM ndo baba lao,
@AishaNdinadyo
@AishaNdinadyo Ай бұрын
Na ww ulikuwa ulikuwa kiongozi ulifanya nini ww
@-hm8mn637
@-hm8mn637 Ай бұрын
Huyu Msigwa fala sana, Hana mpya anatoa ushuzi tu mdomoni mwake. Kuna haja gani ya kumwita mwenzake majina ya kijnga jinga
@user-od2mc4mj4e
@user-od2mc4mj4e Ай бұрын
Nindugu yangu lakin kwa Hilo amefeli baada ya uchaguzi hatapewa cheo atalud chadema kwa kutambaa
@planetbrand
@planetbrand Ай бұрын
Hata unavyo ongea sera huna!!Hayo ndo umeyaona leo baada ya kukaa miaka 20?😂
@charlessolomon5928
@charlessolomon5928 Ай бұрын
Hakukanusha alipoambiwa na msukuma kuw Hela anazo zitumia ni Hela za ccm
@jordanmwamlima7579
@jordanmwamlima7579 Ай бұрын
Msigwa is just a toothless brat, you we're supposed to confront Mbowe ukiwa ndani ya chama chenu, na sio huko ulikokimbilia saa hizi it's just a bullshit.
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Ай бұрын
Kweli kabisa@mwamlima
@mashakakwembe7482
@mashakakwembe7482 Ай бұрын
Punguza njaa
@shedrackpallangyo4004
@shedrackpallangyo4004 Ай бұрын
Kama chama hakufai ilikuawaje utumikie miaka 10 ya ubunge na miaka5 ya m/kiti je ungepata nafasi m/kiti ungetoka kwenye chama weka akiba ya maneno
@IsmailKidongo
@IsmailKidongo Ай бұрын
Kwisha abari yako boraungeamia act wazalendo
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Ай бұрын
Duh jamaa karogwa vibaya
@user-vl5xv2xd6e
@user-vl5xv2xd6e Ай бұрын
Msigwa huna tofauti na Nyoka wewe kushindwa ndiyo unazungumza upumbavu uliokuja kichwani Umelelewa na Chadema shukururani ndiyo hiyo mwache Mh.Mbowe wewe ni mnafiki nyoka Cobra shika Adabu
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Ай бұрын
Huyo ndio msigwa bwana niliwaambia chadema wamejimalize wenyewe.acheni matusi msigwa amefuata demokrasia alipoiona inafaa
@JofuAmuko
@JofuAmuko Ай бұрын
YAANI KUKOSA CHEO TU !!!!!! UNAHAMA CHADEMA !!!!! NA HUKO WASIPOKUPA CHEO ITAKUWAJE ???? TAMAA ZIMEKUPONZA, UMEMSHINDWA KWA POINT CHACHE TU,, ETI UMEHAMA, UMEKWISHA HABARI YAKO !!!!!
@frankminga9307
@frankminga9307 Ай бұрын
Inasikitisha hata ccm wenyewe hawajamchangamkia kwasababu wanajua anachoongea hapo sio yeye ni njaa tu
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 Ай бұрын
Mbona bado ongea yake ni kana ya Mh. Mbowe hata sauti pia!!!
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 89 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,7 МЛН
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 64 М.
Msigwa Aichakaza CHADEMA | Ayaanika Mapya ya Mbowe Hayajawahi Kusemwa
31:36