Jamani hasa wadada hii tabia unawasiliana na mtu kwenye mtandao humjui na unakula pesa yake mwisho wa siku inabidi ukailipe
Пікірлер: 449
@allymwinyi9707 ай бұрын
Kanyinyi herufi za Qur'an unaxitamka vizuri Maashallah. MUNGU akubariki.
@feisalabdulaziz26756 ай бұрын
Htr nimeshangaa sana😂
@maimunamudiri26167 ай бұрын
Nimependa kanyinyi alivyosoma quran mashallah
@allymwinyi9707 ай бұрын
Anajua na anayamka herufi vizuri Maashallah.
@omarymsusa89037 ай бұрын
Mashaallah
@mohammedkidody56186 ай бұрын
Mashallah❤
@dominiquebirler27917 ай бұрын
Leo nipo top 3 kwa wakenya. Anguka nayo🎉 Wapi likes zetu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@DenvoiceChome7 ай бұрын
😂😂😂😂
@kiinamamargaret2377 ай бұрын
Na anguka nayo😂😂
@theoriginals32407 ай бұрын
1 legee😂
@neyjackson45077 ай бұрын
Mmm
@Yournextex1237 ай бұрын
Badala ya kwenda kuokota miili ya ndugu zako umesimamisha mshipa unaomba likes🤦🏾♀️
@GentrixBarasa-c6x24 күн бұрын
Kazi nzuri joti nakupongeza kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 haya na mimi naombeni likes 😂😂😂😂😂😅😅
@mustafarajabu40057 ай бұрын
Joti hana mpinzani.na TV yake ni kubwa ina million na kitu
@mohammedkidody56186 ай бұрын
Kanyinyi kaisoma vzr sana qur'an mashallah❤🎉
@jovinmoses2557 ай бұрын
Joti umefanya vizuri kuwaongeza wachekeshaji waliopotea muda mrefu kama asha boko kwenye hili jambo lako, na huyo mwengne anaongea kama wamakonde hii ni nzuri.
@mamasalhat7 ай бұрын
Da mwene huyo akiwa mwene na Asha boko hatariii😂😂😂
@munirmuhamed59086 ай бұрын
SAHIHI
@hassansaul70986 ай бұрын
Mbona Asha yupo kweny sinema tu nyingi mpya
@chaggastar92367 ай бұрын
Leo joti kashinda kila siku ana fale😂😂😂
@habiibanahassan44557 ай бұрын
Anafeli akiwa kama nishai😂😂
@hawafelician73636 ай бұрын
😂😂😂😂
@chaggastar92366 ай бұрын
@@hawafelician7363 😁😁
@JamesReuben-gt8up7 ай бұрын
Ila joti ni mbunifu sanaa
@jumajunior99347 ай бұрын
Nanga mjinga eti mda uo😂
@KhadimDiop-bp9do7 ай бұрын
Umetisha bro joti n group lako
@EricaBizuru-jp9by7 ай бұрын
Basi hapo kwenye Ngoma Doris hua anapenda 😂😂😂
@airfocymisosi6 ай бұрын
Kazi nzuri sana joti asha Boko like zangu Inshallah nasubiria kutoka 🇰🇪
@athumanimtajih7 ай бұрын
Mwarabu hunuki hata mafuta ya taa😂
@missdija49597 ай бұрын
Hii comment nimeona kabla hiyo sehemu haijafika🤣😂😂😂😂 nimecheka kabla🤣🤣🤣
@athumanimtajih7 ай бұрын
@@missdija4959 😝😝
@emmanuelymalange83327 ай бұрын
Namba one
@JohnnyDepp-m4j7 ай бұрын
Kachukuwa wawili badala ya mmoja 😂 joti chizi kweli😂😂
@FrankEnock-q4q7 ай бұрын
"Hata chui mkali lakini anazaa" 🤣🤣🤣 Joti una mbinguyako.
@aminatanzanya74757 ай бұрын
😂😂 Mwarabu gan hata mafuta yataa hunuki. Kazi nzuri Joti tv ❤️❤️
@chadrackrunogeza33027 ай бұрын
Wa kwanza toka drc kalemie ❤❤❤😮😮
@saidilome-ue2df7 ай бұрын
Nishai mitwango kitombangile muarabu wa Facebook 😂😂😂😂😂
@ahz69076 ай бұрын
😂
@h.akarim7 ай бұрын
Kazi Kubwa ☝️🇨🇩 nipo Congo
@consorathajames26937 ай бұрын
Kazi nzuri sana hongereni sana
@verahkokyactresskenya50597 ай бұрын
Mm namba 10 Leo wapi likes za wakenya
@daudiniyonsaba11137 ай бұрын
#3 na sitaki likes...hahaha
@FredrickDanford7 ай бұрын
Joti on 🔥🔥 congratulations My brother 🙏🙏
@athumanimohamed95267 ай бұрын
Kanyinyi yaliyomo yamo Maashallah😅
@AllyUmuganwa5 ай бұрын
Babu kaju ukishirikiana na mishayi unauwa😂❤😂
@ochumajan47807 ай бұрын
Video imefika kati joti hajaonekana, tunapenda joti ashiriki kuanzia mwanzo
@sadakombo-li7yi7 ай бұрын
Mchekeshaji maarufu kama muarabu like kwake ❤❤❤
@LazyGang2547 ай бұрын
Joti kama BABU😂😂😂
@Khamisi-kipngu6 ай бұрын
Ila jot na timu yako dah co powa😂
@ramadhanurassa24107 ай бұрын
Khaaaaaaa khaaaa hii inasound good
@SmithJacob-f2r7 ай бұрын
Uskute ni mwarabu fighter 😅😅😅😅😅😅😅😅
@kamanyile7 ай бұрын
Joti wewe ni kiboko wa comedian big up
@JadanHaruna-n7p7 ай бұрын
Sas rafiki yangu joti sikuhizi hata komedi zako sio nzuri umeyaweka mazee hayo hayawez hata kuchekesh rudisha bwan wakina sopa nakipande toa zito na na hilo zee
@wilbaldshayo12227 ай бұрын
Wewe tulia ujui watu kaa kushoto..
@mohannadmohammed66317 ай бұрын
Acha roho mbaya unataka wazee wakale wapi?
@JadanHaruna-n7p7 ай бұрын
@@mohannadmohammed6631 sio roho mbaya inatakiwa masilah kaz ziende mjini hela kwanz kama kila siku anadirop
@richardomollo86087 ай бұрын
Mwarabu gani ata mafuta taa hunuki wee 🤣🤣🤣
@melaniehalla46546 ай бұрын
Napenda kanyinyi anavyoigiza 😂
@k.o.n.g89257 ай бұрын
Bro yuko vizuri. Nakubali Sheikh 🇿🇦
@meryanagenes91637 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤makopa mengi kwa jotiii❤❤❤
@chrismuganwa86347 ай бұрын
Sure !!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
@nemesapollo48467 ай бұрын
huo muda,muda ukifika huwezi kuogopa
@starjay30527 ай бұрын
iyo ishawai kutokea mtani kwetu 😁😁🤣🤣🙌
@rabaniAmri7 ай бұрын
Joti kashindi kana hayupo atakaye muweza joti❤❤❤❤
@ibbu-tz6 ай бұрын
KANYINYI KASOMA VIZURI SANA QURAN MASHALLAAH. Ila hapo kaoa yeye hajaoa mwarabu 😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@Kidoaaisha6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@EnthusiasticCows-rd5pu6 ай бұрын
Huyu @joti ni wakala wa ushoga
@maryamconstantine22326 ай бұрын
Ila kanyinyi bn😂
@adamkisheta84394 ай бұрын
Hili jamaa la kujiita nanga asée linajua sana
@liliansauwa84487 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Joti Mshenzi, eti hiyo picha nilikua kıjana na miaka 20. Hela za mwarabu umekula, kapambane na babu 😅
@josephmwaropha30676 ай бұрын
Lilian Mambo vp
@mwatelaedward16386 ай бұрын
😂😂 mwarabu hata mafuta taa hunuki
@benedictorkambanga52097 ай бұрын
Mimi wa 20 Leo bigfunicture
@lucasmaro41723 ай бұрын
Chui mwenyewe mkali lakini anazaa😂😂😂😅😅
@mosesbarnabas33797 ай бұрын
Kumbe kanyinyi muislamu safi
@DannychiboJr.6 ай бұрын
Mimi ndo mwarabuuu😂😂😂😂
@zephaniamwangu98577 ай бұрын
Umetisha sana joti na nanga😂😂😂😂😂😂😂
@ayububrantaya66247 ай бұрын
Nanga kwa upambe noma😊😊😊😊😊
@abdullatif0537 ай бұрын
🤓🤣biharusi imekula kwake🎉
@user-muttywhyner7 ай бұрын
❤❤❤.......kazi nzuri bloody
@abdallahkambangwa72156 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe si mtumzima sasa nakupa mtumzima mwenzio
@MuddyKishoma6 ай бұрын
Ila nanga hicho kicheko 😂😂
@MohamediKalanje7 ай бұрын
Nanga mpuuzi sana et ungeondoka nae na huyu 😂😂
@kekiplus1andonly6 ай бұрын
Mbona mwarabu😂😂😂😂😂tena ni wa facebook kumbe😂😂😂😂lako hilo bi dada,
@RhobinaOmondi-hr2eg7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂mwarbu mwiti mybe mwarbu n jina😂
@feisalabdulaziz26756 ай бұрын
Uyu nae nani mzuri uyu nae uyu😂😂😂
@PauPaulo-qf3wo7 ай бұрын
Nanga mpuuzi kabisa, eti rhaaaa rhaaaa 😂😂😂😂
@nchabhilondade62287 ай бұрын
Bawasiri bwana harusi😂😂
@mohammedgulam92746 ай бұрын
Hapo sawa❤
@DianaHyera7 ай бұрын
Joti niko chini ya miguu yako,naomba week ijayo uigize Uke wenza,timbwili kama lote
@mbwanahussein987 ай бұрын
Ili iyo klip umtishe mtu sio haki hiyo niamri kutoka Kwa mola wetu
@DianaHyera7 ай бұрын
@@mbwanahussein98 Ndugu siko huko kabisa,napenda akiigiza kama mwanamke,umenifikiria vibaya,samahani lakini
@mbwanahussein987 ай бұрын
@@DianaHyera sorry pia Kwa kudhani
@simonandrew14897 ай бұрын
Kazi Nzur Mr Joti Na Team Yako
@dullywa99736 ай бұрын
binafsi nafurahia sana mafanikio ya Nanga😅😅😅
@AljawadyRasheed7 ай бұрын
Hcho kigoma cha Mwsho nmekielewaa😂😂😂😂
@BabyCharles-jl3gv7 ай бұрын
😂😂😂Yaan nmecheka kabla sijamlza
@rasnchimbi6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣mwarabu wa kuchat kweli hili ni funzo mapenzi ya digitali
@Emmymajula58384 ай бұрын
Kanyinyi mashaallah❤🎉
@rubsonheritier59407 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 joti vraiment 😂😂😂😂😂 tu vas tuer quelqu'un un jour 😂😂😂. Mzee muharabu
@dullywa99736 ай бұрын
Nanga mbona utulii😂😂😂😂
@rosemahenge90717 ай бұрын
Wewe Suzy acha ujuaji huyo ni mwarabu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@amridadi61966 ай бұрын
suzy anamikelele mpaka kero hawezagi kuongea taratibu au kwa kusikitika sehem yakufanya hivyo yeye ni kupayuka tuuuu khaa... anaboa sana
@awadhally10526 ай бұрын
😂😂😂.
@agnesjohn93826 ай бұрын
😂😂😂😂 jamani
@joycerajabu84487 ай бұрын
never disappoint jotiii 🎉
@baisaonline7 ай бұрын
Joti hana mpinzani kwenye game la uchekeshaji
@hamisaally9687 ай бұрын
Aliyewafungishaa ndoa kimyaa kama ayupoo😅😅😅
@mossiewiser7 ай бұрын
Ha ha ha jotiiii, champion,...
@sherrymeddy63987 ай бұрын
Somo amewafunda tanga nzimaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
@MagrethNyakunga7 ай бұрын
Kutokea Nigeria naangalia 😂,habarii zenu TZ
@cororadotag56016 ай бұрын
Noma sana
@benhanclove59977 ай бұрын
Mwarabu mweusi😂😂😂 au ibakie kua jina tu basi😂😂
@muddyzungu-w2p6 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@salymking18927 ай бұрын
Nanga fundiii😂
@hansrashid98217 ай бұрын
nang mseng san😂😂😂😂
@ramajozz-sp4tp7 ай бұрын
Jamani joti hatari!!!!!!.
@EboyTanganika-tu8qh7 ай бұрын
JoTi🎉 Moto sana🎉😂😂
@faimstech7 ай бұрын
😂😂asha boko was too much into the favour
@malakimoses61156 ай бұрын
Babu Leo amekuwa mwarabu😂😂😂😂
@emanueldanstan89047 ай бұрын
Kigoma twendee😂😂
@msafirifabian21437 ай бұрын
Mwarabu hata mafuta ya taa hunukii. 😂😂😂
@Thegame-6076 ай бұрын
Joti wewe ndugu yangu uarabu umeutoa wapi😂😂😂
@peterjanuary4297 ай бұрын
😅😂 dah joti
@amanifaraji24477 ай бұрын
Mimi wa mwisho😂😂
@JamesMpiga7 ай бұрын
Wahuni wa zamani utake utaenda usitake utaenda 😂joti 🙌🔥