!!!!!!!!!Gwajima nampenda sana kwasabatu moja mhimu sana Haoni haya kulitaja jina LA YESU . Mambo ya udongo na mafuta sijawahi ona anavipigia debe na hii ndo inamfanya kuwa juu sana, wengi wanataka kulipoteza jina laYesu tulilo pewa kuokolewa kwalo na kuvitukuza vitu ,jambo ambambalo ni baya sana sana
@InnocentLuvanda Жыл бұрын
You are teaching good,Gwajima.
@makejamaduhu7618 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana, jua cha kusema,unasema na nani? Na wakati gani wa kusema? Mahala pa kusema na usemaje, na unasema kwa kipi? Elimu kubwa sana hii. Asante sana mtumishi.
@ferdinandntembagara2949 Жыл бұрын
Kwakwel namuelwaga sana Dr. Gwajima
@Oswardkadron Жыл бұрын
Hongela mkuu
@imcctv9478 Жыл бұрын
Powerful words
@ebiudmbugi2515 Жыл бұрын
Amen good preaching
@rosekiwia4944 Жыл бұрын
I always benefit from his teachings , wasiomuelewa ni vilaza
@InnocentLuvanda Жыл бұрын
Amazing,
@GraphixDesgner6 ай бұрын
Amen endelea ,nimekuelewa baba
@walternaiso Жыл бұрын
Amen man of God
@MaryLyimo-y9z6 ай бұрын
Ubarrikiwe mtumishi wa Mungu, huna tofauti na nabii Musa
@MalaikaFurniture-qh9vd Жыл бұрын
Baba mwana wa mungu jasusi LA mbinguni 💪💪💪💪💪
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Amen
@kuryatvfilm1161 Жыл бұрын
Mbarikiwa ooooeeeee
@BeatriceHenry-t3i Жыл бұрын
Gwaji I oyeeee
@jackinechomola-y6r2 ай бұрын
Umeni fungua kitu hapa haleluyah!
@jackinechomola-y6r2 ай бұрын
Ameniiiiii baba !
@kuryatvfilm11612 ай бұрын
Matendo 4 : 13 soma utaelewa
@MaryLyimo-y9z3 ай бұрын
Hakika wewe ni mtumishi wa Mungu
@emmanuelmwakyoma5746 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana mtumishi wa Mungu
@LucasMathew-r4y Жыл бұрын
NAMI nazidi kumjua mungu
@rithersospeterkati23038 ай бұрын
Amen Amen.
@naahbby-fk9vo Жыл бұрын
Amen
@angenyalusischmidt2321 Жыл бұрын
HUYU NI MWANA FILOSOFI.. AMEONGEA KWA FUMBO KUBWA.. TULIOSOMA CUBA TUMEKUELEWA... ANAUMIA ILA HAJUI AFANYAJE. ."AKILI KUMKICHWA"" WEWE MSILIZAJI
@essaukapufi4244 ай бұрын
Kweli!
@georgemanyanda3022 Жыл бұрын
Amen sanaa
@SamwelMdamanyi Жыл бұрын
Simama na kweli ya Mungu
@muhammedsaid3659 Жыл бұрын
Kla ktu kiko waz msi ruwe birue mamb o,huku mchungaji na huku mwana Siasa,ww ni mnafki unanyuso mbili kwa mujibu ya maandiko ya Biblia. Yesu amesema cha Kaisari mpe Kaisari na cha Mungu mpe Mungu kwa Mujubu wa Biblia hv vtu viwil huwezi kuvchanganya tatizo wachungaji wengi Huizia kwenye shetan(mali) na hyo ndio waliyoikumbatia, wanamajumba na mahotel na magari ya kifahari wao ni matajiri kuliko waumini wao yaani ata mlo wao wa sku unawapiga chenga. Yesu peke yake ndie mchungaji mwema kwa wana wa Israel,Yeye kipando chake ni mwana Punda na kwa wakat ule kipando cha kifahari ni Magari ya Faras lkn hakupandapo hata km alikua anauwezo nao. Pia Bwana Yesu mwafunz moja alitaka kuwa pamoja nae alimjibu akamwambia Uza kla klicho chako na unifuate. Na imeandikwa ni Rahis kwa Ngamia kupita ktk Tundu la Shindano Kuliko Tajiri kuingia ktk Ufalme wa Mbinguni. Sasa kwa Utajri waliokua nao Wachu ngaji ni kweli watakua pamoja na Yesu huko Mbinguni?ikiwa Mchungaji haingii Mbingun ww Kondoo inakuaje. Njo upate Nusra kwa Mwenyez Mungu Mtakatifu,kuingia bure wala hulazmishw kutoa Sadaka km huna huko ni kumcha M.Mungu tu. Uislam ndio Dini ya Unyoofu na Unyenyekevu km Yesu alivyosema na Uzima wa milele ndio huu Wakujue Wewe Mungu waPekee na Wakweli na Yesu Uliyemtuma.Skiza Israel Bwana Mungu Wetu ni Mungu Mmoja,Mpende Bwana Mungu Wako kwa Nguvu na Moyo wote na Mpende Jiran yako kama Nafsi yako hakuna andiko Kuu kuliko hili basi Lifuate
@peterdaimon-ug6fd Жыл бұрын
Hii mashine
@dokasa9176 Жыл бұрын
Ni siku za mwisho Mchungaji yeyote asiyekemea dhambi, kuambia watu ukweli kwamba kuzimu iko wazipobadili njia zao,waaje mapambo na nguo sizizo na heshima wavae km wana wa Mungu, hivo Roho wa Mungu hayumo ndani yake, Mbarikiwa anakataliwa na kuchukiwa na waabudu shetani kwa sababu anahubiri kweli,na kukemea maovu bila hofu yoyote ila ni Mungu mwenyewe atamtetea na atamfungua kutoka jela pekee yake,kwa wakati wake,na atatoka akiwa chombo cha moto sana, ndiyo atazidi kukemea na kukemea usiku na mchana bila kusinzia
@timboxlee919 Жыл бұрын
Uko sahihi kabisa mtumishi wa mungu,hii awamu ya sita mafisadi
@AbrahamKiringiАй бұрын
Ni kweli jasusi la mbinguni.
@kuryatvfilm1161 Жыл бұрын
Si kweli Mungu ni Yule Yule na Mungu kama muda haujafika hapawezekani lazima uweke wazi Daniel tu alipozuiliwa kuomba alifungua madilisha hakuogopa. Kwa Mungu hakuna kuangalia upepo unaangalia Mungu anasema nini wewe hapo ulisha chemka mbarikiwa yupo sahihi maadamu kasimama na mungu
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Yes mbarikiwa yupo sahihi
@dismassamwel7130 Жыл бұрын
Gwajima ni yule yule sukuma geng na anaikosoa serikali kwa elimu kubwa sio kuropoka ropoka
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Kukosoa ni kukosoa tu
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Gwajima hawezi kuliongelea la mbalikiwa jambo la mbalikiwa kwann ni nyingi kama mtu wa rohoni ni ngumu kusema tumuache yesu ametee mbalikiwa na mm namshauri gwajima asiingilie amuombee tu
@elibarikipeter Жыл бұрын
Kapime akili
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
@@elibarikipeter twende wote mnatamani watumishi wa Mungu wavurugane mmefeli yesu atasimama
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Nyie ndio mashetani mmelaaniwa biblia inasema wateteeni wanao onewa wewe unaenda kuwaombea. Biblia inasema mtu asiongeze wala kupunguza neno katika neno la Mungu wewe ilo la kuombea umelitoa wapi?
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Wewe ni mwehu tena chizi kabisa
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
@@TigerOfTheHills mwehu wa wapi sitaki damu za watu.mkononi mwangu kila mchungaji Tanzania angehubili hivo kama kikosi kazi.injili isingekuwa.inaokoa.watu
@rebeccamsami4580 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa binadamu tuna mamlaka makubwa ktk ndimi zetu
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Sana
@HatangimbabaziSenzoga-f9i Жыл бұрын
MUNGU Akubariki
@lindakapongo8421 Жыл бұрын
asante😢😢uelewa
@RaimundoZacariasJonas-jq1bg Жыл бұрын
Mimi ni mwana wa Mungu
@zawadisisto8188 Жыл бұрын
Ameni
@robertphilip385 Жыл бұрын
Gwajima huaga namkubali lkn tangu ashinde Kwa kura zawizi simkubali tena
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Uliona anavyo iba kwanini usimkataze asiibe na wewe ulishiriki wizi
Nenda katete wewe kama unamuona huyu atetei nani anakukataza
@abdulkatalango2890 Жыл бұрын
nani kakuzuia
@KokoloLambinguni9 ай бұрын
Mbona unajpendelea sana siuache na wengine wachangie mada au auamini ujumbe wako kaa kimya
@MalaikaFurniture-qh9vd Жыл бұрын
Hakuna kama baba siku zote nakuelewa zyd ya jana
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
😀😀😃😃😃
@pastorzakariatv1786 Жыл бұрын
Mtu wa kweli anamsaidia MGONJWA siyo anasubiri mtu anakufa ndo anajitolea SANDA YA KUZIKIA UJUWE HUENDA YEYE NDO KATOA KAFARA😂😂😂😂😂 MBONA HUKUJITOLEA DAWA ILI MGONJWA APONE ULISEMA HUNA HELA YA DAWA SASA MGONJWA KAFA HELA YA SANDA UMEITOA WAPI? 🤔🤔🤔 SIYO UNAFIKI HUU?
@elimunimwangatv7029 Жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri sana rafiki
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Wewe unaakili chache kichwani nenda kalale uje usikilize tena
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Wore nyie akili chache
@pastorzakariatv1786 Жыл бұрын
@@TigerOfTheHills hivi unajua hata chizi hua anajiona anaakili wakati MWENYE AKILI ANAMSHANGAA KICHAA JINSI ANAVYOKULA UCHAFU, VIPOLO VILIVYOOZA ETI KICHAA NAYE ANAMSHANGAA MWENYE AKILI JINSI ANAVYO PITA BILA KUVIONA VIPOLO VILE NA KUMUITA KIPOFU ETI ANGALIA HUYU NAE HAIONI VIPOLO VYOTE HIVI WE KIJANA WEWE NI SHABIKI WA KRISTO SIO MSHIRIKA WA KRISTO WASHIRIKA WA KRISTO HALIS HAWAKO KAMA WEWE WAO WAMEVAA CHAPA ZA KRISTO WANA NIDHAMU,HEKIMA,BUSARA,UPENDO,TENA WANAKIASI, WANAMIPAKA. SIYO KAMA WEWE HAKUNA KIUMBE KISICHO KUWA NA MIPAKA HATA BAHARI IMEWEKEWA MIPAKA UMEPATA BAHATI MBAYA YA KUPATA MALEZI MABOVU YALIYO KINYUME NA INJILI YA KRISTO BADALA YA KUWA MNYENYEKEVU KAMA KRISTO UMEKUWA MKAIDI KAMA SHETANI KINYWA CHAKO KIMEONDOLEWA RIJAMU KINABWATUKA LOLOTE WE UTAJIONA KAMA NDO UMEBARIKIWA KUMBE UNATEMBEA KWENYE LAANA ZUMARIDI ALIINUA KINYWA AKATUKANA YESU NA BIBLIA AKABWATUKA BWATUKA AKAWEKWA NDANI AKAKAA RUMANDE MWAKA MZIMA ALIVYOTOKA AKASEMA AMEFUNGWA KWAAJILI YA HAKI HAKI GANI KWA MACHOKO HAWA NYIE INJILI SIO MISISIMKO TU NA USAHIHI BIBLIA INASEMA WATU HAWA WANAJUHUDI NYINGI KATKA MUNGU LAKINI SI KATIKA MAARIFA na ukikosa MAARIFA unaangamia, nikwaambie tu we KIJANA iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu lakini mwisho wa njia hiyo ni MAUTI, TUMIENI AKILI KAMA IPASAVYO KWENYE HUKUMU YA MUNGU HATAANGALIA USO WA MTU NA KILA NENO ALINENALO MTU ATALITOLEA HESABU YAKE SIKU YA MWISHO USIWE UNABWTUKA ILIMLADI KUNA KUTOA HESABU YA MANENO PIA.
@walternaiso Жыл бұрын
Yes son of God
@kuryatvfilm1161 Жыл бұрын
Wala neno la Mungu halihusiani na elimu
@johnsamwel37305 ай бұрын
Linahisiana sana tu mpendwa
@estherwairimu8760 Жыл бұрын
Mungu wangu aki elimu nahekima yadunia imewachanganya WENGI aki roho wamungu lazima itanena
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Wewe umenena?
@francismadirisha3511 Жыл бұрын
5:10 5:12 5:13 5:13 5:13
@kyaro5945 Жыл бұрын
Dr Gwajima ni kweli wananchi wans nguvu ya umma. Katiba hawezi badilisha rais bali nguvu ya umma. Bandari atalae badilisha ni wananchi waanze wenyewe kuuliza na kufanya maandamano ya amani.
@hamisijuma8124 Жыл бұрын
Huna hata kampuni Wala box unaloagiza nje unahangaika na bandari wanao pigania bandari wanamaslahi we we unanini huko tafakari usijiunge kwenye msafarawa mamba
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Nyie ndio minyumbu yenyewe ya Tanzania
@essiesammy6505 Жыл бұрын
@@hamisijuma8124 kweli shule ni muhimu unashindwa hata kuelewa kitu kidg tu hichooo,asilimiaa 90%ya vitu tunavotumiaa vinaagizwa na kuletwa nchin kwa kupitiaa bandariii kwahiyo kila mtu bandari inamgusa moja kwa mojaa hiyo simu tu unayotumiaa imepita bandariniii fungua akili hiyo
@hamisijuma8124 Жыл бұрын
@@TigerOfTheHills we ambaye ni mjanja umefanya Nini umekalia kusifia mijitu iyokomba sadaka za walalahoi mbwa wewe Akuoe sasa
@sethkivuyo3342 Жыл бұрын
Wewe ni Fundi wa kugezuza Maneno vile Upo kwenye sistim
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Haiandikwi sistim ni SYSTEM
@RadiumNyalale-u1s Жыл бұрын
Safi xana mutumish wa bwana
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Amen
@kuryatvfilm1161 Жыл бұрын
Nazidi kumfahamu Mungu
@MoshiKiuya Жыл бұрын
baiden wanyime ccm watanzania msada
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Point
@Peterkasanga-fp6hd Жыл бұрын
Je, tuwe na elimu ngani ili tuweze kuhubili?
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Wewe ushinde uovu nenda kawafundishe watu kuacha uovu
@laurianogerold5129 Жыл бұрын
Sijaona alipo ongelea hili au sijamuelewa
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Sikiliza tena kuna mahali kaongea kwa mafumbo sana
Unajichanganya padogo sana na unajiporomosha bila kujuwa,leo unamuongelea Mwamposa sadaka ya kujimaliza,kwa hiyo unataka wawepo mapasitor tu ila mitume hapana na manabii wasiwepo au unamanisha Nini,nilishajifunza mengi kwako ila siku hizi umekosa uturivu kaka yangu jiperereze
@nikodemmwahangila3334 Жыл бұрын
Hiki ni kichwa kimeenda shule mwanasiorojia huyu mnyakyusa wawatu anapinga erimu anatumia yakwake ambayo akili yake inasema hili lipo hivi hakuna wakumbadilisha
@lameckwilliam8311 Жыл бұрын
Binafsi nakukubali
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Amen
@PK_MEDIA_TZ Жыл бұрын
Nukweli
@apostlejoshuadaniel2105 Жыл бұрын
Huduma ya mitume na manabii,ni zaidi ya kuona it is more than that
@jackinechomola-y6r2 ай бұрын
Hapo ume nena!
@NixonGerson Жыл бұрын
Ubunge wa mchongo unafundisha michongo ...
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Wewe ni chawa bila shaka umetumwa
@tarithalusola44586 ай бұрын
Haswaa huyu anayeropoka ovyo juu ya masihi wa bwana NI rusifa
@josiacharles2778 Жыл бұрын
Kuna jambo kalizungumzia apo la maana sanaaa
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Wewe umemuelewa
@josiacharles2778 Жыл бұрын
Yes nimemuelewa sana.
@valenakomba9218 Жыл бұрын
NAHUBILI YAKO HUWAGA SIYAELEWI. LAKINI LEO UNAMTAJA YESU.
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Huwa hauelewi nini??
@alexmzumbwe1328 Жыл бұрын
Huelewagi nini
@SudyMkele Жыл бұрын
Gwajima Bado haaminiki bendela fuata upepo
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Wewe akili ndogo kichwani
@thomasmallya2972 Жыл бұрын
Usipo tuliza akili uuta mwelewa g
@GraphixDesgner6 ай бұрын
Ingia ndani itamwejewa gwajima ukibaki nie utabaki kutokumwelewa ni jasusi la mungu
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Galatia 3:3
@laninjeje8290 Жыл бұрын
Hapa ndipo unagundua kuwa Gwajima ni mchungaji aliesoma shule, tofauti na mbarikiwa na wengine, unatakiwa kukemea maovu ya serikali lakini kwa hekima na pia uangalie unaongea na Nani na wapi unaongea😂😂
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Hayo niyako
@bcozhenry2698 Жыл бұрын
Hakuna hekima kwenye kubagua watu! Wawepo wa kukemewa wazi wazi na wengine wakemewe kwa kupambapamba!
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Kuongea kwa mafumbo namna hii hakusaidii sana, majoka wana wa majoka wanakuwa comfortable tu, wanajifariji kwamba hawakutajwa wanajizima data wanaendelea na maisha na mipango yao miovu kama kawaida. Elisha hakushusha bei ya vyakula kwa mafumbo, alishusha waziwazi bila uoga kwa mamlaka ya Mungu iliyokuwa ndani yake na ikawa hivyo. Kwahiyo hekima mnayosema ya lipi la kusema, wapi pa kusema, lini pa kusema, namna ya kusema tutachelewa sana, huo ni uoga tu😂
@laninjeje8290 Жыл бұрын
Dini bila elimu dunia ni uchawi tu na uropokaji kwasababu Kuna mda inatakiwa uwe na elimu kichwani ndo utoe mahubiri yenye hekima
@HamisAbdallah-cj2sc Жыл бұрын
Du etji NA nyinyi nimungu duniani!!! Sasa mbona zumaridi alijiita Mungu wakasema anakufuru
@paull8659 Жыл бұрын
Huyu si alifanya unyang'anyi wa kura? pumbafff
@saimongilala8938 Жыл бұрын
Huna hakili
@nelsonjasson7967m Жыл бұрын
Poa mwamba piga gombo
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi Жыл бұрын
JASUSI LA MBINGUNI.
@HijasSaidy-ke2tm Жыл бұрын
ASKOFU ALIEPITA NA KURA ZA MWENDAZAKE
@HURUMAKALINGA Жыл бұрын
Kwan kunashda tatzo wapinzan uelewa mdogo mtaishia kusema hvohvo
@sethkivuyo3342 Жыл бұрын
Nimekuelewa.. Kumbe Ukiwa mbunge wa ccm inakua sio muda sahihi wa kusema na kukemea maovu husani kusemea bandari yetu.. nimeamini maslai yako ni muimu kuliko kusimamia kweli..
@danielmulesi4025 Жыл бұрын
Una tatizo la tafsiri. Na usitake kupitishia agenda zako hapa. Hata kama kuna kukosoa, hekima ni kukosoa kwa wakati sahihi na namna sahihi. Aliyekuambia kuwa Askofu huyu hajatoa maoni yake chamani ni nani???
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
Wewe umeisimamia wapi bandari mbona hatujakuona
@thomasmallya2972 Жыл бұрын
Tuache unafk mnao lilia bandari mbona amlilii Almas dhaabu au mwiingereza na mmarekani ana haki ya kuiba ila mwaarabu aruusiwi
@TigerOfTheHills Жыл бұрын
@@thomasmallya2972 wewe shetani so unataka waibe kila sehemu, sisi tunapigania mali tunayo iona inapotea kwa macho mbele yetu
@thomasmallya2972 Жыл бұрын
@@TigerOfTheHills shetani ua anamjua shetani mwenzie niambie shetan mwenzangu