Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa sana,naomba kitabu cha maombi yanayojibiwa kitufikie musoma pia
@sarahemukule Жыл бұрын
Amen pastor leo nimejufunza jinsi ya kuomba naomba mungu anitiye nguvu
@kenamei5 жыл бұрын
Mungu akubariki pastor naomba niombee naumwa TB
@stellamkenga76672 жыл бұрын
Watching from Paris France I'm blessed may God bless you.
@zeliageorge33112 жыл бұрын
Asante kwa fundisho zuri, Mungu atupatie hekima ya kuomba.....!!!!
@joymoraa67014 жыл бұрын
Watching from Kenya,am blessed ,be blessed pastor,may Our Good Lord bless you abundantly
@suzankasile4844 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho haya mchungaji Mungu akuzdshie kibari na kipawa uzidi kuvuta roho nyingi kwa yesu Amina
@davidimmael13003 жыл бұрын
Hahaha top ni Yesu .....wazi Pastor
@linetokuku53903 жыл бұрын
Amen Amen mtumishi barikiwa
@nasrakiango50973 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji Mmbaga
@jeannemuhimpundu62153 жыл бұрын
Asante sana Pasteur Mbaga,unafundisha vizuri,Mungu awabaliki
@sisterdivvana87703 жыл бұрын
Watumish wa mungu utawajua tuu jinni wanavyofundisha ..nakuombea mungu akujalie wasije wale wakakuingiza kwenye Tamaaa wakija wambie mungu anavyote maana shetani pia alimpa offer bwana yesu ya vitu vya dunia
@libinarobert38303 жыл бұрын
Mungu akubarki mchngj kwa kaz nzur
@stellasamwel5845 жыл бұрын
Asante mchungaji kwa maneno yanayotia moyo naomba uniunge kwenye grup la maombi
@boniphacemanyonyi40366 жыл бұрын
pastor mbaga ubarikiwe sana kwa mafundisho yako
@أمجدالمفرجي-ق3ض3 жыл бұрын
AMINA ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@bentermonyangi30326 жыл бұрын
Asante sana mchungaji mmbaga kwa kutusaidia kuujua ufalme wa mungu na kujitambua kimaombi mungu akubariki sana akuzidishie hekima na marifa maradufu swali langu ni je kuhusu ndoto zinausiana na biblia au kupewa ujumbe fulani mie naota sana ndoto za maji naomba unisaidie yanni inanipa dhida siishi kuota kuhusu maji
@mwavitafuraha72443 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji nashukuru sana kwa mafundisho yako yote yana nibariki sana kabisa namimi natamani kujiunga nanyi
@pascohamis6323 жыл бұрын
nabarikiwa sana na mahubiri yako mchungaji
@gordfreysangawe75353 жыл бұрын
Mungu yu mwema kwa kila jambo sifa na utukufu vimrudie yeye Amina
@janethnyabisi86172 жыл бұрын
Hey pst.am being so blessed 🙏 listening from Kenya... Umoja 1 SDA...
@lenahasantemchungajiauko88115 жыл бұрын
Asante mchungaji,nimebarikiwa sana katika kipindi chako zidi kubarikiwa
@eutropiangido96844 жыл бұрын
Nimesikiliza somo hili asubuhi hii. Asante Yesu unanifundisha kuomba. Mchungaji ubarikiwe sana
@AmosYusufu-g7f17 күн бұрын
mchugaji devd niombee BWANA aniponye Nina umwa sana mugu aniponye
@josiahsalum11436 жыл бұрын
Nabarikiwa xan ktk vipndi hv pastor .
@shideashidea55705 жыл бұрын
Amina pastor naona maono ya ajabu juu ya Usemayo
@ephraimkihoko85306 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na somo hili Bwana Akubariki sana Pastor.
@ballohhopaschal10985 жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor
@verenarutechura62214 жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubariki mafundisho yako yanaeleweka
@georgekariuki85643 жыл бұрын
Kama wewe una jiduga madawa na ogea na wewe kama wewe una fanya master Bert na ogea na wewe una sema yote ambayo ya a tukugaza sisi vijana ulipo taja to yale mimi ufaya automatic nika ya Acha niliku na master Bert basi mala bili kwa week au 3 na sikwaba mimi sijamupokea yesu nilimupokea kitambo nakini kubatizwa sijawai kubatizwa kangu ni zaliwe mupa waleo
@selfaakinyi78245 жыл бұрын
Nabarikiwa mchungaji Niko Qatar nafatilia mafundisho, mungu akupe hekima zaidi, ila muombe dadangu kwa ndoa yake inashida.
@mariamjamican19306 жыл бұрын
Thank you to teach me the word of God it does help me a lot may God bless you
@esthersiamalya63234 жыл бұрын
Ainuliwe Mungu na Roho mtakatifu kwa huduma hii. Nimepokea, Ubarikiwe Mtumishi.
@esthersiamalya63234 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mchungaji
@amosbyarufu1003 жыл бұрын
Asante mchungaji wetu kiukweli Sina lakusema kwaupojaji juu yamaisha yangu.
@octavianjoseph35126 жыл бұрын
Kazi nzuri barikiwa sana
@ndamegasprd31135 жыл бұрын
Habari za kazi ya mungu ? asante kwakufundisha jiaa ya kwenda mbinguni .Gaspard sweden
@MahubiriPrMmbaga5 жыл бұрын
Amen,Asante sana
@hepifurahini38494 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@carolinetalam58326 жыл бұрын
Watching from Kenya good teachings can you please sambaza those books here in Kenya and Also add me to assap group ya maombi God bless you sana pastor
@electroplus59994 жыл бұрын
Jambo mchungaji,naguswa sana na mahubiri haya,ubarikiwe sana
@mariammaluguАй бұрын
Asante Kwa masomo haya MUNGU akulinde na familia yako
@kwizeraelly92615 жыл бұрын
Mchungaji naomba unikumbuke ktk maombi.Nabarikiwa sn n mafundisho haya.
@رزقكينيدا3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji
@pendopeter17904 жыл бұрын
Tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu....Mungu akuongoze Mchungaji tuendelee kubarikiwa na mafundisho.
@shideashidea55705 жыл бұрын
Barikiwa sana pastor
@emominja67504 жыл бұрын
Bwana Yesu apewe sifa naomba uniunge kwenye group la Whatsapp la maombi asante na ubarikiwe
@amosbyarufu1003 жыл бұрын
Mchungaji naomba uniunganishe kwenye grupu lamaombi.
@rizikiebonge96312 жыл бұрын
Bwana akubariki
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Amen asante sana mchungaji naendelea kufuatilia mafunzo haya nabarikiwa sana mimi nimeanza juzi kufuatilia lakini naona tofauti sana.siyuko kama mwanzo naweza pata wapi kitabu hicho tafadhali natoka kenya
@susantuguta49094 жыл бұрын
Amen. May God continue to use and protect you.
@furahaaimee8898Ай бұрын
Namimi niko burundi itawezekanaje nipatikane kwahiyo group ya maombi?
@joyceobiyanyaundi19772 жыл бұрын
Pray for my children pastor.
@ellenmbota12414 жыл бұрын
Ps Mungu akubariki kwa fundisho hilo naomba uniombee niombee
@queenessiekenya68696 жыл бұрын
Mafudisho mazuri sana tafadhali pastor tag me next episode
@donpjay95286 жыл бұрын
Nakupenda sana mchungaji
@mawazomangala7736 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@esajackjack30323 жыл бұрын
ameen
@anithamami81334 жыл бұрын
Ninataka mungu kuwabwwana namokozi wangu
@justinenyanzira43574 жыл бұрын
Asante saana nimebarikiwa
@carolynadhiambo25434 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtu wa MUNGU, Naomba tu Maombi ya family yangu kwanzia babangu na dungu zangu na pia watoto wangu na nyumba yangu
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Mungu akupe haja ya moyo wak
@almasmanumbu19025 жыл бұрын
Niombee mchungaji nina matatizo mengi unafundisha vizuri sana sana sana eee mungu nipe imani
@sophiakassimkassimabdallah59455 жыл бұрын
Barikiwa sana Pasta
@borajuma93156 жыл бұрын
Mungu wangu akubariki mutumishi kwa neno kuomba.
@boniphacemanyonyi40366 жыл бұрын
pastor niunganishe kwenye kundi hill la maombi maana nalipenda sana
@kaselinboniphas33692 жыл бұрын
Naomba namimi niunge kwenye maombi yawasap
@ndihokubwayobrigtte8722 жыл бұрын
Amina
@veronicachungwa35025 жыл бұрын
pr mimi naitwa veronica naomba mniombee mgahawani kwangu wananizunguka wenye nguvu za giza asubuhi unakuta wamemwaga madawa biashara kwa sasa imeyumba najua mungu hashindwi jambo .amen
@rizikiantwanette60814 жыл бұрын
Tulipatana kwanjiya konakona mwishowe mume ame kana kanisani baada yakupata utajiri nifanye nini
@omwoyoonchweri69334 жыл бұрын
Amina kwa ujumbe mzito kuhusu kuomba
@ruthmichira46933 жыл бұрын
Naomba umumbee dada yangu anayeugua menengitis
@lifewithkiki6334 жыл бұрын
Naomba na mimi muniunge
@cyrusmagata94634 жыл бұрын
Niko Kenya Nakuru Tutumie vitabu mchungaji
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Amina nauliza kama kuna vile nawezapata hicho kitabu online maana niko mbali sana niwe nikisoma kwa simu
@aroniadamu88756 жыл бұрын
Mchungaji asante sana kwa mafundisho yako. Na Mimi nataka nijiunge kwenye group ya mahombi na sijui kama mtakupata je ukiwa live na naishi marekani
@bahatisaimon60196 жыл бұрын
Asante sana mchungaji kwakutoa kufanya kazi ya MUNGU WETU
@richie6725 жыл бұрын
Asante sana muchungaji naomba kujiunga na kikundi cha maombi watsap +254748207846
@leonardhudson27756 жыл бұрын
Nabarikiwa sana kwa mafundisho
@louiseriziki4233 жыл бұрын
Niko wazi kwako
@margrethmukisa7946 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji Kia Kati yako
@josephmirumbe87405 жыл бұрын
Mchungaj naomba uniombee nguvu ya roho mtakatifu
@drostaflorian79705 жыл бұрын
Niombee Mchungaji nipate mtaji
@salahmateso85053 жыл бұрын
Hi pastor
@joycemashikolo90966 жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji mbaga
@agnesbwananomuchungajiwang66456 жыл бұрын
Nashuru sana Muchungaji nimejengwa naso hili
@agnesbwananomuchungajiwang66456 жыл бұрын
Muchungaji mimi nataka kipajichangu yani uduma yangu irudi kamazamani yani Mungu anitumikishe kama zamani
@zawadiagalla52076 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@veronicamalale21534 жыл бұрын
Ameen
@miserecordiuslema94936 жыл бұрын
Nipo Oman Maskat tunakupata mwalim barkiwa sana
@dicksonmargwe83646 жыл бұрын
0789372327
@dicksonmargwe83646 жыл бұрын
magaa
@boraashaclearymerry99386 жыл бұрын
Ubarikie Sana mujungaji
@georgekariuki85643 жыл бұрын
Pia niko na usuhuda mukubwa sana kwa kunielimisha ki rho nimejifuza megi lakini kuna kitu mugu alinifaniya 2 weeks ago niliaza kufanya nikiwa na mika 15 lakini postar ni mugu to niliacha ulipo itaja wala hata sio kuobea unapo fudisa kuna maneno ya mwisho uya sema
@kwizeraelly92615 жыл бұрын
Amina!Niko Tabora mchungaji niombee ktk sala unazoomba.
@priscamaige16125 жыл бұрын
Naomba kuungwa kwenye group la maombi pastor
@mwavitafuraha72443 жыл бұрын
Namimi nina mgonjwa wakupooza mkono namiiiguu
@paschalpaul12215 жыл бұрын
nasubilia sehemu ya pili baba
@matatizosangana50316 жыл бұрын
Tamaa pekee ndio kikwazo cha maombi
@sarahlussingu60296 жыл бұрын
Amen.... Amen
@louiseriziki4233 жыл бұрын
Naomba maombi yako utuombeye tuko mbali Australia
@kwizeraelly92615 жыл бұрын
Mchungaji naomba umwombee dada yangu anaumwa ugonjwa usioeleweka.
@rwesimbibicharles89943 жыл бұрын
Amen.
@DaveOndiek853 жыл бұрын
Hallelujah!
@estermmbaga61286 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@shukuranirecords1476 жыл бұрын
Asante sana mchungaji nabarikiwa sana
@shukuranirecords1476 жыл бұрын
Naomba unisaidie uniambie jina unalo tumia kwenye instagram.