NAMPENDA MKE MWENZANGU / MME WANGU ANANIPATIA SANA / ZAMU HAZINIUMIZI KICHWA - DIDA

  Рет қаралды 255,979

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 298
@ElizabethKujerwa-qs3pl
@ElizabethKujerwa-qs3pl 6 күн бұрын
Mungu tunashukru umetukumbusha upo kupitia kifo cha didah pumzika didah we dada umeniuma😢😢😢
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 5 күн бұрын
Acha tu kpnz😢
@yusraally6732
@yusraally6732 3 жыл бұрын
Ongera sana dida umemweshimu sana mke mkubwa
@umfahad2609
@umfahad2609 3 жыл бұрын
Mtangazaji unajua kuongea kwa mapoz. Na kiswahili saafi na. Na una sauti nzuri kwa kweli. Nimekupenda saana. ❤️🇴🇲🇹🇿
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 3 жыл бұрын
Allah ampe uadilifu asiwe km Isihaka ,Dida ukimuheshumu mke makubwa nae atakuheshimu af nae awe muungwana
@channellechacha4177
@channellechacha4177 3 жыл бұрын
Dida sijawahi kukuona ila nakupenda sana ilo ujue kabisa from Burundi 🇧🇮🇧🇮💞💞💞💞
@mamuskamery45
@mamuskamery45 3 жыл бұрын
Ukty dida Allah akujaalie kila la kheri zidi kumpenda mke mwenzako
@venitarugemalila3971
@venitarugemalila3971 3 жыл бұрын
Kumbe ndio shemela safii dada Didaa endelea kutupa burudani ,mipasho
@zurekhahassan2390
@zurekhahassan2390 2 жыл бұрын
Pendezaaaaa sana dada Dida nakupenda
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Mungu watangulie iwe ya kher awaepushe na hasad umenihamasisha kuolewa aki subiri zawadi na kadi zay from Iraq
@sharifasalum532
@sharifasalum532 3 жыл бұрын
dida mungu Akujaalie uzae inshaallah ndoa baraka
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
kwani hana watoto
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Dida mzee
@chibakato1790
@chibakato1790 3 жыл бұрын
The man is very generous and he talks as a real man. Congrants Dada Dida kwakweli hapo sawa kabisa.
@zainachundo2999
@zainachundo2999 3 жыл бұрын
Kkokii Jujjjjjjy I also q8
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 3 жыл бұрын
Dida big up you are very wise ni vizuri kua na upedo na mke mwenza nimekupeda bure ❤️❤️❤️❤️
@faridaiddi104
@faridaiddi104 3 жыл бұрын
Dida umenoga mpenx ndoa nzuriii mashallah mungu awalinde
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 6 күн бұрын
Penzi jipya shikamoooo....muwe mnaeka akiba ya maneno
@shrefa123moosa7
@shrefa123moosa7 3 жыл бұрын
Mashaallah allah awadumishie ndoa yenu mnaenjoy kweli tunaomba muwe p1 na bi mkubwa jmn nae tumuone akiwa na furaha kama ya dida jmn🥰
@aishakatandula3124
@aishakatandula3124 3 жыл бұрын
Hongera dida shikamana na dada yako ambae ni bi mkubwa wako mpende ndio mtakapo dumu
@mariamnjama3963
@mariamnjama3963 3 жыл бұрын
Nice shemeg we sio ka kna isiak mavi ya wanaume ww n mume bora mungu awazd kuwaeka ktu moja as a family
@lizyjohn8654
@lizyjohn8654 3 жыл бұрын
Dida love you Mungu awazeeshe mkiwa na Upendo, amani, furaha n. k 😍😍😍
@mwanaally6735
@mwanaally6735 3 жыл бұрын
Hongera dida ukewenza ibada pendaneni na tofauti ipo sasa mmeoana mkila ubuyu thawabu
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
😂😂😂😂Dida bahna 😂😂😂Eti kwann aukuja mapema nimecheka sana honger sana dada angu dida
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 күн бұрын
Acha tu😅😅
@evasambila8529
@evasambila8529 3 жыл бұрын
Hongera xaana mpendwa Mweñyezi Mungu awajalie kwenye Ndoa yenu idumu na iwe na furaha, Faraja ya Moyo na Amani.
@mwanakendra
@mwanakendra 3 жыл бұрын
DIDA Hapa ni mpole sana Dha!
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 күн бұрын
😂😂
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 3 жыл бұрын
Allah akujaalia kila laheri katika ndoa yako nakupenda sana dada dida🙏🙏😘😘❤️❤️
@witinesalex2361
@witinesalex2361 3 жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu ninusuru na uke wenza 😭😭😭😭😭🙏🏻
@asmahamis4658
@asmahamis4658 3 жыл бұрын
Hahahah
@allymtungunyu2425
@allymtungunyu2425 3 жыл бұрын
Omba usipate mume mwema
@ashuraamani2671
@ashuraamani2671 3 жыл бұрын
Ongera mwenyez awasimamie bado stara nyingine dida ya mavaz tu kipenz bi khadija jina kubwa
@JescaSimika-t5f
@JescaSimika-t5f 7 күн бұрын
PUMZIKA KWA AMANI DIDA😭😭😭😭
@shadyambarukumunguatamfany6291
@shadyambarukumunguatamfany6291 3 жыл бұрын
mashaallaa mdogoangu dida dumu kweny ndoa yako
@opiyowilson3640
@opiyowilson3640 3 жыл бұрын
Asante Suma Kibonde na wewe kwa kuona hilo.Tenses ni tatizo kubwa sana kwa watu.(Simple past tense.)
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 3 жыл бұрын
Kumbe huyu Jamaa handsome doo yule mchukuaji na mpiga picha wa shughuli Mungu amrehemu sio kwa picha zile🤔🤔🤔🤔🙊🙊🤦
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Kishamrehemu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@halimauhuru3560
@halimauhuru3560 3 жыл бұрын
🤣🤣
@zajirungai606
@zajirungai606 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣😄🤣
@galary8688
@galary8688 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mishimzihir421
@mishimzihir421 3 жыл бұрын
Kwakwel kumbe mzur jomon
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Huyu babu haoni aibu au mbona km mzee Sana jamani dida kweli kasugua miaka7 🤣🤣🤣🤣kavumilia kwahiyo ukawa unamchiti mkeo waanawake stukeni mnaona hapa
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 3 жыл бұрын
Mungu awafanyie wepesi ktk ndoa yenu lkn Dida funika kuchwa nauanze kusali maan Mungu kashakustiri nawe sitrika.
@aishamshindo6504
@aishamshindo6504 3 жыл бұрын
Hongera mwa una mzarmo my wifiiii,
@salimjuma9834
@salimjuma9834 3 жыл бұрын
Kwahayo mungu akujarie kira ra kheri dida
@mamuskamery45
@mamuskamery45 3 жыл бұрын
Very good i like they way you talk dida
@jaquelineligundaklay8817
@jaquelineligundaklay8817 3 жыл бұрын
Mashallh hongera umekuwa dada
@faridangole3908
@faridangole3908 3 жыл бұрын
Mungu aibariki ndoa yenu dada
@king12839
@king12839 3 жыл бұрын
Nakutakia kila la heri Dida kwenye ndoa yako.
@shafiyaazri5164
@shafiyaazri5164 3 жыл бұрын
Je te souhaite ma chere Dida une vie heureuse !!!
@delishbby8542
@delishbby8542 3 жыл бұрын
Yaani diva sijawahi muelewa
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 3 күн бұрын
Daaaah kifo wewe kifoooo
@yagalbyyaayuni7247
@yagalbyyaayuni7247 3 жыл бұрын
Diva:how did you guys met?🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙌🙌🙌🤣🤣🤣 Ni Diva uyu sio mm niliyesema
@tibaijukaolevarez6257
@tibaijukaolevarez6257 3 жыл бұрын
Angetumia tu hicho kiswahili!!!
@yagalbyyaayuni7247
@yagalbyyaayuni7247 3 жыл бұрын
@@tibaijukaolevarez6257 aki tena
@paulebby1552
@paulebby1552 3 жыл бұрын
Did na met 😂😂😂 Mambo ya Nyakati
@yagalbyyaayuni7247
@yagalbyyaayuni7247 3 жыл бұрын
@@paulebby1552 hehehehe
@aishahaji3128
@aishahaji3128 3 жыл бұрын
Hapo Dida km umesema kweli uko swa usijeukafanya kumzuiya mumw asiende kwa mke mkubwa utakosea
@latypherngombo1022
@latypherngombo1022 3 жыл бұрын
Jamani 😃😃😃 nacheka kama mazuri mchepuko wa mume wangu ndiko anakoelekea uku kua mke mdogo mana anajulikana hadi upande wa familia ya mume wangu ngachoka mie 😂😂🙌
@fatmasaid1911
@fatmasaid1911 3 жыл бұрын
Mama usiwe Na presha kushear ni fashion !!!
@maridhiaabbas4027
@maridhiaabbas4027 3 жыл бұрын
Hahaaa mkaribishe tu
@faridakelenga2964
@faridakelenga2964 3 жыл бұрын
Aaah yn ww...we ni mke hata iweje my
@mwanamwinyimwakinalo177
@mwanamwinyimwakinalo177 3 жыл бұрын
Mashaallah Tabarakallah
@ashuraalli1561
@ashuraalli1561 3 жыл бұрын
Kumbe m, bondei dida 🤞🤞🤞😀😀😂, tanga raha Sana ni fully makhaba 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸... Hongera dadaangu mungu akueke kwny ndoa yako....
@henrychonya2514
@henrychonya2514 3 жыл бұрын
Hongera sana dida mtoto wa Mjumbe wa Ubungo NHC
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Imekuwaje sasa dada dida? si ulisema tutasubiri sana 😀😀
@abdulmachine4517
@abdulmachine4517 3 жыл бұрын
Katika wanawake wagumu kupatikana na wanaume ni wanawake wanaoongea sana dizaini ya kina dida.umdhaniavyo sivyo alivyo.dida wa prove long watanzania.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 күн бұрын
Duh aisee hii ndoa ilikaaga miezi 6 tu😢😢🙄🙄
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 3 күн бұрын
Walianza kuishi kabla ya ndoa. Walipooana tu likaingia dosari
@zurehyamauridyyhajjymsiga1667
@zurehyamauridyyhajjymsiga1667 3 жыл бұрын
Mashallah kila la kheri kwao
@rukiagembe988
@rukiagembe988 3 жыл бұрын
umependeza dada DIDA
@zainabmdasia444
@zainabmdasia444 3 жыл бұрын
Ndoa njema dada,wenye husda mtabaki na husda zenu,wewe hapo upo shosty
@ashulamusin9811
@ashulamusin9811 3 жыл бұрын
Wapi lukamba ameshindwa kuhendo ndoa yake na kumfanya MTT wake alelewe na shuu pekeake Honger dida mungu akulinde na mabaya
@emmysam1510
@emmysam1510 3 жыл бұрын
Mume wangu..means dat wako peke yako..sema mume wetu..maana mpo ngoma mbili..😅😅
@christinaagostino4257
@christinaagostino4257 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@fatmasaid1911
@fatmasaid1911 3 жыл бұрын
Kila Mtu analia mama angu
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 3 жыл бұрын
@@fatmasaid1911 umeonaee
@hamismabula5813
@hamismabula5813 3 жыл бұрын
Anataka ajimilikishe mwenyewe wakati ana-share 50%, hamsini zingine za mwenzake!!!
@allymtungunyu2425
@allymtungunyu2425 3 жыл бұрын
@@fatmasaid1911 nimekupenda sana kwa kauli yako cjui ulijuaje
@fatmabhinda3916
@fatmabhinda3916 3 жыл бұрын
Tatizo huwa hawaoi mpaka waanze kuweka nyumba ndogo
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 8 күн бұрын
Pumzika salama 😢
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
Ndio manake ndio za watu wengi hazidumu kwa kweli ni mtu aolewe tu bac alafu baada ya mda wanaachana
@raphaelkanoni3453
@raphaelkanoni3453 3 жыл бұрын
Dida ana meno meupe😊
@fatumayusufu1706
@fatumayusufu1706 3 жыл бұрын
Wengine huwa wanabandika
@reymaabintabdillah3727
@reymaabintabdillah3727 3 жыл бұрын
Laki 3 tuu kuyafanya yakawa meupe hiv
@zawadimasula6253
@zawadimasula6253 3 жыл бұрын
Mungu awalinde katika ndoa yenu
@hamismabula5813
@hamismabula5813 3 жыл бұрын
Sema mume wenu cyo mume wako maana mko zaidi ya mmoja!
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 3 жыл бұрын
mtu akilia halii mama yetu,, hulia mama angu
@hamismabula5813
@hamismabula5813 3 жыл бұрын
Ww hiyo ni lugha yako ya mzunguko kutaka kuonesha nilichokiandika cyo sahihi! Mie nimenyoosha kwenye mantiki. Mkiwa wawili na zaidi kwa mume mmoja huyo ni mume wenu. Km ni ww na yy tu, huyo ndo wako! Umoja-Wangu Wingi-Wetu Sasa kwa mume huyo wako wawili cyo mmoja!!! Kwa hiyo ni mume wao (maana wako 2/1, wachangia mume, ni mume wao, yy na mke-mwenza) sasa anajimilikishaje mwenyewe!!!
@fahimashamte1296
@fahimashamte1296 3 жыл бұрын
@@hamismabula5813 mbon mungu ni wetu sote na huwa unaseema mung wangu
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Tupe uzoefu naww mke wamtu au
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
@@fahimashamte1296 safiiiiii
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Hongera udugu wangu piga kelelee kwa wabondei wewe zay from Iraq
@zainabohus4903
@zainabohus4903 3 жыл бұрын
Hongoera sana dada dida kwa maneno mazuri
@chikumaulid6476
@chikumaulid6476 3 жыл бұрын
Safi Sana mashoga si ishu my nami naishi Kama wewe
@alimashabani2252
@alimashabani2252 3 жыл бұрын
Unainjoi ahahaaa mapenzi mubashara mwanzo muzuri nawatakiya kila laheri
@saadanassor2722
@saadanassor2722 3 жыл бұрын
Mashallah Allah awape masikizano ya kudumu mtegemee mungu Kila kitu kitakuwa sawa tu
@khadijamsoma7250
@khadijamsoma7250 3 жыл бұрын
Mashallah Dida
@babybaby8384
@babybaby8384 3 жыл бұрын
Allah aibariki zaidi ndoa yenu🥰
@yumnaaa4057
@yumnaaa4057 Жыл бұрын
Miwan ya diva sasa😁😁😁
@mwanahidimussa816
@mwanahidimussa816 3 жыл бұрын
Dida honger
@mtumishi6175
@mtumishi6175 3 жыл бұрын
Atafutwe mke mkubwa tumsikie naye tujifunze kitu
@stumaimussa5064
@stumaimussa5064 3 жыл бұрын
Jamani nampenda Sana dida
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Mke mkubwa Sasa siww au
@sirajially576
@sirajially576 Күн бұрын
How did you guys MATE 😂 wangejibu kama ilivyo mngesikia maajabu. How did you guys MEET?
@asmahamis4658
@asmahamis4658 3 жыл бұрын
Umechelewa mbaba anajilaum dida nazan kwamambo alikua hajayapata ndoanayapa saiv hahaha
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Tunakutakia kila la kheri kifo ndo kiwatenganishe sy kingn
@swaumujuma6333
@swaumujuma6333 3 жыл бұрын
Jamani mmesikia maneno ya dida sasa asheni maneno yenu yakusema wataachana tu🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmahussein1238
@fatmahussein1238 3 жыл бұрын
Allah aibariki ndoa yenu big up Dida
@انبنداملبن
@انبنداملبن 3 жыл бұрын
Mashaallah dowa raha
@salmasalim4023
@salmasalim4023 3 жыл бұрын
Tena haswa ikiwa bado changa. .....woyyooooo
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
wakichokana weeeeeeee
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
swali la kidini dada vizuri sana ulimuuliza
@janethjeston9821
@janethjeston9821 3 жыл бұрын
Nakupenda sana mungu azidi kuwatunza
@rehemabakar8800
@rehemabakar8800 3 жыл бұрын
Dida mm nakukubali usijali maneno ya watu kaa ktk ndoa yako
@rehemabakar8800
@rehemabakar8800 3 жыл бұрын
Ww siyo mwanzo kulewa mke wa pili kawaida usiposema atasemwa Nani binadam tulivo ss Allah akupe ndoa njem kizaz chema
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Ukiona wake wenza wamepatana ujue mume ndio kawaweka hivo.mume anajielewa na mume ni strong siompumbavu
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
kweli kabisa
@zenamadhan2517
@zenamadhan2517 3 жыл бұрын
Kabisa cio kama mume wa darl een
@jokhasalum6845
@jokhasalum6845 3 жыл бұрын
Fact didi
@rachelbahahazo6362
@rachelbahahazo6362 3 жыл бұрын
Kabisaaa at Mimi hapa natoka kwa mkemwenzangu kumtembelea na ananilelea mwanagu Kama wake
@kimsd2184
@kimsd2184 3 жыл бұрын
@@rachelbahahazo6362 Mungu awajalie masikizano ugomvi sio mzuri
@rahmasuleyman587
@rahmasuleyman587 3 жыл бұрын
Didah umefanana na mumeo mpka rahaaa 👌
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
🙂🙂🙂🙂
@arafaomari1832
@arafaomari1832 8 күн бұрын
Hii dunia hiii😮😮😮
@mrs2918
@mrs2918 3 жыл бұрын
ukewenza hakuutaka, mchepuko ndio ulimpendeza zaidi dah duniani kuna mashaka
@sillasmsenga1414
@sillasmsenga1414 3 жыл бұрын
Hayo yote ni.sababu ya pesa tuu hakuna kitu hapo. Sisi mmbwa kachoka wanawake wawili wavumiliane? Hapo watu wana vumilia kwa vile kuna mchuzi wa Caroti hakuna jipya.
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
hahaaaaa hatariiiiiiiiiiii sana
@salomelucas8518
@salomelucas8518 3 жыл бұрын
Kabisa kaka
@winfridajoseph6157
@winfridajoseph6157 3 жыл бұрын
Kaka dida anapesa mno
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
mmmmh kwa pesa gan hapo kafat pesa
@happinessalex611
@happinessalex611 3 жыл бұрын
Ongea tu kiswahili dada ang kizung ujuh
@Sofiasad9659
@Sofiasad9659 3 жыл бұрын
Tupe zetu mashamsham mama
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 3 жыл бұрын
Mansha Allah Dida na Mume wake ♥️♥️
@رحمهتنزانيا
@رحمهتنزانيا 3 жыл бұрын
Allah hawazidishie
@joycesichone4121
@joycesichone4121 3 жыл бұрын
How did you guys met.....diva mtafute shishi akupige English course,kingereza kimekuja na meli jamani Sio mwendo kasi.😁😁😁
@bettymassanja881
@bettymassanja881 3 жыл бұрын
Joyce Sichone, yaani naudhika sana na baadhi ya watu kuparamia lugha za watu na kisha wakaadhirisha taaluma, tena hadharani! Kwani mtu akiongea Kiswahili fasaha peke yake tu, hataeleweka?. Anyway, ushamba na ulimbukeni Jijini hapa, ndo tatizo kubwa. LOL.
@aishanaisiae5221
@aishanaisiae5221 3 жыл бұрын
Tena anavyo tweng utadhani anajua kiingereza fluently...🤣
@lwimboderick7479
@lwimboderick7479 3 жыл бұрын
Watu wanatazama makosa tu.. hatari sana.
@johariyahya7886
@johariyahya7886 3 жыл бұрын
Dida na mumewe wanafanana mtoto atatoka konk 😃
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
😄😄😄
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
😁😁😁
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
😅😅😅We kiboko duh Ase ni kweli kabisa
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Ndio
@Kidotii
@Kidotii 3 жыл бұрын
Dida nakupenda sana!
@Rennyanselim
@Rennyanselim 5 күн бұрын
Hiyu baba nae alikurupuka tu tamaa za wanaume bhana
@babalababalakinondoni2110
@babalababalakinondoni2110 3 жыл бұрын
Yaani Diva I really love you the way u are love it
@fatumamwinyi516
@fatumamwinyi516 3 жыл бұрын
Akija watatu utulie hivyo hivyo
@christinemerere6420
@christinemerere6420 3 жыл бұрын
😂😅🤣🤣hilo nalo neno mmh ukishakua wapili mmh
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 3 жыл бұрын
Siku wanawake wa kiislamu watakapo funguka macho na kupinga kutumiwa na wanaume kwa ngono itakua jambo kubwa kwao. Wanawake mjikwamue ili muache kuchezewa na wanaume kukidhi haja zao Ukeweza ni uchafu na unyanyasaji wa miili yenu Wamewaaminisha kwenye Imani ya dini ili kuendelea kuwatumia.
@adrianasylvester2847
@adrianasylvester2847 3 жыл бұрын
Dada Dida nakupenda sn, na ninakufrahiaa sn, ila naomba nikuombe k2 Dada yangu, cnamashaka naww ila naomba umheshim sn bimkubwa bac, nakupenda na nitapenda sn hili2 ulionyeshe kipenz❤️💕♥️
@tausimohamed460
@tausimohamed460 3 жыл бұрын
Dida dida maneno hayo unayatupa mdogo wangu
@maurineladasha9958
@maurineladasha9958 3 жыл бұрын
Unanifanya napenda ndoa mwenzi
@mamadiva9684
@mamadiva9684 3 жыл бұрын
Gosh! Huyu diva ana kizungu kibaya!? It is how did you guys meet not met! Huyu ndio diamond anamlipa msharaha mara tatu zaidi lol!
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Mladitu umeelewa
@sumakibonde5152
@sumakibonde5152 3 жыл бұрын
How did you guys met or meet, vizungu hivi watawakuta wenyewe 🙆‍♂️
@mwanakombosalim366
@mwanakombosalim366 3 жыл бұрын
Ni met kwasababu ni past tense
@sumakibonde5152
@sumakibonde5152 3 жыл бұрын
@@mwanakombosalim366 I know but then it can not go with did my dear okay
@joycesichone4121
@joycesichone4121 3 жыл бұрын
How did you meet,au how do you met.that goes this way.
@fadhilamohamed8304
@fadhilamohamed8304 3 жыл бұрын
@@mwanakombosalim366 n past ndio lakni asngesema how did u halafu akaongeza met....alitakiwa aseme how did u meet au kama angetaka hio met asngeweka did mwanzo...hio did tayr imeshaonesha n past sas met yann tena
@bettyruhaza2856
@bettyruhaza2856 3 жыл бұрын
How did u guys met? ❌ U can’t use did na met It’s How did u guys meet ?
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
kwenye kupenda dada c rais mume kuwapenda wote asilimia mia kwa mia hapo mmoja ndio anapendwa sana
@ashuraibrah744
@ashuraibrah744 3 жыл бұрын
Nikwel nshayapitia sn hyo mm
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
Hata waumin au mashekhe huwa wanasema huwezi kuwapenda wote hata wakiwa wanne anaependwa asilimia 100ni mmoja 2 wengin ili mradi
@estermathias8354
@estermathias8354 3 жыл бұрын
@@heyumi2340 Sasa mbona wanawaruhusu wake wengi sn
@mwanamwinyimwakinalo177
@mwanamwinyimwakinalo177 3 жыл бұрын
Kila mmoja atapendwa kulingana na tabia zake cha muhimu ni mume awe muadilifu akifeli hapo ndio moto wenda muhusu
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@estermathias8354 kidini din inaruhusu ila mwanaume kwenye kupenda hawezi kupenda wote asilimia mia mojawapo ndio anapendwa zaidi
@ashminhaabdulla70
@ashminhaabdulla70 3 жыл бұрын
Mmmh tumeyaona
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 жыл бұрын
Na we Diva tafuta mume uolewe, muda unaenda
@yunyun799
@yunyun799 3 жыл бұрын
😂😂😂
@Naju645
@Naju645 6 күн бұрын
Didah hapa kama sio mtu wabakora😢
MAZITO HAYA! DIDA AMJIBU EX WAKE ''SINA NDOA NAISHI MAISHA YANGU''
17:07
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 22 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Cook with Wema Sepetu - S05E05 Didah Shaibu
8:07
Wema Sepetu
Рет қаралды 143 М.
TAZAMA DIDAH ALIVYOINGIA KAMA MALIKIA KWENYE KIBAO KATA
10:39
DIDA DR KUMBUKA SIO MSHIKAJI WANGU MIMI NA YEYE ATUFANANI
7:43