Blessed be His Holy name for this wonderful ministry God had given you. This piece really blesses me at all time l sing it.
@NicoleZawadi-n8r4 күн бұрын
🙏🙏Asante baba kwa neema yako kubwa ,gisi nilivyo ni neema yako Mungu
@sailasmakokha72153 ай бұрын
While listening to the Song NEEMA YAKO i felt crying upon reflecting my life... Indeed God is great ...when i joined first year till now forth year i can see i very significant changes... THANK YOU LORD... I still trust for more victory frok you lord Mungu akubariki sana Dada@rehemasimfukwe Amen
@christineatieno7383 ай бұрын
Nahitaji Neema yako eeeeh Bwana.wale wote niwapendao pia uwafunulie na uwape Neema yako......hii ni maombi yangu kwako
@PresiousNancy-pd5hg4 ай бұрын
Nitakuabudu siku zote Bwana, nakumbuka mwaka Jana nilipo kuomba Kupitia huu wimbo wakati mamangu alipokua aiteseka na mgonjwa ya pressure na alsas nimerudi kwa moyo wa shukurani hakika ulijibu maombi yangu wewe ni mwaminifu 🙏🙏 Ubarkiwe sana Rehema na Mungu azidi kukuinua zaidi unapo bariki wengine,Naomba Mungu aniwezeshe siku Moja Niwe kama wewe🙏🙏🙏🙏
@EvaristeAmani4 ай бұрын
Mungu akufanyenzaidi ya yeye
@ATUPELEMWANDENUKA4 ай бұрын
Nashukuru Mungu kwasababu akisema amesema sasa kasema kwangu natamani nikae nimshuhudie Kila Kona ATA MTU asipouliza nimwambie ndio yake kweli ndio asantee Mungu Kwa ndio yako kwenye maisha yangu hakika Wewe Ni Chanzoo cha uhuu uhai wangu nawewe Ni sponsorship wamaisha yangu Nakupenda darling God ❤
@scoviaachieno20444 ай бұрын
AMEN AMEN glory be unto God
@PresiousNancy-pd5hg4 ай бұрын
@@EvaristeAmani Ameeen 👏🙏
@PresiousNancy-pd5hg4 ай бұрын
@@scoviaachieno2044 hallelujah 🙌
@koechfelix19592 ай бұрын
Like to me I just thank God sincerely bcoz amenitendea hata kama cjatimiza ahadi zangu kwake nmeona wema wa Mungu mnishikilie Kwa maombi brethren n nashukuru already maana niko n Faith God atanikumbuka be blessed Rehema ur a mother n mentor in my life
@PurityKeru-x7lАй бұрын
It's a blessing song really God we will praise you always in my life
@LupusWarriors4 ай бұрын
Ndio Bwana wewe ni chanzo cha uhai wangu ungonjwa utapita
@mariethamakwaya81173 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AminaMoreen-l8c2 ай бұрын
neema yako izidi yesu kwa huduma yangu 🙏🙏🙏
@MercyKundu-te7zi4 ай бұрын
I will praise you in my holl life guys pray for me to get some one and this will be my song in my wedding 😭😭😭🙏🏾
@MercyKundu-te7zi4 ай бұрын
Amesema ndio nani atakataa in Jesus name and am patient to wait untill Gods time
@YoungNtabo4 ай бұрын
You will get in jesus name
@Emmanuelikimota4 ай бұрын
Barikiwa sana dada mungu afunue Neema yake na adui zangu wote wamjue yeye kupitia mm na familia yote na wote wanipendao
@MaryinMainer-lk2ce3 ай бұрын
That's song chanzo cha uhai wangu ,it's really al great song to me ,,,😢I HV a testimony behind it😢😢
@graceiprecious3 ай бұрын
This song reminds me of my past pains,,that is now my testimonies😢😢,,, truly Mungu wewe ndio chanzo Cha uhai wangu... Let's praise the Lord and give thanks in all circumstances 🙏🙏🙏
@AminaGerald-t3r24 күн бұрын
We lift you high Jesus🙏🙏
@MariaGommans4 ай бұрын
Nitakuabudu siku note us maisha yangu.Jesus help me with your grace and mercy.
@josphatkitenge11705 ай бұрын
Mimi nitakuabudu.... Kwa wakati ufaao na usofaa❤❤
@AllanOchieng-xh8gmАй бұрын
I feel so blessed with your song's my sister, let the holy spirit lead you in the mighty name of Jesus
@juliethmwinyi2993Ай бұрын
November 15.2024 Mungu uliye chanzo cha Maisha yangu Tenda jambo kama kwa ile Mifupa Mikavu na Mwakani July au August Nishuhudie Hapa Hapa
@felixkatue3252Ай бұрын
I will Worship all the time you're my savour and LORD Jesus Christ Hallelujah 🙏🙏🙏
@RaphaelOdhiambo-i9zАй бұрын
Amen
@leahwanjiru62334 ай бұрын
may grace and GODS mercy locate mi in jesus name
@CarolNyongesa-d1u4 ай бұрын
Neema yako Ebenezer isiipite familia yangu,uhai wangu,kazi kwa mume wangu victor 🙏
@sirieljoseph21123 ай бұрын
On 21 sept 2024 I'm also here listening to these prophetic songs🥰
@fredrickmakas1005 ай бұрын
Yes hallelujah, Umenikumbuka🙌
@UserName-b2y4 ай бұрын
Funua neema yako. Bwana🙏🙏🙏
@EverlynKennethАй бұрын
Basi iko ahad yakuingia rahani mwako sitakikukosa na niwapendao😢😢😢😢😢 Nimaombi yangu nisikuache daima naniwapendao
@erickkanana54934 ай бұрын
Ninaomba juu ya chanzo Cha kibadirisha familia yangu kuwa na Imani kuuu amen Sito acha kukuabudu baba yangu,mungu wangu
@rehemasimfukwe4 ай бұрын
Pokea sawa sawa na imani yako
@RichardBoniphace-j5v2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉@@rehemasimfukwe
@karenkarwithakarwitha6954 ай бұрын
Neema yako iwe kubwa kwangu na kwa mtoto wangu Bwana. Ndio yako Jireh ni tegemeo langu. Asante Muumba wangu kwa naamini umenitimizia🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@JudyJepkemoi-t8f3 ай бұрын
You are my mentor i hope one day i will sing with passion like you ❤️❤️
@BeatriceAmolo-t1n2 ай бұрын
Am in hospital watching my mum gasping fir breath and Rehema's songs in my ear... Akisema ndio....
@candidakawerawera69712 ай бұрын
I pray for Divine Healing to mother
@revocatuslubalema94422 ай бұрын
😊@@candidakawerawera6971
@nchiyaahadi-t9q8 күн бұрын
barikiwa sana dada
@BarakaEmpire-s3n3 ай бұрын
Nalibariki Jina lako Daima wewe Mighty God 🧎♂️🙏🙏🙏
@NathalieBeyaya4 ай бұрын
Nashukuru mwengezi kwa yote maishani mwangu labda Mungu ka ruhusa kifo cha mwanangu wa kike wa miaka 26 dactari kijana basi mapenzi ni yake Muyumba wangu Nakuabudu kwani wewe 'i chanzo cha Imani yangu
@rehemasimfukwe4 ай бұрын
Mungu akupe nguvu na neema ya kukaza kumpenda yeye sana! Mapenzi yake hayazuiliki
@sophieowino91673 ай бұрын
Nimeridi na ushuhuda.Nyimbo zako ni za baraka kweli. Mwanangu wa pekee alipatikana na ugonjwa was saratani akiwa miaka 4, mwezi wa April 2023, kwa neema ya bwana alipata kutibiwa na mungu amemponya. Sahii ana miaka 5 na nusu. Mungu amerejesha afya yake. Kwa kweli bwana akisema ndio hakuna awezaye pinga. Kweli mungu ndiye chanzo cha uhai wetu. Baraka tele Neema Simfukwe mungu anakutumia kubariki wengi kupitia huduma yako. Mungu kweli anajibu maombi.
@LidyaFransis2 ай бұрын
Pole mshukuru mungu
@LucyChuwa-ug3du3 күн бұрын
Yeye ni chanzo cha uwai wang yesu na kila kitu kwang 2025 utakuwa chanzo kwakila kitu changu naingia na hiz nyimbo zot 2025 nikiwa nasikiliza ndio utakuw wimbo wa kuingia nao ukumbin kwaajili y harus yngu
@UwezoErickSalum-b5t3 ай бұрын
Amen I like it and I enjoy the songs
@rajabusongolo51734 ай бұрын
Ndio bwana nichanzo Cha uhai wangu nabalikiwA
@ZipporahKamau-f8i3 ай бұрын
❤❤❤❤❤ Amen hallelujah ♥ to God Almighty be all the Glory 🙏🙏🙏
@AimeAucin3 ай бұрын
Amen nimebarikiwa sana Ku bitiya mwimbo .ndio
@christineatieno7383 ай бұрын
God in all things I say thank you, but most of all remember me this time again
@gracekim77574 ай бұрын
Asante Mungu wangu umenikumbuka Kati ya wengi
@rehemasimfukwe4 ай бұрын
Amen
@faithamolo4 ай бұрын
Ww ndio chanzo Cha uhai wangu
@getrudygcateychannel3 ай бұрын
best playlist ubarikiwe mtumishi
@cynthiarehema61383 ай бұрын
24 September 2024 I'll come here with a testimony 😊
@edwinmaina32793 ай бұрын
update
@FlorenceWatare2 ай бұрын
Update the testimony
@BavonFrank-p5o3 ай бұрын
Mungu nikumbuke juu mwaka umejua mgumu kwangu na familia yangu.
@EstherMongare-re7dj4 ай бұрын
Huniachi Daddy🙏🙏🙏
@eternalhappiness40004 ай бұрын
Such a beautiful voice,very talented girl
@monicahjames73084 ай бұрын
So powerful worship ❤
@CarolineMakaya4 ай бұрын
Eee bwana chanzo cha uhai wangu
@kINANAKALAMBA4 ай бұрын
Umetixha mwanangu
@rehemasimfukwe4 ай бұрын
Amen baba
@TeresiaKaranja-qo4tmАй бұрын
Waiting u at kingdom seeker fellowship Nakuru 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤
@andymut15 ай бұрын
a blessed voice
@sydneymatini70063 ай бұрын
2054... when I will be retiring Will be here to dance this song...