TunaMwamini YEYE tu Mwenye kuponya na Kuzitunza roho zetu🙏🙏🙏 Mbarikiwe sana TAFES-ARDHI kwa wimbo huu wa maombi yetu Kwa Mungu wetu 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@IOSALive3 ай бұрын
Tafes Aru official, your content has a special place in my heart
@melinawilson13833 ай бұрын
Asante Mungu , Asante TAFES ARU wimbo unatuhidumia❤ I love you family❤
@ScolasticaMaliga3 ай бұрын
YESU NAKUAMINI ....NAOMBA UTENDE NA KWANGU USIKAWIE ...😭😭😭😭😭😭 Usikawie kwenye kila Jambo eh BWANA 😭😭😭😭😭😭😭....... Intering in prayer with this song , it's so wonders😭😭🙌🙌🙌🙌🙌.....
@Grace-upon-Grce3 ай бұрын
Naomba usikawie Jehova !!🥹🥹🥹🥹
@tafesdaraandpwani3 ай бұрын
We love you tafes ardhi
@melinawilson13833 ай бұрын
Utende na kwangu bado nakuamini🙌🏿🙌🏿🙌🏻🙌🏻
@butwawestonmwailubi3 ай бұрын
Halleluya kwa MWANAKONDOO....BABA NINAKUAMINI WEWE NDIYE YOTE KATIKA YOTE,,NJE YAKO HAKIKUFANYIKA CHOCHOTE BALI VYOTE VILIFANYIKA KWA NGUVU NA UWEZA WAKO PEKEE YAKO 🙌🙌
@matildaauma95043 ай бұрын
Kenyans in the house let's tap the anointing,we love you our neighbors 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@afyatanzania43543 ай бұрын
Nimechagua kukumuamini wewe peke yako Yerusalemu. USINIACHE kwnye aibu hii nirehemu Yesu ,rehemu kazi yangu usiruhusu nisipoteze NAOMBA USIKAWIE!!!
@officialsyraxsmurf76653 ай бұрын
This song ni spiritual sana aiseeee
@masalugusessa37023 ай бұрын
Asanteni sana TAFES ARU........ Nimeungoja huu wimbo since last year, Im so blessed umekuwa released. Mungu azidi kuwapandisha viwango na viwango
@AfricanizationProgramme-hq4gt3 ай бұрын
Mbarikiwe sana watu wa MUNGU
@florentinafabian35373 ай бұрын
The song is marvelous and full of power Indeed He is the one to be trusted and relied on. God bless you very much TAFES Ardhi and Clara Minja. Keep serving with love and integrity.