I have learned many things Today about this video thanks so much woman of God 😢🥹🙏❤️🙏
@PasikalinaHhoko26 күн бұрын
Dada yetu mungu akuzidishie cku zakuishi na akubariki sana
@NshimirimanaBella23 күн бұрын
Ubarikiwe sana mama mungu akubarikiwewenananyumbayako
@GloriaMkusa4 ай бұрын
Mungu atusaidie bila neema ya Mungu hatutoboi ....ni maumivu makubwa ....tunalogwa Sana wake WA ndoa yaani waweza ona kitu cha kawaida Bali ni vifungo
@neemaswai33653 ай бұрын
Amen pastor shaboka. nashukuru kwa somo hili
@madamcolletha56656 ай бұрын
Mafundisho haya ni ya faida sana Mungu akubariki sana pastor tunahitaji neema kubwa sana kurejesha huo upendo uliopotea.
@OscarOchieng-v6fАй бұрын
Nimejifunza barikiwa sana postor🙏🙏
@brendanawanga6 ай бұрын
Amen Amen 🙏 hii neno inamafunzo maxuri xana pastor rose ubarikiwe mamang ata uzao wako ubarikiwe
@WilfredKiokoАй бұрын
On point
@Richard-d3d6t3 ай бұрын
Asante sana kwa mafunzo mchungaji ila nakuomba uniombee sana na ndoa yangu ju mama watoto wangu amenigeukia kuwa pigo maishani mwangu ju amechagua usaliti na ulevi kupindukia na ubarikiwa
@ElynahNangila-lm9dj3 ай бұрын
U have really touch me,be blessed pastor
@EugeneWafula-w2v2 ай бұрын
❤❤❤❤
@YonaSimba4 ай бұрын
Mungu Akubariki Sana Mtumishi Wa Mungu. Hakika Huu ujumbe Umetoka kwa MUNGU moja kwa moja na kama kuna mtu wa kupona apone
@bavurecopain26735 ай бұрын
Asante saana maman. MUNGU akuinuwe daima. Asante kwa mafundisho mazuri
@maryamsuleiman63402 ай бұрын
Assante mama ,nilionakunamtu anasema unakosea mahubiri yako ndomana nilikutàfuta nikuskize ,alisema umtangaze Yesu xaid ,mimi ni Muislam ,lkn napenda wahubiri wahubiri kinachokwaza kwa maisha tuishio zaid sasa ,yakina Yesu na hata Muhammad ibaki km nikukazia tu mana nahis km zao zimekua km ni Histry ,inapobid tuwataje basi siombaya lkn tuseme namaisha tuishiyo ,mana tumepiga hatua kutoka wao kuja sisi hatufanani hata msimamo wa Imani zamioyo yetu nawao Duniayetu yasasa mambo mengi ,🎉🎉❤
@debbiebambohappy1341Ай бұрын
Eeee, Yesu nisaidie pekee yangu siwezi
@FaithNdahani4 ай бұрын
Barikiwa pastor umenigusa saana Mungu aitetee ndoa yangu iwe ya upendo na Amani
@JamhuriJumaa5 ай бұрын
Ubrikiwe pastor mafundisho mzuri Sana 🙏❤
@ShubiraCostac3 ай бұрын
Ubarikiwe ndogo wangu,Asante kwa SOMO zuri,ila Mimi siwezi Tena kumpenda ) Usaliti ni kama kifo, mwa❤
@ValentinaNyanzura5 ай бұрын
Mungu akubariki mama yangu hakika umenena yaliyo kweli ,hata mimi nimeguswa kwa maneno yako ndani ya moyo wangu ❤
@MohammedAlly-n2t3 ай бұрын
❤❤amen amen ubarikiwe sana
@mireillebizimana49094 ай бұрын
Najisikia kujengwa Mungu akupandishe juu sana mama Rose
@RuthMahene-rh2mx6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa fundisho zuri
@CentrineKhaemba-r1y5 ай бұрын
Powerful women of God 🙏 God bless you
@SasSandra-r3s3 ай бұрын
Mungu akubariki mutumishii wa mungu asante kwa mafundisho yako
@jameskalugo45833 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@AmosiAmosleonard6 ай бұрын
ubarikiwe sana past kwa mahubiri mazurka hakika umegusa kuta za mioyo yetu mungu atutetee
@DanielMalit-sv5xs4 ай бұрын
Amen nimesaidika sana Kwa haya mafunzo pst Asante
@MediatrixAnyango-w7b6 ай бұрын
Amina be blessed mum.. nimejifunza kitu kutoka apo❤❤🎉🎉
@PudeLimo3 ай бұрын
Barikiwa mama, Hakika umegusa wengi.
@beatricemakobero34384 ай бұрын
Amina sana nimepokea
@كريمبوكريمبو6 ай бұрын
Ameeen ubarikiwe mtumishi kw neno nzuri
@nancytito43354 ай бұрын
Bless you mama
@JohnsonMusyoka-u4e3 ай бұрын
Mbarikiwa kwa mafundisho mazuri.
@MamyMbanza4 ай бұрын
Mungu akubariki maman kwasababu unanitia nguvu moyoni mwangu
@CatherineMajeda6 ай бұрын
Ahsante Ahsante mummy i blessed 🙌 pastor 🙌
@WasokoMwanza4 ай бұрын
❤ ameen
@harrisonkipkurui5 ай бұрын
Kweli kbsa pastor
@MagrethMkumbo-n4u5 ай бұрын
Yes.good.bless.you
@Anjachizipporah3 ай бұрын
Haki unanikuza sana pastor.......changamoto zipo
@janetyrubenUlaya3 ай бұрын
Ubarikiwe sn jamaniiiii
@revinabenezeth5515 ай бұрын
Barikiwa kwa somo zuri
@romwaldoamsi27833 ай бұрын
Ubarikiwe
@MonikaWinston6 ай бұрын
Mungu akubari pastor Rose..
@dignaadrew5 ай бұрын
Mungu akubatiki kwa namna ambavyo unafundisha umenigusaa
@HappyFondo5 ай бұрын
Mafundisho mazuri mtumishi,mungu wa mbinguni akubariki
@RachelCharz-bj4jv3 ай бұрын
Asante mama
@barakajoshua6664 ай бұрын
💕 uuu
@NiyintunzeJacques5 ай бұрын
Mtumishi wamungu ubalikiwe tenasana
@kennethwamaya61026 ай бұрын
am blessed by your teachings pastor
@MagrethMkumbo-n4u5 ай бұрын
Ubarikiwe.dada.angu
@neemamajwala82116 ай бұрын
Nakupenda mch Rose
@JohnsonMusyoka-u4e3 ай бұрын
Mungu atatenda
@CharlespeterCharlespeter5 ай бұрын
Nikweli kabisa wanandoa wengi hawapo pamoja kimahusiano somo nizuli kama tukiamuwa kifata kanuni ya mungu juu ya wanandoa
@tulibakobellon12355 ай бұрын
Amen. Asante Mtumishi wa Mungu.
@HarrisonMarenga5 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@eliasmartinekilunga93675 ай бұрын
Amen
@henrymwalimu918429 күн бұрын
Amen Pastor, i like listening and following your preaching and sermon but my request where is your church location and if one wants to meet you how can this be done
@josephinearonkyogo16043 ай бұрын
barikiwa
@KatheeMwenda6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@carolinesamwel52824 ай бұрын
BARIKIWE SANA MUM
@dominicouma-s6y3 ай бұрын
Gazeti yiko kwangu pastor
@eliasilwimba1876 ай бұрын
Kuba sababu ya wewe kuwepo ,Mungu akutunze.
@TheresiaJoseph-wq9go6 ай бұрын
umeingiza,mno asante.
@dominicouma-s6y3 ай бұрын
Pastor help translate the books in the bible the words are touching me for example 'uufunuwo'
@HappinessNyabuto-z3u3 ай бұрын
Aki kama Mimi pastor niombee ndoa yangu nirudi na watoto wangu
@GordonOtiende6 ай бұрын
Pastor rose mungu akubariki sana, ushidi kuifundisha neno lake siku zote, jamii Yako iwe na furaha tele.
@magrethwadugu22096 ай бұрын
Amen ❤
@annakyaruzi92756 ай бұрын
Amen Amen
@verdianavianhezron51866 ай бұрын
Asante pastor Rose kwa mahubiri mazuri hakika umenigusa
@AdolfMakaukiАй бұрын
Wasikilizaji wako wote wanafahamu Kiingereza fasaha? Mimi sikuelewi kabisa na wala sielewi lengo lako la kufundisha somo zuri sana kwa lugha ambayo si wafuatiliaji wote wanaokuelewa. Nashindwa kuamini kama unatupenda sisi tunaofundishwa nawe au unapenda nafsi yako zaidi. Kama mada zako ni za lugha ya kigeni ieleweke wazi ili wale wa Kiswahili tusikufuatilie.
@jiarosmazengo9662 ай бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri
@ChristineWanyonyi-n2q6 ай бұрын
Mafundiso mazuri mno from kenya
@JescaSilas-qo8si5 ай бұрын
Kweli dada ndoa nyingi zimepoteza upendo wa kale
@AnithaJoseph-yr1mg5 ай бұрын
Past ubarikiwe, ila Mungu atusaidie maana Kuna majeraha yanayoumiza sana, wengine wameamua kuumiza a Kila siku.
@CharlespeterCharlespeter5 ай бұрын
Mchungaji umenguza hisia za watu wengi sana ambao tuko kwenye ndoa MUNGU akubaliki sana mama mchungaji
@TheresiaJoseph-wq9go6 ай бұрын
barkiw sana
@sumaramarwa95585 ай бұрын
Asante kwa neno nmebarikiwa
@JescaSilas-qo8si5 ай бұрын
Ila pastor mengine yanaumiza moyo
@mcallankamande71564 күн бұрын
Kanisa linakuanga wapi
@JastinChomboАй бұрын
Nmefukahi nama fundisho yako japo ndoa yang Ina misukosuko
@FrankSinyangwe-ps6st2 ай бұрын
Amina mama pastor may God akuinue Zaidi ya viwango