asalam alaikum, shehe wangu Allah akuhifadhi, kunakitu umekosea kidogo, kufunga mikono sio kufunga swala, ndio maana kuna dua baada ya kufunga mikono inayoitwa "DUAAUL--ISTIFTAHI" bali ukimaliza kutoa salamu mwisho kabisa, hapo ndio umefunga sala
@abdulwahidmsellem19982 жыл бұрын
😁hiyo itakua kufungua sala Ama othman sindoivo,hata mm hivo ndivo nnavojua kua kufunga mikono ama ucfunge lkn ile allahuakbar ni kufungua sala
@yusufumpepo58365 жыл бұрын
uko vizuri ongeza juhudi.
@zuwenamsuya1615 жыл бұрын
JazzakhaAllah kheir!!!!
@AdnanAli-hk6ny Жыл бұрын
na tuseme yy anaswalisha takes nan salam na mm raka mbili salam he naeza kumfwata
@AdnanAli-hk6ny Жыл бұрын
na je mm nko kwa madhhabu ya shafi na pia nkaenda p ahali nkapambana na imam ambaye madhhabu ya hanafi na anaswalisha witri tuseme je nkimfuata itakuwa sawa