RC MAKONDA KAMALIZA MGOGORO NGORONGORO KWISHA MAANDAMANO

  Рет қаралды 104,491

KASYANI TV

KASYANI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 257
@JofreyZacharia-zz7dy
@JofreyZacharia-zz7dy 4 ай бұрын
Me nilikuwa na zawazo kwa maono yangu mim naomba tume huska mmkabidhi makonda kiti cha mama samia.... Lakin nimawazo yangu kama nawew unamawazo kama yangu utagonga like...
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 ай бұрын
Hiyo akili yako wewe
@JofreyZacharia-zz7dy
@JofreyZacharia-zz7dy 4 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 uko sahihi kabsa hii ni hakili yangu
@jeffhard5773
@jeffhard5773 4 ай бұрын
​@@rayisadesigns2646 Na akili yako wew Mambo yazidi kuharibika
@NyakiePaul
@NyakiePaul 4 ай бұрын
Vizuri sanaaa RC makonda
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa Ай бұрын
Elewa vyama vipo huru Ili tushindanishe wekeni mdshalo wa kisiasa makonda lisu na zito
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 4 ай бұрын
Weww Makonda mama alie kuzaa tumbo lake limebarikiwa sana
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 4 ай бұрын
Ameen
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb 4 ай бұрын
Makonda wewe ndiwe Rais unahurumae gombea uwe mgombea binafsi vyama vinagawa taifa vinategeneza chuki tumefika kuto kuelewa Rais asitokane chama tutaiponya nchi wabunge ndio watokane chama
@Gerrald-j4h
@Gerrald-j4h 4 ай бұрын
Alaaniwe mpaka shetani ashangae, makonda mbuzi kabisa😥😡
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 4 ай бұрын
Hivi huyu makonda mnamsifia kwa lipi haswa alolifanya zuri kwene nchi hii?huyu bwana hafai kabisa hata kuwa barozi wa nyumbq 10,kwa matukio alofanya na jamaa yake sabaya hawatakiwi kabisa hata kusikia wanaongerewa hawa ndo waliohalibu taswira ya hii nchi,inaonekana haifai.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 4 ай бұрын
Acha kutuda ya sisi kuwa ni mambuzi na kuwafanya wamasai wote ni mbumbumbu kama unavyowatazama hapo. Hawa watu wana PHD za kutakuwa mzee. Na alyewatuma aache juice wa Ngorongoro, Serengeti na Tanganika Kuruoba sisi mabwege tu ila ni yeye tu. İçilip mwisho wa kuwapuuza , kuwauza na kuwadharau Watanganyika kama Taifa. Tanga yıka si shamba la bibi wala si shamba la kikundi kidogo cha wa piga madiri. Tanganyika ni mamillioni ya watu, tambueni hii.
@susananyasani6526
@susananyasani6526 4 ай бұрын
Super Mheshimiwa Makonda na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Ngorongoro ibaki katika sehemu yake na Wananchi wakae kwenye Nyumba zao na wote watahudumiwa kama kawaida asanteni tubarikiwe
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 4 ай бұрын
Mtu sahihi,creative man,kiongozi kwa mfano.Paul Makonda.Nakuombea sanaaaa bro
@gabrieljohn6422
@gabrieljohn6422 4 ай бұрын
Hiyo hapo ni siasa tu.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 4 ай бұрын
ASANTE CHADEMA NA WANAHARAKATI WOOOOTE MLIOPAZA SAUTI
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 4 ай бұрын
Kwani kupaza sauti kwao kungeitisha nini serikali inapo amua lake? Hapo ni pongezi kwa mkuu wa nchi kusikia malalamiko ya wananchi,la sivyo wangehamishwa masai wote wapende wasipende na hakuna lolote alipo kua Mzee Magu hao CHADEMA wako waliingia uvunguni Lisu alikua hamuelewi alimiminiwa risasi kama mvua na watu wasio julikana wengine wote wakaufyata unacheza na mamlaka wewe Lisu alimlimbebeleza Samia ali arudi Tanzania bado anachogoa mdomo kumtukana kakuta mama wa watu Dini imemuingia kweli. unacheza na mamlaka wewe inapodhamiria kufanya jambo lake?
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 4 ай бұрын
Ni kweli, bila ya hivyo hii midubwana ya kijani ingeuchuna tu.
@antonychitara5707
@antonychitara5707 4 ай бұрын
Makonda piga nyundo wakijichanganya❤❤❤❤
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 ай бұрын
Mashaaalah ngorongoro wamepambania haki yao,u pime,
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 4 ай бұрын
ASANTE MWABUKUSI BONIFACE KWA KUPAZA SAUTI 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 4 ай бұрын
Umeona saivi hakuna kunyamaza yeye ndio alizuia huduma nae ndio kazirudisha
@mwenem8130
@mwenem8130 4 ай бұрын
Mungu Ibariki Tanzania, Lazima tujithanini na sio kuthamini ngozi NYEUPE, Hao waarabu wanakwao!!! Thanks Makonda for your courage🙏
@ShabanMasaza
@ShabanMasaza 4 ай бұрын
@NaftaliSaitoti
@NaftaliSaitoti 4 ай бұрын
Tafadhali lukufi na Rais wetu Mama Samia msimwaabishe mkiu wetu wa mkoa tunae mpenda
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 4 ай бұрын
Sawa kabisa metezi makonda nilijua tu utamaliza mambo ya ngorongoro na ubarikiwe sana na mungu akulinde sku zote,nilikua namuona lissu akijipendekeza sa ngorongoro je atajipendekeza vip sasa
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 4 ай бұрын
Hivi nyie akili zitarudi lini bila lisu hiyo hatua isingefikia huyo makonda wanapoteswa alikuwa kwenye mfumo maandamano yamewaumbua na mageti ya nini kwenye nchi yao?aliyetangaza kufuta vijiji ninani?
@MgeniNyela
@MgeniNyela 4 ай бұрын
Acha ujinga CCM na rais wao wameogopa sheria dunia ingewashangaa Lisu, Mwambukusi na TLS ndio wa kuwashukuru Makonda ni komedi
@levissanga8867
@levissanga8867 4 ай бұрын
Unasababisha matatizo kisha unajifanya kutafuta jawabu. Mwogope Mungu.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 ай бұрын
@@levissanga8867Aloofuta vijiji,na kuzuia kura ngorongoro n CCM we unadai Lissu anajipendekeza, ikiwa Lissu alisha wekwe ndani kuhusu ngorongoro,we hujaenda shule nn Lissu na mwambukusi ilikua wanahoji imekuaje wt wasipige kura ngorongoro we ukimbilia ushabik hii Tz c Mali ya CCM n Mali y w Tanganyika,haya kule busega hujasikia maandamano,wameambiwa wamevamia pori la Tembo, we unaga'ga'na na Lissu, Tatizo shule nn, busega hujasikia maandamano et Lissu anajipendekeza,
@clememallya4257
@clememallya4257 4 ай бұрын
Makonda mnafiki. Alikuwa wapi watu wanateswa Arusha baada ya Lisu na mwabukusi kukataaa na kuwafanulia wanangorongoro maarifa na kutangazia ulimwengu ndiyo makonda anajikongoja kujifanya mtu hatoki nyumbani. AIBU RAIS SAMIA UNATUTEZA WATANZSNIA WA BARA HII NCHI TUMEPEWA NA MUNGU NA SIYO YAA WAATABU WAENDE ZAO HUKO HT KM UNA WAJOMBA HUKO HUKU SI KWAO NI KWETUUUU😢😢 MUNGU ANGALIA UKATENDE HAKI WATU WETU WANAUMIA KWA AJILI YA ULAFI WA RAIS SAMIA. HATUJAKUCHAGUA,ONDOKA ACHIA NGAZI HATUKUTAKI
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 4 ай бұрын
Asante sana serikali kuwaachavhapo wananchi haooo
@Hagai-oh4ti
@Hagai-oh4ti 4 ай бұрын
Hongera Emakonfa mungua Akupe maishaarefu Asant Rais wetu SAMIASUHUH HASSANI MUNGU AKULINDE
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 4 ай бұрын
Mungu ibaliki Tanzania 🇹🇿 Mungu mbaliki makonda ❤
@HemedKiama
@HemedKiama 4 ай бұрын
Watanzania tumepata somo zuri sana,na uchaguzi usipokuwa wa haki huu mtiti uwe wa nchi nzima!...bila haki mtajuta.
@samwela.kasamalo2113
@samwela.kasamalo2113 4 ай бұрын
Ccm Wapumbavu sana, mpk waone imebuma
@AnjelicaBayyone
@AnjelicaBayyone 4 ай бұрын
🎉Wanakosa kura si unawajua wanaccm mikakati Yao
@djumaally5536
@djumaally5536 4 ай бұрын
Makondafication of Africa 🌍❤ Tz imebalikiwa kupata viongozi wazalendo
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 ай бұрын
Mmmh😅
@VailethFelicia
@VailethFelicia 4 ай бұрын
Paul makonda nakuona km John pombe magufuri rais wa wawanyoge 🙏🙏🙏
@AbdallahYanga
@AbdallahYanga 4 ай бұрын
Mashallah makonda namkubali sana..
@peterjusine8509
@peterjusine8509 4 ай бұрын
Mashallah kabisa
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 4 ай бұрын
Asante mungu kwakumuhinua huyu kijana
@petronyereresaliboko4047
@petronyereresaliboko4047 4 ай бұрын
Makonda unajua Sana kuongea na wananchi ubarikiwe🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@YusuphAmani-yx7ur
@YusuphAmani-yx7ur 4 ай бұрын
kijana chapa kazi makonda safi
@peterjusine8509
@peterjusine8509 4 ай бұрын
Makonda Mungu akuongezee Miaka ya kuishi.
@sefuswalehe2173
@sefuswalehe2173 4 ай бұрын
Kaka hongera yako ndgu yangu endelea na kazi ya mungu
@SamweliKereine
@SamweliKereine 4 ай бұрын
Ndiyo maana wakati makonda kutuonekana Kwa muda tulimuombea sana❤❤tunashukuru mungu wetu
@ramadhanikabute1987
@ramadhanikabute1987 4 ай бұрын
Nipe kazi
@samwellukumay1222
@samwellukumay1222 4 ай бұрын
Hapo sawa jembe
@IsayaSadick-yb3bz
@IsayaSadick-yb3bz 4 ай бұрын
Makonda mungu akubalik
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 4 ай бұрын
Makonda ni watu 1000 in one.
@EmmanuelCharles-i9e
@EmmanuelCharles-i9e 4 ай бұрын
Makonda ndie Alie shaur. Vjiji kurudishwa na bila ya mwanasheria kabud kutuumia ibara 8yakatiba ingekuwa hataar sana
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 ай бұрын
Ulikuwa naye au vipi?!
@HoseinBakari-up6jo
@HoseinBakari-up6jo 4 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏 Bora iwe ivyo maana duu imewatia faraja kubwa sana
@Samumoleli
@Samumoleli 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@chezariboy
@chezariboy 4 ай бұрын
Asante chadema bila chadema isingewezekana kabisaa.
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 4 ай бұрын
Hatimaye wamesalimu amri..hakika nguvu ya umma imeshinda. Niwapongeze serikali kuwa wasikivu ila mchengelwa hafai kuwa ofisini hata kwa siku moja zaidi maana shida yote hii kaleta mchengelwa.
@mamaMama-md7hh
@mamaMama-md7hh 4 ай бұрын
rc makonda anafaa kuwa mkuu wa nchi.mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
@DanielMrisho
@DanielMrisho 4 ай бұрын
Mungu atusaidie na awape viongozi wetu busara na hekima km mfalme sulemani Amen
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 ай бұрын
Na waombe hiyo hekima. Siyo kupewa tu
@Mitama49
@Mitama49 4 ай бұрын
Makonda apewe uraisi w nchi
@CafeJohn-n9o
@CafeJohn-n9o 4 ай бұрын
Makoda wewe nimwaume jamani mwenyezi Mungu akubariki sasa nakutuze uishi miaka mingi duniani jamani wewe ni Rais ujaye wanyonge unajuwa kutujari
@AzaeliMbise
@AzaeliMbise 4 ай бұрын
Apo sawa makonda.
@marymanoni5536
@marymanoni5536 4 ай бұрын
Makondaaaaaaaa wewe nikiboko😂😂😂😂
@FredyLibusi
@FredyLibusi 4 ай бұрын
Tunamshukuru mungu
@RashidJonas
@RashidJonas 4 ай бұрын
Hao waalab kwann wasipewa huko kiz mkaz kunamafukwa mazuli sana wamasai wamekosa nn ee mungu wachukue na hawa
@SharifuAhamad-e1y
@SharifuAhamad-e1y 4 ай бұрын
Maguli hajafa Bado tunae. Niliwaza tutapata wap tena raisi kama magu. Kumbe mungu hajatuacha
@EmanuelLamaroro
@EmanuelLamaroro 4 ай бұрын
Makonda tuna imani
@mlugekarol2688
@mlugekarol2688 4 ай бұрын
Yaani hii nchi. Mnajitekenya na kucheka
@ramadhanikabute1987
@ramadhanikabute1987 4 ай бұрын
Mwanza Tanzania United Republic Kada
@BarakaMbise-lk1eb
@BarakaMbise-lk1eb 4 ай бұрын
Kweli mnafanya kazi ila naombeni uchaguzi ukiisha msirudi kuwasumbuw
@josephmwinuka3982
@josephmwinuka3982 4 ай бұрын
Mmesalenda
@AliyJumaIbrahim
@AliyJumaIbrahim 4 ай бұрын
MBEGU NYINGI ZA HUKO ARUSHA NISHIIDA SIKIA HIVYO HIVYO HAAYA ,,, SAANA ZAFANANA MBEGU ZA MBEYA NAZINGINE SIZITAJI KAAH!!!
@malackedson7706
@malackedson7706 4 ай бұрын
Samia nitatizo.
@MirajiMahamudu
@MirajiMahamudu 4 ай бұрын
Uyu apewe Urais
@PeterKisiongo
@PeterKisiongo 4 ай бұрын
Nice makonde baba
@BeatusNgereza
@BeatusNgereza 4 ай бұрын
Makonda Rais ajaye
@ombeniorgenes7893
@ombeniorgenes7893 4 ай бұрын
unatengeneza tatizo afu unalisolve...kidogo!
@husseinhatibu-uw6ql
@husseinhatibu-uw6ql 4 ай бұрын
Hiyo ndo ccm wanatengeneza alafu wanaweka sawa hao ndo ccm oyeeeerrrr
@BakaryBekq
@BakaryBekq 4 ай бұрын
Makonda shujaa
@BakaryBekq
@BakaryBekq 4 ай бұрын
Rais wa Arusha.
@HellenLemilya
@HellenLemilya 4 ай бұрын
Hongera sana makonda,but sauti ako inaonesha kweli ulikuwa unaumwa, Mungu akubariki
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 4 ай бұрын
Na amepungua sana
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 ай бұрын
Je niya kweli hayo Makonda?. Wangalieni wananchi enyi watawala.
@SeifSelemani-p3h
@SeifSelemani-p3h 4 ай бұрын
Hii nikama movie ya nyumanju yazaman sana yani mambo yakiwa magu unacheza gem kuweka mambo saw
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 4 ай бұрын
Serikali hii dhalimu kweli
@DaudiLengisho
@DaudiLengisho 4 ай бұрын
Hiyo ni siasa
@gabrieljohn6422
@gabrieljohn6422 4 ай бұрын
Hizo siasa tu.
@EliapendaGodwell
@EliapendaGodwell 4 ай бұрын
Uchaguzi ukiisha mambo Yale yale
@SimonMayunga-e3y
@SimonMayunga-e3y 4 ай бұрын
PEOPLES` POWER CHADEMA CHADEMA PEOPLE`S POWER.
@StephanoMwanjemba
@StephanoMwanjemba 4 ай бұрын
Ccm hawafai kabisa Yani wasengerema kabisa.
@johnbundala7596
@johnbundala7596 4 ай бұрын
Dah nchi kuwenu makini mnaowatesa Hawa watu s n nyinyi Amka Tanzania 😢😢 mpaka maneno yananiisha.
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 4 ай бұрын
Nia ilikuwa mbaya
@NehemiaZakeo
@NehemiaZakeo 4 ай бұрын
Duu! hayo yote yalikuwepo du! Pole sana ndugu zanuni wangoro'ngoro
@lenarddaudDanny-p7e
@lenarddaudDanny-p7e 4 ай бұрын
Wanafki wa CCM
@YaeliJoseph
@YaeliJoseph 4 ай бұрын
HUYO NDIO PAUL MAKONDA ✍️
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 4 ай бұрын
SIYO MAKONDA; NI NGUVU ZA UMOJA WA WAMASAI; NA HASIRA ZA WAPENDA HAKI NDANI NA NJE YA NCHI; HASA MWANASHERIA MWAMBUKUSI.
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 4 ай бұрын
nampongeza mkuu wa mkoa yupo vizuri sana selekali yote suluhu yupo safiiii ile piga uyo shika weka ndani haisaidii inaongeza chuki sikiliza matatizo ya wananchi Kisha tatua asanteni sana
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 4 ай бұрын
Asante TEC Kwa kupasa sauti
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 4 ай бұрын
Lisu na mwabukusi ndo habari ya mjini,bila kuwa na watu kama lisu na mwabukusi ccm itatuchoma moto mchana kweupe
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf 4 ай бұрын
Ccm mujifunze naaomapolis wenu mumeonamzikiwalaia wakikataa polis wenuawatoboi nyooooo mumechemka nabado tutaliamsha inchinzima tuone aopolis wenu kamawataweza
@JekobuNgwara
@JekobuNgwara 4 ай бұрын
Makonda wetu mzuliiiii saaana migogolo wano leta ni watawala wa CCM kwata me aaa zao wanapenda kujiwekea maisha kamamiungu
@vicenttheophil9254
@vicenttheophil9254 4 ай бұрын
Chadema ndo wamepambana tuseme tu ukweli
@johnnkelebe7360
@johnnkelebe7360 4 ай бұрын
Wamasai wanaheshimu sana wazee walipoona Mzee Lukuvi na Mzee Kabudi wameamua kusikiliza na kuelewa ujumbe waliokuja nao kutoka kwa rais. Makonda pia wamasai wanamuelewa sana. Hapo nazani utulivu na amani imetawala.
@KlugarNguvila
@KlugarNguvila 4 ай бұрын
Nakubar makonda
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 4 ай бұрын
Watu haohao ndo waliwanyanyasa wananchi wa ngorongoro leo hii wanarudi tena huku wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui,hivi watabadilika lini kwa haya maigizo wanayotufanyia viongozi hawa?ila mungu atawahukumu kwa raana.
@DivaMsukuma
@DivaMsukuma 4 ай бұрын
Uyuinatakiwa awe rais
@kiavyakapera2352
@kiavyakapera2352 4 ай бұрын
Makonda uko sawa Ila ngorongoro kwa heri sasa .Na sio ngorongoro tu.Nchi yetu watu wanajenga Kila mahali mashamban nyumba, Ranchi za malishio ya mifugo nyumba, migodin nyumba ,misitun nyumba, hifadhan nyumba,kwenye vyanzo vya maji nyumba.Kila mahali ni makaz ya watu, sio sawa watu wapangiliwe sehemu za kukaa sio Kila mahali mtu anajijengea tu kusambaza huduma za kijamii kwenye makazi holela ni ngumu sn.ila huduma hizo ndio zimekua zakuombea kura siasa isitufanye kuachia Kila kitu kuwa holela holela .vijiji vya ajabu ajabu tu na Bado watu wanajenga Kila mahali kwanini nchi yetu isiwe nautaratibu wakukushanya makazi ?shamba iwe shamba hifadh hifadh migodi migod malishio malishio nk.Tuache siasa za hivyo tuangalie mbele Sana pawe na Miji watu wakae sio vijjivijijivijiji vijivijiji vijijivijiji
@ChristopherEmanuel-dq5wo
@ChristopherEmanuel-dq5wo 4 ай бұрын
Ninyi Bado amjajua siasa Yani wanatengeneza tatizo wenyewe alafu Wana ekti kutatua mwenyeakili adanganywi
@SimonMayunga-e3y
@SimonMayunga-e3y 4 ай бұрын
Ukitumia akili za radani utamshukuru makonda. Think big
@MakunguMasunga-g1f
@MakunguMasunga-g1f 4 ай бұрын
RC makonda natamani uwe Rais unafaaa sana
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 4 ай бұрын
Wameona waende wakajioshe wamesikia maneno ya mwabukusi ya moto,na bado.
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 4 ай бұрын
Mnaleta matatizo makubwa halafu mnasema Samia hoyeee this is stupidity
@ommymsangi9182
@ommymsangi9182 4 ай бұрын
Nguvu ya UMMA imeshinda.
@SimonMayunga-e3y
@SimonMayunga-e3y 4 ай бұрын
ASANTE CHADEMA KWA KUPAZA SAUTI ~ LISSU BANA
@mtakamatv
@mtakamatv 4 ай бұрын
Mnatengeneza matatizo wenyeweyakiwafika shingoni,mnajifanya mnahuruma ya kutatua matatizo mliyotengeneza wenyewe.
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 4 ай бұрын
Ukishangaa ya ujamaa wa mwalimu Nyerere, Utaona vituko ya wale mwalimu alijitahidi wapate elimu bure!! Wamekuwa buree kabisa kama mheshimiwa hayati Mwai Kibaki alivyokuwa anasema wakati wa uhai wake ", Wapigwe Makofi "
@mansakan9719
@mansakan9719 4 ай бұрын
Watu wajinga sana
@hamisndusu3625
@hamisndusu3625 4 ай бұрын
Wanatengeneza matatizo wenyewe halafu wanajifanya kujakutatua wenyewe tz tutachelewa sana kuendelea
@husseinhatibu-uw6ql
@husseinhatibu-uw6ql 4 ай бұрын
Ccm ndo watu wamipango bhana usipowaelewa wtakuumiza Ila Ni wajanja aisee
@HemedKiama
@HemedKiama 4 ай бұрын
Makonda hamia chadema ccm kumejaa washenzi watupu hadhi Yako inashuka sana!..
@JaphethNnko
@JaphethNnko 4 ай бұрын
CCM inaichukulia jamii ya kimaasai kama jamii isiyo rasimi kuishi tanzania sasa naona kama wanataka kufanya mkoa wa arusha wote kuwa pori la akiba.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 4 ай бұрын
Uñakunya mavi mwenyewe pasipofaa...yakinuka unayazoa mwenyewe na kuyaondoa.. Ulikunya bila kutafakati
@nassoribrahim5288
@nassoribrahim5288 4 ай бұрын
Mambo ya kampeni huezi elewaaaa😂
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 4 ай бұрын
Alie ondoa huduma awajibike buana
@lekungaMbototo
@lekungaMbototo 4 ай бұрын
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MirajiMahamudu
@MirajiMahamudu 4 ай бұрын
Ha ha ha ha yn mkuu wa mkoa uyo sio wazir au mbunge!!! Mama ndo ajue kuwa amezungukwa na matumbo tu
@PaulShija-hq7ep
@PaulShija-hq7ep 4 ай бұрын
Walio hangaika kuwatetea ni wengine wala cyo makonda
@salvatorymushi2038
@salvatorymushi2038 4 ай бұрын
Vita wameanza wenyewe wanamaliza wenyewe ....hizi siasa tu 😢
@RabihuHussein
@RabihuHussein 4 ай бұрын
Yule aliyesema kuwa hao wamasai ni wakenya akafunguliwe kesi mahakamani akathibitishe ukenya wao ni upi...!!
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 4 ай бұрын
Wao makonda
@jesaminzo
@jesaminzo 4 ай бұрын
Mchawi anakuroga na kukuganga, halafu unampongeza
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 501 М.
Even Tyson Was Afraid of Him! Mike Tyson vs Donovan Ruddock
12:40
Boxing Land
Рет қаралды 2,5 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН