NAGWA AMFUMA MBAYA WAKE AKIHOJIWA NA MO TOWN SANYA, AWACHANGANYA WOTE | HIVI NI KWELI

  Рет қаралды 688,183

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

NAGWA AMFUMA MBAYA WAKE AKIHOJIWA NA MO TOWN SANYA, AWACHANGANYA WOTE | HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 100
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 жыл бұрын
Sijaipenda kabisa hii episode... Mmedhalilisha watu hii sio sawa kabisa...
@Kimanzi001
@Kimanzi001 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@XanTitle10.
@XanTitle10. 2 жыл бұрын
Pole jamaa....
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 жыл бұрын
Umeona kaka yng mie had nimeona huruma maan wanavyovurugwa had huruma kupigishwa magot dahh
@iddimoshi8459
@iddimoshi8459 2 жыл бұрын
Yap.
@dastanymlela661
@dastanymlela661 2 жыл бұрын
@@iddimoshi8459 qweli kabisa
@temuaidan
@temuaidan Жыл бұрын
Katika show zote ulizowahi kufanya hii ya Nagwa imetsha sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥nagwa in real life ni mkorofi walahi😂😂😂🔥
@hasinauuwimana8405
@hasinauuwimana8405 2 жыл бұрын
Hii namba mbaya cheko buku Hahhhhh, Hadi Mkojani alkua anaota anapigwa mitama, a. K. A Buti la jeje
@mzulunatal8062
@mzulunatal8062 Жыл бұрын
😄😄sema Nangwa amenifurhisha sana mikwara yake
@wilbardkunda1073
@wilbardkunda1073 2 жыл бұрын
This killed it 💪💪💪 maubunifu kibao
@zainabomaryzainabomary6416
@zainabomaryzainabomary6416 Жыл бұрын
Nagwa yupo vizur sana
@HEAVENLYTVCINEMA
@HEAVENLYTVCINEMA Жыл бұрын
So Sad. N udhalilishaji.huo .Mimi hata kama n utani unishike shart hivyo mbona kushoot kutaishia hapohapo aise
@husseinseki7476
@husseinseki7476 2 жыл бұрын
Daaah nmesema nipitie KZbin nimchek mwanangu mo town sanya najikuta nacheka hadi nalia 😱 nagwa sikupingi siku zote blood yng yan sheria tu
@iamsamoo_tz
@iamsamoo_tz 2 жыл бұрын
Ila yule baba muuza mitumba kanichekesha zaidi... eti mbona unawanga wanga mchana kweupe h😂😂😂
@fredialfredi202
@fredialfredi202 2 жыл бұрын
Nimejifunza mengi
@m3elmill710
@m3elmill710 2 жыл бұрын
Sema aoo wengine babazetu jmn kueni na heshima 😅😅😂
@saidymo360
@saidymo360 2 жыл бұрын
😅
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 2 жыл бұрын
😀😀🤣🤣🤣🤣😀
@nicasamuel9667
@nicasamuel9667 2 жыл бұрын
😂😂😂
@alexmlinda9399
@alexmlinda9399 2 жыл бұрын
Nagwa nakupenda bure 😀😀😃😃😃 sikuoni KZbin bwana ILA KWA HIYO SHOW HATA MIMI NISIWE MUONGO NINGEOGOPA 😂😂. Hii imezidi zoote kwa Nembo za mtaa one love brother 🇺🇸.
@healthcare626
@healthcare626 2 жыл бұрын
Oy nagwa acha mambo ya kiboya unajikuta nani?? Oya Fanya yako mambo ya kusema wasambaa tumelegea utakuja amka ujikute Bahalini day moko, oya si ni wauni kitambo mdg ang😂😂
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 2 жыл бұрын
Mo town ameenda mbali kweli kipindi kama vya Ulaya watu wanalia wanateswa alafu ni mchezo na anakuwa ajui kabisa baadae akijua anajiona mjinga
@hamchilla_ke1998
@hamchilla_ke1998 2 жыл бұрын
😂😂Nagwa aminia Eti Ali Kiba we unasemaje🤣🤣
@StenoDeAlphaTv
@StenoDeAlphaTv 2 жыл бұрын
KIPINDI KIKALI SANAA ILA KUZALILISHA WATU HII SIO SAWA ADI WATU WANAPIGA MAGOTI MUNAKOSEA SANAAA
@peterjr8073
@peterjr8073 2 жыл бұрын
Ni funny ndio maana ya kipindi akuna udhalilishaji apo
@lareineminah1353
@lareineminah1353 2 жыл бұрын
@@peterjr8073 yeah
@peterjr8073
@peterjr8073 2 жыл бұрын
@@lareineminah1353 oky
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w Жыл бұрын
SIJAPENDA HII. Ipo siku italeta maafa huu sio ubunifu ni kuiga tu ila kumbukeni hapa ni AFRICA sio ULAYA au AMERICA kwahiyo masihara kama hayo sio mazuri kiukweli badilikeni.
@beniardajuna2580
@beniardajuna2580 2 жыл бұрын
Kuna siku mtapigwa kwa kazi yenu hii inahitaji ujasili ooooh mungu wanguuuuuuuuu🙏🙏
@lemmywanjeh4366
@lemmywanjeh4366 2 жыл бұрын
Sio Bongo Hii
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 2 жыл бұрын
Mnadhalilisha watu mpka wanataka kulia
@antonychristian1369
@antonychristian1369 2 жыл бұрын
Hawa watu wanaowaweka kwenye VIPINDI kwa kuwasurprise wanapaswa wawalipe
@mariambakari7796
@mariambakari7796 2 жыл бұрын
Hahahahahahaha waliitwa mpaka walipwe
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 2 жыл бұрын
Mwanzo uyo muuzaa vi2 mackini
@rahimchilumba9708
@rahimchilumba9708 2 жыл бұрын
fact
@antonychristian1369
@antonychristian1369 2 жыл бұрын
@@mariambakari7796 sa we huoni wanawaita au kuwasimamisha Kisha kuwashirikisha scenes na kuwapost Kisha kujipatia kipato pasi na malipo.
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 жыл бұрын
Walipwe wakati ni Prank tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Acha roho hiyo bana
@topzenjymusic384
@topzenjymusic384 2 жыл бұрын
Sio fresh unadhalilisha watu ACHENI zarau
@almuftsultan8
@almuftsultan8 2 жыл бұрын
Jamani naombeni dawa maana nimecheka mpaka naumwa🤣🤣🤣🤣🤣
@hiyardmerez6587
@hiyardmerez6587 2 жыл бұрын
Njoni jite comedy jamami mburudke 2xahdien kwa kuxhare na kulike page ye2 ya jite comedy
@iamerickemmanuel6268
@iamerickemmanuel6268 2 жыл бұрын
9:59 😂😂nagwa msenge sana et Mbona unawanga road kama hivyo
@lareineminah1353
@lareineminah1353 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@veronicagervas4607
@veronicagervas4607 2 жыл бұрын
😀😀😀😂😂
@genovevaoiso2111
@genovevaoiso2111 2 жыл бұрын
Montani.Sanya.mbona.vipindi.vyako.aufiki.arusha.jamani.karibu.arusha.mlingoti.chuma.Bender'a.mlingot.namkubali
@aboobakke857
@aboobakke857 2 жыл бұрын
Wazungu hawamuwez huyu jamaa.. mgumu sana jamaa 😂😂😂😂🤷‍♂️
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 2 жыл бұрын
BONGE1 LA FALA LIMESUKA NYWELE KISHA LINAPIGIA WATU"MIKWARA YA KUDHALILISHANA"HII NI ZAIDI YA UTANI YAANI KIPINDI CHOTE KIBOVU.HAMNA WATU WA KUWASHAURI MFANYEJE KIPiND!.. MNGEKUTANA NA"NAGWA" HIYO MIC&CAMERA YENU MNGEENDA KUIKOMBOREA MASKANI. ACHENI UFALA NA UJINGA.
@tusajigwemathias9185
@tusajigwemathias9185 2 жыл бұрын
Dogo wa simu Katia huruma na
@immathebonga5164
@immathebonga5164 2 жыл бұрын
tuachane na tu nauigizaji nagwa mwizi😅😅😅😅
@supervisshift1780
@supervisshift1780 2 жыл бұрын
Jamaa anawakazia sanaaa duuuh 🥲🥲🥲🥲🥲
@andrewsalmo-bq4hr
@andrewsalmo-bq4hr Жыл бұрын
Wasanii 2nakuwa hatufanikiwi kumbe nyie ndo mnaloga road
@hamisiisrael5650
@hamisiisrael5650 2 жыл бұрын
Ila ipo siku yatawatokea puan,Hiz Mambo za kuwakaba watu hovyo mtaan sio poa kabsaaaa daaa
@verosteve3612
@verosteve3612 2 жыл бұрын
Umeona eeh ukut mtu anabastola yake na stress juu anampiga anaua
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 жыл бұрын
Huelewi nini sasa kuhusu michezo ya Prank 😀😀😀😂😂😂
@mwanahamisseif5506
@mwanahamisseif5506 2 жыл бұрын
Sijapendaa bhanaaa ndio nn sasa kumkolomea mwenzie kma ivyo
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
Haipo sawa hata kidogo
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 жыл бұрын
Naisi inje ya camera wanamalizana
@agreyyohana5368
@agreyyohana5368 2 жыл бұрын
Sema nagwa anazingua sana
@maryammwinyi932
@maryammwinyi932 2 жыл бұрын
Nyie huy nagwaaa antk kuwap presh wat 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍
@StenoDeAlphaTv
@StenoDeAlphaTv 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rF6TdKV7rpV_r8U Nakukalibisha Wewe Shabiki Mpenda Mziki Mzuri Kwenda Kusikiliza Nyimbo Ya Kijana Wenu Steno De Alpha Kazi Iendelee @Producertevobeat @Directorax The Only One Steno🙏🙏🙏🙏🙏
@zikirination6769
@zikirination6769 2 жыл бұрын
Burna boy wa bongo 😁Nagwa ma nigga sheria
@farajimbwambo5600
@farajimbwambo5600 2 жыл бұрын
Hi haipo sawa kabisa watu na familia zao wanadhalilishwa!!...No it's against humanity.
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Kama Ndy akutane na wahuni wembe alafu ananitushia hivyo, namchana mbona easy tu
@hamadhamis5602
@hamadhamis5602 2 жыл бұрын
Kila kitu munasemaa nyie mupew nin asa
@kennywilliam2466
@kennywilliam2466 2 жыл бұрын
@@hamadhamis5602 hilo swali ungemuuliza makimugaa!!
@godwinsamki9192
@godwinsamki9192 2 жыл бұрын
Mtakuja kuzinguliwa mnafanya ujinga Tu I don't think kama ni good acting that is stupidity
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
Angeendelea na ile idea yake ya mwanzo aliyokuwa na wasanii kwenye gari then anaongea na wapita njia vizuri , Lakini hii watakuja kuumia siku moja kwasababu watakutana na watu wakorofi na wapo faster wakifungua macho na akili mtu wao kaumia tayari .
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
@@gooddeeds162 inategemea na muhusika wa kipind
@hassanfumbwe1207
@hassanfumbwe1207 2 жыл бұрын
Hii n kama prank baba
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
@@hassanfumbwe1207 Prank kwa bongo watu hawajafunguliwa sana kuhusu. Ukija kusema prank ushaumia utamlaumu nani hapo ?
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
@@salim02tv24 Sijaelewa Kivipi Yani
@vibetz9991
@vibetz9991 2 жыл бұрын
Kutia watu hofu af mnawaacha bila hata mia ,,nyie mnaingiza hela ,,sio fresh ,,haipendezi,,,,,😠😠
@peima3327
@peima3327 2 жыл бұрын
Sasa umefata Nini Kama haipendezi
@vibetz9991
@vibetz9991 2 жыл бұрын
@@peima3327 Unatafuta Bwana?
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 2 жыл бұрын
Aisee wengine tempa zetu ziko juu aisee. Mzaha hatuna kabisa aisee
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
Jamanini nimelia harafu nimecheka kwa nguvu 😆 kajua kuchezesha watu kajaza ahaa masha allah🥰🥰😍🤩❤nampenda nagwa
@Kimanzi001
@Kimanzi001 2 жыл бұрын
Noma
@sahiltvontheline5560
@sahiltvontheline5560 2 жыл бұрын
Salha naomb no yk
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
@@sahiltvontheline5560 tuma yako me nichukue
@seifjuma7318
@seifjuma7318 2 жыл бұрын
Ushamtamani dhambi😂😂😂
@queenmsuya8584
@queenmsuya8584 2 жыл бұрын
huy kak chiz au 😂😂😂😂😂
@mussakasimu2811
@mussakasimu2811 2 жыл бұрын
Hawa mlio waigizisha bila wao kujua na kuwafanya washiriki wa kuu ilipaswa muwalipe ( maana wengine wamefedheheka na hawakuwa tayar kuonekana mitandaoni katika aina hizo za scene) Kama wameridhia au mmeelewana basi ewala, hata hivyo na mm nishabiki pia wa nagwa, kwa pamoja tunaendelea kuburudika kwa kazi nzuri za mo-town (Mr Streeter)
@nashiruhassani5158
@nashiruhassani5158 2 жыл бұрын
Bonge la exclusive na ngoma ngumu ngoma nagwa salute sana🔥🔥
@fetykweka2284
@fetykweka2284 2 жыл бұрын
Uyo mbabe anachoma mpaka Moto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ongeraaaa kwa kipi kinzurii
@omanphone3455
@omanphone3455 2 жыл бұрын
Washenzi mmesnivinjambavu sana
@latiphzimbwe5029
@latiphzimbwe5029 2 жыл бұрын
Kuweni na nidhamu mbwa nyie mnadhalilisha watu kifala
@daynesalex911
@daynesalex911 2 жыл бұрын
Dah kwl
@kilangibernard8931
@kilangibernard8931 Жыл бұрын
Umekosa kazi
@Paplick9
@Paplick9 Жыл бұрын
Ubunifu kuchu wewe
@chubby3779
@chubby3779 Жыл бұрын
Ni maigizo ndugu yangu usitake vitu serious 😂 we kwa akili ya kawaida unadhani wanaweza weka abusive content live hvy kwa kujiamini 😂
@naah884
@naah884 2 жыл бұрын
Yan mwanume kupiga magoti dah upuuzi kinoma yan
@majidisalumu3260
@majidisalumu3260 2 жыл бұрын
Hatar Sanaa, Ngoma Nagwa Kauwa Show, Wana Wanamkubali Alafu Wanamuogopa, Hatali Sana Huyu Kiumbe😂😂
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 жыл бұрын
Mbona kama umenisimulia mm
@mageuziwilliam5940
@mageuziwilliam5940 2 жыл бұрын
Daa
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Ngoma nagwa hiyo milonjo umeivalia Bukta😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@treshazgodfather9219
@treshazgodfather9219 2 жыл бұрын
😂
@hamedabashir9
@hamedabashir9 2 жыл бұрын
Mo umeanza kutukera uwaerewesha raia acha kuwafanyia hivyo sijapenda
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 жыл бұрын
HUYU MTANGAZAJI ATAJIARIBIA KAZI NONSENSE NA HUYO MWENYE MATATU PUMBAVU SANA HUYU JAMAA
@husseinallyshego4915
@husseinallyshego4915 2 жыл бұрын
Absolutely amazing, funny and scary 😂😂😂😂😂 ngoma nagwa nakubali sana from Kenya
@3kings63
@3kings63 2 жыл бұрын
Mjini shobo mfukon tubak na mtafutano wa maisha
@abdallahmindika1641
@abdallahmindika1641 2 ай бұрын
Hahahhaha nagwa chafuu pozii😂😂😂 dgo kalia manina
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Kipindi kizuri lkn usanii ukizidi anawadhalilisha watu waungwana!
@athmanbabayegga8278
@athmanbabayegga8278 2 жыл бұрын
True man cvzuri vile wanafanya wananyanyasa watu kisha yao yaendee utapata mtu mbaya pia mtakwaruzana
@zotempyaonline8485
@zotempyaonline8485 2 жыл бұрын
TULIOSIKIA MUUNI A MAINDI 🤜🤜👊 like apa twende sawa 1k
@shedracksteven3183
@shedracksteven3183 2 жыл бұрын
Mambo t ya maisha una loga hazalan kwer mo town Sanya mtu wa watu wa mitumba jauu
@Chemba67
@Chemba67 2 жыл бұрын
Mawarami Pancha kakaza , sio Kinyonge.........bab kubwa
@keifatuke99
@keifatuke99 2 жыл бұрын
Miye wakati wote nahisi vita kwenye mwili wangu,ujaribu huu ujinga nitakumaliza
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Nenda Ukraine ukamkute baba Putin
@dianamasatu8141
@dianamasatu8141 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 2 жыл бұрын
😅😅😅 Wew unizidii mm aisee Kila mdaa wa moto aisee
@keifatuke99
@keifatuke99 2 жыл бұрын
@@ramsikhamis7083 😁😁😁😁😁
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
😂😂😂Daah!!! Watanzania wanyonge kweli. Eti unaambiwa piga magoti na unapiga kweli tena kwenye matope, hizo pranks azilete Kenya uyo Nagwa, kitambo ajieleze ilikua ni prank atajikuta hospital vile atafanyiwa na mob justice
@truelovepawanza2046
@truelovepawanza2046 2 жыл бұрын
Kweli kaka Mimi mtanzania ila Kwa hili nimekubali wabongo wengi Sana wanyonge Na waoga..😂😂🤣😀😀😀😁😂😂🤣unijui sikujui ujifanye wewe Mwamba kunizidi kisa sura yako Na matatoo yako..😂😂🤣zitapigika ngumi Kali Sana mpaka kesho asubuhi😂
@melaniaherman1098
@melaniaherman1098 2 жыл бұрын
@@truelovepawanza2046 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@victorkadiriashayo2791
@victorkadiriashayo2791 2 жыл бұрын
Hakuna hicho kitu mob justice... Kenya ndio sehemu anakabwa na watu wanapita na shughuli zao.. Mtu anakuzama sokoni kwa mfuko na hakuna mtu anakuambia... Kenya🙌🙌🙌🙌
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
@@truelovepawanza2046 😂😂😂
@omariamiri5556
@omariamiri5556 2 жыл бұрын
Mh Kwan hauoni pranks za huko
@yusufali9119
@yusufali9119 2 жыл бұрын
On this you kill it bro 😂
@jacksonlolo409
@jacksonlolo409 2 жыл бұрын
Cyo fresh, kuwafanyia mashabiki hivyo, wengine unaweza kuwapotezaa
@hadijamlandary576
@hadijamlandary576 2 жыл бұрын
Anafanya masiala tu si kweli
@christophergeorge5490
@christophergeorge5490 2 жыл бұрын
Mbona huku Tarime hamfiki tumemiss kukata watu matako njooni
@danymsengi4958
@danymsengi4958 2 жыл бұрын
Hahahaha
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 2 жыл бұрын
😂😂😂
@chavdagrande2379
@chavdagrande2379 2 жыл бұрын
Nitamchonganisha na vido vato muambie aje arusha atarudi akiwa kipara
@chavdagrande2379
@chavdagrande2379 2 жыл бұрын
@@jovinmodelin3486 uyo akipigwa ushiro ameisha 😁
@abiolasereman2575
@abiolasereman2575 2 жыл бұрын
Munaferi sasa inabidi muwena heshima kwa watanzania sio pow munaharibu sasa
@agreyyohana5368
@agreyyohana5368 2 жыл бұрын
Hujui maana ya hichi kipindi ndio maana lakini
@RamadhanIbrahimu-iu1ox
@RamadhanIbrahimu-iu1ox Жыл бұрын
Daa,wallahy kwamkwala huo lazima uogope man😢😢😢😢😢
@ambrosealfred805
@ambrosealfred805 2 жыл бұрын
Ila sanya ww ni shida mtaani kweli hili pindi ni lakijanjaa
@japhtv9858
@japhtv9858 2 жыл бұрын
Kuna mtu kapigishwa goti huko
@mossesmaingi355
@mossesmaingi355 2 жыл бұрын
Ngoma nagwa fundi mmoja matata🔥🔥🔥🔥
@youronlinetv1936
@youronlinetv1936 2 жыл бұрын
Hayo mambo yafanyeni huko Dar msije mikoan, watu wanakususia simu wanaondok na unyayo ndo utajua haujui
@mzalendomtokambali6551
@mzalendomtokambali6551 2 жыл бұрын
Hicho kipindi mmekiharibu walahi , Hamna ustarabu tena
@antonymbogo2302
@antonymbogo2302 2 жыл бұрын
Atkama kwahili sijapenda mbwahizi maigizo kwa movie zenu ila Si hadharan ivi poteeni 😡😡😡😡😡
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 2 жыл бұрын
Ila sijapenda anavyo wakazia hivyo hadi wanataka kulia sio poa
@florahleonard6410
@florahleonard6410 2 жыл бұрын
Kipindi kibaya Sana cjakipenda mnadhalilidha watu sio poa😏😏😏😏😏
@jacksonpaul3866
@jacksonpaul3866 2 жыл бұрын
Try me my lawyer will be Happy to get busy for a while lol.
@fortunatedominic7845
@fortunatedominic7845 2 жыл бұрын
Hao wansotishiwa nao wapumbavu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtu mnajua muigizaji afu mnamuogopa, khaaa!!!
@saidibrahim2375
@saidibrahim2375 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@samirjr-rm4rz
@samirjr-rm4rz Жыл бұрын
Huu ni udhalilishaji mkubwa mtu anawatoto hivi wanamchukuliaje acheni usenge sometimes😂😂😂
@Black-fq4zx
@Black-fq4zx 2 жыл бұрын
respect to you nagwa 🔥🔥🔥 u killed it
@madamaisha1641
@madamaisha1641 Жыл бұрын
Jana dume zima limesukwa ovyoo.jike sijike dume si dume
@aminajabair3771
@aminajabair3771 2 жыл бұрын
Mo sanya unapoelekea unaenda kuaribu kipindi....na kumbuka iki kipindi kina tazamwa na watu tofaut tofaut... kuweni makin
@khdigahk4246
@khdigahk4246 2 жыл бұрын
Na si alilikologa wakamfungia
@jafarimohamedi7900
@jafarimohamedi7900 Жыл бұрын
😂😂😂ipo siku mtakutana na black belt kudadeki unamsukuma hvyo ushavunjwa meno
@miketzee806
@miketzee806 2 жыл бұрын
Jaribuni kuingia kwa mtu Aliepinda, mtazima camera wenyewe, Mnaangalia pia watu wa kuwadhalilisha.
@lareineminah1353
@lareineminah1353 2 жыл бұрын
Sio kuzalilishana ni kawaida mbona hata mbele vipo
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Ushamba na njaa zako tu hizo
@hamadisuleyman1795
@hamadisuleyman1795 2 жыл бұрын
Asa kw umaarufu gn alonao mpk aseme shobo, mijitu mingne bhn ovyoooooo!!!....
@charlesryoba192
@charlesryoba192 2 жыл бұрын
Kuweni makini mtakuja kutana na mbabe wakati nyie mnatania afanye kweli awatwange bakora sana nawashauri siku mkija tarime njooni na heshima sana
@Kimanzi001
@Kimanzi001 2 жыл бұрын
Waje wakutane na mababe kweli
@mariambakari7796
@mariambakari7796 2 жыл бұрын
Mkono mkono tu haipingwi kwani shingapi hiki ni kipindi kila mtu anajua huyo wa tarime itakuwa amedhamiria
@marcsthinker3882
@marcsthinker3882 2 жыл бұрын
Tarime NDIO nini 🥴
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 2 жыл бұрын
@@marcsthinker3882 jina la mtu hilo
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 2 жыл бұрын
@@Kimanzi001 mapanga au
@maryhosea3845
@maryhosea3845 2 жыл бұрын
Ilaaa hyuuu nangwaa jmniiii khaaaa anawatia watu jamba jambaaa😂😂😂😂😆🙌
@irenejosephkurimba8613
@irenejosephkurimba8613 2 жыл бұрын
Upumbavu kabisa unampigosha mtu magoti siumpe pesa ya sabuni ingalau
@godfreyonyango2782
@godfreyonyango2782 2 жыл бұрын
Kama n muoga Inabd mtoto wa kiume uwe ngangali kama yule jamaa wa kwanza kuojiwa mbona akuogopa
@ramlasuleiman9236
@ramlasuleiman9236 2 жыл бұрын
Bendera chuma mlingoti chuma..nakukubali nagwaa..
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 2 жыл бұрын
Hichi kipindi iko siku kitaishia kituo cha Polisi watu wengine wamechanganyikiwa na maisha hatuombi mabaya ila kwamtindo huu tusubir watu wengine washavurugwa na maisha huu ni ujinga
@abuutwalibu2619
@abuutwalibu2619 2 жыл бұрын
😁😁😁😁
@happydudahog2196
@happydudahog2196 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Hata kama mliwapanga kufanya hivyo mjue kwetu haijaleta picha nzuri mnatumia nguvu kuubwa sijui mnafunza nini na hii episode kisa nangwa tu ndo utie watu hofu mtaani kwao mtakuja mfunzwe adabu haya
@brunomoses11
@brunomoses11 2 жыл бұрын
Ila live shobo si nzuriii 🤣🤣🤣🤣🤣
@omaryadam6884
@omaryadam6884 2 жыл бұрын
Endeleeni hivyo hivyo kuwachagua watu wa kuwapiga mikwara. Ipo cku mtayakanyaga.
@agnesjohn2571
@agnesjohn2571 2 жыл бұрын
😂😂😂kweli
@mtarazaqtv
@mtarazaqtv 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nagwa unatisha watuu
@hpmobilephone9951
@hpmobilephone9951 2 жыл бұрын
Mchanga siyo vzuri sijapenda kabisq jitulewenywe sura kama yanyani
@vibetz9991
@vibetz9991 2 жыл бұрын
HII SHOW NI YA KISENGE TU hamuwezi kuzalilisha watu hivi..
@hafidhali815
@hafidhali815 2 жыл бұрын
Wanadhalilidha watu sana
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 жыл бұрын
Ngoma nagwa kakutana nachuma
@paschalkapande1486
@paschalkapande1486 2 жыл бұрын
Ila kwa hasira zangu msije mkanifanyia hivyo nitapiga wote na Msanii mtakaekuwa nae nitavunja na hayo Macamera yenu
@mckobatz5861
@mckobatz5861 2 жыл бұрын
Ukileta hasira lete kwa wasanii vibonge wazembe ukileta kwa wamba zinachapwa kweli ujue😂😂😂
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 2 жыл бұрын
Nisamehe mwanangu, nisamehe mwanangu🤣🤣🤣adi nimemwonea huruma mshkaji
@Chombezaflava
@Chombezaflava 2 жыл бұрын
nagwaa anajua kuchimba biti na lazma utulieee
@msafirikilongo7429
@msafirikilongo7429 2 жыл бұрын
Ningekuwa Mimi ningemlima ngumi ya meno😂😂😂 anavyofoka na kusogeza lisura
MAPACHA WACHANGANYA WATU, 'CHENCHI' KAPOKEA MWINGINE | HIVI NI KWELI
31:51
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 12 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 24 МЛН
Hakikisha umepanda miti hii nyumbani kwako
8:04
Topten Tv
Рет қаралды 105 М.
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН