MCHAMBUZI THABIT AELEZA HISTORIA VITA PALESTINA NA ISRAEL/YESU NA MTUME MUHAMAD WALIISHI PALE

  Рет қаралды 118,996

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

3 жыл бұрын

Пікірлер: 540
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 3 жыл бұрын
Namuombea Sana Thabiti siku Moja Mungu amjaliye awe nafasi za juu sana ktk taifa Ili
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Elimu nzuri sana. Hongera sana Gangana na Thabit.
@kassimmselem6024
@kassimmselem6024 3 жыл бұрын
Huyu Bwana Thabit amebobea Sana katika medani siasa, uchumi na jamii. Na anachambuwa Kwa undani mnoo kihistoria na kifalsafa.
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 3 жыл бұрын
Duuu ahsante kwa elimu, Japo maumivu ya moyo bado ninayo kwa kuona watu wakitaabika pia na kufa.
@stephenmbatia7825
@stephenmbatia7825 3 жыл бұрын
This guy is so informed. Kudos!
@shamterehani2161
@shamterehani2161 3 жыл бұрын
Thabit! unajua sanaa ,upo vizuri.
@pascalmstaarabu4372
@pascalmstaarabu4372 3 жыл бұрын
Taifa la Mungu linapiganiwa na Mungu mwenyewe
@furahandabadugitse2659
@furahandabadugitse2659 3 жыл бұрын
Taifa lamungu nilipi taifa lisokuwa la mungu Hauna akili mayahudi sio wa islam wala sio wa kristo hao namashetwani wewee wa uwajii wakubwaa mungu awalaaanii
@travvella4392
@travvella4392 3 жыл бұрын
mbona maadhimisho ya mashoga hufanyika telaviv kama ni watu wa mungu
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 жыл бұрын
@@furahandabadugitse2659 pumbavu heshimu maoni ya mwingine Israel ni taifa la Mungu
@wazirie4070
@wazirie4070 3 жыл бұрын
Asante tena Mr Gangana. Ningependa mtaalam wetu, Thabit. Aongelee kuhusu Christianity na Islam, hizi dini mbili zinahusika kwa kiasi gani kwenye maendeleo ya nchi zetu za Africa. Maana dini mbili zote hizo, zimechangia kwa kiasi kikubwa kuyaendeleza ma taifa yao. Christianity in the western World, and Islam in the middle east. Maana nchi kama Uhindi na Uchina, wanadini zao na maendeleo yao yanaonekana. Pia dini mbili hizi, ni chanzo kikubwa cha vurugu Africa, kwa nini tunazitumia dini zilizoleta matatizo Africa kwa kuyatatuwa matatizo hayo hayo? Kuna njinsi tutaweza kuenzi dini zetu za kale na ubuntu spirit kwa kuyatatua matatizo? Maana Mungu yeye kila kabila Afrika inamjuwa tangu enzi za mababu zetu.
@salimmoha7962
@salimmoha7962 3 жыл бұрын
Hujielewi
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Umeonge point sana. Ubarikiwe. Wewe ni kati ya wale watu wachache walio elimika juu ya dini.
@wazirie4070
@wazirie4070 3 жыл бұрын
@@kaundasutikaunda7769 Asante ndugu, nawe pia ubarikiwe
@salesiasebastian6670
@salesiasebastian6670 3 жыл бұрын
Uko vizuri sana katika kufikiri!
@wazirie4070
@wazirie4070 3 жыл бұрын
@@salesiasebastian6670 asante, nawe pia
@harsoshelezi4658
@harsoshelezi4658 3 жыл бұрын
ACHENI UONGO, UYAHUDI UPO MBALI SANA NA UKRISTO. YESU NI ADUI WA MAYAHUDI NDIYO MAANA HAWA MKUBALI NA HAWAKUBALI BIBILIA WANAKITABU CHAO
@abrahamhassan351
@abrahamhassan351 3 жыл бұрын
Wakiristo wanajikomba kwa mayahudi Israel Wakiristo haikuhusuni kabisa na uboya wenu Italy na Vatican ndio yenu na dini yenu yakuungaunga hiyo Wakiristo hehehe
@elizabethwallace8598
@elizabethwallace8598 3 жыл бұрын
@@abrahamhassan351 ujinga ni mzigo,ukristo umetokea kwa wayahudi hakuna kujikomba na Yesu alikuwa myahudi
@josephatdakhala2615
@josephatdakhala2615 3 жыл бұрын
Nan amekwambia
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 9 ай бұрын
Kitabu cha imani ya mayahudi kinaitwa "Talmud" na mayahudi hawanaga mpango na ukristo wao wenyewe mayahudi ndio wale waliotaka Ku mwua yesu
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 9 ай бұрын
Yesu alikana dini ya kiyahudi na aliwakana ku jiita uzao wa Ibrahim yohana 8:39-58, pia hawa mayahudi wanaojinasibisha na uzao wa yakobo Mungu alikataa akimwambia yesu katika ufunuo wa yohana 2:9; ufunuo3:9
@hassanmassaga2476
@hassanmassaga2476 3 жыл бұрын
Wanaotoka mapovu humu wanahisia za kidini tu.....wengi hata hawajui chanzo kwsbb hawana taarifa sahihi...na kama wanataarifa basi wamezipata kwa viongozi wao wakidini😆😆 tujifunze kusikiliza hata yale tusio yapenda alf ndo baade tuamue kufuata au la! Mbn ni jambo rahisi tu
@allychengula3511
@allychengula3511 3 жыл бұрын
Fuatilia vizuri vita haijaanza leo wala 1948 ni vita ya milele narudia tena ni vita ya milele.. itaisha yesu akirud... Soma biblia upate maarifa kwani history ya mashariki ya Kati ni bc
@petrofabian4523
@petrofabian4523 9 ай бұрын
Mwenye eneo kabisa ni myahudi ,wapalestina walijichomeka baada ya wayahudi kwenda kuzurula sasa waliporudi wale waliokuwa wamejichomeka wakajifanya kuwa wao ndio wenye eneo
@ramadhanwazir5457
@ramadhanwazir5457 9 ай бұрын
Naomba tu utaft historia pia aliyoelezea DR Suley n ushauli tu msikiliz n ujifunz kitu
@dinocastico8495
@dinocastico8495 3 жыл бұрын
Daaah. Tunapo lazimishwa kuelewa lugha tusiyo ifaham hali yakua mzungumzaji mwenyewe haifaham vyema hapa kuwa makini mno . Mgogoro huu upo kinafiki saana na unafiki huu umepandikizwa na umoja wa mataifa na si vinginevyo. Wanao dai inchi walipewa na mungu bado wanakikwazo kikubwa kutoka utra othodox jew ambao wanaamini baada ya kupinga amri za mungu waliharamishiwa pale. Wanacho tafautiana ndugu kinatokana na gubu si vinginevyo. Swali langu hawa watu wasio na dini wala kuamini vitabu vya kale je wanashawishika vip kiamini mungu aliwapa ardhi hawa mazayuni. Ukilijuwa hili ndio utafaham kuwa huu umoja wa mataifa una mapungufu mengi zaid ya matobo ya chandarua. Roho ya mwanadam inapo halalishiwa mauti kirahisi kuliko roho ya kuku amini wanao ongoza hawajuwi majukum yao. Tatizo ni umoja wa mataifa.
@mzalendotz3397
@mzalendotz3397 3 жыл бұрын
Maweee tupu..thanks brothers 🤝
@kabogeof9597
@kabogeof9597 3 жыл бұрын
Jamaa mungu akupe maarifa
@gabrielnyanga8155
@gabrielnyanga8155 3 жыл бұрын
Ume eleza vizuri ndugu!
@mlamtv4839
@mlamtv4839 3 жыл бұрын
Hii vita ataimaliza Yesu pekee.Huyu ataleta amani
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 3 жыл бұрын
Wewe wacha ushilikina mungu ndie atamaliza matatizo cyo yesu
@evangelist_gaitani
@evangelist_gaitani 3 жыл бұрын
@@hamdincatalonia3272 mbona yesu ni MUNGU
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 3 жыл бұрын
Hii ni ishara ya kurudi kwa nabii Issa
@mbaroukame2834
@mbaroukame2834 Жыл бұрын
​@@evangelist_gaitani sio kweli
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 3 жыл бұрын
Salute,♥️♥️🙏🙏🙏💯🥂
@magrethmkemwa9287
@magrethmkemwa9287 8 ай бұрын
Dunia ikija kujua Israel ni Taifa la Mungu,alilochagua mwenyewe kwasababu zake mwenyewe ta ngu Ibrahim.Watu someni Maandiko matakatifu mtajua.
@z.nalnabhani7194
@z.nalnabhani7194 3 жыл бұрын
Huyu muyahudi ataitesa sana dunia,tusione leo kwa palestine,inaonesha hana hata chembe ya imani,dunia ishirikiane imuangamize kabisa,au mwenyezi Mungu amuangamize nchi ya izrael ibiruke chini juu hapo itakuwa salama,vinginevo dunia nzima hakuna amani
@raphaeldinyu427
@raphaeldinyu427 9 ай бұрын
Hamjui chochote kuhusu myahudi , mnatafuta rangi ya myahudi , wakati myahudi ameenea dunia na ameweka ujasusi kwa serikali zote duniania
@omahe1
@omahe1 3 жыл бұрын
🏹 naomba hizo vita zifike mwisho
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 3 жыл бұрын
Hazitafika mwisho maana hilo ni kusudi la Yesu kurudi
@omahe1
@omahe1 3 жыл бұрын
Kwani Pregnant mother wanateseka pamoja na watoto pia wagonjwa je hilo c Tati I?
@madpeoplezzzz5121
@madpeoplezzzz5121 7 ай бұрын
Muongo hakuna mabomu ya dizaini hiyo huwo ni uwongo wa myahudi feki anaotumia kuidanganya Dunia......😊 FREE PALESTINE 🇵🇸.... FROM THE RIVER TO THE SEA
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 4 ай бұрын
Hata mkiambiwa ukweli huwa hamkubali hebu tuambie wewe ilikuwaje? Hao WAYAHUDI pale ndio kwao
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
Hapo ukisema wamarekani ni wakiristo ni uongo. Njoo marekani ujionee. Hawana dini. Vile vile wayahudi sio wakiristo. Na kwa kweli ukiristo katika bibilia ni jina la kupangwa na wapagani (watu wasiokua na dini). Sasa kwa taarifa yako wamarekani na wayahudi ni wapagani. Wamewakataa manabii na Mungu
@Mpakauseme
@Mpakauseme 9 ай бұрын
Akili hauna na hii ndio shida ya wabongo , Kwanzaa haumfahamu maana ya ukristu na ata pia hamfahamu maana ya dini ni nini wewe ni mkundu na wewe ndiye kafir ambaye una abudu mwezi na jua na kwenda kuliabudu kabur jeusi huko makka pamoja na mafunzo yenu yakikafir kuswali majini ndani misikitini, Mungu hawezi kusikiliza watu wanao shirikiana na mashetani
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 9 ай бұрын
@@Mpakauseme please Nipe mkundu nakuomba. Nitakupa pesa. Nikutie kende upate raha please tuonane majengo
@godifalsafa6956
@godifalsafa6956 3 жыл бұрын
This man is 🔥🔥🔥🔥
@madpeoplezzzz5121
@madpeoplezzzz5121 7 ай бұрын
This man is a sellout
@sonti2821
@sonti2821 3 жыл бұрын
Big up sana Thabit we ni kichwa
@awadhisimba1806
@awadhisimba1806 3 жыл бұрын
Ukweli thabit nimekubaliana Sana,pamoja kwamba maelezo yako yabeba mb zetu nyingi lakini yanafundisha
@masoudkipara5053
@masoudkipara5053 3 жыл бұрын
Jamaa ana mawe sana.
@abdallahesika8407
@abdallahesika8407 9 ай бұрын
Ktk vita ya siku 6 kati ya Israel na baadhi ya mataifa ya kiarabu, Israel alipewa Askari, pesa, chakula na siraha kutoka hasa Marekan na Wingereza ndo maan walishinda hiyo vita
@eddyjosephmagenge9658
@eddyjosephmagenge9658 3 жыл бұрын
Shukrani sana kaka,nakukubali mno 🙏🙏
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 8 ай бұрын
Bibilia gani inayo sema wayahudi niweusi acha kupotosha soma vizuri bibilia hakuna muyahudi mweusi
@producerema291
@producerema291 3 жыл бұрын
Mtaalamu yuko vzr
@claudbusumilo3979
@claudbusumilo3979 8 ай бұрын
SASA ITAKUWAJE HUO MSIKITI UTAVUNJWA AU INAKUWAJE MAANA KAMA WAMEUTEKA INAKUWAJE
@salimmapande4668
@salimmapande4668 3 жыл бұрын
Al Masjid Al-Aqsa was founded forty (days or months or years) next to the Ka`bah. Historians believe that Prophet Ibrahim, peace and blessings be upon him, was the one who built or ordered Al-Aqsa to be built. It was demolished during the conquests of Jerusalem. `Umar Ibn Al-Khattab, may Allah be pleased with him, is the first one then who restored Al-Aqsa. He recognized the sight but nothing was built. When abdul-Malik Ibn Marwan held the office in the year 66 A.H., he rebuilt Al-Aqsa and the Dome of the Rock. Al-Aqsa is one of the largest and most important mosques in the Muslim world, and the earlier Palestne.
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 7 ай бұрын
Waarabu wazurii bwana
@awaziloya-yj6yq
@awaziloya-yj6yq Жыл бұрын
Mgogoro Kati ya Israel & Palestine kama hujaigusa baytul muqadas bado hujatatua tatizo
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 3 жыл бұрын
Safi sana ndugu wachambuzi mmchambua vizuri
@DEVOTIONTV
@DEVOTIONTV 3 жыл бұрын
Haya mambo watu hawajui wachache sana wanao Jua Huyu Bwana anajua Kweli
@salimmapande4668
@salimmapande4668 3 жыл бұрын
Ukweli hupimwa kwa yale yanayojulikana kutokea kwake na kila kilichotokea kipo documented kwenye vitabu, magazeti na makala mbalimbali. Jambo lolote ambalo halikuandikwa na waliokwepo nivigumu kushuhudia ukweli wake
@DEVOTIONTV
@DEVOTIONTV 3 жыл бұрын
@@salimmapande4668 Mimi sizani Kama kwa kauli hiyooo Uko sahihi. Kwasababu Kuna Mengine yaliyo andikwa na Walio Kuwepo lakini Ni Uongo Unaacheje Kumwamini Mtu anaye udhihilisha Ukweli Mbele ya Umma, Na labda Una mtazamo binafsi na Upande wako
@DEVOTIONTV
@DEVOTIONTV 3 жыл бұрын
Na Kwanza naona Huyu Ananichanganya Tuuu….. Brooo Halid Mimi Ninashida nawewe Broooo Whatsapp 0766836355
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 8 ай бұрын
amini kwamba
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 3 жыл бұрын
Hii vita imeelezwa hadi kwenye vitabu vya dini wala sio magen kwa sisi Waislam imani yetu hizo ni dalili za kiama
@hassanjuma2688
@hassanjuma2688 3 жыл бұрын
Walio pale si waisrael halisi wale ni khazar from Europe COUNTRIES...taifa la ISRAHELL lilibuniwa 1943 baada ya kikao cha BALFOUR DECLARATION 1917
@furahandabadugitse2659
@furahandabadugitse2659 3 жыл бұрын
Naam habibi swadakta
@stephenguga1034
@stephenguga1034 3 жыл бұрын
Jinsi wazungu walivyo shirikiana kubadilisha taifa LA Israeli halisi kwenye kitabu cha. Zaburi 83:4 YESU alitabiri ukoloni ulio isha kipindi cha Nyerere kwenye kitabu cha luka21:20-24. Ona MUNGU akiongelea juu ya Israeli halisi na feki iliyo jiweka kwa mpango wa umoja wa mataifa Mwaka 1947. Ufunuo 2:9--> Ufunuo 3:7-13 Mtu mweusi ndio myahudi halisi Maombolezo5:10 {maombolezo ya yeremia myahudi} Ayubu 30:30. Wimbouliobora 1:5 {wimbo wa Suleiman myahudi}
@hashimuhussein4993
@hashimuhussein4993 3 жыл бұрын
hongera yake blother kaichambua mada kiasi kwamba sasa nnafaham chanzo cha vita huko islael
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 9 ай бұрын
Blother ndio nn
@MosesALiu
@MosesALiu 3 жыл бұрын
Vizuri sana Thabit
@zephaniamanembe6929
@zephaniamanembe6929 9 ай бұрын
Kuna Jambo hulielewi, ni lini mzungu aliwahi kwenda utumwani, myahudi wa kweli ni mtu mweusi ambaye biblia ilisema nitamtawanya ulimwenguni mwote ili awe mtumwa Ni wapi mzungu aliwahi kua mtumwa, wayahudi hai ni wa mchongo Soma if 2.9 na 3.9 Halafu mzungu eti auwawe ulaya hahahaaaa.
@godfreymaebwa4657
@godfreymaebwa4657 9 ай бұрын
Yaan namkubali sana saudia kumchana amasi kuwa walichofanya israel hakikubaliki
@mceeray254
@mceeray254 Жыл бұрын
Hawawezi kuiondoa Israeli kwenye ramani ya dunia amini usiamini itawapa tabu maana n Mungu kainua,maandiko ayo
@Erik-kj5no
@Erik-kj5no 9 ай бұрын
Wewe unaesema hivyo wewe Ni mpinga Kristi Soma mathayo 21:43 yeah aliwanyang'anya ufalme
@NATACIARAPHAEL-iz8kr
@NATACIARAPHAEL-iz8kr 9 ай бұрын
Someni biblia vizuri
@petermwaikandage2475
@petermwaikandage2475 9 ай бұрын
Well organized and with confidence. Good narration mkuu
@godfreymaebwa4657
@godfreymaebwa4657 9 ай бұрын
Yaan hawa waarabu vichwa maji kweli yaan kila vita yanapigwa hafu hayakomi
@user-mr5tk8oc3t
@user-mr5tk8oc3t 8 ай бұрын
Waislam wagonvi sana yani
@denyu9975
@denyu9975 3 жыл бұрын
Jamaa yulo vzr bro asante sana brooo
@mgasathedon1579
@mgasathedon1579 3 жыл бұрын
Naipenda Israel sana
@MsAggie5
@MsAggie5 3 жыл бұрын
Una imani ‘mpende Israel ubarikiwe’ kwa sababu ni taifa teule?
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 жыл бұрын
Naipenda Israel namie
@matheomwakisole6819
@matheomwakisole6819 2 жыл бұрын
Napenda Tanzania sana
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
Ukitaka kufahamu ukweli wa waislam, angalia mpaka leo wameshindwa wayahudi kugeuza msikiti wa al’Aqsa kua kitu chengine. Sababu Quran inasema msikiti ni nyumba ya Mungu. Ukweli ndio huo
@martinarinjuguna891
@martinarinjuguna891 3 жыл бұрын
But soon Ill See. Mwislamu pale siku hizi haingii
@Mpakauseme
@Mpakauseme 9 ай бұрын
Mungu wakipagani ambaye anapiganiwa nakuamrisha watu wawachinje binadamu wasio mwabudu yeye sasa huyo ni Mungu au ni shetani tu
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 9 ай бұрын
@@Mpakauseme Nina hamu kukufira tuu please Nipe utapata raha za dunia ntakufira upige kelele tuonane temeke
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 7 ай бұрын
Wabongo nyinyi mwajulikana hamuwapendi waarabu basi munasapoti israili ni bwanawenu
@deusurio9056
@deusurio9056 9 ай бұрын
Ukisikia ushenzi wote duniani,mpaka hao unaosikia wajenzi huru,ni wayahudi
@jitihadaharuna9448
@jitihadaharuna9448 9 ай бұрын
Mbona hajaongelea open prison na masetler wanavyowanyanyasa wa Palestine access ya internet,maji na umeme na controller na Gaza strip kuna serikali? Mbona inaonekana kama wanaishi kwa kuzingirwa wa Palestine shule, shughuli zao za kiuchumi wanazifanyaje?
@mrmhenipm
@mrmhenipm 3 жыл бұрын
Gangana nawapenda bure,,,maana huyu jamaa namfuatilia sana ,,ananipa elimu ya kutosha
@andrewcharles4537
@andrewcharles4537 3 жыл бұрын
a
@nkenemalulu1330
@nkenemalulu1330 3 жыл бұрын
Hata Mimi nawapenda, ila wengi wamezoea 'UDAKU' si rahisi kuwaelewa.
@abuukarata9653
@abuukarata9653 3 жыл бұрын
Acha upoteshaji mkuu.
@z.nalnabhani7194
@z.nalnabhani7194 3 жыл бұрын
Anasema kweli
@MsAggie5
@MsAggie5 3 жыл бұрын
Hapoteshi chochote vyote kweli kabisa
@NIKUMBUKELEO
@NIKUMBUKELEO 9 ай бұрын
Upo vizuri, je mbona kama uongozi wa Tz Una akisi unachosema utawala wa strategic thinker syo great thinker kwa kuangalia chanzo. Je huoni unafeli pale bapo unangalia na kuzungumzia Israel na Palestine wakati kwako kunaungua na Tz ni kwetu kinacho Tu ila kiakili na kimawazo no? Je Tz kiakili na kiroho upo kwako? Mmmh tumepigwa upofu?
@biramsakh9212
@biramsakh9212 3 жыл бұрын
Wa Islam wala hatuna tabu sababu tunayafahamu vzr sana tu najua vip mayahud walivo NA wa falastin NA msikit wa Al aksa tena kila kizazi cha kiislam kinapewa mafundisho. Hatuna shida sababu kitabu chet hakijaacha kitu
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 Жыл бұрын
Alikwmbia wayahudi wanaamini kwa kristo nani wayahudi wameshika maandiko ya mussa na hawaminni juu ya kristo mussa ambae hiyo kanani Israel hakuwahi hata kuiona acha kukaa
@harsoshelezi4658
@harsoshelezi4658 3 жыл бұрын
mayahudi hawakutangaza bali walipelekwa na waingereza iliyokuwa nguvu kuu ya dunia zama zile. Mayahudi walikuwa wakitangatanga bila kuwa na sehemu, walikataliwa uganda , italy, na kwengine.
@user-mr5tk8oc3t
@user-mr5tk8oc3t 8 ай бұрын
Wa Israel wapo juu ata yesu ni mu Israel
@petermwaikandage2475
@petermwaikandage2475 9 ай бұрын
Ningeomba mtaalam Thabit aonelee pia kwann Hiltler aliwachukia sana wayahudi? Nini kipo nyuma ya pazia kuhusu hili?
@paskalmagiri4466
@paskalmagiri4466 3 жыл бұрын
Chimbuko la Vita Ibrahim kuzaa na msichana wake wa kazi hajir na kumzaa ishmail
@benjaminkiteleke8458
@benjaminkiteleke8458 3 жыл бұрын
Alikuwa mje wa pili. Sara alimony Ibrahim hajira kijakazi wake ile awe mke wa Ibrahim. So Ibrahim alizaa na mke mdogo at mke wa pili. Kasome vizuri maandiko
@kudrachristopher4640
@kudrachristopher4640 3 жыл бұрын
Mtalaamu 😎
@ramadhanwazir5457
@ramadhanwazir5457 9 ай бұрын
N wengin jmn mjarb kuskiliz watu mbal mbl msisikilz upand mmoj taften hoj mbl mbl af mchanganuw nazan mtanielew
@SuzieMahalu
@SuzieMahalu 3 жыл бұрын
Mambo fireee
@brotherdash6772
@brotherdash6772 3 жыл бұрын
Kwel
@aminamikidadi7754
@aminamikidadi7754 3 жыл бұрын
Vita ya wayahud na waparestina ...M/Mungu ndio jaji wa haki atakae kata hyo kesi kwa haki , mana yeye ndio anayejuwa ya zahiri na yaliyojificha vifuwani mwa watu kwani tulionalo kubwa kwa Mungu ni dogo na mwenye kusubiri yupo pamoja na M/Mungu ..Allahu Akbaru ....
@bidayo1058
@bidayo1058 3 жыл бұрын
Daaaa! Kuna watu wanajua vitu. Kipindi kimenoga Sana, keep on #Ganganainfochannel
@halimagomez
@halimagomez 9 ай бұрын
Wew muuongo munguu anakuona
@husseinmatekwa276
@husseinmatekwa276 3 жыл бұрын
Uko mbali sana na historia. Tangu lini wayahudi wakawa wazungu. Kama kweli wayahudi walikuwa wazungu, mbona wana wa yakobo wakashindwa kumtambua ndugu yao 'mweupe' yusufu walipokuja misri. Wacha kutuambia hadithi ya kuskia
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Wote wamekutana vichwa ,anaadithia kama anasoma kwenye kitabu hongera kaka .
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
Kwani wewe ukisoma,baadae huwezi kuelezea 😀
@user-ug7bd9yh5z
@user-ug7bd9yh5z 9 ай бұрын
Wewe muongo hujui kitu muegereza marekani mfaransa wote waliigia usidanganye watu
@deusurio9056
@deusurio9056 9 ай бұрын
Ni upi ukweli kuhusu hao wazungu ni waizrael, yaani ule uzao wa watoto 12 wa yakobo
@emmanuellaurent2698
@emmanuellaurent2698 3 жыл бұрын
Yuko vizur
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 3 жыл бұрын
Hao wayahudi walipigwa sana na hitla ujerumani wamekimbia vita ndipo wakafikia Palestina wakupora ardhi ya watu ndipo wakaanzisha makaazi
@Mpakauseme
@Mpakauseme 9 ай бұрын
Rudia kusikila vizuri au ndui imekutia uwendawazimu maanake wabongo wengi vichwa vibovu
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 7 ай бұрын
Mpaka kesho hana nguvu hivi ss anasaidiwa
@millungumusic7486
@millungumusic7486 9 ай бұрын
TUNATAKA THABITI ATUJUZE ILIKUWAJE WAISRAEL WOTE WAONDOKE MAENEO YAO NA KWENDA ULAYA NA AMERICA? HADI WALIPOAPATA MIKASA YA KUUWAWA NA HITLER. KIPI KILIWAFANYA WAACHE MIJI YAO?
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 жыл бұрын
Palastine ilikuwa chini ya himaya ya Uingereza.Kweli itawezekana wayahudi waje na kujitangazia uhuru. Ninavojua,uhuru wamepewa na hao waliokuwa wanatawala. Kama ni kujitangazia basi nchi nyingi zilizokuwa chini ya uingereza zingejitangazia uhuru. Ndugu yangu king Abdalla wakati huo alikuwa sio mtawala. Umesoma Israel na umepikwa vizuri.
@hasbaallamaa749
@hasbaallamaa749 2 жыл бұрын
Habari . Niwape hongera kwa uchambuzi wa mchambuzi mahihiri sana . ndugu Thabit, umezungumza kuhusu maendeleo ya Hamas wamepata wapi ? Ukiangalia wamezungukwa na wazayoun pande zote na hawana msaada wowote wa kijeshi kutoka kwa nchi za Kiarabu ?
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 3 жыл бұрын
Umelezea Vizuri Sana Broo.
@AbrahamShehoza-kk6bj
@AbrahamShehoza-kk6bj 8 ай бұрын
Maandiko yanasema itakieni amani Yerusalem..na wafanikiwe wote waipendao Israel na Yerusalem..Hivo ukristo wa mtu unathamani na mafanikio makubwa kiroho na kimwili ikiwa atatenga muda wake kuiombea mema Israel..maana ndipo kuna chimbuko la wokovu wake...kumbuka Yesu Alisema wokovu watoka kwa Wayahudi(Yesu Kristo)..Na wote tuliookoka tunamwabudu Mungu wa Israel na si vinginevyo!
@sanamukama942
@sanamukama942 3 жыл бұрын
Safi
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 7 ай бұрын
Ww na hairuhusikii
@rosenalucas1906
@rosenalucas1906 3 жыл бұрын
yoshua 23 - 1 soma yote ukweli huko humuu
@godifalsafa
@godifalsafa Жыл бұрын
Huyu jamaaa anajua ndio mchambuzi bora wa nchi hii wa maswala ya mikakati na siasa za kimataifa
@hassanjuma2688
@hassanjuma2688 3 жыл бұрын
Wengi wa wanahistoria upande mmoja wana ukweli upande mwengine wanadanganya.Gangana nenda katufate ukweli kuusu ISRAHELL baada ya kuangalia BALFOUR DECLARATION NA MTAFUTE MJEWISH HALISI BWANA RABAH WEIS UPATE UKWELI
@deusisindwa616
@deusisindwa616 3 жыл бұрын
Jamaa yuko vzr.huyu jama anatishaa
@mohamedriko190
@mohamedriko190 3 жыл бұрын
Umejaribu ila manabii wote ukweli walikuwa waislam,kuanzia Adam mpaka nabii Issa.So historia iki vitabuni na Israel hana chake pale bi idhin Allah
@makisjeremiah288
@makisjeremiah288 3 жыл бұрын
Una evidence ya kwamba Adam alikuwa muislam?
@rehemamost444
@rehemamost444 3 жыл бұрын
Soma biblia manabii hawakuwa waislamu
@nancewanu6815
@nancewanu6815 3 жыл бұрын
Walau elimu kidogo hakika sijapoteza mda kabisa kukusikiliza ganganas
@lupaprince1229
@lupaprince1229 3 жыл бұрын
Ukiichambua Israel kisiasa huwezi ukapata ukweli wote, kwa sababu Taifa la Israel linaonekana dogo, dhaifu kwa macho lakini kwenye ulimwengu wa roho ni Taifa kubwa tena teule la Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Mungu ibariki 🇮🇱
@sammarley1413
@sammarley1413 3 жыл бұрын
Na ww nitaifa la shetani sio ??? kweli sasa nimeamini uafrica ni uasirika kweli
@hasbaallamaa749
@hasbaallamaa749 2 жыл бұрын
Ni kweli lakini wamelaaniwa na Muumba wao na maisha watateseka na Ulimwengu
@salimmapande4668
@salimmapande4668 3 жыл бұрын
Tukio la mtume kwenda miiraji si sababu pekee ya utulivu wa jerusalem kwa waisilamu bali ni ardhi ya manabii na ilikuwa ni qibla (direction) ya waisilamu kabla ya mabadiliko
@goldmansun5859
@goldmansun5859 3 жыл бұрын
Nani alibadilisha
@sapricatermaregeri6571
@sapricatermaregeri6571 9 ай бұрын
Hello Chris Masozi
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@eastafrica6858
@eastafrica6858 3 жыл бұрын
Wanakaguliwa nn wayahudi wao ndio wanaupiga maboom msikiti wanasali wanawapiga wanonea al aqsa hata jina la msikti la kiarabu
@eastafrica6858
@eastafrica6858 3 жыл бұрын
Badein muongo wanafurahia vita africa na warabu gadafi walimua africa kujua ataweza kunga africa wawe wamoja
@user-xt4mi5zs2s
@user-xt4mi5zs2s 8 ай бұрын
Na walitaka kumuuwa yesu pia wameuwa manabii wengi how walishaahidiwa moto Pepo ni Haram kwao
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
Niwaulize kabla 1940s wayahudi kuhamia Israel ni miaka elfu ngapi ilikua imepita? Walikua wapi hata warudi pale waseme ni kwao?? Swali la kimsingi. Hata kwa mfano ingekua ni kwao. Hawana tena ruhusa kurudi na kudai ni kwao baada ya miaka Maelfu kuondoka. Dhulma tu ya wazi
@haidarinawabu910
@haidarinawabu910 9 ай бұрын
Mauretania na Israel ndio walipigana ma mataifa sita.
@rogersyshemweta6295
@rogersyshemweta6295 3 жыл бұрын
Ukovizori ndugu
@SalomeGeorge-il7vf
@SalomeGeorge-il7vf Жыл бұрын
🔥
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 Жыл бұрын
Hahaha ww umejitahid kupotesha ibrahim alipoambiwa na mungu aende kanani (Israel) alikua anaishi iraq alipoenda kanani sio kwmb hakukuta watu amewakuta watu hapo ambao ni wapalestine ibrahim alipofik hapo hakua na hel vile vile mpk alipotoka misri kwa nimroud ndipo alipokuja nunua ardhi kanani ambapo wapalestina ndio amewakuta hap.haw Tunawaita wayahudi hawa ni wazayuni ambao walitok ulaya muingreza ndie aliyewachukua wazayuni akawapeleka hapo ndo na wakafanya taifa wanalindwa na mgongo wa uingreza mpk kesho technically inayotumiwa na waulaya magharb na marekani ni kuitumia nchi moja kupigana na wengine tunayaona pia leo Hao wanaipa ukrain silaha siku urusi akishindwa vita mtasema ukrain kampga urusi kumbe ulay maghrb na marekani ndio wapigaji ndio wanavyoitumia Israel kuwapig palestine
@salminwamu2297
@salminwamu2297 3 жыл бұрын
Duh
@mwakasagule
@mwakasagule 9 ай бұрын
Gangana, ukitaka watu wakufuatilie sana fanya Interview nyingi na huyu jamaa THABITI.
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 3 жыл бұрын
Muandishi ww sio m,bunif ungemuuliza kuna tofauti gani kati ya hamas na vikosi vya serikali ya Palestina
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 8 МЛН
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA DHANA YAKUSHINDA NA KUSHINDWA KWENYE VITA
21:31
Gangana Info Channel
Рет қаралды 9 М.
Antipsychotic Drugs | Typical vs Atypical | Pharmacology💊
3:14:21
Dr. Najeeb Lectures
Рет қаралды 176 М.
Hiroshima - the unknown images
52:01
La 2de Guerre Mondiale
Рет қаралды 6 МЛН
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23