Nampendaga sana askofu gwajima nainjoy gwajima kuzaliwa Tanzania
@sebastianmwita91493 жыл бұрын
Barikiwa sana, baba Askofu mafundisho yako yamenipigisha hatua sana, umesababisha ndoto zangu zitimie haraka, kwa jina la Yesu kristu
@godfreymsendo58122 жыл бұрын
"Ukiona Mungu ameona, "Ukisikia Mungu amesikia, "Ukisema Mungu amesema, Ukinyamaza Mungu amenyamaza ✊🏾🙏
@greathope25143 жыл бұрын
Napenda maneno yako sana uko vizuri ijapokuwa sisi watanzania hatujui kumutumia mtu mwenye upoko wa hari ya juu
@kassimrajabu78053 жыл бұрын
Nakweli “Upoko”
@festusikwabe34162 жыл бұрын
This is my massage. Bishop you are a heavenly mouth piece. Thanks daddy.
@bejishful3 жыл бұрын
Amen, mtu ukinijia hovyo jiandae kufa!! Asante baba!
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Mzee Gwajima hakika ni baba sababu hakutaka kukimbizana bila kujiweka sawa. Umevamiwa , silaha huna na una Yesu unamwita Yesu akupe Majibu na silaha ya kutumia. EEEH mfalme teta nao watesi wangu kokote waliko silaha zao zianguke chini au ziwamalize wao kwa wao. Majaribu ni mengi na Mungu hashindwi lolote anafanya tu. AMINA.
@kaizamulinda6333 жыл бұрын
Asante sana mchungaji. Natamani sana ungetwambia kama ni wewe uliyetusaidia kuondoa lile tatizo lililokuwa linatunyima ajira.
@ariganyiraraymondbruce.18153 жыл бұрын
Amen chombo cha Mungu.nibebarikiwa Sana
@rachealmwale38973 жыл бұрын
Amen..kesho yangu imeandaliwa na Mungu aliye hai...Amen mtumishi gwajima Mungu azidi kukuinuwa zaidi.
@JeanPatrickBuhashe-ib2my Жыл бұрын
Baba mungu wako awe mungu wangu piya neema yako ini tawale mungu akufikishake hata suku moja huku congo(Bukavu)
@fettycute39393 жыл бұрын
Amen nakuelewa sana baba napenda mafundisho yako
@richardboaz-mashagospel23463 жыл бұрын
Mimi ni mtoto wa Bishop Amon Lukama....your message bishp is beyond explanation...extremely powerful. Thank you!
@rachealmwale38973 жыл бұрын
Nafuta kila laana ya kichawi kwa jina la yesu...Amen mtumishi gwajima.
@davidjasony85252 жыл бұрын
Mwanao nakupenda sana baba ishi hekima yako waione wajukuu zangu Nina miaka 27 hivyo ishi miaka 100+
@christophermika69683 жыл бұрын
wewe Pastor duu!! Majeshi majeshi kweliii
@beatricehenry67763 жыл бұрын
Mie najua Amina team msoga walioguswa juu ya madawa ya kulevya wamekutuma uwasafishe maana uliwachafua sana
@tanunewstz3 жыл бұрын
I understand you properly bishop gwagima
@wiz-Dankala2 жыл бұрын
Baba gwajima nakupenda sana,adui ni wakupigwa Sawa sawa
@rithersospeterkati3355 Жыл бұрын
Amen Amen baba. Nimepata nguvu ya kusonga mbele. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🤺🤺
@ignasiissaya17183 жыл бұрын
Mahibili mazuri Bishop.
@julieluziga10953 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kukuinua baba. Mimi si muumini wako lkn napendaga hekima zako za Kimbingu. Mafundisho yako huwa yananitafakarisha upya kuhusu Mungu!
@hellenmarandu17872 жыл бұрын
Asante kumbe nanolewa. Asante yesu.
@ernestmbwana62823 жыл бұрын
Barikiwa sana Pastor. Sijaokoka ila Napenda Sermon zako ni so Special ..
@emanuelandronicus25742 жыл бұрын
Una kazi moja tu muamini Yesu tu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako na neema yake itakuwa juu yako yohana 3:18
@agnesmuthara34812 жыл бұрын
Okoka basi kaka
@eddyjunior28812 жыл бұрын
Karibu kwenye WOKOVU bro
@valenakomba44533 жыл бұрын
Sasa je ni kweliiii? Au uwongo ooo!. Hebu tuambie huku ukimwogopa Mungu. Maana sisi hajui kinacho endelea. Msituingize kwenye mataa.
@salimsaid72003 жыл бұрын
KAMROGA MAKONDA HUYO ANAPENDA UCHAWI.
@sebastianmwita91493 жыл бұрын
Baba askofu yupo sawa, mimi tokea nianze kufuatilia mafundisho yake, kiukweli nimekuwa nipo tofauti sana, nimeanza kumfatilia tokea 2017, kabla ya hapo nilikuwa simjui na nilikuwa sijawai kulisikia jina lake Popote pale, ila nilianza kumsikia kipindi cha mchakoto wa katiba mpya, alipompa makavu KADINALI PE- -GO
@godfreyapolnary58563 жыл бұрын
Yes mtumishi wa mungu nimekuelewa
@mosesmwailenge51923 жыл бұрын
Gwajima kama huyo alikulaani akalaniwa alitaka akufutilie mbali akapotea yeye basi Mimi moses mwailenge nakubaliki kama yesu aishivyo uwe na mwisho mwema saana ili namimi nibalikiwe Amina nakupenda saana msema kweli bila kutazama sula🙏🙏🙏
@aishaarusha8943 жыл бұрын
Yesu ninani jamani
@amkenikumekucha3 жыл бұрын
Sifa kwa Mungu Baba yetu
@beatricehenry67763 жыл бұрын
Mithali :141: 3,na zab: 39:1 omba sana hii mtumishi wa Mungu .adui Ni wengi.usikubali kutumuka.niliona wakati mbunge fidodilo akijaribu kupunguza nguvu zk za kuitetea chanjo .ila wewe unasimamaga kwenye kweli. Malinda alituokolea vijana wetu na madawa ya kulevya ivo mwacheni
@gracenyangusi62303 жыл бұрын
Kabisa! Bwana Yesu niwezeshe.Sio mchezo. Kati kati kabisaa
@abelmbilinyi74013 жыл бұрын
Mafundisho na mahubiri yako yananipatia nguvu ya kuendelea na maombi ya kupambana na vikwazo katika matarajio yangu ya kila siku na familia yangu
@ngeleloembete2956 Жыл бұрын
JUMA PILI YANGU YALEO IMEPITA VYEMA ZAIDI ❤❤ ❤!
@joycelaizer4600 Жыл бұрын
Askofu Ngwajima naomba uwe baba yangu wa Hiari
@merianmasangya68343 жыл бұрын
Mungu tusaidie!
@cocotz1892 Жыл бұрын
Kweli hayupo Mungu ni mkuu sana.
@BENCOLE5107 ай бұрын
Mbona karudi
@francofrederick9723 жыл бұрын
Lungu la BWANA ubarikiwee
@rahabnkya82763 жыл бұрын
WACHAWI WACHAWI WACHAWI wanahangaika na hatima zetu. He rode, Yusuf Yesu Kristo na mamajusi oooh.
@classicwildescapestv3 жыл бұрын
Gwaji boy is my favorite mentor of all the time
@careendeni65803 жыл бұрын
With that name, did you call him your..... 😪 So sad
@fredrickshantiwa97103 жыл бұрын
Kweli kabisa...ameni
@salimsaid72003 жыл бұрын
@@careendeni6580 UNATAKA AMWITE MUNGU??????
@sulemanishushaalain51712 жыл бұрын
Nakupenda sana baba kwa maubiri zako
@sadickwoka9663 жыл бұрын
Barikiwamtumishi.
@nicotv41623 жыл бұрын
Muda ni muamuz wa mwisho, sote tutahukumiwa na Mungu mmoja, wakati ukifika basi wew na makonda Mungu atamchagua wake msema ukweli
@chikuluchidodokochiitingan3403 жыл бұрын
Wewee ni munguuu eeeee.olee wakoo utakapokutanaa na mungu wa kwelii utajutaa";
@muudjumaa18413 жыл бұрын
Olee wake
@fredyona57803 жыл бұрын
Huyu kuna kitu anatafuta,akasome habari za mfalme nebukadineza
@richardboaz-mashagospel23463 жыл бұрын
Hujui maandiko ama? Unashangaa nini sasa?. Biblia inasema "ninyi ni miungu wa dunia hii" sasa unashangaa nini?
@salomenachunga35903 жыл бұрын
Mafundisho makubwa haya, yanahitaji wenye uelewa mkubwa, yanawataka wenye kufahamu, ndipo watafahamu 😅 tunafundisha kwa hekima ya ki Mungu si dunia
@brothermoud6313 жыл бұрын
@@richardboaz-mashagospel2346 wee zombi sana .... Kwaiyo na ww ni mungu
@charlesnkasi99043 жыл бұрын
YANI MCH.GWAJIMA MIMI NAGUSWA SANA NA MAHUBIRI YAKO NAYAPENDA NA PIA NAKUPENDA SANA MANA UNASEMA UKWELI,WEWE NDO ELIA WA SASA.
@myself41283 жыл бұрын
Eliya😅😅😅😅😅 Hivi wewe unasomewa biblia au unasoma mwenyewe???
@myself41283 жыл бұрын
Hujaiona Video yake na yule mwanamke????
@kingmwaxoh64203 жыл бұрын
@@myself4128 yale mauno sasa
@GisubizoTheddy-xg3mh6 ай бұрын
Hongela mno BaBa yangu
@ausilyokisinini83153 жыл бұрын
Amen nafarijika sana kaka kwamaubili
@michaelekai82253 жыл бұрын
I really like this...
@siredwarddonald71103 жыл бұрын
Uko sawa Baba Bishop
@SamsOleupendo4 ай бұрын
Amina pastor
@dizla_mgz3 жыл бұрын
Kisasi ni cha Mungu , Yesu alisema akikupiga shavu la kulia mjeuzie na la kushoto
@emmiesulee46203 жыл бұрын
We unaweza kugeuza Ilo shavu🤣🤣🤣🤣 Ni mwendo wa vitasa tu
@yvesntawuyamara19723 жыл бұрын
Warola 12:17-21. 17.Msimlipe yeyote uovu kwa uovu. Zingatieni mambo yaliyo mema kulingana na maoni ya watu wote. 18 Ikiwezekana, kwa kadiri inavyowategemea ninyi, fanyeni amani na watu wote. 19 Wapendwa, msijilipizie kisasi bali iachieni nafasi ghadhabu; kwa maana imeandikwa: “Kisasi ni changu; mimi nitalipa, asema Yehova.” 20 Lakini, “ikiwa adui yako ana njaa, mlishe; ikiwa ana kiu, mpe kitu anywe; kwa maana kwa kufanya hivyo utakusanya makaa ya mawe yanayowaka juu ya kichwa chake.” 21 Usiache ushindwe na uovu, bali endelea kuushinda uovu kwa wema.
@charlesemidy26153 жыл бұрын
Ameen
@shukuranikibona58933 жыл бұрын
Umenigusa sana ndugu yangu...Naomba tutafutane Facebook...Natumia jina la "Boaz Kibona a.k.a Sir:Kibo@Gold.!
@farajachesco9853 жыл бұрын
Kwan amesema alipigana kimwili? Alipigana kwa maombi acha kuhukumu
@atusbaraka3 жыл бұрын
I like it
@dizla_mgz3 жыл бұрын
Yesu alisema akikupiga shavu la kulia mjeuzie la kushoto usimlipize
@georgemwapela16543 жыл бұрын
A very touching interesting true story...It happened in my own life..Right now A'm waiting for my blessings In Jesus Name....
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Uzuri na raha ya Uwepo wa amaan Tz Congo, Somalia nk (kulikotoweka amaan) ni shida. WaTz tuilinde amaan yetu. But all in all dunia ni mapito na starehe zamuda. Mungu Mola Muumba anazo siri za kila mtu na siku ya hukumu/siku ya Kiama ndo kitaeleweka yapi magugu na ipi ngano. MWENYEMASIKIO NA ASIKIEEEEE
@raymondsekabigwa59072 жыл бұрын
Hi si injili ya Yesu
@kipfitke3 жыл бұрын
You have a point pastor
@eugenedesdery98793 жыл бұрын
Mimi ni mtoto wako japo hunifahamu nakupenda sana baba
@danielhumble42923 жыл бұрын
Unamaanisha baba aliyekuzaa au kiroho
@eugenedesdery98793 жыл бұрын
Yote mema
@danielhumble42923 жыл бұрын
@@eugenedesdery9879 Unamaanisha nini kusema yote mema??
@eugenedesdery98793 жыл бұрын
Namaanisha yeye ni baba yangu kama yeye alivyo ndivyo nilivyo
@danielhumble42923 жыл бұрын
@@eugenedesdery9879 Hongera ila inauma sana kumfaham baba yako afu yeye hakujui hii ni laana hakikisha unamwendea akujue usije beba laana hiyo na wewe
@venancemwalukasa61973 жыл бұрын
Mungu ametupa neema ya kusamehe hata ungetendewa
@Pastor18153 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah
@victormbaga57723 жыл бұрын
Uko vizuri mno usivunjwa moyo na comments za watu wa dini hawajui mambo ya rohoni hawajui Biblia ni watu wa liturugia ua wachwi usiache waishi
@tumaininmlilwansi86362 жыл бұрын
Please full video naipataje??
@FrankMichael-us4dr11 ай бұрын
Wewe sio mungu tangua kauli yako baba ila tunakupenda
@scovianalubega92213 жыл бұрын
AMIINA IN Jesus name amen
@victormshindi96363 жыл бұрын
Asante Baba
@seifmohamed8363 жыл бұрын
wewe nimungu duhhhhh pole sana umepotea gwaji boy
@herodeshoo80703 жыл бұрын
Hilo la mayahudi nimekuelewa sana
@enjoysoccer13 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki
@wiz-Dankala2 жыл бұрын
Amen,hiyo kweli.
@Star-qf7ls3 жыл бұрын
Hallelujah praise the Lord
@francofrederick9723 жыл бұрын
Nakupendaa kwa mapoint
@jacksonngusi41223 жыл бұрын
Yesu hakuludisha ovu kwa ovu bali kwa mema hichi kipimo kinaonyesha kuwa ni mwongo wazi na ni mtaftia tumbo pia uwezi jifananisha na Mungu we wakuingia chooni
@salimsaid72003 жыл бұрын
TAMAA ZOTE ZA KIDUNIA ANAZO MPAKA UWIZI WA KURA YEYE.
Mkutano wa lnjili Chamwino Dodoma Tarehe 4 Josephat Gwajima
@hbdina3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️Love it
@yusuphjonathanmwanzonje99023 жыл бұрын
Aamen
@munjalwinking3 жыл бұрын
FROM NOWHERE !! JESUS CHRIST !! FROM NOWHERE 😭😭
@citogentlemanbusiness70283 жыл бұрын
Vesi ya izi mifano 3 baba🙏
@paulmwakipesile323 жыл бұрын
Amina🙏🏽
@mr.yahzadochuno79143 жыл бұрын
Done ✅
@thomasasembo39293 жыл бұрын
Hallelujah
@charlesemidy26153 жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU simlienda hadi kwa Kadinali Pengo,Mkashikana hadi mikono hujasamehe tu. Samehe mbona Mungu anatusamehe, Kingine umeshasema mdogo wako bac samehe. Yesu alichotendewa hapa duniani vilitisha ila alisema neno moja tu, BABA WASAMEHE KWAMAANA HAWAJUI WALITENDALO Takuomba mch.pia nawe usamehe. Yote yatendekayo niyahapahapa duniani.
@hamislipangine51093 жыл бұрын
Ilikuwa kabla
@victorkabingo8883 жыл бұрын
Uyu mchungaj mm simuelewagi,sindoalisema awezi kuwa mbunge lkn saiv kama kawa
@FelixMwinuka-p3z2 ай бұрын
Alisamehe ila yupo kufundisha
@kalaisonimwampashi-1gym3873 жыл бұрын
Jesus is power 🥊
@tinaadongo31272 жыл бұрын
Ameeeen 🙏🙏🙏
@ev.senkyulojas77483 жыл бұрын
Hatali sana shetani
@zimbatv44463 жыл бұрын
Real talk
@marumbamgeni47963 жыл бұрын
Good
@gracenyangusi62303 жыл бұрын
Amekupigisha hatua mbele kwenye mema. Safiii
@marykarebeti94103 жыл бұрын
Mimi sio msharika wako ila nakupenda sana sababu ya mahubiri yako. Yanachoma ila yanajenga
@salimsuleiman69693 жыл бұрын
Mungu gani ww unapanda ndege acha kudanganya watu......subiri ufe ndio utamjua Mungu
@barnabasmajige84733 жыл бұрын
Ww Salim Suleiman ni mpumnavu ktk wapumbavu kwan ww unajua hautakufa kweli amakweli mpumbavu ni mpumbavu siku zote za maisha yake
@salimsuleiman69693 жыл бұрын
Acheni kupelekeshw nyinyi ......ww u amjua Mungu, ???? Yeye kama ni Mungu mbona hafufui watu waliokufa anawapanga watu na.kuwadanqanya wapumbavu kaa nyinyi
@barnabasmajige84733 жыл бұрын
Tatizo ni ww kujiona uko bora zaidi na hiyo dini ya majini na mapepo, hauna ishu za maana zaidi ya usenge na unafiki!!
@salimsuleiman69693 жыл бұрын
Jiongeze ww umeumbw na akili acha kupelekeshwa ......huyo gwajima anajua kila kitu anafanya hivyo kwa maslahi tu..unamfata huyo utaenda kumjibu nn Mungu aliekuleta duniani
@barnabasmajige84733 жыл бұрын
Kwan hao akina sule na mwaipopo ambao ni waganga wa kuuza madawa kwa kichaka cha dini unajua wanakokupeleka au unaongea km mtu usiyekuwa na hekima na neno la Mungu!!!
NAKWELI UMEMTOA KATIKA ULIMWENGU WA KISIASA NA KUTOKUKUBALIKA NA WATU DUUH NA WEWE UMEINULIWA KWENYE ULIMWENGU WA KISIASA.
@salimsaid72003 жыл бұрын
KAMROGA NA MAMBO YOTE YA WACHAWI ANA YA JUWA YEYE.
@amanimanase15913 жыл бұрын
@@salimsaid7200 si mwingine ni makonda eti
@christinamngara82772 жыл бұрын
yesssssssssssssssssssssssssssssssss
@annejacobilkiuyoni29713 жыл бұрын
AMINA
@NazarethNgwira6 ай бұрын
Ujumbe huu umenigusa ktk malawi
@hermanmollel71343 жыл бұрын
Time will come.. kuna siku itafika, sio mbali tutatoka gizani.. tutajua kweupe
@secilianyandindi9403 жыл бұрын
Mm mshirika wako uko sahihi baba
@godfreymasele88533 жыл бұрын
Ameeeeen
@jessecokiru19623 жыл бұрын
Amen
@aishaarusha8943 жыл бұрын
Mtihani wallah Leo kuona binaadamu wanajiita miungu Allah akuongoe ujue kwamba yeye tu ndio mungu wa pekee nakama sio mtu wa kuongoka basi allah akupe maradhi ya kuanguka hovyo duniani na akhera sasa umevuka mipaka unajifanya firauni