NARGIS MOHAMED MREMBO WA ZALI LA MENTALI AFUNGUA KIWANDA

  Рет қаралды 64,085

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

Күн бұрын

MAHOJIANO MAALUMU NA MREMBO NARGIS MOHAMED ALIYEIGIZA KWENYE VIDEO YA ZALI LA MENTALI. NARGIS ALIYEWAHI KUSHIRIKI MISS TANZANIA 2003 AMEFUNGUKA SAFARI YA MAISHA YAKE MPAKA SASA KUMILIKI KIWANDA CHAKE. SUBSCRIBE CHANNEL HII ‪@ganganainfochannel‬ MPIGIE KURA KHALID GANGANA TUZO ZA SHINING STARS AFRICA KIPENGELE CHA BEST STAR TV PERSONALITY OF THE YEAR 2023 KWA KUBOFYA LINK HAPA CHINI
vote.shiningst...

Пікірлер: 119
@babynahiya6640
@babynahiya6640 Жыл бұрын
Aloenda kuangalia vdio ya zali la mentali baada ya kuangalia interview kama mimi gonga like
@emazjassam2452
@emazjassam2452 Жыл бұрын
Waoooooow she is just awesome
@deusntobi1450
@deusntobi1450 Жыл бұрын
Dada anaongea kwa hekma na busara sana. Hongera kwake dada
@markshukuru119
@markshukuru119 Жыл бұрын
Dada hongera sana kwa level zako kubaki kwenye maadili na kuwa kioo cha jamii kweli
@kamana877
@kamana877 Жыл бұрын
Mashaallah...Nargis is very humble
@christsndushondi51
@christsndushondi51 Жыл бұрын
Nampendaga Sana huyu dada anajieshimu Sana hongera
@stellahrajabu3349
@stellahrajabu3349 18 сағат бұрын
Kwa Magic House ya Kanumba na yellow banana alifanya vizuri balaa❤❤❤
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 Жыл бұрын
Chombo safi sana hakichuji yaani anabanana na wadada wa 2000's
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 Жыл бұрын
Dada ajajipodoa Ila Yuko vizuri 🥰🥰
@fanuelmagesa9326
@fanuelmagesa9326 Жыл бұрын
Huya dada kacheva movie moja na Ray kigos inaitwa The principle Woman, bonge la movie kaifatilien
@RashidMohamedKilindi
@RashidMohamedKilindi 9 ай бұрын
Kila mwanadamu ana mapungufu ila mabinti Wana Cha kujifunza kwa huyu binti
@KhamisShee
@KhamisShee Жыл бұрын
Aka Bachuchu Mombasa 001 Big up bro uko vzr sana
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 8 ай бұрын
Huyu Dada Nargis hakika mabinti wetu wajifunze kwake. Hakika Nargis ni kioo kizuri cha jamii yetu.
@WitnessChristian-t7i
@WitnessChristian-t7i Жыл бұрын
I love her
@dicksonmauki3604
@dicksonmauki3604 Жыл бұрын
She is just awasome duuuh wadada kwani mkiwa kama huyu itakuwajee>>>>???
@leonardelias1439
@leonardelias1439 Жыл бұрын
Sister upo vizuri sana hongela nataka bidhaa zako nitazipataje?
@leonardelias1439
@leonardelias1439 Жыл бұрын
Bidhaa zako tunazihitaji sana naomba connection yako sawa
@gradiusernest4716
@gradiusernest4716 Жыл бұрын
Interview bora
@ramadhanikaheka30
@ramadhanikaheka30 Жыл бұрын
anafanana na joket❤
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Жыл бұрын
MashALLAHu dada Nargis ALLAH (s.w) akufnyie wepes ktk kaz zko, naamin utafika mbal sn. Tunakupenda ❤❤❤
@amriyyahamad3946
@amriyyahamad3946 Жыл бұрын
Yupo Sawa na skujua km kajala voice Ile umesababisha niangalie tena Ile Ngoma leo
@desdeliusgidion8908
@desdeliusgidion8908 Жыл бұрын
Prof J alikwama wapi kuweka ndani hii zali la mentali,,busara na hekima nafikiri vimekuwa sehemu sahihi kwake
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 Жыл бұрын
Mabinti wengi na hata waKaka wengi hawajui watumie njia gani ili waweze kutoka, wengi wanataka Shortcut, kauli nzur sana hii mi binafsi nimeipenda na nimeielewa
@azizimangara9024
@azizimangara9024 Жыл бұрын
Yaan Hata kucha ajafuga wala kuongeza kama shetani. Kuwa na Imani hivyo dada yangu mungu atakufikisha panapo staili.
@maryjkiosa3380
@maryjkiosa3380 Жыл бұрын
Dada anaekima mpole mrembo hongera kwake 💪🏼
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 Жыл бұрын
Anaongea vizuri na kwa heshima na busara hadi nimempenda tena. Hongera Nagris
@ashrafurwegoshora4227
@ashrafurwegoshora4227 Жыл бұрын
Hivi serikali huyu awamuoni,huyu ni kiongozi aisee
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Kabisa
@eliasharun3273
@eliasharun3273 Жыл бұрын
Yupo vizuri kwenye ujasiliamali,Mungu azidi kumubariki
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 Жыл бұрын
Daaah kumbe ni sauti ya kajala mmmmh ndo Leo najua jmn kumbe kajala alikuwa potential toka kitambo
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Жыл бұрын
Masoud kipanya alifeli wapi kuachia hii manzi? Daaah she is very smart 💯♥️
@AshaMakame-zg9xi
@AshaMakame-zg9xi Жыл бұрын
Gangana uyo muelewa ndiyo akaenda kusoma SIDO
@mtegemeemungusiomwanadamu6618
@mtegemeemungusiomwanadamu6618 Жыл бұрын
Kwamweli hata mimi nimejikuta nimerudia rudia interview mara nyingi. Hizi hekima nimezipenda
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 Жыл бұрын
Dah enzi za keep change.. itakufariji ndani ya weekend.. dah baada ya kumwona sister yaani amenikumbusha mbali sanaaa.. Allah akujalie afya njema na umri mrefu sister..
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Жыл бұрын
Tuliokuwa 4m 3 kipindi hicho vidole juu
@kyataonline5262
@kyataonline5262 Жыл бұрын
Kidogo tu niombe namba ! ila kuweka wazi aliekuwa nae dah ! afu mashuhuri ! Hapana buda
@hassanbaseme-zk2rg
@hassanbaseme-zk2rg Жыл бұрын
Nilimchukia bure kwenye movie ya "The woman of Principles"😂😂😂😂
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 Жыл бұрын
Ila sisi wanaume, eti hata huyu usikute aliachwa na mwanaume😂🙌🙌
@ndorondoro8001
@ndorondoro8001 Жыл бұрын
Yaaan huyu dada vile anaongea aky amenivutia sana,,,vile nilivyo muona kwenye move tofauti na vile nakuona sai
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Жыл бұрын
Beautiful intelligent and humble MashaAllah
@ramamrutu4914
@ramamrutu4914 Жыл бұрын
Aise kuna wadada makini sana yan 🙌🏿🙌🏿
@abdulyrashid851
@abdulyrashid851 Жыл бұрын
Huyu dada nimempenda bure
@felisteralex3716
@felisteralex3716 Жыл бұрын
sijawahi juta kumfahamu dada Nargis, Mungu ambariki na amzidishie kwa moyo wake wa upendo na kujitoa kwa wengi
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Wow remembered you Nargis🫡
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips Жыл бұрын
Yupo vizuri sana hadi raha
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Жыл бұрын
Very beautiful woman ♥️
@zuheriswalehe4703
@zuheriswalehe4703 Жыл бұрын
Binafsi ni mfanyabiashara kama wewe je nakupataje ili tuweze kuyajenga
@erickasenga2594
@erickasenga2594 Жыл бұрын
she is beautifu na ana akili, hekima. anazungumza vizuri kwa utulivu na kisomi
@nyotastar102nyota2
@nyotastar102nyota2 Жыл бұрын
Hongera my sister
@deocosmas8708
@deocosmas8708 Жыл бұрын
Wakina Gigi wajifunze kw Dada Nargis
@matugatv6121
@matugatv6121 Жыл бұрын
Anajua kuzungumza, mrembo na kikubwa ana elimu lakin bado anajichukulia kawaida sana hekma kubwa sana💪🙏
@dericktitus1551
@dericktitus1551 Жыл бұрын
Ongera san Dada. Nje ya mkoa tunapataje?
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 Жыл бұрын
Jmn natamani aigize tena magc hous alitisha san
@hamiduhamidu5974
@hamiduhamidu5974 Жыл бұрын
Dahhh nimewai kufatilia interview za wasichana wengi mastaa au warembo ila uyo Nargis ni mdada ambae nimejikuta nimemaliza iyo interview mpaka mwisho
@thadeimkula7093
@thadeimkula7093 Жыл бұрын
Huyu dada nime mkubari alifanya vizuri sana kwenye zali mentari
@adelatus_TZ
@adelatus_TZ Жыл бұрын
Hongera Sana upo vizuri SANA
@stevenlyando1801
@stevenlyando1801 Жыл бұрын
Ila Masoudy Kipanya ana balaa kumbe alishajiweka hapa 😂😂😂😂
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
2o05 mpk leo mbona karibu tu hajawa mtumzima wa kukonga mtoto tu
@ramazanindege8722
@ramazanindege8722 Жыл бұрын
Ni kweli baada ya kukusikiliza naamini kabisa kwenye mafaanikio hakuna njia ya mkato.
@Kaniko_John
@Kaniko_John Жыл бұрын
Sauti mashallah
@nabilabdallah707
@nabilabdallah707 Жыл бұрын
oya huyudada noma kwanza mzuri alafu anajua kuongea oya nimemkupali sanaaaaaaa ni watofauti sana wanawake muigeni huyu dada
@allymwamba
@allymwamba Жыл бұрын
Wadada jifunzeni kupitia wenzenu
@djtonnybtz
@djtonnybtz Жыл бұрын
Great Interview my bro Mr Mwamba huyu hapa Gangana 😊
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 Жыл бұрын
Wow nice and congrats on ur company and all the best. And thank you for leaving the number for us so that we can support by buying
@zephaniamasologo3137
@zephaniamasologo3137 Жыл бұрын
Hivi wadada mkiwa mnamsikiliza huyu dada kila siku asubuhi hamuoni kuwa mtajifunza vitu vingi sana
@LumolaSteven
@LumolaSteven Жыл бұрын
Wachane mwanangu
@thadeusmokoro4309
@thadeusmokoro4309 Жыл бұрын
Nilikuwa FORM one , ila Kwa sasa uharisia Mimi ni Mzee
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Haaaaahaaaaa
@ZanzibarOrchestra
@ZanzibarOrchestra Жыл бұрын
bado anamiaka 22?
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Жыл бұрын
Nilikua form two
@MohamedHuseein-s5i
@MohamedHuseein-s5i Жыл бұрын
I have listening this lady careful
@chachaschachaofficial7792
@chachaschachaofficial7792 Жыл бұрын
@gangana kupitia hii ya Leo imenifanya nisubscribe Kwani nimeridhika na mafunzo pia coz namkubali Sanaa dada huyo Kwa jitihada kama hizo
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel Жыл бұрын
Asante sanaaa
@chachaschachaofficial7792
@chachaschachaofficial7792 Жыл бұрын
@@ganganainfochannel we always like to see things like these
@edwinmtei5786
@edwinmtei5786 Жыл бұрын
Huyu dada jamani namtafuta mwenye connection nae! Yaani umpate wapi mdada mwenye history na tittle kama yake awe na busara hivyo!!!
@chrissg4026
@chrissg4026 Жыл бұрын
duh! inaonekana ana akili sana!
@barakaswillah635
@barakaswillah635 Жыл бұрын
Pongezi
@sorekiginga-eo9jp
@sorekiginga-eo9jp Жыл бұрын
Very humble
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Masoud kipanya umemuacha mrembo mcha mungu,mwenye akili, hekima, na busara tele 🤔 why?anyway no one perfect ❤
@ZulfaMazani-lb9oe
@ZulfaMazani-lb9oe Жыл бұрын
Kumbe sikuwahi kujua
@pmpaga1063
@pmpaga1063 Жыл бұрын
Very inspiring 👏
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel Жыл бұрын
So glad!
@victorkilawe4272
@victorkilawe4272 Жыл бұрын
Hajavaa nusu uchi lakini anapendeza
@FanuelMoshi-fc6fz
@FanuelMoshi-fc6fz Жыл бұрын
Amekuwa mzur zaid kuliko hata kipind kile
@MussaSualehe-yc1pc
@MussaSualehe-yc1pc Жыл бұрын
Dah kunakitu cha kujifunza kutoka kwake
@allymoshi2053
@allymoshi2053 Жыл бұрын
Huyu Dada s alishaigiza movie ya woman of principles alkuwa hakimu kaolewa na ray kwenye hyo movie
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 Жыл бұрын
Ooh, kumbe ndo woman of principle ndo wa zari la mentali, safi kwa maelezo yako
@allymoshi2053
@allymoshi2053 Жыл бұрын
@@adamdaudi6191 hata movie ya magic house ya kanumba kaigiza pia nyumba ilkuwa na mauzauza baba mwenye nyumba alkuwa Ben branco
@alexmgusi2534
@alexmgusi2534 Жыл бұрын
Kmbe ndo huyu na alikuwa na misimamo balaa
@fransiscomalimae7562
@fransiscomalimae7562 Жыл бұрын
Nargis ubarikiwe sana Kuna mengi nimejifunza kwako🙏
@salamabakar52
@salamabakar52 4 ай бұрын
kwani huyu nargisi ni mwenyeji wawapi
@mohamedjuma1878
@mohamedjuma1878 Жыл бұрын
ila kajala mwenzio kaahapotea😢
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn Жыл бұрын
huyu dada anapendeza akiwa mkuu wa wilaya au mkoa
@yussufissa7854
@yussufissa7854 Жыл бұрын
Truly inspiring plus humble &down to earth Mashallah
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Heshima ni mtaji mkubwa katika mafanikio
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips Жыл бұрын
Alieoa huyu miss anafaidi sana sana na aliewah kua nae akamuacha lazma huko alipo anajutia
@fj8317
@fj8317 Жыл бұрын
HUJUI NDANI MTU WANGU HATUWEZI JUA TABIA YAKE NDANI YA KAPETI
@kevyprimus5859
@kevyprimus5859 Жыл бұрын
Elimu kubwa sana hii 👏👏
@fredricksabick-hi1fl
@fredricksabick-hi1fl Жыл бұрын
Kuma umetizama interview nzima lazima utakua umetoka na kitu👍🏻
@swimmermoddy3263
@swimmermoddy3263 Жыл бұрын
Kama point of correction
@ericksangajr7173
@ericksangajr7173 Жыл бұрын
mwenyewe
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 Жыл бұрын
(typing error).... Ni kama sio kum....
@kamana877
@kamana877 Жыл бұрын
@@ericksangajr7173 hahaaa..nimecheka sana ulivyomjibu
@fredytandaika2794
@fredytandaika2794 Жыл бұрын
Nimeelewa malengo
@leonardmhando8654
@leonardmhando8654 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu dada,,.
@lungusii
@lungusii Жыл бұрын
VICKY NI JAY NA JAY NI VICKY , LILE JICHO ULILOMPIGA PROFESSOR HATA LISAHAU MAISHANI MWAKE
@amanacharles
@amanacharles Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@IsmailJumanne-u7r
@IsmailJumanne-u7r Жыл бұрын
She got all qualities of being human being, nimemkubali sana huyo dada, Maadili mazuri, Hekima, Busara, keep it up Dada, Umenifurahisha sana. You are da champion to inspire da up comings
@EmmanuelFocus-f2k
@EmmanuelFocus-f2k Жыл бұрын
🙏🙏
@salum8848
@salum8848 Жыл бұрын
Amenenepa
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Kaka mtafute Solo thang Umuhoji
@islamkarata9655
@islamkarata9655 Жыл бұрын
solo thnks si amefariki
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
@@islamkarata9655 Sio kweli bro
@AshaMakame-zg9xi
@AshaMakame-zg9xi Жыл бұрын
Yaaani mwaka wa mwisho lango la jiji toka sijaitwa mama mpaka sasa nakaribia kuwa bibi
@ameirfaki9277
@ameirfaki9277 Жыл бұрын
Naon saiv amekuw mzungu hasa
@Pharadge
@Pharadge Жыл бұрын
yupo kama alivyo ndivyo alivyo
@husseinkhatiib333
@husseinkhatiib333 Жыл бұрын
Labda nimshauri Nagis nimrembo mnooo lakini apunguze mashavu shavudodo linapoteza urembowake 😂😂😂😂
@nabilabdallah707
@nabilabdallah707 Жыл бұрын
mushaaanzatena watanzani hamukosi kasoro nyinyi duh umeona bora uzungumzie shavu achahizo
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 Жыл бұрын
Huyu Dada aletwe Tena
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 2,9 МЛН
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 23 МЛН
Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
28:34
YahStoneTown
Рет қаралды 202 М.
Mfaume Mfaume  amwangukia Bakhresa awanusuru
4:21
G23 Online
Рет қаралды 377