NAMNA YA KUSHUGHULIKA NA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA (PART TWO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 18,944

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando KZbin
/ @pastorsunbellakyando

Пікірлер: 31
@arthurjohn9036
@arthurjohn9036 5 ай бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu, Mungu azidi kukupaka mafuta mabichi.
@colethajoseph3140
@colethajoseph3140 2 жыл бұрын
Barikiwa sana.
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@Alexsenyagwa-t3j
@Alexsenyagwa-t3j 3 жыл бұрын
Nakuelew sana pastor Sunbella lazima nifike reality siku moja
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 3 жыл бұрын
Siku zote namshukuru MUNGU BABA ALIYEHAI kila nipatapo kusikiliza masomo yako mpakwa mafuta wa MUNGU ALIYEHAI Pat Sunbella K. Najifunza sana sana Barikiwa sana mtumishi 🇺🇸.
@gracelunyili6517
@gracelunyili6517 9 ай бұрын
Nabarikiwa na chanel yako na mafundisho yako,naamini kwa injili hii kuna kituo nitafika rohoni
@joycemaige6838
@joycemaige6838 3 жыл бұрын
Baada ya hili neno usiku kunakitu kilitokea nilipo shitka tu kwa muda huo niliandika vyote na Baada ya hapo neno lako ulilo fundisha nikasema linanihusu Mungu azidi kukutumia zaidi kwaajili ya sisi watoto wake Amen from Oman
@pasakanyamusika7592
@pasakanyamusika7592 2 жыл бұрын
ASANTE
@mhamdahmd7758
@mhamdahmd7758 3 жыл бұрын
Asante sana mtumishi kwa marifa ninajifunza mambo mingi kupitia kanisa hili ambayo nlikua siyajui MUNGU awabiriki sana
@catherineakinyi6372
@catherineakinyi6372 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mutumishi wa mungu, mimi ninaomba maombi yenu,mimi ni mgonjwa sana.Asante kwa muda wako
@joycekariuki46
@joycekariuki46 3 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu Asante kwa neno njisi ninavyo endelea kujua jinsi ya kupambana na hizi nguvu za giza.
@bettymvanga3273
@bettymvanga3273 2 жыл бұрын
Amen somo zuri limenisaidia pahala Blessing dady.
@esmilykipele4008
@esmilykipele4008 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@addo2014
@addo2014 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa my dady nakupenda sanaaa 🙏❤
@joycealoyce9334
@joycealoyce9334 3 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe,samahani niko morogoro naomb nisaidie jinsi ya kupata mawasiliano ya pastor
@jefrineliaselias691
@jefrineliaselias691 3 жыл бұрын
Hakika nafurahi Sana mahubili Yako nabarikiwa Sana Mungu akubariki sana
@ntulisuzan897
@ntulisuzan897 2 жыл бұрын
Hallelujah nabarikiwa sana🙏
@dianaobadia6107
@dianaobadia6107 3 жыл бұрын
Asante Baba MUNGU akutunzeee 🙏🏻
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 3 жыл бұрын
Una mafundisho mazuli sanaa
@ibrahimabdallah7639
@ibrahimabdallah7639 3 жыл бұрын
Funzo nzuri sana pastor ubarikiwe, nina swali jmn jinsigani naeza pata mawasiliano na pastor
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 3 жыл бұрын
Unaweza kutuma ujumbe wako kupitia number ya Huduma ambayo ni 0657 173 322
@feristarkomba8106
@feristarkomba8106 3 жыл бұрын
Amen jamani natamani kufika kanisani kesho naomba maelekezo
@danstonecool1734
@danstonecool1734 3 жыл бұрын
tuned from kenya
@heriethkitururu4401
@heriethkitururu4401 3 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho
@sarahwaswa5819
@sarahwaswa5819 3 жыл бұрын
Amen amen
@evangelist_gaitani
@evangelist_gaitani 3 жыл бұрын
Asante yesu ndani ya sanbela
@eliyalucas2188
@eliyalucas2188 3 жыл бұрын
I thank God kwa hili neno. God bless you Pastor
@lispafulgence9983
@lispafulgence9983 3 жыл бұрын
Amen
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
AKI MNIOMBEE NINA MAADUI WAOVU KARIBU NAMI KUPITA MAELEZO.WAMEJIVISHA NGOZI YA KONDOO WAKATI NI MBWA MWITU.ASANTE YESU KWA KUWAFUNUA WAZIIII
@joycemaige6838
@joycemaige6838 3 жыл бұрын
Yani mimi Jana nilicheka hapo tu kwenye pazia 😂😂😂
@kakabaraka1058
@kakabaraka1058 3 жыл бұрын
hahaha
NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA (III) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:52
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Pastor Ropo Tusin - Embracing Your Salvation #1
42:44
RCCG Household of Faith
Рет қаралды 227
🔴 LIVE: Mapambazuko | 11 February 2025 | Pastor John Sembatwa.
Pastor John Sembatwa
Рет қаралды 139
NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
52:58
Reality of Christ Church
Рет қаралды 36 М.
ULIMWENGU WA ROHO NA UKWELI WAKE 1 - BIENVENU WANZIRE (Day16 prayer)
23:42
Bienvenu Wanzire TV
Рет қаралды 3,2 М.
JINSI YA KUANGUSHA NGOME ZA ADUI - Innocent Morris
1:25:50
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 9 М.
KUINUKA KWA ALIYE KUSUDIWA PT 2 | PASTOR SUNBELLA KYANDO
40:55
Reality of Christ Church
Рет қаралды 1 М.
SIRI ZA WACHAWI PART 5 - MANUIZO
1:51:25
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 49 М.
MADHABAHU INAPOJIBU - BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:34:36
Reality of Christ Church
Рет қаралды 14 М.