RAISI WETU MPENDWA AMEFAFANUA CHAZO CHA MAANDANO NGORONGORO HAIKUA NA NIA MBAYA KWA KUSEMA HAYA ILA KWA UPENDO TU SASA AMETRNGUA HII KAULI ILI MUENDELEE KUISHI NGORONGORO
Пікірлер: 218
@LeitherAbrathifu15 күн бұрын
Ushindwe kw jina la yesu
@George-jz3jg4 ай бұрын
We mama kwakweli hautufai kabisa sisi watanzania
@ShabaniBakari-p4r4 ай бұрын
Hapo nimeelewa sasa kumbe kulikuwepo makubaliano kabla,na baada ya makubaliano kukeukwa ndo serekali ikaamua kufanya jambo lake kama serekali,kwaiyo mama Samia na serekali yake wakaona utalii(au pesa)ni bora zaidi kuliko uwepo wa watu pale Ngorongoro daaah niatari sana.[ ama kweli pesa sabuni ya roho 😂😂]
@uwezawamungumkuu.amaniafrika4 ай бұрын
Acha tumwachie Mungu mtetezi wa haki. Amen.
@FadhiliMwaitete-ls2li4 ай бұрын
Kumbeee kweli mama Samia ndiyo chanzoo Cha kuwafukuza wamasai na kuwaleta warabu hili unalo sema kuwa ngorongoro baybay alilianzisha huyu mama ili alete warabu mmemsikia hapob
@Fatma-up9qs3 ай бұрын
Kwani waarabu ndio watalii ? Si wazungu ndio wengi watalii. Acheni kuzungumza utumbo nyie.
@WiliamSamanirai3 ай бұрын
Kumbe wewe ndio Simba ya ngarongoro
@NdondoSimbaJr3 ай бұрын
Fatumaaaaaa😢
@NAFTALIMUNDANGA4 ай бұрын
Sawa Mama wacha Ngorongoro isewe tena kituo cha utalii. Maisha ya watu wetu yana maana sana kuliko PESA. Hatuwezi wauwa watu (Watanzania) kwa lengo la kutafuta pesa.
@charlesolomi95144 ай бұрын
Watu wengine msipewe uhuru wa mawazo🚮🚮
@YohanaKuyato4 ай бұрын
Bora hiyo baibai kuliko watu wetu wawe displaced😂
@gabrieljohn64224 ай бұрын
Kwani hakuna Aridhi kwingine?
@gabrieljohn64224 ай бұрын
@@YohanaKuyatohii nchi ina Aridhi nyingi tu ambazo sio hifadhi, wapelekwe huko tu.
@uziasinkamba73803 ай бұрын
Embu tuwe na msimamo kama taifa ,ngorongoro kama miongoni mwa vyanzo vya mapato eneo lsiluhusiwe kuendelea vamiwa aridhi iliyowazi tz ni kubwa sana. sana.
@abdulisike3 ай бұрын
Nini!!!! Akili. Bila hivo ni ngumu every day we will continue to cry
@frankmollel85104 ай бұрын
Ngorongongoro is not enough to be ngorongongoro without Maasai
@ObediMelita4 ай бұрын
😭 Ngorongoro ni ya wamasai kauze Zanzibar
@MashakaMagesa4 ай бұрын
Mama Watu wanazaliana
@OS-pf6op3 ай бұрын
Watanukie nje, nasema nje! Damn kuzaliana
@FundiwaTikTok3 ай бұрын
Mungu wasikuhizi amevaa kaptula subili utaona
@MariaMgeni-r7d4 ай бұрын
Wape tu hao ndugu zako waarabu
@user133754 ай бұрын
Mkataba gani mliingia😮😮😮😮
@laurencemwanga64413 ай бұрын
Tuwaache ni wa chache sana. Uhuru wa kuishi
@HijaSaid-xd7fg4 ай бұрын
Maoni yangu, kati ya wanyama na watu nani avunwe, maana wote wameongezeka
@EnenendoipoLaizer4 ай бұрын
Amin mama apo umetutendeya aki jmn na pia wewe mungu akusamehee kidonga mungu atume abiraim na sekieli akushukuwe
@HusnaIbrahim-d1b3 ай бұрын
Acha ujinga wewe watu na wanyama bora lipi
@fahamimiraji23383 ай бұрын
We yafaa ujierew
@StevenMasunga-fd7xf3 ай бұрын
Hutufai
@jedidahbintidaudi82413 ай бұрын
mmmh sasa nimeelewa. haya mama. ILa Samia jmni mrembo, shida ananenepa mashavu mama jmni..umrembo kweli2 binti Samia wa Suluhu
@hassankidilikia55663 ай бұрын
Ngorongoro wana huza Tanzania
@laurencemwanga64413 ай бұрын
Acha wazaliane
@Ezekiel-w6m3 ай бұрын
Rais wetu kua na hofu ya Mungu Wamasai nao ni watu
@jonathankessy96154 ай бұрын
Welcome UAE in Tanzania
@tumainimayala81874 ай бұрын
@@jonathankessy9615 🤯
@hassanthabit37263 ай бұрын
Ardhi ni ya serikari hao wamasai ni kuwawekea utaratibu mzuri wa kuwapunguza. Lakini uifadhi wa ngorongoro ubaki. Mm kasema maamuzi ni yetu
@KalangsaitotiSaitoti3 ай бұрын
Duu! Mmuona hana huruma anadhamin wanyama kuliko uhai y mtu mpen pole sana huyo ni mama
@fadhilisawe4344 ай бұрын
Mama hawa wasaidizi wako ngoja niwape akili: 1. Weka mpaka kati ya maeneo ya watu na hifadhi 2. Chora ramani kama za mipango miji wanakoishi watu 3. Gawa viwanja kwani kuna watu wanamiliki maeneo makubwa wasikuwa na kazi nayo. 4. Watu walipe kodi ya ardhi. Unaweza kuongeza watu ngorongoro badala ya kupunguza na bado wasiende walipo wanyama 4. Mwenye kujenga ghorofa aruhusiwe mwenye nyumba ndogo ya tope pia aruhusiwe. Namaanisha wagawane maeneo wanayoishi bila kuongeza mipaka. Sijui mama unasoma hii...
Ngorongiro bye bye duuu huy mama jaman😢😢😢 nyumba bila mwanaume haieshimik
@ClarenceHilaly3 ай бұрын
Zanzibar wakati inapata uhuru ilkuwa na wtu laki tatu na sass ni million moja na nusu nao wahahamishiwe omani
@BakarYusuph3 ай бұрын
OK mama
@uwezawamungumkuu.amaniafrika4 ай бұрын
Maoteli je yanayo jenga kila wakati?. Mama waache watu kwenye maeneo yao ya asili. Wekeni namna njema ya maisha ya watu na wanyama siyo kuwaona awana haki ya kuishi. Mimi namwamini Mmoja tu naye ndiyo Mungu mkuu aonaye yote na ipo siku moja atatoa hukumu ya haki kwa wote wanaowasumbua na kuwangaisha Wamaasai. Amen.
@martinkisha63074 ай бұрын
Shida tunayoiona ni warabu kuwa kama makao yao ukweli warabu ni tatizo
@rayisadesigns26464 ай бұрын
Hicho ni kisingizio kisichokuwa na maana... unaambiwa ukitaka kumuuwa paka mpe jina baya.... na hicho ndicho kinachofanyika kwa wasiolitakia mema taifa hili.
@mkude4 ай бұрын
Nyinyi mnaowataja waraabu mmejawa na chuki na roho mbaya,mnawachukia waraabu bila sababu.hakuna mwarabu yoyote anaepewa ngorongoro.seriki inajutajidi kulinda hifadhi ya wanyama ili kusiwe na muingiliano na watu kuongezeka.mnaongea utumbo mliodanganywa na wansiasa
@sylvestercameo62634 ай бұрын
@@mkudeSi kwa chuki ya waarabu bali ni kwa wageni kumilikishwa urithi wa Taifa hili. Tumeishajifunza kichofanyika Loliondo kumilikishwa kwa United Arab Emirates kina maudhui hayo hayo kwa Ngorongoro!
@mkude4 ай бұрын
@@sylvestercameo6263 sasa ya ngorongoro hamulikishwi mtu huo ni uongo na uzushwi kusema anaepewa mwekezaji,serikali inataka ilinde hifadhi ya ngorongoro baada ya kuona wamasai wanaongezeka miaka ijayo itakuwa sio tena national park bila kuchukua hatua itakuwa makazi ya watu
@BarakaLonare4 ай бұрын
😢😢😢😢
@JumaKamasa-kl6pz2 ай бұрын
Umbona namung'unya maneno
@babalao9104 ай бұрын
Kwani huo utalii ni Kwa ajili ya kina nani? Sio wananchi?.Au Kwa ajili ya wazungu
@DaimaNyakunga-jb6do3 ай бұрын
Haiwezekani wamasai kuhama haiwezekani heli ufutwe
@paschalpaul38623 ай бұрын
Elimu ya kuzaliana itolewe na pia uhamiaji wa wamasai kutoka kenya na sehemu nyingine ndiyo tatizo la ngorongo
@thedriver.michael.39754 ай бұрын
This is pure politiq
@menaurukivuyo67964 ай бұрын
Mama wetu tunakulewa sana ila kumbuka uhai wa mtu ni muhimu kuliko ya mnyama kwani hakuna Siku mnyama atakuigia kura ata wawe wengi kiazi Gani,, pia kama unazoma ujumbe huu Basi usiache kutoa Neno Moja Kwa wananchi wanaoishi Kata ya Kwamatuku wilaya ya Handeni Kwani wanasumbuliwa Sana na hawa majangili wa kununua maeneo makubwa na kudai kua ni Hifadhi,,, kwa Sasa tunapo ongea Watu hawana makaazi Yao wanapokonywa kilazima na sijui watapiga kura Wapi Maana wanakuambia utoke na hawakuonyeshi paali pa kwenda na ukumbuke kua Hao wanaotolewa ni Wamasai walio hamia Uko Toka Arusha na Manyara Kwa kununua maeneo Hayo kwa Pesa zao,, Sasa Handeni imegeuka kua mbogo,, Naomba TU mh Rais wetu utusaidie Hili,
@gabrieljohn64224 ай бұрын
Msipe kura lakini kaongea ukweli hakuna Taifa linaweza kuwa na maendeleo bila kupangilia matumizi bora ya Aridhi sasa anapoguswa mtu au jamii flani inaona inaonewa mnako,sea sana, Dodoma Aridhi za wazawa zimechukuliwa kwa fidia ndogo sana kupisha ujenzi wa makao makuu ambapo ni majengo ya serikali yatatoa huduma kwa Nchi nzima kwa kila mtanzania, Turudi hifadhi ni kwa maslahi ya nchi nzima fedha za kigeni ndizo zinazo tumika kununua Madawa nje ya nchi vifaa tiba na mengineyo, ninyi mnaingiza taifa dollar ngapi kwa lipi?
@TotyMesha4 ай бұрын
Ngororngro we need piece.
@georgejohnlimb70744 ай бұрын
Tu mpndwa hpa ilikua sahihi saana Ila Sisi waafrika tukfikia kumba kira aliefnya vzuri wanpka matope looo haya
@gabrieljohn64224 ай бұрын
Huo ni uhalisia kwa watu wa uhifadhi.
@AndrewShiratu4 ай бұрын
Mtarii haki kuona wanyama pekee.bali anakuja kuona hata hiyo jamii ya kimasai inafananaje.ndiomaana wanapiga nao picha wamasai kuliko hata hao wanyama.bolesheni tu namna ya utarii kuipitia na wamasai kama Moja ya vivutio kwa watarii.
@gabrieljohn64224 ай бұрын
Hapo tatizo ongezeko mbona hamuelewi? Kutoka watu 9000 mpaka 100000 + unadhani kuna usalama wa hiyo hifadhi tena hapo?
@SaitotindoipoNdoiposaitoti3 ай бұрын
We mama acha zako umekubaliana nanani kwani tuko Kenya au Tazania
@MimutyeDilala3 ай бұрын
We mama ni Malaya sana yan unadhamin wanyama kuliko binadam mbwa ww
@Jameskakola4 ай бұрын
Watu mama wanaumhimu kuliko wanyama wPeni haki za misingo gologolo ibski na masai tu
@VictorNphilip3 ай бұрын
Kwahiyo wanyama na binadamu tujari wanyama kuliko binadamu
@YunisB-x9c4 ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI MAMAETU SAMIYA. NA KUPE KILA LA KHERI NA AKUEPUSHE NA KILA LA SHARI. INSHA ALLAH, ALLAH AZIDI KUKUONGOZA NA AKUPE MAFANIKIYO MEMA HAPA DUNIYANI NA KESHO AKHERA. INSHA ALLAH, ALLAH AKUZIDISHIYE UMRI MREFU, UMRI MWEMA NA AKULINDE NA KILA VIUMBE VILIVYO VIOVU. ALLAH AKUBAINISHIYE KILA MUOVU WAKO NA WAZIWEZE KUKU DHURU KWA AINA YOYOE. MAMA SAMIYA MJANATE MKONO MWANAO VIZURI MWANO MAKONDA NA MZIDISHIYE WANLINZI NA INSHA ALLAH. ALLAH NAE AMLINDE NA PIYA INSHA ALLAH IKO SIKU ATAKUJA KUSILIMU YA RABBIL ALAMIN. FI AMANILLAH
@MkoiTvTz4 ай бұрын
MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU kzbin.info/www/bejne/qGTKpJmhaN-VerM MPWAPWA-DODOMA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka. Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita. Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu. Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full. Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻 Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻
@fahamimiraji23383 ай бұрын
Mmmmmmm
@dicksonisrael54914 ай бұрын
Mama tu Naomba maisha Yetu yana u Muhimu Kuliko hilo unaloongelea
@gabrieljohn64224 ай бұрын
Mpuuzi wewe maisha ya Watanzania ni muhimu kuliko maasai wa Ngorongoro.
@ipepeetube4493 ай бұрын
Waue sasa wanyama wabaki
@PhilipoMwita-b2x4 ай бұрын
Umepigaje hapo
@NdondoSimbaJr3 ай бұрын
Mbona ni kidogo tu hii wamasai wabalishe makazi mwarabu huyooooo ngorongoro,mwarabu huyoooo ngorongoro.... TRA ndio jina langu la ubalizo😢
@ramadhanikabute19874 ай бұрын
Tupo wote mama
@AmonKulwa4 ай бұрын
Kama mnataka wabaki elfu 9 pelekeni wanaume mahanisi😂😂😂😊
@JamesKirita4 ай бұрын
Akili ndogo hiii
@JoshuaDan-e2d3 ай бұрын
Kuma mama remember 🎧🎧🎧🎧🎚️
@ZakayoJoseph-g5p4 ай бұрын
Anachukuliwa na nani au unataka achukuliwe na waarsbu sio hapa mama heri wasawa kuliko na kingine tumia njia zuri kama unataka kuhamisha watu sio kunyima haki zao kama huduma za kijamii
@mkude4 ай бұрын
Acha chuki na uongo mliopandikizwa hakuna Cha mwarabu Wala nani kupewa ngorongoro.
@hamadsheni89974 ай бұрын
Peleka jeshi mama.wayahudi waliondolewa misri itakuwa hawa.
@user-us7re2fi4s4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@sadicksingogo2604 ай бұрын
Mama naomba wana ngolongolo,wape mpaka wao,itawsaidia na sio kuwahamisha
@gabrieljohn64224 ай бұрын
Kama utawapa mpaka na wao wanaongezeka idadi na eneo ni hilohilo haliongezeki unategemea nini? Suala ni moja wahamishe tu.
@mwinyisaruni89744 ай бұрын
Duuuuh! Bado Ngorongoro nikubwa sana, lkn serekali iangalie hili swala Kwa makini jamani, watembelee wajuoonee hasara walionao wenyenyeji Kwa hifadhi kama hamna basi eneo letu la Ngorongoro Bado linatutosha na wanyama wetu, Ila ikumbukwe watu wanaishi kule huduma za jamii ziendelee kuwepo,
@mwinyisaruni89744 ай бұрын
Lingine jamani eeeeeh! Mungu hakufanya makosa kumweka mtu na mnyama kuishi pamoja, ndio inayouza Ngorongoro Kwa utalii tuwaachieni mungu kazi yake, tusiwabuguzi maana kazi ya mungu hainaga makoza,,, tuwe wamoja wa TZ, Tuipende Tz yetu , asanteni,
@allynassoro84484 ай бұрын
Nashangaanhuyu Ni kiongozi wa aina Gani anaejali wanyama kulio maelfu ya raia wenye dhiki na shida mbali mbali jamani anaongea ata hofu ya M/Mungu Hana, halafu Cha kushangaza zaid eti anaenda kuwa mgeni rasmi katiatika kuidhihaki qurran
@martinkisha63074 ай бұрын
Tatizo kwanza hamko wawazi mngeongea nao wamasai wajue kuwa wanatakiwa kupunguzwa na kuwapeleka seheme ambayo ni rafiki siyo msomera kukame mno
@StevenKisinda-x8n4 ай бұрын
Uzuri masai wenyewe ni kivutio cha utalii
@rayisadesigns26464 ай бұрын
Wabaki peke yao kama kutakuwa na mtu wa kwenda huko
@kitambatv83634 ай бұрын
Hahaha umenena nimefulahi sana
@jarnskorelly4644 ай бұрын
@@StevenKisinda-x8n kweli kabisa masaai ni kivutio cha watalii jamani uzalendo kwanza mahoteli makubwa ya nini serengeti zilikuwa loji to wakati huo nakukikuwa na watali pia
@jarnskorelly4644 ай бұрын
@@StevenKisinda-x8n nakumbuka tulikuwa tunaenda mwanza tulilala loji basi kulikuwa hamna mahoteli makubwa lilikuwa moja tu sasa hivi serengeti ni kama mji wa watu weupe halifu unasemaje watu ni wengi
@PendoPogwa3 ай бұрын
Na watu wanazidi pia kuzalianw
@MmbagaMmbaga4 ай бұрын
Hakuna kivutio cha kwanza kama masai wanya ni,kujiburudidha tu,
@imakitori3993 ай бұрын
Hautufai ww mama
@barakamisila4 ай бұрын
Mama kwani watu hawasaliani ACHA wamasai wakae kwaamani hapondio kwako .unazamini wanyama kuliko binadamu mungu hapendi
@mishlay81643 ай бұрын
Wewe mama unatuuzia nchi yetu , kweli ? Kiila Mahali , nchi imenunulia na waarabu , hivi kweli tunaenda wapi?
@faustinluambano29584 ай бұрын
Mwenye ndugu OMAN
@rayisadesigns26464 ай бұрын
Kimetokea nini tena?
@rayisadesigns26464 ай бұрын
Tunao kwani kimetokea nini tena?!
@evelina96214 ай бұрын
Mama.acha.maneno.yako.ya.kuambiwa
@mishlay81643 ай бұрын
Wewe mama ni Rais wa Muda nchi hii kiila Rais atakuja atapita , lakini angalia sana unapokuwa kiongozi usiwaingize watu kwenye mgogoro usio na maana , mikataba ya hovyo , weka mikataba kwa sainzi ya miaka yako unayokaa ,
@JuliusPanga4 ай бұрын
Kwanini ipotee kwenye awamu yako? Mbona tangu Nyerere haikupotea?
@Ezekiel-w6m3 ай бұрын
Watu nibora kuliko wanyama jitafakali ungekuwewe niwajamii yakimasai
@KutataKoikai-z3q4 ай бұрын
haki ya mwananchi isikuwe ya biashara Wamasai wapewe haki yao Rais haiwesekani
@MmbagaMmbaga4 ай бұрын
Kwani hutaki watu wazae una akili kwel
@clotildatarimo78474 ай бұрын
Arumeru arusha na wenyewe ni wengi, vijiji vya kia na vyenyewe vimezuia ndege kutua, rombo, nk na kwenyewe kuna shida gani
@HaulSidney3 ай бұрын
Mbona wazanzibar wako wengi na kisiwa ni kidogo
@ipepeetube4493 ай бұрын
Sasa wasizae au ?
@PendoPogwa3 ай бұрын
Ko bora wanyama
@ymohammed9634 ай бұрын
Friday siioni ifuteni tuu watu walime
@nicodemashaggite84293 ай бұрын
Sasa kama wewe mama kama Rais haujui nn Cha kufanya nani atakayeju?? Mmmm
@Misheckkazilist-cv2hb4 ай бұрын
Achana nahao wageni wa kisenge acha watanzania tufrahie maeneo yetu tuliyo patawa na MUNGU we mama acha tabia ya kutete wakuja
@richardmalwa31974 ай бұрын
Wanyama nawatu kipi bola
@sebuyoyabiteyubwoba4 ай бұрын
Uvamizi wa serikali kwa kuwapa waarabu
@mkude4 ай бұрын
Acha uzushi na ujinga na chuki zako,watu wanatoa hoja za msingi wewe unazungumzia utumbo na propaganda munayoiendeleza,
@PatrickJulius-uy3yb4 ай бұрын
@@mkudeumeumia sana rahic anapo ambiwa uritaka asikosorewe yeye mungu hata mungu kuna watu wana mpinga sembuse rais achaujinga watanzania tuna jitambua na hatupendi uchawa kama wako unajua wamasai wameandamana sikungapi hadi reo rahic ndio anaongea unaajua hawapaati huduma za kijamii vp bob au unataka uwadhiri
Wanyama ni bora kuliko wanadamu, umelaaniwa na uzao wako wote mshenzi huna akili
@florafrancis15983 ай бұрын
Hii ni kauli ya kushindwa
@lecktondany82594 ай бұрын
Mh. raisi wangu ngorongoro ni kama Zanzibar ni kitovu cha utalii. Je ni sawa uwambie watu wahame maana utali unapotea?
@frankmollel85104 ай бұрын
Wacha nikuambie hatuami na hatuta ama kama unataka kututoa kafara kwasababu ya ngorongongoro ww tuuwe manake unaona Wanyama ndio muhimu yenu
@frankmanyama59794 ай бұрын
Mnafiki sana huyu kumbe maneno mataamu afu matendo ya kishetani
@angelsgabriely35754 ай бұрын
Hata wafanyakaz wataandamana maana umeshindwa kuwaongezea mishahara wakat ndo wanakulipa mshahara wako
@ClaraKongo4 ай бұрын
MAMA MENYE BUSALA NA HEKIMA UPENDO NA MAONO YA MBARI PIGA KAZI .ATA VYULA WANA PIGA KERERE NG"OMBE AKINYWA MAJI
@jarnskorelly4644 ай бұрын
Je hoteli kubwa pia ziondoke
@danielndam59974 ай бұрын
Kipi mhim watu na wanyama
@JoshuaSamunge3 ай бұрын
Sasa uchimbajii wa madini mbuani Hilo hapana mheshiwa raisii, hapo ndio mbuga zile tunauwa kabisaaa
@RoineRakoi4 ай бұрын
Huyu mama muovu sana ashidwe kabisa
@ZawadyKaoneka4 ай бұрын
Wanyama hawana faida dada
@silvanusmyovela65454 ай бұрын
Mama mbona umejikita kwenye utalii .wakati kuna madini tunaibiwa huko.
@egdldm49814 ай бұрын
Ngorongoro inauza Tanzania. Mapato inapata Tanzania na Zanzibar. Lakini Zanzibar unajitangaza kama Zanzibar, rejea makubaliano ya Chelsea na Zanzibar ya "Visit Zanzibar '' Tanzania inanufaika kwenye mgao au Zanzibar ndio inayonufaika kwenye fursa hii ya Muungano?😢
@miletuskgmiletus15634 ай бұрын
Huwezi kufuta ngorongoro, maslahi ya watanzania ni makubwa kuliko watalii. Ngorongoro ilikuwepo kabla yetu. Tumeikuta. Na wazee wameishi huko hata kabla ya uongozi na watalii waliendelea kuja. They coexisted. We cannot for go the common good because of watalii bwana
@karolikisaka89914 ай бұрын
Kwanza waondolewe wageni waliomilikishwa loliondo ndipo tuangalie mengineyo