Namna ya kuzima moto wa Gesi kwenye mtungi mdogo, burner ikigoma kufunga - PART 1

  Рет қаралды 14,844

Ujue Moto

Ujue Moto

3 жыл бұрын

Burner inaweza kugoma kuzima hivyo njia hii itakusaidia kuondoa tatizo la moto kusambaa

Пікірлер: 13
@NimeryFaqihTheMixMaster
@NimeryFaqihTheMixMaster 3 жыл бұрын
Mimi ni mmoja ya wafuatiliaji sana WA KZbin katika angles tofauti tofauti pia Nami ni youtuber na content creator, endelea nahii content usiache maana ni very helpful, wengi tunamiliki hizi gesi hatuna elimu ya Moto na dharura, nimeipenda sana keep it up
@ujuemoto
@ujuemoto 3 жыл бұрын
Thank you.
@brendaosebe6949
@brendaosebe6949 Жыл бұрын
I wish ningekua nimeona hii mapema 😢roho iko mbali sana
@ujuemoto
@ujuemoto Жыл бұрын
Vipi ilishawahi kukutokea?
@zurfashafii9531
@zurfashafii9531 2 жыл бұрын
Asante sana kwa kutujuza maana ivi vimtungi vinasumbuwa sana apo pa kuwashia tena vikiwa vimejam da niatari sana
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Nilikuwa sijui kumbe huwa vinajam sasa njia ya kutumia gesi isiyo ya hatari ni ipi?
@otiliamamba8299
@otiliamamba8299 Жыл бұрын
Asanten maana mmenikomboa jaman leo nilikuwa nahis kufa kufa yaan uwiii bado natetemeka yaan maana lama sio kuingia kwenye hiii chanel basi ningeacha ges iishe uwiiiii😁
@ujuemoto
@ujuemoto Жыл бұрын
Pole sana na endelea kujifunza. Pia unaweza kujifunza INSTAGRAM na usisahau ku follow
@hamisikaisi461
@hamisikaisi461 2 жыл бұрын
Asante sana kwa maelekezo
@ujuemoto
@ujuemoto 2 жыл бұрын
KARIBU. SHARE NA WENGINE
@liiwaanmowliid9218
@liiwaanmowliid9218 2 жыл бұрын
Thanks
HOW TO FIX A LOSE KNOB OF A GAS CYLINDER BURNER
8:15
Sunshine Resources Srtv
Рет қаралды 20 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
Usalama Wa Matumizi Ya Gesi Majumbani
8:25
SIMU. Tv
Рет қаралды 21 М.
Mtungi  wa gesi umegoma kuzimika, nifanyeje??
3:01
Jaffar Mohammed
Рет қаралды 9 М.
Jinsi ya Kuzima Moto wa Gesi Jikoni - Part 1 ...MOTO/GESI
1:36
2 Plate Gas Stove Package
5:30
Gas Connect Zambia
Рет қаралды 14 М.
TAHADHARI MITUNGI YA GESI / MOTO AU MLIPUKO
4:43
Ujue Moto
Рет қаралды 819
WAJA NA UBUNIFU JIKO LA MKAA LITUMIALO UMEME
19:18
SERENGETI MEDIA CENTRE
Рет қаралды 3,6 М.
How to Build a Freeze Dryer
9:21
The Thought Emporium
Рет қаралды 868 М.
TAZAMA JIKO LA KISASA LA KUTOUCH - "HALIWAKI KAMA HAKUNA SUFURIA JIKONI"
13:42
JINSI YA KUZUIA ATHARI ZA MLIPUKO UTOKANAO NA GESI YA KUPIKIA
3:03
swahilitimes
Рет қаралды 1,1 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН