Tumepiga Story na NANDY ```````````````````````````````````````````````````` Facebook Page @chazymedia instagram @chazymedia Tiktok @chazymedia ``````````````````````````````````````````````````````````````
Пікірлер: 11
@susannmoses477318 күн бұрын
Aunty anafaa kuekwa vizuri...anatupikia,analinda watoto,nyumba na zaidi anasaidia mambo mengi nyumbani.Ila sio ety avalishwe uchi ndio mjue anapendwa,anapaswa kuekwa kama moja wapo ya wanafamilia.Awe na nguo nzuri na zaidi ziwe za HESHIMA.Akiwa amenyoa ni bora zaidi ili apate mda mzuri kufanya kazi zake,na sio ety kusuka kunu ubaya.Ila tujifunze kumind our businesses.Nandy keep it BLAZING❤❤❤❤.Dada Pili Umedamshi❤❤😍
@bellazara644810 күн бұрын
Paula na kajala 😂😂😂 watajee tuu
@user-we3ww4nn2f15 күн бұрын
Mnajifanya wazur kwa sura kumbe ndani ni wachafu 2😂😂😂😂😂😂😂😂😊
@user-we3ww4nn2f15 күн бұрын
Tena wewe nandy mshenz sana et mnataka kushindana na paula mtoto wa 2000 wewe na fayma tena mkomee
@user-ie5on4xy9o18 күн бұрын
Pil point huna bandy kichwa bana ameongea point sana
@SarahManyama18 күн бұрын
❤❤❤❤ love u guys
@dianaonesmo695118 күн бұрын
Ila pili ana vituko jmn,ety mtangaji kaja na bus la saa saba
@sunnadia183018 күн бұрын
❤❤❤❤
@user-pu6pr5jt4n18 күн бұрын
Mhm uyo glad ndo nn kumjbu ivo muandshi.unajikuta kumpata mhindi hindi.la kariakoo umepataaaa.kwa taarifa yko tu.wahindi wanaoana wemyewe kwa wemyewe huenda hapo unachunwa au hata unachuna chuna bila majigambo utakuja lia niko hapa.😂😂😂😂😂
@SweetnessMlay18 күн бұрын
Mbn umeongea kwa machungu sana 😂😂 kula ushibe ulale
@user-ii7iz6uf2i17 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂kabisa watu wana majungu wakatiii anawaelewesha @@SweetnessMlay