No video

KUNYWA POMBE NI MAKOSA LAKINI SIYO DHAMBI| KUNYWENI BAADA YA KAZI| POMBE NI MLANGO WA SHETANI

  Рет қаралды 29,898

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 136
@renatusmtakyawa594
@renatusmtakyawa594 Ай бұрын
1 Timotheo 3 2 Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; 3 si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha; 4 mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu; 5 (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?) 6 Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 Ай бұрын
Kuna wakati unaongopa hadi unaishia kujizonga. Hawawezi tena kuisema kweli ya Mungu.
@amirizedy8411
@amirizedy8411 Ай бұрын
Tatizo lugha ndio zimewacanganya dhambi ni kiarabu kwa kiswahili ndio makosa unaposema kunywa pombe ni makosa sio dhambi bado unajicanganya mwenyewe dhambi ndio makosa nimemaliza
@goldmansun5859
@goldmansun5859 Ай бұрын
Ndio maana hiki kiswahil siyo kiarab, hata kiingereza dhambi na makosa ni tofaut, hivi hujui makosa mengi sio dhambi, mfano kuchelewa shule ni kosa ila sio dhambi, na mifano mingine unayo mwenyew
@alphamenson3784
@alphamenson3784 28 күн бұрын
​@@goldmansun5859True man
@user-hi7ry5bc9t
@user-hi7ry5bc9t 21 күн бұрын
Ni sawa kwa Mungu kosa ni dhambi. Hata kuchelewa kazini ni dhambi kwa maana unamdhulumu muajiri wako muda wake mliokubaliana.
@martinisadru9899
@martinisadru9899 11 күн бұрын
Kama ndivo, basi mwanadamu hata 1 asingetoboa pepo,, ndomana akaja masihi YESU, kutupunguzia amri,, sasa tumebaki na amri kuu mbili,,1 mpende bwana MUNGU wako kwa nafsi yako yote, 2 mpende jirani yako kama uipendavo nafsi yako,, sasa kunywa pombe, kuowa wake 60-70, sio zambi,
@goldmansun5859
@goldmansun5859 11 күн бұрын
@@amirizedy8411 mfano kuna jamii kufuga nywele au kuacha nywele ni kosa, ila si dhambi, wengine kunywa soda ni kosa ila si dhambi na wala si kosa kwa wengine, jiongeze mbinguni tunaenda kwa grace na kujitahid kwa kupapasapapasa utakatifu maana ni ngumu n impossible, tunakuwa watakatifu kwa ajil ya mtakatifu mmoja aliyebeba madhaif yetu, Naye ni Mungu Mungu mwenyew Yesu Kristo mwenyew maana kuna mmoja tu mweny haki naye ni Mungu
@ramadhanishabani4600
@ramadhanishabani4600 Ай бұрын
tatizo tunaamini sana maneno ya btunaowaita viongozi wa dini. akili kichwani kwako hao ni wapiga dili tu wa duniani walioiona fursa kwny dini
@yuzotv458
@yuzotv458 Ай бұрын
amesoma maandiko lakini au hujaelewa mkuu?!.
@praymwalu
@praymwalu Ай бұрын
Kweli
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Mzee wa upako ni mwongo sana siku hizi, afu yeye mwenyewe ni mlevi. Pombe ni dhambi tena kama ingefaa bac niseme ni dhambi kubwa sana. Pombe inaondoa hekima ya mtu, ukishakosa hekima bac ww utakuwa ni mtu wa namna gani hata haielezeki. Mithali 20:1, mvinyo hudhuhaki, kileo huleta ugomvi na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima. Waefeso5:18, tena msilewe kwa mvinyo ambamo mna ufisadi, bali mjazwe roho. Luka 1:15, kwasababu atakuwa mkuu mbele za Bwana, hatakunywa divai wala kileo, naye atajazwa roho mtakatifu, tangu tumboni mwa mamaye. Huyu anayezungumzwa hapa ni Yohana. Mtumishi wa Mungu hawezi kutumia kileo kwasababu utakuwa unamfukuza roho mtakatifu. Oky? Mzee wa upako wa pombe au siku hizi vp ?
@NkondokayaJoe
@NkondokayaJoe Ай бұрын
Ogopa sana watu wa aina hiyo, hawa walikwisha tabiriwa ya kuwa nyakati za mwisho watakuja manabii wa UONGO watatoa mafundisho na kufanya miujiza ya ajabu.Ndiyo hawa akina Mzee wa upako na wenzake wanatumia matatizo ya watu kuwa fursa kujineemesha wao wenyewe huku waumini masikini wakiendelea kuteseka na dhiki
@renatusmtakyawa594
@renatusmtakyawa594 Ай бұрын
2 Petro 2 12 Lakini hao kama wanyama wasio na akili, ambao walizaliwa kama wanyama tu wa kukamatwa na kupotezwa, wakikufuru katika mambo wasiyoyajua, wataangamizwa katika maangamizo yao; 13 Wakipatikana na madhara, ambayo ni ujira wa udhalimu wao, wakidhania kuwa ulevi wakati wa mchana ni anasa; wamekuwa ni mawaa na aibu wakifuata anasa zisizo kiasi katika karamu zao za upendo, wafanyapo karamu pamoja nanyi; 14 wenye macho yajaayo uzinzi, watu wasiokoma kutenda dhambi, wenye kuhadaa roho zisizo imara, wenye mioyo iliyozoezwa kutamani, wana wa laana; 15 wakiiacha njia iliyonyoka, wakapotea, wakiifuata njia ya Balaamu, mwana wa Beori, aliyependa ujira wa udhalimu;
@BertaVenance
@BertaVenance Ай бұрын
Jomba mnabonga sana mpeni nafasi mtumishi ajibu maswali kwa undani kwa faida ya wasikilizaji msimuhoji kama muhuni
@Rumbakweka
@Rumbakweka 21 күн бұрын
Uyu jaama anaongea kwa kufata tupepo POMBE HAIRUHUSIW NA AACHANE NA MAMBO YA AGANO LA KALE SS TUNAFATA MATAKWA YA SASA YA AGANO JIPY
@renatusmtakyawa594
@renatusmtakyawa594 Ай бұрын
Luka 21 33 Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 34 Basi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafula, kama mtego unasavyo; 35 kwa kuwa ndivyo itakavyowajilia watu wote wakaao juu ya uso wa dunia nzima.
@daudinzunda8739
@daudinzunda8739 Ай бұрын
Jamaniii baba Levoooo mbona unatetea sanaa pombee
@IsmailIsmail-ix1yd
@IsmailIsmail-ix1yd Ай бұрын
Quran imeenda ndani zaidi kwa kusema "rijsun min amali shaytwaan, fajtanibuhu laalahum yarshuduun" Maana: Ni uchafu katika matendo ya shetani, (fajtanibuhu) basi jiepusheni, mpate kuongokewa/uongofu. Basi ni nani akaatae uongofu wa Mungu wake na kutekeleza mapenzi na matendo ya shetani. The choice is yours.....
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 Ай бұрын
Nashukuru mnaweka mijadala yenye kuleta kuamka kwa akili ya jamii, na kuangalia wana tafsiri vipi masuala yaliyopo kwenye vitabu vya dini.
@charlesayubu6449
@charlesayubu6449 Ай бұрын
Tungeomba mumualike pia sheick Shaffi ili awape ukweli kutoka kwenye biblia kuhusu hayo maswali yenu. Mchunganji anajibu kwa kujikanyaga
@hassannjiku
@hassannjiku Ай бұрын
Pombe n haramu tena n haram nna mm sasa nimelewa ila n haram nna haifai kwa afaya nna kifamilia sema ukinywa unakuwaje iyo n ujinga wako ila nnasema tena pombe haifai🎉
@galanamos5957
@galanamos5957 Ай бұрын
weka kifungu tusome
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 Ай бұрын
Daaah
@benjo_brighter
@benjo_brighter 26 күн бұрын
Huyu mtumishi nae atakuwa ni mtu wa tungi huyu 🙄🤔
@renatusmtakyawa594
@renatusmtakyawa594 Ай бұрын
1 Petro 4 1 Basi kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni silaha ya nia ile ile; kwa maana yeye aliyeteswa katika mwili ameachana na dhambi. 2 Tangu sasa msiendelee kuishi katika tamaa za wanadamu, bali katika mapenzi ya Mungu, wakati wenu uliobaki wa kukaa hapa duniani. 3 Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuenenda katika ufisadi, na tamaa, na ulevi, na karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali; 4 mambo ambayo wao huona kuwa ni ajabu ya ninyi kutokwenda mbio pamoja nao katika ufisadi ule ule usio na kiasi, wakiwatukana. 5 Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.
@yusuphnundu6113
@yusuphnundu6113 Ай бұрын
Wakolosai 2:16-17 16 Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; 17 mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
@IsaacParuz
@IsaacParuz Ай бұрын
Mithali 23:29-30 [29]Ni nani apigaye, Yowe? Ni nani aliaye, Ole? Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno? Ni nani aliye na jeraha zisizo na sababu? Ni nani aliye na macho mekundu? [30]Ni wale wakaao sana kwenye mvinyo; Waendao kutafuta divai iliyochanganyika.
@durangobasics6195
@durangobasics6195 Ай бұрын
"Wakaao SANA"
@renatusmtakyawa594
@renatusmtakyawa594 Ай бұрын
1 Wakorintho 6 9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson Ай бұрын
😂😂😂 daaah sasa mtu akikosa ni dhambi tyr
@FrolaMwanja-yk1ck
@FrolaMwanja-yk1ck 13 күн бұрын
Levi hilo zee,shushu la kuhujum yesu kristo wetu,alishapiga pesa kupitia dini amebaki kupotosha
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Ай бұрын
Uislam umekamilika aisee, Lusekelo swala la chakula kwetu huku linaitwa israfu, kikizidi sana ni dhambi yan ukila ukavimbiwa haitakiw
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani Ай бұрын
Ume kamilika wapi
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm Ай бұрын
​@@BarnabasFabianiukitaka ubishi hauwez kuelewa uislamu umeelezea hata namna ya kwenda haja chooni namna ya kula .halali na haramu , uvaaji,uongeaji, utembeaji, n.k ..... ukitaka kujifunza uislamu ondoa kasumba kichwani mwako
@CadiaOnesmo
@CadiaOnesmo Ай бұрын
Kukamilika sio hoja hoja ni unayatekeleza yote?​@@AmourAmour-ux3nm
@siaolomi1590
@siaolomi1590 Ай бұрын
Hata ukiristo umekamilika
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm Ай бұрын
@@siaolomi1590 naomba andiko linaloelezea adabu za kuingia msalani au chooni
@denisyohana8104
@denisyohana8104 Ай бұрын
swala la kujiuliza ni kosa kwa nani, na siyo dhambi kwa nani,kuna milango miwili wa Mungu yaani wema ,na mlango wa shetani yaani uovu (dhambi),achane kupendezesha ubaya kuwa wema
@kellygiven3665
@kellygiven3665 8 күн бұрын
Kuelewa alichokisema apo mzee inatakiwa uwe na akili kdg ndo utamuelewa la sivyo utajikuta unabisha nA unacomment ujinga
@chaco1466
@chaco1466 Ай бұрын
ivi tanzania kuna wachungaji wa watu au wawanyama kwaiyo ana hamsisha watu kunywa pombe kama sio zambi ila TZ kuna watu wa OVYO sana
@marlonstudios4408
@marlonstudios4408 Ай бұрын
Wapi kahamasisha na wewe si kasema apo ni makosa
@EmmanuelMaro-jj8qz
@EmmanuelMaro-jj8qz 20 күн бұрын
kiingiacho sio Haram Bali kitokacho kwaiyo hiyo pombe ukinywa isilete madhar ikishakuzd nakulet madhar ndio kasem dhambi kwaiyo akili kichwan mwako kunywa au kuachaa
@renatusmtakyawa594
@renatusmtakyawa594 Ай бұрын
Mwanzo 9 20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje. 23 Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao. 24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea. 25 Akasema,Na alaaniwe Kaanani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.
@Yeshuatv729
@Yeshuatv729 29 күн бұрын
Hao ndio wachungaji na maaskofu😀😀
@mkorinthomgalilaya6700
@mkorinthomgalilaya6700 Ай бұрын
Adela katulia tuli
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Ай бұрын
DHAMBI NINENO LA KIARABU MAANA YAKE KWA KISWAHILI NI MAKOSA
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm Ай бұрын
Shida upand w pili hawana mashiko
@issamuhammedi
@issamuhammedi Ай бұрын
Ndo dini yao wanayo ifata kazi wanayo
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Ай бұрын
Kumbe kosa unalomkosea mungu kwa upande wako sio zambi lakin kuna zambi kwaiyo zambi ni nin?😂
@paulsibu5770
@paulsibu5770 25 күн бұрын
Makristo wa Uongo ndo hao na wengine wengi.
@engineerjuma9876
@engineerjuma9876 Ай бұрын
Akuna handiko hata moja atakalotoa kuhusu pombe,mwanzilishi wa UKILISTO ni MZUNGU na mzungu kwa pombe humwelezi kitu
@jamesmshanga1098
@jamesmshanga1098 Ай бұрын
Ukristo haukuanzishwa na wazungi,umeanzishwa na Yesu mwenyewe pale Yerusalem ktk nchi ya Israel na sio ulaya
@mariacastor3632
@mariacastor3632 Ай бұрын
Soma HESABU 6:1 uone Mungu anasema nini kuhusu pombe
@stewardlwimbo3944
@stewardlwimbo3944 Ай бұрын
Huyu mzee mpotoshaji sana pombe eti siyo dhambi na mvinyo unaozungumzwa kwenye biblia ni Zabibu ambazo hazijachachushwa ndo ziliruhusiwa
@renatusmtakyawa594
@renatusmtakyawa594 Ай бұрын
Warumi 13 12 Usiku umeendelea sana, mchana umekaribia, basi na tuyavue matendo ya giza, na kuzivaa silaha za nuru. 13 Kama ilivyohusika na mchana na tuenende kwa adabu; si kwa ulafi na ulevi, si kwa ufisadi na uasherati, si kwa ugomvi na wivu. 14 Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata kuwasha tamaa zake.
@phina8058
@phina8058 Ай бұрын
Nimemuelewa sana mzee wa upako
@jazzmancoltrane
@jazzmancoltrane Ай бұрын
Haya mambo ya kufuata mila Na dini za wageni ndio zimetufikisha hapa. Hawa wageni wemekuja huku Afrika kisha wakatuaminisha kuwa sisi İmanı na dini zetu hazifai za kwao ndio zinafaa. Kisha wakatiambia tufumbe macho kuja kufumbua the rest is history. Ndio maana namkubali sana Ngugi wa Thiongo.
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili Ай бұрын
Na kama mngefuata alichokuja nacho Muhammad s.a.w..mngejifunza kitu..lakini Mlikufuru
@goldmansun5859
@goldmansun5859 Ай бұрын
Muhammad hapaswi kufuatwa kwa chochote, kuoa vitoto vidogo?kuua vitoto visivyo na hatia?kutuambia mbinguni kuna kila ulafi (ngono chafu kuliko ya makahaba, eti mimama 72 inajua mambo inatoka kuzimu just for porno,Muhammad na mwenzak issa wote big Noooo..mbingu ya walafi na walevi na mingono hyo jehanum
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili Ай бұрын
@@goldmansun5859 leta Aya inayozungumzia unayosema...afu Aisha r.a hakua mtoto
@rennydsollo7791
@rennydsollo7791 Ай бұрын
Doctrine... Christian Doctrine ndivyo isrmavyo na iaminivyo. Hata Mlokole aliye enda School of Bible, atakujibu jinsi Mch. Mzee lusekelo alicho sema au kujibu. Azungumzi kwa hulka, Amesoma. Ndoo maana anakwambia siku ya ibada ni Jumamosi, japo yeye huudumia juma Pili. Anasimamia Ukweli. Doctrine originated From latin Doctor of "Teacher" Kama you interested to kno bout what yo beliefs, as Christian. Study It, don' jus feed from yo Faith Elders.
@enoszaka-tx8qw
@enoszaka-tx8qw 18 күн бұрын
tatizo hamna mpangilio wa maswali kila mtu anataka kuuliza
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Ай бұрын
Mmmmmhm Jamii ina Mauti......😢
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz Ай бұрын
Naona mnaliwazana muwe mnawaalika na mashekh wenye misimamo yadini
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Ай бұрын
Ndugi zangu kanisani kuna pombe club kuna pombe kanisani kuna mziki club kuna mziki kanisani madada wanavaa vimini club wanavaa vimini nawashauri tu hameni huko hakuna amani
@goldmansun5859
@goldmansun5859 Ай бұрын
Mbinguni kwa Allah kuna madanguro na walaf na kila uchafu, maana kila kitu ok huko, zungumzia hyo pepo wenu kwanza,yes kanisana kuna nyimbo coz tunamsifu kwa nyimbo nyinyi si madufu mnacheza ka majini 😂😂😂, maana ndio Mungu wenu jini, mvinyo upo yeah ila utupe ushahid tu mbona fresh, na sio dhamb inadepend ni kwa ajil gan, yaan if yo Muslim you better not attack, coz mauchafu yalipo huko yanatisha
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Ай бұрын
@@goldmansun5859 sema kanisani kuna nyimbo club kuna nyimbo pia kanisani mnakunywa pombe club pia pombe kanisani kuna vimini club napo sawa
@josephmaduka-xv8yp
@josephmaduka-xv8yp Ай бұрын
Dhambi ninini kama sio kosa
@berry4726
@berry4726 Ай бұрын
Ni kosa na ni dhambi.
@barakakevela245
@barakakevela245 Ай бұрын
NIMEYAPENDA HAYA MAHOJIANO
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y Ай бұрын
Porojooo
@Kiganja
@Kiganja Ай бұрын
Kila mtangazaji anataka kuongea na sio kusikiliza wanae muhoji. Hizi ni vurugu za kimaongezi. Watangazaji muwe wasikivu zaidi. Mnapoteza mambo muhimu kwa mnao wahoji. Au ni bora kuwepo na watangazaji wachache ikiwezekana hata mmoja atafaa.
@MM-pb7fw
@MM-pb7fw Ай бұрын
watangazaji wa bongo hamna kitu..wanaongea wao zaidi kuliko wanaemuhoji,kelele nyingi mtu kabla hajamalizia kuongea wamesharukia,kama kijiweni
@kamangutv5828
@kamangutv5828 Ай бұрын
Mchungaji anaakili snaa
@berry4726
@berry4726 Ай бұрын
Pombe ni haramu na ni dhambi.
@user-do7ui5wi3n
@user-do7ui5wi3n Ай бұрын
Mkiongea muwe makini jamii inakusikilizeni
@swalehaltooq5233
@swalehaltooq5233 Ай бұрын
Eti nimakosa lakoni sio dhambi 😂😂😂😂😂😂
@Silay1034
@Silay1034 Ай бұрын
Huu ukristo jmn ndouharibifu wa maisha unasema et ni mlango wa shetani lkn syo dhambi upotevu huo tokeni njooni kweny dini ya haqq
@renatusmtakyawa594
@renatusmtakyawa594 Ай бұрын
Wagalatia 5 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
@barakambunda5428
@barakambunda5428 Ай бұрын
Uyo ajui biblia kutumia kileo ni dhambi (pombe)
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 26 күн бұрын
Mm snyw lakn kwa uelew matokeo ya pombe ndo dhmbi,
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 Ай бұрын
Ku
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Ай бұрын
Hawa bhana wapo mbali sana, kunywa pombe ni makosa lkn sio dhambi. MwenyeziMungu anasema kutoka kwenye Qur-an. "BILA YA SHAKA DINI MBELE YA MWENYEZIMUNGU NI UISLAM".
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Ай бұрын
Tulia ww
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Ай бұрын
@@edwinmbunda6709 Imekuchomaa?
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Ай бұрын
@@mussammanga7791 Pombe sio dhambi ww, kunywa kwa kiasi ti
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Ай бұрын
@@edwinmbunda6709 Hahahaaa! tukikwambieni wenzetu mpo mbali sana. Namshukuru MwenyeziMungu kunijaalia kuwa Muislam. Poleni. MwenyeziMungu anasema kutoka kwenye Qur-an: (5:90-91). MwenyeziMungu ameharamisha. Kamari, Kula nguruwe( Kiti moto), Kunywa ULEVI, Kutizamia(Nyota) na Kuabudu masani kwa sababu ni kazi ya Sheitwan. Sasa wewe sijuwi unamfata mungu yupi alokwambia kuwa ulevi si haramu. Pole.
@pascalmusana2137
@pascalmusana2137 Ай бұрын
Niikweli
@johnsonjoseph5382
@johnsonjoseph5382 Ай бұрын
Kipotoshi
@dstaroficial
@dstaroficial Ай бұрын
Comedian
@samwelmushi6162
@samwelmushi6162 Ай бұрын
Imeandikwa usimpe jirani yako kilevi
@zahornassor5420
@zahornassor5420 Ай бұрын
Kwann usimpe ? Kwaio Mungu hataki umpe jirani yako kitu kizuri!!? Tumia akili bas mana yke pombe sio mzr ingekuwa mzr usinge ambiwa usimpe jiran hko kilevi
@linaschannel3769
@linaschannel3769 Ай бұрын
Biblia inasema usiguse usinuse
@michaelmwaksole7244
@michaelmwaksole7244 Ай бұрын
Hunaakili mpumbavu mjinga wa mwisho kabisa hii dhambi yakuwapotosha watu utailipa ukiwa kuzimu ktk mateso makali mbwa wewe
@kaittheleast
@kaittheleast Ай бұрын
Wewe Ulivyomwita mbwa hujatenda dhambi 😂😂
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Ай бұрын
Kuwa na busara basi
@edonicedaquality2435
@edonicedaquality2435 26 күн бұрын
Hauoni na wewe umetukana😅
@Adonkamotci
@Adonkamotci Ай бұрын
Acheni kupo Tosha watu pombe Nizambi Dini zime Retwa lRi kupo Tosha watu sim Naona mazambi yanavo zidi vio ngozi wa Dini Wana Rusu pombe Una juA kinacho muo ngoza mtu sio Dini Ni mungu kuA mini Dini Naku Amini mungu Nivitu Viwili Tofauti watu wengi wapo Upande wa shetani wame poteA Wana wapo Teza Nawe ngine Tamah za pesa maisha mazuli Atoki mtu
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 Ай бұрын
Pombe inyweke kwa kiasi
@TangaMashewa-qe8kk
@TangaMashewa-qe8kk Ай бұрын
huyu mchungaj hamna kitu kosa maana yake umepinga maamrisho ya mungu je kosa si dhambi au atupe jibu dhambi ni nini
@ladislausriwa7768
@ladislausriwa7768 Ай бұрын
Kosa ni kutokufanya kitu kwa usahihi wake. Dhambi ni kuvunja maagano ya Mungu na watu wake haya yapo kwenye amri 10 alizopewa Musa
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 17 күн бұрын
😂😂😂 𝙝𝙖𝙢𝙣𝙖 𝙙𝙞𝙣𝙞 𝙝𝙪𝙢𝙪 𝙨𝙖𝙨𝙖 𝙢𝙡𝙖𝙣𝙜𝙤 𝙬𝙖 𝙨𝙝𝙚𝙩𝙖𝙣𝙞 𝙝𝙖𝙡𝙛𝙪 𝙞𝙨𝙞𝙬𝙚 𝙙𝙝𝙖𝙢𝙗𝙞 𝙪𝙡𝙞𝙤𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙥𝙞
@ernestgervas7021
@ernestgervas7021 Ай бұрын
Someni maandiko na muombe roho mtakatifu ili awape ufahamu kwani hapa mnadanganywa tu, eti pombe si dhambi manabii wa uongo wapo na wanafanya kazi kubwa mpaka sasa
@Ndenza
@Ndenza Ай бұрын
Hojà hupingwa na hojà toa maandiko Ili ubatilishe hojà
@medeljoram5325
@medeljoram5325 Ай бұрын
Una maandiko.?😂 soma bible kijana, au divai, mvinyo, unavyo soma kwa Bible unadhan ni togwa? 😂
@elimbotoraphael3940
@elimbotoraphael3940 Ай бұрын
Wewe ndiyo hujui maandiko.Biblia inasema msilewe kwan mvinyo lakini haijawahi kubainisha kuwa kunywa ni dhambi
@majotv3405
@majotv3405 Ай бұрын
​@@medeljoram5325hujui bibilia imeandikwa na mwanadamu panya ww amka
@JninjaH2R
@JninjaH2R Ай бұрын
😂😂😂😂
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri Ай бұрын
Viti moto ndio nn
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn Ай бұрын
Nguruwe ndio kiti moto
@issamuhammedi
@issamuhammedi Ай бұрын
Ohoo nguruwe ndo kiti moto
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Ай бұрын
Mm sinywi pombe kwa ridhaa yangu, nimeona haina faida kwangu kiafya, kiuchumi lkn pombe sio kosa wala dhambi mtu akitumia kwa kiasi. Ingekuwa ni kosa hata serikali isingeruhusu kuuzwa kwa raia wake
@silverman6930
@silverman6930 Ай бұрын
Man talking trash here ..: business man 😂
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Ай бұрын
Ukinywa kwa kiasi sio kosa.....shida wanadamu wengi hawana kiasi
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Ай бұрын
Kanisani wanakunywa pombe wanaita divai na biblia inaruhusu unywe pombe
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k Ай бұрын
Tupige kilaji tu akuna namna😂😂😂
@TonFashion
@TonFashion Ай бұрын
Tunyweeeeeee
@shaban6644
@shaban6644 Ай бұрын
Kuna vitu vyengine Vipo Wazi, Ushaambiwa ni Kosa na ni mlango wa Shetani, then anasema Sio Dhambi. Izo ni Siasa.
@amotvtz1302
@amotvtz1302 Ай бұрын
Kwanza hiyo Pete aliyovaa niyandoa kweli
@legrandmsangi8405
@legrandmsangi8405 Ай бұрын
Kunywa pombe ni makosa lkn sio dhambi. Basi fafanua, anaongea tu pumba. Mchungaji usikute na yy ni mlevi
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Yeye mwenyewe anapiga kwelikweli chupa za kutosha hahahahahahahaha humjui huyu mtu
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 Ай бұрын
Kwani dhambi ni nini?
@IsaacParuz
@IsaacParuz Ай бұрын
Isaya 66:16-17 [16]Kwa maana BWANA atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na BWANA watakuwa wengi. [17]Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema BWANA.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Ай бұрын
Kanisani mnakunywa divai nyie na Kanisani mnapiga mziki km club
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Ай бұрын
Mungu wetu ni Mungu anayeshika maagano. Hilo andiko umetoa ni agano la kale. Ktk agano jipya hakuna chakula najisi. Ukiweza kula hata konokono ruksa
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Ай бұрын
@@edwinmbunda6709 mungu yupi maana kwenye biblia kuna mungu mke kuna miungu mingi kwenye biblia
@ashrafurwegoshora4227
@ashrafurwegoshora4227 Ай бұрын
Baba levo unaboa,muache mgeni aongee
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 38 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 176 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН