Arusha Arusha kuna nini eh Mungu turehemu tunakataa hizi roho za mauaji kwa jina la Yesu Kristo. Amen
@sukariyao65373 жыл бұрын
Ameeen 🙏🙏😔
@ebenezamafie7963 жыл бұрын
Kweli nimeamini kila kitu linakusudi lake choo kimetumika kuokoa maisha ya binti mrembo Mungu awajalie neema
@afrakanaswahilitv55203 жыл бұрын
Poleni kwa maafa ya kimakusudi. Mungu awape nguvu na subira kupitia hayo magumu.
@micamathew25953 жыл бұрын
Shetani siku zote yuko kazini!!! Sasa vijana wa siku hizi hawapendi kusali kwenda kanisani kufanya ibada. Bila Yesu utaona maisha ni mazito sana!!! Sasa kazi ni mmoja, twendeni kwa Yesu, atatusaidia, Haleluyaaaaa ameeeennnn.
@abdillahhussein30203 жыл бұрын
Nenda mwenyewe kwa yesu ,Mm naenda kwa mtume Muhammad (s,a,w)
@salimmalaka2563 жыл бұрын
KWANI ANAKAA MTAA GANI??? SI NASIKIA KAHAMA PALE TANDALE.
@hassanisadiki8243 жыл бұрын
Yesu ndio nani?
@danwayne7863 жыл бұрын
Mwana mke akisha muacha mmewe alafu ambiwe wasuluhishe, huo ni mtego wa kuuawa. Ukiamua kumuacha jua maisha yako yako hatarini. Kuna wanaume wasio kubali kuachwa. Lengo lao ni mauaja baada ya kuachwa . Ukisha muache mmewe hama jiji au hata nchi. Hili ni funzo muhimu kwa wana wake na pia wanaume.
@ruqayaruqaya42833 жыл бұрын
Duuh mungu atuepushie vifo hivyo inshallah na mungu amuweke mahali panapo stahili 😢
@ilungasalle3 жыл бұрын
Huyu kima alikuwa na nia mbaya, alitaka kumuua mkewe kisha nae ajiue. Wacha afe mwenyewe aache mtoto wa watu na maisha yake. Suluhu gani hiyo inayoishia kwenye kujinyonga
Mmh ninavyoogopa ushahidi mimii 🤔🙄🌝mmh huyu dada WA Kwanza kanyoosha maelezo kama alikuwepo Mie ushahidii 🙌🙌
@doramakula47853 жыл бұрын
Arusha shetan yupo kazini kwa ajili ya mauwaji mungu usie shidwa jambo lolote tunaomba i simama mwenyewe
@fatmaabdallah770911 ай бұрын
WAnaume wote wangekuwa wanajiua hivi ingekuwa afadhali kuliko wanaume makatili kuondosha uhai wa mwenzie! Umechoka kuishi jiue umwache mwenzio anaependa kuishi aishi kwa raha. Wanaume wengi wanajiona ni mungu mtu wanaweza kumfanyia chochote mwanamke mnyonge
@aishaathman73403 жыл бұрын
Jinyongeni tu kwa sababu ya mapenzi. Mi huko kufa kwenyewe nakuogopa ni vile tu ni lazima sinabudi siku ikifika.
@zainabwage46583 жыл бұрын
Good point
@rukaiyaahmadsuleiman39513 жыл бұрын
Umeona eeeehhh
@shemsaomarsuleiman86003 жыл бұрын
Kabisaaaa
@oliviaseth46523 жыл бұрын
Kweli kabisa
@hafsahussein5053 жыл бұрын
Maisha yenyewe matamu
@welcometoeat1653 жыл бұрын
Jaman tukiachwa tusikubal kurudi tena visa vingi kwa sasa vya mauaji chanzo ni watu kurudiana
@hazlerhussein64863 жыл бұрын
Wangapi tumesikia kifo cha taarifa tumekipata badala ya taarifa ya kifo tumeipata
@aminasuleiman81203 жыл бұрын
Vituko vya wanaadamu wa Leo hata shetani anastaajabu!??Allaa tujaarie mwisho mwema 😥😥😥
@issahashimu25933 жыл бұрын
Allah not Allaa please lakn
@faithluande18673 жыл бұрын
Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole mashore kibao mpka nyapu zauzwa kimafungu kiumeni kujikaza from mombasa
@faithjonathan38453 жыл бұрын
Hahq..eti portable, pisi kali, anavutia😃😃😃💃bora pisi kali haijauliwa..hasara ingekuwa mara 2😃
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Mm nasubir ziraili anichukuwe lakini kujiuwa sisubutu mungu anisuru ishaalah🙏🙏🙏🙏💕💕😅😂🤣😘👍
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Siku ilifika ilikuainatafuta sababu tu inalillah wainailahi rajuun Allah mueke panapo staili lnshallah
@queenmunny2443 жыл бұрын
🙏🙏nikwel kabisa ndugu
@ryobaadams33582 жыл бұрын
Mungu atawasaidia ndugu zetu waarusha.
@salimkisoja50302 жыл бұрын
Poleni sana kwakujinyonga
@shakilamasoud29833 жыл бұрын
Kwa hiyo alimwita mwenzake amuue , halafu nae ajiuue, wamwache mtoto yatima mhh. Bora kaenda peke yake.
@alisaidi74773 жыл бұрын
Daaaah.... inauma saan... Maish yenye ndy hayaa....
@rosetagaye57313 жыл бұрын
Mungu atuepushe na hizi roho za mauti
@sir_ENOCKMACHA3 жыл бұрын
Eeh bhana eeh mapenzi tusiyape nafasi sana kias cha kugharimu maisha,mtu fanya kazi pata hela kula vizuri yaan uhakika
@joshuansamiye33423 жыл бұрын
Kwel kaka nakubal
@salmaabdulabdul10573 жыл бұрын
Kweli kabisa
@maryamm77653 жыл бұрын
Kweli kabisa
@florianhashimu13703 жыл бұрын
Wazee huu moto ulikuwa unafukuta chini kwa chini mwanamke aulizwe vzr
@Worldunite3 жыл бұрын
Tatizo tumepuuza mafunzo ya Jando na Unyago, lingine vijana wanaendekeza sana michepuko
@amnewarji17073 жыл бұрын
Du Arusha kuna pepo anatembea jamani kila kukicha mauwaji hayaishi mungu tustiri waja wako.
@happynelson11363 жыл бұрын
Mimi kila mara nikitoka nje wanaume wananiangalia na siwezi kuwazuia yaani inamaanisha kama ningekuwa na boyfriend angesikia wivu kuangaliwa na watu wakati sio makosa yangu jamaa mwenyewe alimua kuwa na demu pisi kali sasa alitegemea nini sisi wanawake tuepuke kuwa na wanaume wenye wivu kupita kiasi unaweza kuuliwa bila sababu
@queenmunny2443 жыл бұрын
Mungu atuepushie hizi roho za umauti
@maimunaulotu20753 жыл бұрын
Mbon ni watoto jmn😥😥😥😥kunjunjuan c kupo jmn
@getrudalufega97703 жыл бұрын
Imemugeka Safi sana
@glorynnko47532 жыл бұрын
Katka kitu cntokaa nifanye nikujiu au kumuua mwanaume Sabab y mapnz never ever
@arafakiloli7493 жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu.
@saidyssaley15093 жыл бұрын
Rehma gani kutoka kwa Allaah na amejiuwa na mtu akijiuwa hugo amekufa kafiri
@queenmunny2443 жыл бұрын
Ameen
@zainabually29683 жыл бұрын
Amejinyongaje Uku kalala chin mmmh
@enterenter19213 жыл бұрын
Mwanamke uanze ibada sahii ingekua niwew ndio umekufa
@tatumussa68133 жыл бұрын
Poleni sanaaaaaaaaaaa
@mamaahmad86153 жыл бұрын
Bora alivyo jiuwa mwenyewe kajibu kwa mungu sasa
@mwahejaporongdt17663 жыл бұрын
Mtihani sana
@officialjclever98793 жыл бұрын
Pisi Kali imebaki kwa mabaharia duh haya maisha bhana
@ashuramatata5953 жыл бұрын
Lkn mnyanya kwann ulifanya ivoo daah 😭😭😭
@noahlarapho34113 жыл бұрын
Poleni
@mtzhalisi22323 жыл бұрын
Dah wanaume tunakwama wapi??? Kila kukicha tunajinyonga kweli?? Dah noma sana
@glorynnko47532 жыл бұрын
Mapensi matam
@don15tv3 жыл бұрын
Mwandishi msomi kumbe bado ni camera Man mzuri tu , kwenye kioo anaonekana Lebaba mwandishi msomi
@sharmelasaif473 жыл бұрын
Bora kajiuwa mwenyewe
@marryclemence5820 Жыл бұрын
Kufen tuuuuu ..... Lkn mm hapana kabisa
@mohammedabdala75263 жыл бұрын
Mungu kamlaani haya aliyo yataka hajafanikiwa haya malipo ni hapa hapa duniani Ila mungu kasha kulipia nabado hukumu yako
@muhammadmuhaznun3803 жыл бұрын
Hii kesi ichunguzwe how comes....huyo mke achunguzwe maybe ilikua Anajitetea Kwa bahati mbaya ikatokea yaliotokea
@Zubaiba11 ай бұрын
Arusha lakin mnanini jamani,mbona mmezidi jamani kila siku matukio makubwa ,ndugu zangu badilikeni
Atampungunziaje adhabu ya kaburi na kajinyonga mwenyewe Kwanza akitaka kumnyonga huyo dada ashukuru mungu kajimalinza mwenyewe
@queenmunny2443 жыл бұрын
@@asteriambwei3349 mungu ampungudhie adhab ya kabri kwani mungu ndo mwenye kuhukumu sio sisi binadamu atakama kosa nilakwake mwenyewe binafsi tumuachie mja wake kwani yeye ndo amjua mja wake alikutwa na nini au ndani ya moyo wake kulikua kuna maumivu gani tujifunze kitu mimi na wewe hatujui kesho yetu sio vyema kutoa maneno makali kwa marehemu atujui kuwa tunazidi kumuongedhea dhambi
@ezekielloylepayon50423 жыл бұрын
Anayehojiowa sasa 😂😂😂😂anasafia kama yote sijui yeye ni pisi baya 🤣🤣😂😂
@ashuhunamohamed79973 жыл бұрын
Mwanamke kumsifia mwenzie ni vzur
@malelabmalela50163 жыл бұрын
Jaman
@azzamahamdu70393 жыл бұрын
Wa arusha wana roho ngumu sana.dada aisaidie police...huenda ikawa yy ndio muuaji...
@zuenajohn83253 жыл бұрын
Kama unaamini malipo ni hapahapa duniani gonga like.
@luckyrasuli5252 жыл бұрын
Mwanamke nimzuri kipotabo kiukwel anasifiwa kameza mengine ebu njoosheni maneno
@annachales96233 жыл бұрын
Maelezo yenu yanajichanganya Mara alitaka kujinyonga ndo ikateleza akaangukia mtungi wa gesi mara amejinyonga kupitia bimba lakuweka pazia dirishani...Jamani RIP
@hambalhusba96383 жыл бұрын
Huyo mbona anapaswa kuwa shahidi namba moja
@ednajeremiah9283 жыл бұрын
Acheni afe hasira za kumkosa mke kumyonga ndio akaona ajinyonge fila salama huliko
@camillahamis10693 жыл бұрын
Sasa alitaka mtt abaki nanan kha akufe tu na mungu asisameh makosa yake
@pwararirapwapwiiiii97303 жыл бұрын
Aaaaah n too much ndpo Tanzania n sna ssa🙆♀️🙆♀️🙆♀️
@nadrahassan52413 жыл бұрын
Jamani 😭
@charlesmyamba85312 жыл бұрын
Kufa kufa vipi unaanze kujinyonga kwanza kufa kwenyew sijazoea
@sylviermuhonjah84113 жыл бұрын
Ameni kumbusha alisha wahi tokea mtaa wa kwetu jamaa alipiga bonge la shonde ndipo akajitundika I say laana
Kujiuwa vizur funza wanasubir kwa ham kwenye kaburi na wadudu kulala bass kusudi haimbii pole
@zayanazayana53533 жыл бұрын
Inashangaza wapangaji wataskia mwenzao anapigwa ananyongwa hawachkui hatua mpk mmoja afe ndio wanaanza story
@nsajigwamwakalonge57023 жыл бұрын
Yaani ni wapuuzi sana
@ukhutfatumah11543 жыл бұрын
Innalillah wainnah illah lajoun
@lifhonlee34273 жыл бұрын
Arushaaaaaaaaaaaa.tumewachokaaaaaaaaa
@blandinamwarabu50253 жыл бұрын
Arusha jamani mmeingiliwa na pepo gani
@salmaabdulabdul10573 жыл бұрын
Yani huyo kamuita amuue Kisha ajiuwe na mwenyewe
@jeremiahcharles60273 жыл бұрын
Ndo shida ya kuoa pc kar duh ,,,,r ip
@peteryukunda92393 жыл бұрын
Huo ni ujinga,wanawake/wanaume wapo wengi.
@hidayaswai31193 жыл бұрын
Khaaswa! Kumng'ang'ania mtu ndio chanzo cha hays. Km mtu mapenzi yameisha endeleeni na mambo mengine kuliko kuwindana roho. Mapenzi gani ya kuuana. Khaaa
@nyamkamawanjara293 жыл бұрын
mauaji yamekisiri arusha,,nawakati wahehe ndo walikuwa wakiongoza kwa kujinyonga,,mi mtu akitaka kujinyonga au kujiua ,,siwezi kumzuia maana ni maamuzi binafsu
@vero573 жыл бұрын
Mapenzi yana uwa ,wahenga walisema
@neemamwasomola86632 жыл бұрын
Arusha mnanini
@aishaddddhh62723 жыл бұрын
Innalilah waina ilaihim rajiun
@yusuphkassimu2273 жыл бұрын
Acha jeshi la police lifanye kazi huyo Binti afunguke tu .
@pericykiko61983 жыл бұрын
Je wakati yupo bafuni angepiga kelele pengine wangesaidiwa
@lizzybby23923 жыл бұрын
😢😢😭😭
@ManaseMoleli8 ай бұрын
Usaliti unajua lakini cjinyongi ngo,
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Heee
@LoveStory-ne2ee3 жыл бұрын
Subuhanallah
@luluwhite38183 жыл бұрын
😭😭😭😭
@jackiekimario93243 жыл бұрын
Huyo mke wake achunguzwe inawezekana kampiga na huo mtungi maana maelezo hayaleti maana
@khadijahali48373 жыл бұрын
Innalilah wainailah rajioon
@Oscarmarwa-fitnesstrainer3 жыл бұрын
Acha wengine wamiliki pisi hiyo
@kiri58073 жыл бұрын
Sasa huyo binti wakati kashajifungia chooni kwa nini asipige kelele ? Huyu jamaa inaonekana alikusudia amuuwe huyo binti baada ya kufeli plan zake ndio akajiuwa mwenyewe.. km angefanikiwa kumuuwa asingejiuwa mwenyewe . Salama yake hakumuuwa mtoto .
@halimamakange.2813 жыл бұрын
Daaah sina lakuongea ila yote mipango yamungu kapunzike mdogo wangu kipenzi msalimie mama na kaka zako