Masha Allah nimeelewa vizur shekh Allah akupe kila lenye kher na afya njema akuepushe na kila baya insha'Allah 🙏 Amin ya'allab
@jumadarwesh60173 жыл бұрын
Allah atuwafikishe kufuata maagizo yake kwa uelewa
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Amen
@sesilialaga54037 ай бұрын
Jekama mume wangu anaumwa hajiwezi kufanya biashara anitolee tu aunijitolee
@mwanamisigulu24015 жыл бұрын
Shukran kwa kutuelimisha....Jazaaka Allah Kheir
@muniramohammad17883 жыл бұрын
Allah Barik
@rahmasalum71075 жыл бұрын
Mashallah shekh allah akupe kheri zako
@muniramohammed23283 жыл бұрын
Allah Barik🤲🏾
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Sio mtt mwanaharamu ni mtt wamnje ya ndoa
@khadijakasim2934 жыл бұрын
Mashaallah
@zaidumohd31254 жыл бұрын
Mashaullah
@MaryA-yf4cq6 жыл бұрын
MashaAllah sheikh. Jazaka ALLAH kheir hukubakisha maelezo matamu sana.
@rehemamsuya22636 жыл бұрын
Allah akulipe kwa mafunzo hayo
@SalamaAli-cv6uj7 ай бұрын
A'salam alykum warahmatullah shekhe mimi nauliza hii zakatulftr mke mwenye mumewr anaweza kujitolea na akamtolea na mumewe pamoja na wtoto ikiwa imefika wkati wa kutoa na mume ikawa hana..?
@IzudinAlwyDin7 ай бұрын
ndio anaweza lakini sio jukumu lake akijitolea yy mwenyewe na akammtolea mume wake atapata thawabu
@mwajumaabeidy81376 жыл бұрын
shukran sheikh.
@yunussmohammed67902 жыл бұрын
je inafaa kumpa zakkatul fitri asio kuwa muisilamu
@giftj4606 Жыл бұрын
Haifai
@alhabibhamis35996 жыл бұрын
shukran from TZ
@maryanahmed93076 жыл бұрын
Allah amlipe
@maryanahmed93076 жыл бұрын
Mashallah mzungu amlipe
@maryanahmed93076 жыл бұрын
Sio mzungu
@aishaomar43185 жыл бұрын
@@maryanahmed9307 😁
@happyarooun60376 жыл бұрын
samahani biashara ya m.pesa,tigopesa,airtellmoney je riba hii nayo ni haramu? please
@khadijajigge49174 жыл бұрын
Vipi kama mume yupo nyumbani hana kazi na mke ndiye anayelisha familia. Je jukumu la kutoa Zakatul fitri ni la nani?
@khadijakasim2934 жыл бұрын
Shehe kuna hii dawa ya pumu ya kupapu mdomoni nikitumia mchana wa ramadhani Swaum yangu inasuhi au
@nourmandhrynourmandhrh23594 жыл бұрын
Haifunguzi swaum mm pia natumia nimeulizia nikaambiwa haifunguzi
@abdulnabahan92452 жыл бұрын
Haiswihii kwa sababu kile kibofu cha pumu kina matone ya maji bc huvuja saum
@MaryA-yf4cq6 жыл бұрын
Je mtu ambae hafungi yafaa kutolewa zakatul fitri?
@aishaomar43185 жыл бұрын
Sheh mimi nipo uarabuni ni mke wamtu na wala hatujateta na mmewangu.vipi jukumu la kutoa zakkatul fitri nila mumewangu au vipi? Na sasa ni mwaka na nusu hanilishi yaani nalishwa hukuhuku ninakofanyakazi .naomba ufafanuzi nijue.
@abdulnabahan92452 жыл бұрын
Ikiwa bado mumeoana na mwaendeleaje mahusiano na mwaongea bc inamlazimu akutolee zakatul fitr hata kama unafanya kazi
@happyarooun60376 жыл бұрын
samahani biashara ya m.pesa,tigopesa,airtellmoney je riba hii nayo ni haramu? please