Utanitambuaje kama nimeokoka??kama tukosafari Moja yakwenda mbinguni???😂😂
@damaschosen3 сағат бұрын
Manabii wa jinsi hii ni wengi mnoo
@cheiknamouna20582 сағат бұрын
Mhh hata simjui but mngechunguza vizura hiyo imepangwa tu
@OliverGodwinzakaria2 сағат бұрын
😂😂😂😂jmn nyie bado hujapigwa mpaka upigwe
@NassoroChangogo3 сағат бұрын
Atakua Nabii mswahil
@kamarhelo2 сағат бұрын
Changogo wa wapi wew au wa handeni ndugu yangu
@JeannetteManirambona-o6m2 сағат бұрын
Ndio😂
@RastaMany-p8x2 сағат бұрын
We takataka2 uwalipe wapenzi wako we shetani2 mungu gani unajita nabii we shetani imepona2
@iddykwangaya27943 сағат бұрын
Arudishwe kwao Congo
@SabihaibrahimRajabu2 сағат бұрын
Wee nabii weeee huhuuu Allah wazalilishe hawa wanaojiita manabii na kuficha uovu wao eti nabii😂😂😂
@cosmasmilanzi7117Сағат бұрын
MATHAYO.7:20 "Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua!"
@JosephJackson-f1s33 минут бұрын
Ulitakiwa uchapwe tena fala wew
@tumainiellyimo4657Сағат бұрын
Nabii na wenzake😂😂😂😂
@LucyMgopa2 сағат бұрын
Jmn Nabiii wangu umeniangusha jm😢
@mgayamgaya2 сағат бұрын
Pole ndo hivo anakula sadaka zako
@charlesmnuo329235 минут бұрын
Huyu nabii wa shifazi achunguzwe simtanzania huyu ni mkongo
@EmanuelMbandi2 сағат бұрын
Kwani huyo nabii alikuwa anajua kwamba hao madada wanajiuza
@farajisureman99252 сағат бұрын
Nabii anakukulana
@BONGOINMOTIONСағат бұрын
Kwani yeye hafai
@WiliamAyubuСағат бұрын
Unachafua tasinia ya unabii, umekuwa na tabia hiyo,
@KhadijaMwenda3 сағат бұрын
Aondokeeee
@nassoribrahim52882 сағат бұрын
😂 mpelekeni kwa helode
@dianajohnson7268Сағат бұрын
😂😂
@andrewmallya17043 сағат бұрын
Nabii gan anaenunua dada poa
@thirdsigntzofficial2 сағат бұрын
Duuuhh huyu nae ni raia wa wapi?!
@LoveMwakihabaСағат бұрын
Kwani uyu nabii hana mke hapo nyumbani
@MfiriNasawe3 сағат бұрын
Viongoz wa mtaa wameshirikia na hao dada poa waliokodiwa kumchafua
@jacobmaganga33543 сағат бұрын
Asepe
@darajalakidatukilomgi23623 сағат бұрын
Sio Mtanzania huyu ni Raia wa kongo, mumkabidhi Kwa jeshi la Uhamiaji arudishwe nchini kwao
@MfiriNasawe3 сағат бұрын
Yeye hakusema kama alijua rafikiake ananunua malaya au kwamba aliokuwa nao ni malaya,kuhusu uzoefu mtu anatunga tu,ilakama kweli ananunua malaya unabii wake utakuwa wakichawi,ila kama wametengeneza hao wadada pesa waliolipwa itawatokea puani
@MosesNyangusu-v4h2 минут бұрын
Kwa mujibu wa Biblia Takatifu hakuna nabii ktk karne hii na hatatokea hadi Yesu anarudi,,pili ni kosa kisheria kufanya biashara ya kujiuza,,nawashangaa viongozi mnaopambana na kumpa masaa 72 mharifu aliyetaka kuwazurumu waharifu wenzake,,na mnashiriki kuwalipa fedha hao wanaofanya biashara haramu tena kwa kuwatetea,,jamani Tanzania...Hiiiii ahaaaaa
@farajisureman99252 сағат бұрын
Aoeeeeee
@MiziziMtiСағат бұрын
Je? hao dada poa wanaruhusiwa na sheria ya nchi kufanya hivyo?(kuùza ngono) na kama wanaruhusiwa je wana leseni?
@BONGOINMOTIONСағат бұрын
Ulitoa taarifa kwa mwenyekiti kuwa unawageni?
@DerickNgowi-mf5peСағат бұрын
Hizi ni chuki
@wilfredlukowo94763 сағат бұрын
Chuki
@manyamagordon28662 сағат бұрын
Oooh haleluya mtumishi wa Mungu alie hai
@giovannir.restone1823 сағат бұрын
Manabii feki wapo kibao Tanzania...wanadanganya watu..na utakuta bado wanaendeleza hizo hizo ibada feki. Serikali iwafungie wote hao..
@MamaBambala37 минут бұрын
Mbona manabii wamekuwa wengi siku hizi?Hebu wasomi wa Biblia waonyesheni watu hali halisi ya mtu kuwa nabii.mimi nikisoma katika Daniel 2,8,10 na habari za Zakaria nk.sioni dalili za watu hawa kuwa nabii.
@OnesmoChua3 сағат бұрын
Uuu mtaa unaukumu na kingine mnaamasisha wanawake wajiuzee
@NancyMatuli-fb5jpСағат бұрын
Pumbavu kabisa wewe tena wakufukuze
@MfiriNasawe3 сағат бұрын
Ona wanapromot biashara ngono na kuuwa kanisa
@easternyerembe7271Сағат бұрын
Wapinga KRISTO
@devothaignatius525636 минут бұрын
Kama kuna kamchezo kamefanyika apa
@LAZAROBOMANI-ex6bj3 сағат бұрын
Hii hataree
@lisawilliam24913 сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@MfiriNasawe3 сағат бұрын
Wachawi wa mtaa wako wamekuweza
@ApostleElisha-u2m3 сағат бұрын
HAO WANAO ONGEA WAMEMPA MASAA 72 KUONDOKA MTAANI JE NI AKINA NANI HAPO MTAANI? AU NI VIONGOZ WA MTAA? IKIWA SIO VIONGOZI WA MTAA HEBU NAOMBA VIONGOZ WA MTAA WAFUATIRIE JAMBO HILO