NABII WA GAIRO ANAWATAKASA WAUMINI KWAKUTUMIA UUME WAKE

  Рет қаралды 37,735

Geah Habibu

Geah Habibu

Күн бұрын

Пікірлер: 300
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 4 жыл бұрын
Kwanza karne hii hakuna nabii Wala mtume wote waliyobakia matepeli Ila mungu anawasubili
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Bible imesema wapo wa ukweli na waungo pia wapo. So ujui kitu
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 4 жыл бұрын
Mh 😂😂😂wanapona awo nimapepo anatupia watu kisha anawachezea danganya toto. Amkeni makanisani muache kuchezewa aje msikitini awone atavo tembezewa bakora 😂😂😂😂
@rosekingalu4403
@rosekingalu4403 4 жыл бұрын
Watu hawamuogopi Mungu 😭😭😭😭astaghafirullah
@ashurar2721
@ashurar2721 4 жыл бұрын
MMH najivunia kuwa muisilam namshukuru mungu kunijaza imani moyoni mwangu
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 жыл бұрын
Nikwel tunajivunia kwail
@alishai4328
@alishai4328 4 жыл бұрын
Kweli kabisa dear 👌🏼
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Yaani ni miongoni mwa neema kubwa m2 ukijaaliwa kuzaliwa ukiwa Muslim coz ni dini ambayo haina mazonge na iko wazii..hakuna nabii wala cjui mtume waislam wote wanajuwa biashara hiyo ishaisha hakuna mtume mwngn kwahiyo huwezi kumdanganya muislam yeyote juu ya mambo hayaaaa..
@mamahustru
@mamahustru 4 жыл бұрын
Kwahiyo nyie stori za maustaadhi/mashehe huko mitaani mnajidai hamjazisikia au?
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 жыл бұрын
@@allykutenga2862 nikwel kabisa kabis
@annamasale3893
@annamasale3893 4 жыл бұрын
Duh. Nabii anakula kuku na manyoya yake mama, watoto mama wadogo bibi zao duh wote wamemegwa
@rachelmsekena603
@rachelmsekena603 4 жыл бұрын
😂😂😂😂nicheke mie hivi tunakwama wapi jamani kwani wewe mwenyewe huwezi kumuomba mungu akakusikia mpaka uende kwa manabii wa uwongo.
@selemanikumwambe1300
@selemanikumwambe1300 4 жыл бұрын
KWENI KUNA NABII WA KWELI KARNE HII
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
@@selemanikumwambe1300 yes wapo na wa uongo pia wapo ndio maana bible imesema utawambua kwa matendo yao
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 4 жыл бұрын
Dhuu Mungu asante kwakunipa masikio🙉😂
@magejuliani5293
@magejuliani5293 4 жыл бұрын
Tutulie tu kwenye imani zetu, omba chochote kwa imani utapata
@mamoulovecherry5121
@mamoulovecherry5121 4 жыл бұрын
Subhannallah innalillah wa innalillah raji'un
@merypolycalipo2091
@merypolycalipo2091 4 жыл бұрын
Umetisha to much we nabii feki.
@bananatz4216
@bananatz4216 4 жыл бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiun
@tatutatu1570
@tatutatu1570 3 жыл бұрын
uyu mchungaji mwenyewe afya mgogoro ajaasilika kwel uyu😭😭
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu Жыл бұрын
😂😂
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Innah lilah wahnailah rajoun......! Hivi watu hawakuwa na dini zao uko mwanzo? Kwanini wakina mama wepesi sana kuamini vitu yani Wanawake khaaaa
@irenemacha7457
@irenemacha7457 4 жыл бұрын
Wakina mama wanamatatizo mengi sana
@maryjonh311
@maryjonh311 4 жыл бұрын
Mambo ni mengi mda ni mchache
@mgesibabere4743
@mgesibabere4743 4 жыл бұрын
Na kweli mpk wanamini uume eti
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 4 жыл бұрын
@@mgesibabere4743 😀😀😀
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Da huu mic u so so much and welcome back
@aishaally2730
@aishaally2730 4 жыл бұрын
ALHAMDULILAH kwa Neema ya Uislam wala hatuangaiki alhamdulilah
@gracerossiejohnny9887
@gracerossiejohnny9887 4 жыл бұрын
Kwani amna ma shekh wako na tabia izo
@hemedirajabu9010
@hemedirajabu9010 4 жыл бұрын
@@gracerossiejohnny9887 hakuna shehe mjinga
@veronicacharles9993
@veronicacharles9993 4 жыл бұрын
Misaada ipo huku ndo mn wizi umekua mwingi lkn ata biblia ilisema siku za mwisho manabii wa uongo watatokea , , hivyo mimi kama mkirsto hawa manabii wa kishetani awanitishi kabisa na watapata hao wasiomjua kweli Mungu
@aishachambo3293
@aishachambo3293 4 жыл бұрын
Kweli kabisa kwetu huna jitu litajiita jina ilo majinga waliwao
@ashorass4431
@ashorass4431 4 жыл бұрын
Usiseme hivo kama sio mfatiliaji wa mitandao, na ikumbukwe dini sio imani
@thamanimusictarakea2747
@thamanimusictarakea2747 4 жыл бұрын
kimsingi uhalisia wa mungu hauna uhusiano na vitabu vyote tulivyoletea wakati wa utumwa mungu ni uhalisia ama ufahamu sahihi wakuishi na uhalisia unaotuzunguka basi
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Da Geha iyo ya Mganga yalinikuta mimi lakini nashukur niliweza kuliepuka aliniambia anataka kunitoa nuksi lakini inaitajika shaahawa ili tuzipate inabidi tunye ili anifanyie dawa mimi nilimjibu tu siwezi kufanya ivyo Mganga akasema sasa itakuaje na Usha ingia apa lazima hii dawa tuifanye da Geha uwezi amini nikajikuta nalia moyoni baadae nikapata wazo nikamuuliza iwezekani kufanya na mtu mwingine tofauti na ww ili tuzipate izo shahawa? Mganga akajibu uku akiwa na hasira akasema inabidi awe mtu ambae ujawai kutoka nae kimapenzi me nikamwambia Sawa nilicho kifanya da Geha nilienda muita mwanaume wangu akaja pale kwa Mganga chaajabu Mganga akazidi kuleta kikwazo eti tufanye yeye akiwepo kwakua mwanaume wangu nilimwambia kila kitu baada ya kuona yamenishinda ikabidi akubali na tu kafanya yeye akiwepo baada ya kutoka pale kufika nyumbani nilipo Kea kipigo na bwana Wang so cha nchi hii baada ya apo siku rudi tena kwa nyule Mganga na adi sasa apa nilipo sisubutu kwenda kwa ao mashetani wa nchi kavu
@jamilamursal4437
@jamilamursal4437 4 жыл бұрын
😂😂😂😂... Pole
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 4 жыл бұрын
Mimi mwenyewe niliharibiwa maisha na mganga wa kienyeji. Ndg muombe mungu
@JuliusMwita-vt2yp
@JuliusMwita-vt2yp Жыл бұрын
Dunia inaenda kasi sana yani wamama watafika mbng wame choka sana😂😂
@mariam1chuwa542
@mariam1chuwa542 4 жыл бұрын
Huyu anafana na Kaka yangu anatumia jina la chuwa akasema katokewa na yesu nitapeli mchonganishj mungu kamueza ananifanya miombea watu wawe matajiri na uponyaji wakati yeye mwenyewe no fukara anaumwa kila siku tuepuke .atapeli
@matridamwandambo9656
@matridamwandambo9656 Жыл бұрын
Ndo maana mi nipo nyumban tu namwita Yesu nyumban kwang manabii 😂😂😂
@nanagreco814
@nanagreco814 4 жыл бұрын
Huyo anaejiita nabii hana shida wenye shida n hao wanaotafuta manabii hawantafuti Mungu alie hai,,, Mungu anaweza kumsamehee huyo nabii,,, na akawaangamiza hao waliomfata huyo nabii,,, na nais na wanawake,,, wanawake ndo wanaviele ele
@maryamkhatau9445
@maryamkhatau9445 4 жыл бұрын
Ukiwa na shida tawadha Kisha swali rakaa mbili mlilie Mola wako na yeye ni mwingi wa kuskia shida za watu Allah kasema niombeni niatawajibu kwanini uenda kwa mwanandam mwenzio Hali na yeye anashida km zako
@rehemaramadhan8742
@rehemaramadhan8742 4 жыл бұрын
Kweli shetan yupo kazin
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 жыл бұрын
Ck zote mtenda Mabaya kwa watu wasiokuwa na hatia ipo ck mungu atamuumbua na mungu akulaaan ww mtumishi wa uongo jela miaka 30 yakuhusu kazeekee huko kaka mwili huna kwa unyanyasaji wa kijinsia 😢😢😢
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 жыл бұрын
Huyo Nabii wanGairo, MUNGU amlani tena sanaa na sisi wamama tufikie Jambo kabla ya maamuzi😳😳😳🇰🇪
@dullamburu1718
@dullamburu1718 4 жыл бұрын
Yupo sahihi wakosa nyie dada zetu muna waume wa ndoa halafu unamruhusu mtu mwengine akuvue nguo akuingilie kisa yeye nabii au mtume hiyo mitume ya kweli haijawahi kufanya hivyo mue na akili nyinyi wadada pumbavu zenu mnatia hasira Sana mambo mengine haina haja ukae darasani usomeshwe
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 4 жыл бұрын
Mtatombwa sana mkitafuta miujiza pumbavu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Wamama mjiongezee mm nitabakii kumwamini Mungu tuuu
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
SALI NYUMBANI KWAKO NI SAWA TUU MUNGU YUKO KILA MAHALI JIOMBEE MWEYEWE MUNGU ANASIKIA HUNA AJA YA KUOMBEWA
@omaryjuma7268
@omaryjuma7268 4 жыл бұрын
Dah mbona huyu jamaa simjui alafu nakaa hapahapa aiseee dah uyu noma sana
@nurjanhaidar740
@nurjanhaidar740 4 жыл бұрын
Kkkk kani lazima?
@evelinelema3395
@evelinelema3395 2 жыл бұрын
Dini zote zilizopo chini ya jua ni miungu ya kizungu iliyoketwa na wakoloni ili kuendelea kututawala kiimani kwa Haya na mengine mengi mfuate Imani Mcimbwa KZbin ili ijue namna wazingu walivyo tudanganya kwa kutuletea dini na sisi tukazipokea bila kuzichunguza
@ameyashey3174
@ameyashey3174 4 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH 🙏
@gloriakimario9173
@gloriakimario9173 4 жыл бұрын
Huu ni unyanyasaji wa kijisinsia tunaomba serikali ichukue hatua kali dhidhi ya huyu mtu na pia serikali iwe inahakiki haya madhehebu yanayoibuka kila kukicha kabla hayajapewa kibali cha kuhubiri
@stellalagwelagwe5539
@stellalagwelagwe5539 4 жыл бұрын
Huyo nabii hana kosa hao wanawake wamejipeleka wenyewe na shida zao hakuwafuta majumbani mwao kama walikuw hawapendi wanachofanyiwa kwanini hawakuwahi kumshitaki na walinyamaza kimya inamaana huyo msichana asingepata ujauzito siwangeendelea? Hao wanaume wadili na wake zao kwanini walikubali kuvua chupi na wakati wanajijua ni wake za watu? Nabii kafaidi kweli 😂🤣🤣
@gloriakimario9173
@gloriakimario9173 4 жыл бұрын
Lakini alitumia madhaifu yao kuwanyanyasa kingono. Na kilichowapeleka pale ni matatizo always mgonjwa huwa anaenda alipo daktar ili apewe dawa apone.
@josephjohn2114
@josephjohn2114 4 жыл бұрын
@@stellalagwelagwe5539 ana kosa kimungu na kiserikali kwa sababu kama mkristo anatumia biblia na uzinzi na uasherati unakatazwa. Serikali itamuuliza ametumia maandiko gani, hataweza kujitetea so jela inamgojea.
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Mtawatambua kwa matendo yao watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa. Inamana wahumini awasomi bible?mbona Yesu alishatuonya kuusu awa manabii wa uongo kwann watu wasisome bible jamani kila kitu kimesemwa uko wanajitakia awa acha liwakute.
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Dah! Hii ni Gairo nayoijua mim au nyingine,
@kautharsalat6449
@kautharsalat6449 4 жыл бұрын
Huyu jaman amefaidi wake za watu 😁😁😁😁😁😁
@nelsabugo3613
@nelsabugo3613 4 жыл бұрын
Mungu atuhurumie ...watuwamekosa hofu ya Mungu
@agreyrecho9285
@agreyrecho9285 4 жыл бұрын
Nikweli kbs alichokisema mkuu wa wilaya baadhi ya waumini wanatetea Sana hao watu wanaojiita manabidii hawapend uwaongelee hata kidogo
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 2 жыл бұрын
Hej🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanaume kuweni Malin nawake zenu kupenda miujiza mtu kaonja Sasa🤣🤣🤣🤣🤣oho ilibaki amle Baba baada ya Familia nzima
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 8 ай бұрын
Imani isiyo ndani ya Biblia Takatifu ni imani ya shetani Nabii huyo anatumia mapepo or majini kutambuwa shida sa watu Ni nguvu za giza (uchawi)
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa watu hawataki kusoma neno wanataka kusikiliza unabii,
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Hayo maelewano jmn , kwani sisi tunaorubuni kwakujifanya mambo Safi natuna pesa au tunaajifanya waowaji tushitakiwe kwa ubakaji Basi Kama huyo NI mbakaji ....😂😂😂😂 Hao wamechaniwa chupi hao wanawake . Sioni ubakaji hapo
@jwamujini2487
@jwamujini2487 4 жыл бұрын
Shikamoo
@aishajuma712
@aishajuma712 4 жыл бұрын
@@jwamujini2487 Malhabaa ujambo
@tatutatu1570
@tatutatu1570 3 жыл бұрын
zinaa Mungu haitaki sasa utabalikiwa vp
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Mungu aturehemu na hawa wanao jiita watumishi wa Mungu
@aishaally2730
@aishaally2730 4 жыл бұрын
Da huu well come back
@jinaanhkareem3650
@jinaanhkareem3650 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Imebid nicheke tu maana
@azaboicomedy
@azaboicomedy 4 жыл бұрын
Duhhh kwl nmeamini sisi wanaume tuna MBINU za kumuuliza kabisa 🤣🤣🤣🤣
@immtm4930
@immtm4930 4 жыл бұрын
Tunatumia udhaifu wa wanawake tutakavyo
@wasalimie11
@wasalimie11 2 жыл бұрын
ilitokea kwa familia yangu na mama alikua amekaa hapo nje nilikua na miaka kumi na nne😭😭😭na madada zangu pia
@naomiabel9929
@naomiabel9929 4 жыл бұрын
Makubwa shetani shindwa mbona wanamtumia mungu vibaya huyu pepo na ashindwe kwa damu ya yesu
@roseuwambe893
@roseuwambe893 3 жыл бұрын
Kahaba la kiume hilo😅😅🤣🤣
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
WANAWAKE WENZANGU TURUDI SHULE TENA NAONA, UTAAMINIJE VITU KAMA HIVII,
@hemedmnyambwa5502
@hemedmnyambwa5502 4 жыл бұрын
Milango ya manabii na mitume ishafungwa siku mingi Sana'a Kama unabisha nyosha kidole juuuu
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Mambo meusi ukooo🤣🤣🤣🤣
@rukiabaybe8594
@rukiabaybe8594 4 жыл бұрын
Kwan kuna andiko linasema ivyo mtu kufanya ngono atolew nuksi uko kwenyebibilia au hao wanawake hawaisomi hiyo bibilia
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 жыл бұрын
Jamani hawa manabii manabii wanajua kuwachota akili wanawake jamani sijui tunakwama wapi 😭
@neemadeo7803
@neemadeo7803 4 жыл бұрын
Mbna handsome tuu
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 4 жыл бұрын
Subhanallaah
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Daaaa jamani kweli hapa inaonekana wanawake tuna matatizo mengi sana kweli mtu unadanganywa kuingiziwa uume ili upate uponyaji kweli? Amri ya sita ya Mungu inasema usizini sasa hapa inakuaje upate uponyaji kwa njia ya uzinzi? Huyu baba ni mchawi kabisa haiwezekani wanawake wote hao afawanyie hao pasipo hata kujitambua.Huyu baba achukuliwe hatua Kali dhidi yake.
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Nawaomba binadamu wenzangu kama tunamatatizo usilale usku muombe mungu mwenyewe usimuamini mtu sasaiv manabi wa huongo ndio hao dunia imefka mwisho?
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 4 жыл бұрын
Mambonimazito subhanallaah
@suleimanalhabsi1139
@suleimanalhabsi1139 4 жыл бұрын
Waendelee tu kutakasana kama wanapona wenyewe wana jionea tamu tu wanaitana family nzima pumbavu kabisa🤣🤣🤣🤣
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 5 ай бұрын
shida watu wanapenda utajili wa haraka wa bila jasho
@aminasultan7287
@aminasultan7287 Жыл бұрын
Kwetu matangini kiwalani kunamchungaji nae amemchukua mke wa mtu anasema kaotelshwa na bwana atembeenae
@mgesibabere4743
@mgesibabere4743 4 жыл бұрын
Hao waumini nao walisoma wapi kutakaswa na uume?? Mambo mengine jmn
@zuuothman9170
@zuuothman9170 4 жыл бұрын
Imebidi nicheke tu😆😆😆😆😆😆😕😕😕
@milkamugeni7940
@milkamugeni7940 4 жыл бұрын
Nashindwa kuelewa wewe mwanadamu unamwaminije mwanadamu mwenzako tena wamama sana mtu anajiita mtumishi wa mungu anaanzaje kukuambia utoe nguo Ati nakuombea ushenzi sana
@masudimwabushuti536
@masudimwabushuti536 4 жыл бұрын
Mm sioni Kama nimakosa kwasababu hakulazimishi ila unakubali mwenyewe
@sophiaalexander6025
@sophiaalexander6025 4 жыл бұрын
Uuuwiii jamani tujiadhali na manambii wauongo Kwani maandiko yanasema tutawatambua kwa matendo jamani
@selemaniselemani5445
@selemaniselemani5445 4 жыл бұрын
Ujuwe Hawa Makafiri Wameshawasoma Makafiri Wenzao na Zaidi ni Wanawake, Wamepiga Hesabu Wameona Kuwa Ukijitangaza Ww ni Nabii Basi Utapata chochote Toka Kwa Mazezeta Hawa, Na Ndivyo Inavyotokea. : Acheni Kudanganyika, Ukomo Wa Manabii na Mitume Ushapita. Hawa wanao Jitangaza Kuwa ni Manabii, Ni Kizazi cha Shetani.
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 жыл бұрын
Kwahyo siku hizi uume ni dawa sio!? Umenishinda tabia utajua mwenyew na Mungu wako hukumu yako yaja!!
@idynasoro3250
@idynasoro3250 4 жыл бұрын
Mmenichekesha had basi huu utakaso bwana
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 4 жыл бұрын
Subuhanallah haliogopi hata marazi dunia hii sijui tunaenda wapi
@esthermgonja4475
@esthermgonja4475 4 жыл бұрын
Ila jamani kuna watu wanawafunga watu wanajikuta washafanya... huyo ni mganga sio mtumishi... unakuta wamefungwa kichawi hawajielewi kabisaa
@selemanikumwambe1300
@selemanikumwambe1300 4 жыл бұрын
HAKUNA UCHAWI HAPO , NI UZEMBE WENU TU
@khadijaahmada2544
@khadijaahmada2544 4 жыл бұрын
Ata mimi iliwahi kunitokea likua nna tatizo sijiskii hamu ya tendo halaf nikiingiliwa naumia boyfriend wangu akanipeleka kwa mtu ambae anafanya dawa za kishwahil tulipofika yeye aliambiwa atoke njee baada ya hapo nilipewa dawa nikakoge choon halalu uliporud ndani kwa yule mwalimu akanambia lala kifud fud nikalala akawa ananikanda mgongo baadae akanambia vua baibui nikavua akanambia nilale nchali akaanza kunishika tumbo akaja mpka chini ya tumbo kidogo namuona anashika sehemu za siri tena amewiva macho anatetemeka na nilikua nimevaa nguo ya mpira kitu kimevimba icho..We nilipiga kelele nikamsukuma akajidia nikifanya tabu jini wake atanizuuru na nikitoka bila kunifanyia tiba atanifanyia kitu kibaya nitazunguka dunia nzima sitopona nikamsukuma nikenda mbio kibaya zaid mlango katia lock kwa ndani ila boyfriend wangu alikua nje baada ya kuskia kelele akaja kusukuma mlango jamaa akajidai nimepandisha jini...tena kibaya zaid kakamata mas hafu mkonon uyo jamaa anaitwa Khamiss akakaa chumbuni Zanzibar
@rechohilu6605
@rechohilu6605 3 жыл бұрын
Hatali sana
@giftnyakipande1253
@giftnyakipande1253 4 жыл бұрын
Wanawake tunakwama wapi jamn kja tumedanganywa na nyoka mpka sasa atujajifunza tu jamn
@elizabethmaro1835
@elizabethmaro1835 4 жыл бұрын
Dunia Umeisha Sijui hatatunaelekeawapi
@mariamali1887
@mariamali1887 4 жыл бұрын
Wanawake lazima wajitambue. Mwanaume anawaingilia kiulain.wakina mama hatuna akili jamani. Mume akupende ili umroge jamani. Hizo dini zingine za ajabu sana duh🙄🙄
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 жыл бұрын
Kweli mujitambuye Wana mke
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 жыл бұрын
Kweli jita mbuweni mana mke
@susanejd7775
@susanejd7775 4 жыл бұрын
Hao wanawake ni watu wazima wanajua sana kua kuingiliwa na nabii sio dini tena. Lkn kwa nn wanawake wakazidi kuendelea. Mm naona watakua wamependa mchezo wa nabii. Na watakua waelezana mikatiko ya nabii. Mwingine nae anakwenda kuhakikisha. Lkn kusema ati wamedanganywa siamini
@hamadshein498
@hamadshein498 4 жыл бұрын
Mwanamke aliumbwa na akili moja tu.ndo maana hawa hakujua kama kile ni kioo na anae jiangalia ni yeye akajua ni mwanamke mwngne.
@mwanaheribrighton425
@mwanaheribrighton425 4 жыл бұрын
Duuuh aisee najaribu kuwaza cpat jibu je kama ni mgonjwa wa ukimwi atakuwa ameambukiza wangap? Ila cye wanawake hatuna akili hata kidogo khaaaaaa hatar
@JoyceMkini
@JoyceMkini Ай бұрын
Kwenye biblia hakuna mafuta maji cek sabuni nk havipo kabisa imani hiyo sijui imetoka wapi inayo imani yakudanganya watu
@JoyceMkini
@JoyceMkini Ай бұрын
Siyo mtumishi huyo ni mshirikina
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 4 жыл бұрын
😂😂😂😂kijito chaa utakaso bhana yani wanawake bhana duu atari
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 жыл бұрын
Mtihani sana
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuishi kwingi kuona mengi mungu wangu 😳😳💔😠
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 4 жыл бұрын
Kweri kabisa
@jmwaka9316
@jmwaka9316 4 жыл бұрын
kina GWAJIMA - MWINGILA na wezie vile wanajifanya wana usawishi na serikali kuwatetea.
@kurthumngereza2707
@kurthumngereza2707 4 жыл бұрын
Hahaa dada yaani mmeni chekesha bhana mna masiala sana hahaaa nimecheka adi baas
@evelinelema3395
@evelinelema3395 2 жыл бұрын
Kweli shetani hazeeki
@idynasoro3250
@idynasoro3250 4 жыл бұрын
Huyu nabii bwana harafu josee mara anahoji huyo
@ngwalesma3681
@ngwalesma3681 4 жыл бұрын
Anawapiga mbupu tu! Yan watu bana sijui dunia tunaenda wapi!
@danforddaud5784
@danforddaud5784 4 жыл бұрын
Akapimwe tu akili kwa kweli du!
@mdzainb3722
@mdzainb3722 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 yani mnachekesha wachungaji sana jamani ndo makanisa ya ajabu ya sasa mbona wakatoliki hawana mambo hayo
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 4 жыл бұрын
Yaani huyu sio mchungaji ni shetani
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 4 жыл бұрын
Kuna mama angu mkubwa mke wa baba angu. Aliend kwa mganga ili apewe dawa mapenzi kumkomoa baba etu. Jamani mzigo alichopewa dah.!! Mpk leo nyumbani hakukaliki kabisa. Jamami tuliugua majini family nzima
@abuibra
@abuibra 4 жыл бұрын
KUNA AINA YA WATU ALLAH KAWAJAALIA KUZUNGUMZA NA MAJINI NA WAKO SEHEMU NYINGI DUNIANI KWA SISI WAISLAMU TUNA KUWA TUNAJUA HAO NI MAJINI KATIKA MASHAITAN AMBAO WANAKUA WANA ISHI NA HAWO WATU WANAKUA WANAMFAHAMU SIRI ZAKE ZOTE KWANI JINI WEWE HUMUONI LAKINI YEYE ANAKUONA NA JINI ANAUWEZO WA KUINGIA KATIKA MWILI WA BIN’ADAMU KWAHIO YULE JINI HUENDA KWA HUYO MTU NA KUMWAMBIA SIRI ZAKO NA HUYO MTU ATAKWAMBIA MENGI YANAYO KUHUSU JINA LAKO NA NK.NDIPO WANAPO WANASA WAJINGA,NA WENGI NDIPO UTAKAPO WASIKIA WANASEMA WAO MITUME NA WANAZUNGUMZA NA MUNGU AU WANATEMBEA NA ROHO MTAKATIFU UKWELI HAKUNA KUZUNGUMZA NA MUNGU WALA KUTEMBEA NA ROHO MTAKATIFU ILA NI SHAITANI,KISA NI KILEFU HAITOSHI KUKIANDIKA KWENYE (YUOTUBE)LAKINI MWENYE KUTAKA KUULIZA NIKO TAYARI KUMJIBU.
@catamandus3628
@catamandus3628 2 жыл бұрын
Mmalaya tu uyoooo fala au kaasilika
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Mwisho wasku bora uhai
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂watu wajifunze kukimbilia Kwa kila mtumishi anayeibuka,
@yusuphsungura736
@yusuphsungura736 4 жыл бұрын
Amekura kondoo wake jamani
@aminamustafa3303
@aminamustafa3303 4 жыл бұрын
Mmmh makubwa jamani dunia inaisha
@JoyceMkini
@JoyceMkini Ай бұрын
Hakuna imani ya hivo wala.hakuna vitu hivo kwenye biblia haifindishi watu watumie watu kutumia hivo vitu ni jina moja tu La Yesu tu imeandikwa tulitumie hilo uponyaji unapata jamani
@japharynduko6139
@japharynduko6139 4 жыл бұрын
Aya mambo utayakuta tuu kwa imani ambazo adi sasa wana mitume na manabii ambao hata kwenye utabiri wao ndani ya vitabu vitakatifu hawapo poleni sana ndugu zangu wenye mitume na manabii ambao hata kwenye vitabu vitakatifu hawapo
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 4 жыл бұрын
MUNGU alisema siku za mwisho atawamwagia Roho wake watu watatabiri na kuona maono vilebile Biblia imesema sku za mwisho watatokea manabii wa uongo japo wa kweli wapo sasa usilazimishe kisa kwenu mmeambiwa hakuna nabii zama hizi basi na wakristo ni hivo hvo haya mambo yanatimiza tu maandiko yaliyoyatabiri. Ila manabii na mitume wa kweli wapo hadi leo
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 жыл бұрын
Tatizo hawa ndugu zetu ukiwaamsha kuhusu hawa MANABII wa kisasa wanakwambia ushindwe Kwa jina la Yesu ‘ unataka kumchafua mtumishi wa MUNGU...!...umetumwa ...! Ukitoa mawazo Serikali iingilie Haya mambo pia wanakwambia hakuna Acheni imani za Watu’ ..!..Hawa wanaojiita Manabii hakuna hata mmoja mkweli wote waongo’ wanajitajirisha wenyewe na kuwafanyia Watu mambo tofauti...! ...UPAKO KWA NJIA YA UUME...!..hahahahaaa
@immtm4930
@immtm4930 4 жыл бұрын
Acha waliwe... 😄😄😄😄
@rastafare878
@rastafare878 2 жыл бұрын
Ismail ni kweli kabisa
@failunaimba9774
@failunaimba9774 4 жыл бұрын
Hahahaha na Zanzibar wako tele wafanya ivo
@spreadlove2119
@spreadlove2119 4 жыл бұрын
Hamna mchungaji hapo, sura yake imekaa kiugagula 😣😣
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 4 жыл бұрын
Hivii haya mambo bado yapogo jamanii eti dawa iwekwe kwa uume uingiziwe! Mmekatwa vichwa au vichaa loh imani gani hizo pumba tupu!
Nondo anazungumzia kutekwa kwake
15:36
DW Kiswahili
Рет қаралды 15 М.
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 169 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 2 МЛН
MUME WA MWANAMKE ALIYEOLEWA KWA MARA YA PILI AFUNGUKA NA USHAHIDI
17:00
Sikiliza HekaHeka iliyomtokea Mdada Ajuta Alichofanya
7:07
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 25 М.