EXCLUSIVE: CECCY WA LUKAMBA AFUNGUKA MAZITO JUU YA LUKAMBA NA MZUNGU WAKE ANAYETAKA KUMUOA

  Рет қаралды 33,214

Seven Media

Seven Media

Күн бұрын

#7MEDIA #SUBSCRIBE

Пікірлер: 124
@Mb0g0z
@Mb0g0z 3 күн бұрын
Yan wasichana mjifunze,sio kukimbilia ndoa na vi marioooooo 😅😅😅😅 jitafuteni kwanza,goooo girl🎉
@Binastlysh
@Binastlysh Күн бұрын
Interview nzuri sana kaka hujaweka uchawa kama wa MWIJAKU Umewakilisha MEDIA YAKO VYEMA SANA
@HamisiNgua
@HamisiNgua 3 күн бұрын
Nakubali B levo bro ukitoka ugaibuni njoo kenya bro kwa churchill
@dn.n4983
@dn.n4983 2 күн бұрын
Big up hongera mbarikiwe unajitahidi sana
@janethmutoka
@janethmutoka 3 күн бұрын
😝😝😝baba levoo…YES BROOO ONE TIME😂😂😂😂ila mtoto wa rukuga jmn
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 3 күн бұрын
Daaaaah sema Baba Levo inazingua sana ety ni kepesi 😂😂😂😂😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 күн бұрын
🤣🤣🤣Acha tu
@AngelAfric
@AngelAfric 20 сағат бұрын
😂😂😂
@umelamedia
@umelamedia 19 сағат бұрын
I like it Baba Levo umetisha sana 🔥
@josephgatunzi1670
@josephgatunzi1670 Күн бұрын
Good job brother Msarimie Ceccy❤
@blacksingapore
@blacksingapore 2 күн бұрын
Kuhusu kupata bwana wa kizungu na anamlipia bills hapo katupiga, sisi wana New Yorkers tunajua mfumo wa maisha😂😂
@shubianan
@shubianan Күн бұрын
Anadanganya watanzania alipiwe bill everything then anataka freedom 😅na huyo mxungu wa kulipa bill zote sina uhakika
@shabansued
@shabansued 2 күн бұрын
Camera bado kaka ..we need HD
@Wish_Tv
@Wish_Tv 3 сағат бұрын
Ila Baba levo Ni mnafiki wa kukupa ukweli ety mbaba Mzungu 😂😂😂
@SaidTsuma-je8dv
@SaidTsuma-je8dv 3 күн бұрын
baba levo uko ft sana bro,,
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 күн бұрын
Hee kumbe ujanja tuu elimu hamna Baba Levo
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 2 күн бұрын
Baba levo yuko vizuri haropoki ropoki hovyo kama mwijaku wala kuvaa viatu vya ndani nje yaani navaa kisanii mwijaku alikuwa kishamba sana na ulimbukeni mwingi na vyeti vyake kichwani. Mwijaku badirika unatuchosha
@Melissashiner
@Melissashiner 2 күн бұрын
😂😂 love you much ceccy
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 күн бұрын
Nionganisheni name na uyo said ware natamani kuja oko marekani ninahuwishi jmn bro baba love
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 17 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Zenny89
@Zenny89 2 күн бұрын
Dada kaishi marekani mwaka mmoja kingereza kingiiii..Watu tupo huku mwaka wa 20 na ni maraia tunapiga kiswahili kama tupo buza🤣
@minaeli5989
@minaeli5989 2 күн бұрын
Ukipiga wee kiswahili inatosha mnakuwaga na wivu nyie visibi kisa mko muda mrefu mnatakaga kunyenuekewa mwache cesi wetu kaa na kiswahili chako
@susancharles1660
@susancharles1660 2 күн бұрын
Kweli kabisa haswa unapokutana na mm bongo mwenzako
@Zenny89
@Zenny89 2 күн бұрын
@@minaeli5989 nenda kakojoe kalale wewe..mngejua huyo cesi wenu anavyowachota kwa uwongo🤣🤣
@Zenny89
@Zenny89 2 күн бұрын
@@minaeli5989 sasa Mimi wivu utanisaidia nini🤣..Huyo Cesi wenu mnaetegemea hapo kawadanganya..mwenzenu kazamia..akikamatwa na Polisi tu anarudishwa bongo na mfuko wa Rambo Ndo nimuonee wivu🤣🤣..dada kakojoe ukalale tuu Sababu hujui unachoongea. Nakama namuonea wivu Kama unavyosema.. ningewapigia simu wahamia na kumreport Mbona rahisi sana🤣🤣
@ashaali7154
@ashaali7154 2 күн бұрын
Huyu hata alipokuwa bongo alikuwa hivyohivyo anajifanya mzungu kiingereza kibovu kiswahili kibovu daah mtihani mkubwa huu.
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 күн бұрын
Baba Levo acha hizo Sio wenye vipara wote niwazee 😄 wapo vijana wanavi para lkn nima handsome kinoma
@ashaali7154
@ashaali7154 2 күн бұрын
Huyu kivuruge nae alimrubuni Lukamba akaacha mke kwa vishindo sasa kamuacha solemba acha wanaume yawakute sasa anafanya umalaya Marekani kamuacha anasota Bongo hovyoooo.
@robertphilip385
@robertphilip385 Күн бұрын
Wivu utakuua
@AnnamichaelVictor
@AnnamichaelVictor 2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 Hennessy na coca
@annamussa185
@annamussa185 Күн бұрын
Basi tufupishe mambo,Nguzo ni lukamba😂
@dorothymalambughi212
@dorothymalambughi212 Күн бұрын
😂😂😂😂😂 umepajuaje hapa kama sio kutafuta mabwana 😂😂😂😂😂
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 2 күн бұрын
Weee mwaka moja kizungu ya mapua 😂😂😂😂
@minaeli5989
@minaeli5989 2 күн бұрын
Kwahiyo asiseme kizunguuu sweet wabongo mnamaneno
@BenMamadou-w9e
@BenMamadou-w9e 3 күн бұрын
Maliza yupo na kartasi zakuishi hapa USA 🇺🇸 ao wamemrangua kwa wanaume
@Platformshow257
@Platformshow257 3 күн бұрын
mtu wakujimimina😂😂😂😂😂 14:22
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 2 күн бұрын
Hiyo n miguu au spoko😂😂😂
@godsonrwegasira4414
@godsonrwegasira4414 Күн бұрын
Eitima ne ekitwe manina!!
@CalliamKayechikwindi
@CalliamKayechikwindi 4 сағат бұрын
Yep bill itakuwa kubwa
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 3 күн бұрын
Bab p ukirudi uniletee zawad ya ya sim,at mbovu😂 4:04 7midia
@jtheophil5499
@jtheophil5499 2 күн бұрын
Hata kama karatasi anazo hakunaga uraia wa mwaka USA.Kwanza hapa USA kujihita raia wakati sio ni kosa la jinai kubwa.Kabla ya kuongea uwe unatuliza kichwa.Anyway all the best.
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 күн бұрын
FACT. She is lying
@universenurity776
@universenurity776 3 күн бұрын
Tunasubiri interview ya Roma Mtakoliki
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 3 күн бұрын
Baba levo mtu wa maana kabisaa😂😂
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 күн бұрын
" Umeniforo"😊
@lovirinaa
@lovirinaa 2 күн бұрын
😂😂
@GodfreyLudovick
@GodfreyLudovick 16 сағат бұрын
Hapo kidimbwi siyo USA
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Күн бұрын
😂😂😂 Baba levo eti ungepigwa Marekan mbwa wewee
@SelemaniAmiry
@SelemaniAmiry 3 күн бұрын
B fund majumbs❤❤❤
@silasila3111
@silasila3111 3 күн бұрын
Baba p ilo pesi niletee😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 күн бұрын
😅😅😅😅
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 2 күн бұрын
Ukiwekewa maiki uongoee unalopoka tu,,,umeona ugumu wa kushika maiki we tumbo
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 2 күн бұрын
Kila la kheri cecy
@BenMamadou-w9e
@BenMamadou-w9e 3 күн бұрын
Kazi za USA hadi uwe na kartasi kisha yakuchunga waze unaisomea kwanza sio kazi ya kila mtu duh 🙄
@ChoroTesla
@ChoroTesla 3 күн бұрын
Wenzetu wanaheshimu professionals
@ashaali7154
@ashaali7154 2 күн бұрын
Huyu ni mshamba tu anatukana aliowakuta kujifanya yeye bora sana eti modelling my foot. Pumbavu.
@gracewairimu800
@gracewairimu800 Күн бұрын
Yani babalevo mshenzi Sana eti kashazagamuliwa😂
@soudytv7471
@soudytv7471 3 күн бұрын
Ni kepesi😂😂
@MumbuaMuindi
@MumbuaMuindi 5 сағат бұрын
😂😂😅oweeeee interview gani hii ata dem hapewi time akajieleza 😬sema mwanaume wa mahaibu 🤭oooh God !!!dem yuko na points na lakini mwanume eish !!!fala mangaaa
@EliaMwambene-t8h
@EliaMwambene-t8h 2 күн бұрын
Umempiga mwijaku na ki2 kizito sijawai kuona B.❤❤❤❤ levo
@ZuberiMamboleo
@ZuberiMamboleo 3 күн бұрын
Nikepesi 😂
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 күн бұрын
Quality ya video mbayaa umeshindwa hata kutumia good mobile 🤳
@TefleKoja-p9c
@TefleKoja-p9c 2 күн бұрын
Bibi yake p didi akusubiri😂😂😂
@dinakipingo1905
@dinakipingo1905 2 күн бұрын
😂😂😂😂baba levo
@iambaizo
@iambaizo Күн бұрын
Acha kudharau " Elderly care" kwa watu wengine ni part time job na inawatoa especially kipnd hichi inflation kwa marakeni ipo juu na kuvunga eti " modelling" mara fashion ndo kazi unafanya mara hufanyi kazi za kulea wazee wakati modeling is fancy way of saying your a "whore" yaani uishi NY kwa modeling bila support ya mtu utaishia kuuza nudes OF .
@samchris1914
@samchris1914 3 күн бұрын
😂😂😂 mazitooo
@Baira240
@Baira240 2 күн бұрын
Camera gani hii ya tecno au😂😢😢
@googleus4903
@googleus4903 2 күн бұрын
Kwani Manhattan sio New York😁😃😃🥲
@MumbuaMuindi
@MumbuaMuindi 5 сағат бұрын
My goodness eti umepata boyfriend uliza vitu za maana eish uko na ufala wa hali ya juu una irritate very much
@Robinson24560
@Robinson24560 3 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 be levo ba fundi majumba anapunga upepo wa USA sio mchezo
@zahra5267
@zahra5267 2 күн бұрын
Cessy hebu jufundishe kutofautisha wapi unapronounce R wapi L...
@Yummycuisine269_230
@Yummycuisine269_230 3 күн бұрын
Et ALhem 😂😂😂
@JaneBuluba
@JaneBuluba Күн бұрын
Kwanini Huyu baba Anapenda kuita watu Mbwa!!! ?😢😢
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Күн бұрын
Kwa kigoma mbwa ni kawaida
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 Күн бұрын
Kwa kuwa nae ni mb.a😂
@Lulualshagri
@Lulualshagri 2 күн бұрын
Pombe kali ukichanganya na coke unatengeneza sumu wazungu wenyewe hawachanganyi pombe kali na coke ni hatari sana
@shubianan
@shubianan Күн бұрын
Kwa hiyo wasafi wamemtuma na huyu marekani 🇺🇸 kama mwijaku 😅😅😅😅😅
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Күн бұрын
Tizama logo ya mic acha unafiki na wewe
@carlyboytz
@carlyboytz 2 күн бұрын
🤓🤓🤓😂😂 muelekeze
@cmsa1r
@cmsa1r Күн бұрын
😂
@SelemaniAmiry
@SelemaniAmiry 3 күн бұрын
Ni kepesi 😅😅
@Bisekoson
@Bisekoson Күн бұрын
Kama anatuibia vile!?? $250/night!??? Mhhhh haya bana pengine wengine kwa vile hawaelewi. Hivi kwanini wabongo wanadharau kazi ya kulea wazee as if ni kazi mbaya. Shwain sana wewe, ile ni kazi kama kazi nyingine, na kuna watu wamefanikiwa kupitia hizo kazi. Acha dharau panzi ww. Hicho ndio kinachotuponza watanzania wengine kudharau kazi, ndio maana watu wanaamua kukaa na vyeti vyao wakiogopa kufanya kazi za chini sababu jamii itawadharau. Kwa wale msiofaham hiyo kazi ya kutunza wazee, huwezi kufika na kuanza tu, unasomea, unafanya mtihani ukifaulu ndio unatuhusiwa kufanya sio kufika na kufanya tu. Wewe dada cha dharau. We endelea kufugwa na mzee wako, na hauna makaratasi mbuzi wewe.
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jtheophil5499
@jtheophil5499 2 күн бұрын
Hata hiyo modeling kwa wengine ni changamoto pia.Kutembea kama sanamu mchezo .?tujifunze kuheshimu kazi za watu wengine.
@agapemunyi2095
@agapemunyi2095 Күн бұрын
Et mbio kwenye maji
@Gloria-vh5bz
@Gloria-vh5bz 3 күн бұрын
Tumiguu na tupaja hata km modeling hapana kwakweli😂
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 күн бұрын
Wanakera sana kazi kukaa uchi tu vipaja kama vya ndege 😏
@janetharris7509
@janetharris7509 2 күн бұрын
KAKOKOTWAAA NA JIBABAA 😅😅😅😅😅 DUBAI ILIKUWA UVUVI KISHA VUA SAMAKI USA 🇺🇸 WELDONE
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 3 күн бұрын
😂😂😂baba jmn
@johanjoha5262
@johanjoha5262 2 күн бұрын
Ninyoko
@BenMamadou-w9e
@BenMamadou-w9e 3 күн бұрын
New Jersey inabanana na New York so Harlem and Manhattan ni New York aashe ushamba mimi naishi Queens Jamaica 🇯🇲 ni New York City na New York iko na miji mingi mbona Queens aijui wala Bronx
@ChoroTesla
@ChoroTesla 3 күн бұрын
Huyo Manzi yuko kiwanja sidhan km ana miaka zaid ya mitatu so kawaida tu manake sio mwenyeji sana ila hajakosea yuko sawa tusipende kukosoana kwa bit vidogo tu kumbuka alikua anafanya modeling dubai
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 3 күн бұрын
Kwanza kwa nini tupende kukosoana kwa vitu vidogo vidogo kwani yeye kaenda kujifunza miji kule yeye kaenda kwenye fighting zake wewe ndio mshamba ulioenda kuijua miji
@kazigembeleke5958
@kazigembeleke5958 2 күн бұрын
Little Italy, China Town na Bowery
@xyz-v6d
@xyz-v6d 2 күн бұрын
Acha ushamba hapa tu dar mtu anakaa mbagala hapajui kigamboni au masaki sembuse ney York.Au ulitaja nafasi ya kusema nawe upo huko
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Күн бұрын
​@@xyz-v6dkabisa mliman city mtu kazaliw bongo na hapajui
@ashaali7154
@ashaali7154 2 күн бұрын
Eti lilax lilax ndio nini hicho.
@josephlorri431
@josephlorri431 Күн бұрын
Hahaha..relax relax
@TefleKoja-p9c
@TefleKoja-p9c 2 күн бұрын
Nanda kwa bibi yake pi didi
@Zainab_salat
@Zainab_salat 2 күн бұрын
Ninasikia anauza k ni kweli au
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 2 күн бұрын
Kama Unamuonea Wivu...Nenda na Wewe
@josephlorri431
@josephlorri431 Күн бұрын
Kauze na yako.. tuache roho mbaya
@Zainab_salat
@Zainab_salat Күн бұрын
Mbona wanaume mnapanic🤣🤣🤣🤣🤣
@josephlorri431
@josephlorri431 Күн бұрын
@@Zainab_salat wanawake kweli hampendani.. sisi ndo wateja wa k..
@seifsaidseifsaid1210
@seifsaidseifsaid1210 Күн бұрын
Kamekaukiana km kuti kavu
@hawaalawi272
@hawaalawi272 21 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@noswingofficial9624
@noswingofficial9624 3 күн бұрын
Mchokozi
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 3 күн бұрын
B. Levo tatizo zako na Mwijako ukirudi bongo ziishe sumeona watu uku nginsi wanaeshi bila nongo eti umemwambiya Lukuga amfukuze Mwijako neno Kama ilo na unatumika watu sio poa Diamond anaona kila kitu Mwijako anafanya wala abimsumbuwi
@nashnene6326
@nashnene6326 3 күн бұрын
Mwijako alijipa uMungu na kusema blevo hawezi kwenda Marekani, tutaanzia alipoishia
@MatonyaDaniel-u8w
@MatonyaDaniel-u8w 3 күн бұрын
😂😂 cecy eti kapesi
@ashaali7154
@ashaali7154 2 күн бұрын
Kiswahili kibovu. Ati brother au bwana. Danganya wajinga wewe
@ZuberiMamboleo
@ZuberiMamboleo 3 күн бұрын
Nikepesi 😂
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 11 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 25 МЛН
Ilwad Elman | Fostering Hope and Peace in Somalia
32:34
Love Does
Рет қаралды 2,7 М.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
CLAM VEVO
Рет қаралды 624 М.
Abigail & Afronitaaa VS Ghetto Kids - Who Wins?
26:27
Top 10 Talent
Рет қаралды 400 М.
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 30 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 11 МЛН