Asante kwa kutufungulia mwaka na kitu kipya❤ tunawapenda sana Chumvinyingi Gang, Mungu apewe sifa kwa kutukutanisha tena mwaka mwingine🔥
@israelsangu96495 ай бұрын
Safiii kazi nzurii Ester best umetisha 🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉🎉
@MwaishambaKipanga-bu9sz6 ай бұрын
Nakubali chumvi unaweza
@HazardBoy-vc1tt6 ай бұрын
Sisi tunakichafua popote pale Tunaomba Next EP
@kasiyoamissi93276 ай бұрын
Ula ula msamba filimbi miaka mingi hatujala chumvi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@RevocatuskafefaKafefa-malulu6 ай бұрын
Waooo kheri ya mwaka mpya chumvi nyingi gang nafurahia kutupatia surprise ya fungua mwaka., mungu awe pamoja nasi mwanzo Hadi mwisho like zenu jaman hata 20 tu