Dah umenikumbusha mbali sana miaka ya 79 nikiwa msichana
@amrijuma85973 ай бұрын
Nam kumbuka sana babangu kwa nyimbo hii kongwe.
@singoeienterprises2127 Жыл бұрын
Hapa nakumbuka mwaka wa 2000 pale SISI KWA SISI (Mwajabu) Mombasa. Mamangu Jacinta mola akulaze mahapema penye wema... Changamwe primary class of 2004
@abdifatahabdillahi10063 ай бұрын
❤😂 nawanyamaze kabisa
@halimalachpat1927 Жыл бұрын
Dah naukumbuka wimbo nikiwa msichana una mashairi mazuri sana
@halimalachpat1927 Жыл бұрын
Juma bhallo umeimba nyimbo zenye mafunzo
@hamisally9255 Жыл бұрын
Kwili nyimbo za mafundisho
@lyntonalyna58982 ай бұрын
kumbukumbu za pwani nikiwa pale. wimbo ulio na mafunfisho.
@adinanhashim3630 Жыл бұрын
Huu wimbo nimekumbuka miaka ya 86 kipind hicho nasoma darasa la 4 shule moja ipo Tanga maeneo ya pangani kipind hicho shida tupu kula mlo mmoja kwa siku daah hatar
@nafisaabdallahmohamed4 ай бұрын
Sawa to mmkoma😅
@JacobScouss7 ай бұрын
🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲 Macha Alllah
@hamisally9255 Жыл бұрын
Hongera sana
@MamaSaida-si6bu Жыл бұрын
Umenikumbusha mbali 😪😓
@FreddyHailu6 ай бұрын
Unanipeleka Tudor ,85'.
@NanaAhmed-jc8hd Жыл бұрын
umenikumbusha mbali
@JumaAli-h6g Жыл бұрын
Ina maonyo kwa wambea ni dhahir hawashughliki na yao
@SaidiHango2 ай бұрын
Nondo za kale kiswahili faswaha
@salumbaa7378 Жыл бұрын
time za asbh kule zanzibar unawaamshwa wende madrasa halafu radioni unamskia juma bhalo😂😂😂
@zuhurakhalfan663 Жыл бұрын
Yani moyo umeukonga
@Shafiihabau768 ай бұрын
❤
@MamaSaida-si6bu Жыл бұрын
UMETISHA
@ahmoha7067 ай бұрын
Mtu akitaka sema kwanza hutizama lake akazunguka na nyuma kutizama yalo kwake hainuki kusimama kutangaza ya wenzake........ hapo chacha